Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Basi..
Basi..
Kuna mwenzio alivyoingia tu jesh, mara paap kavuta mkopo na kununua toyota mak II! Baadae mambo yalivyokuwa magum akauza mak II kwa bei ya milioni tatu. Saivi anapiga lege.. 😂weka lipa namba nifanye muamala chap nitoke zangu🤣🤣🤣
Walikuwa wanaleta mchezo! Mkuu wa jesh, cdf lazima awe ameshika nafasi ya tatu kitaifa. Matio ndo wanaongoza majesh ya magereza, Polis na Zimamoto..Mara nyingi wakiingia kufanya mitihani ya kijeshi huwa wanaongoza na huwa wanashindwa kufanya vizuri katika mazoezi ya viungo, lakini kutumia silaha na kuendesha vifaru pamoja na ndege za kivita! They are the best..
kwani babu nyau watu wote wa kwenye huu uzi ni wanajeshi? mi nishakwambia sielewi habari za huko nilichungulia mara moja,nione mnazungumza nini ndo ukanidaka😔🤣Kuna mwenzio alivyoingia tu jesh, mara paap kavuta mkopo na kununua toyota mak II! Baadae mambo yalivyokuwa magum akauza mak II kwa bei ya milioni tatu. Saivi anapiga lege.. 😂
Njoo inbox 📥 kwanza, ucje ukamwaga mchele kwenye kuku weng.. 😂kwani babu nyau watu wote wa kwenye huu uzi ni wanajeshi? mi nishakwambia sielewi habari za huko nilichungulia mara moja,nione mnazungumza nini ndo ukanidaka😔🤣
unataka kunifanya nini huko inbox? alf kwanini usinifate wew😎Njoo inbox 📥 kwanza, ucje ukamwaga mchele kwenye kuku weng.. 😂
Ngoja nikuvute kdogo.. 😍unataka kunifanya nini huko inbox? alf kwanini usinifate wew😎
una ufala kama wa paka wako😅😅😅Ngoja nikuvute kdogo.. 😍
Jesh ndo wenye serikal ya Burkina faso, SierraLeone cjui ya nan? 😂ILLUSIONS zipo nyingi! Upande mwingine wanasema ni KENYA na upande mwingine wanasema ni TANZANIA.
Kwa upande wa TANZANIA wanasema RWANDA ipo chini ya JESHI LA MAGEREZA na chochote kinachofanyika na SERIKALI YA RWANDA ujue ni MAGEREZA ipo nyuma yake!
Halafu wanasema BURUNDI ipo chini ya JESHI LA POLISI na chochote kinachofanyika na serikali ya BURUNDI ujue ni POLISI ipo nyuma yake!
Kipindi fulani WAKONGOMANI na WAHUTU walitaka kuanzisha kampeni ya kwenda mahakama ya ICC kuhusu kudai RWANDA na BURUNDI, lakini SERIKALI YA RWANDA na BURUNDI ziliwajibu kuwa walifanikiwa kuchukua SERIKALI zao kutoka mikononi mwa WAJALUO waliokuwa wakitawala mataifa hayo.
Tunaambiwa kizazi cha CGP MWANGUKU kipo hata RWANDA na kuna uwezekano mkubwa wa kuja kuongoza TAIFA LA RWANDA!
Kwahiyo mambo mengine unayaacha yapite, siyo kila jambo lazima ujue au ushiriki!
Ebu irudishe ile avatar uliyokuwa umevaa blauz ya bluu na madoa madoa mekundu.. 😂una ufala kama wa paka wako😅😅😅
Matio huwa ni Mapro Government, sababu huwa wanapewa zawadi za magari ya toyota landcruiser na bado wanaenda kuwa majeneral wa kijesh..Wenzenu huwa wanaingia jeshini wakifikisha miaka thelathini na tano [35] na wakiwa ni "NATIONAL FLAG BEARERS" kupitia WIZARA YA ELIMU!
Huwa wanaanzia JESHI LA POLISI kupitia ofisi ya OCD au RPC halafu wanasambaa katika majeshi mengine.
yule mrembo hakua mimi😅Ebu irudishe ile avatar uliyokuwa umevaa blauz ya bluu na madoa madoa mekundu.. 😂
Walikuwa wanaleta mchezo! Mkuu wa jesh, cdf lazima awe ameshika nafasi ya tatu kitaifa. Matio ndo wanaongoza majesh ya magereza, Polis na Zimamoto..
Namba tano ndo huwa inatumiwa kwenye misheni mbalimbali.. Kipndi cha Nyerere majenerali walioshika namba tano ndo walifanikisha msumbiji kupata uhuru kutoka kwa mreno..
Pia kpindi cha Mwinyi, majenerali walioshika namba tano ndo waliofanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa kwa upande wa Rwanda na Burundi..
Namba tano ndo majenerali wanaongoza misheni za kijasusi, hata Sudan ya Kusin na Sierra Leone ndo waliokamilisha misheni zote.. 🙏🏽
Jesh ndo wenye serikal ya Burkina faso, SierraLeone cjui ya nan? 😂
Hata huyo, BILL DUKE ni mtanzania na alifanikiwa kuhamia nchini MAREKANI akiwa ni askari wa JESHI LA MAGEREZA.Matio huwa ni Mapro Government, sababu huwa wanapewa zawadi za magari ya toyota landcruiser na bado wanaenda kuwa majeneral wa kijesh..
View attachment 3556420
Sasa huyo ana bahati sana, ni To na bado darasa la nne alishika nafas ya tatu kitaifa.. 🙏🏽😂
Inbox 📥 umeifunga.. 😂yule mrembo hakua mimi😅
TANZANIA kupitia HAYATI MWALIMU ndiyo waliofanikisha kupatikana kwa uhuru wa MSUMBIJI na tunaambiwa HAYATI MWALIMU ana mkono wake katika SERIKALI YA MSUMBIJI.
Kwahiyo TANO BORA [TOP FIVE] mara nyingi huwa inatumiwa na SERIKALI katika masuala yanayohusu ULINZI NA USALAMA.
Pia huwa siyo salama wala siyo sahihi kuchangamana na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] ~ kama KONGO na KOSOVO.
Sasa hivi wenzenu wamehamia MATAIFA YA MASHARIKI, hasa CHINA na INDIA baada ya matukio ya kijamii kuwa mengi kwa upande wa MATAIFA YA MAGHARIBI.
Kule AFRIKA YA MAGHARIBI ni pagumu sana! Wale wanafanya biashara na wenyeji wa asili wapo katika mataifa yao.
Jaribu kuangalia hiyo video utaona picha za mheshimiwa waziri akiwa kazini! Sijui wametengeneza ili kumchafua.. 😂
😅😅😅😅Inbox 📥 umeifunga.. 😂
mwanaume unatoa wapi nidhamu ya uoga?Ooh mara paap jamaa ametemwa ubunge! Cjui atarudi tena Sierra Leone.. 😂 Ila mie napaogopa sanaa