Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kumbe mnaijua had hii stori? Mambo gan Sasa haya!! Tuishie hapa.. 😂

Hii nchi ina mambo mengi! Halafu tunaambiwa wale waliokuwa CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote walikuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's].. 🤣

51265a28804a5410246d64716af1be4b.jpg

​
Sasa sijui walikuwa wanafikiri kwa kutumia nini? Lakini tunaambiwa WAKOSOVO na WAINGEREZA wana uadui wa kudumu tangu miaka mingi iliyopita.

4f3bf9239a50a2d5e4c497b95e6a41d1.jpg

​
Hivyo siyo vizuri kuwaingilia! Pia tunaambiwa WAKOSOVO ndiyo walioandika vitabu vya WAFILIPI na ZABURI kama vitabu vya dini.

_20230110_080003.JPG

​
Pia tunaambiwa WAINGEREZA ndiyo waasisi wa ile dini yetu pendwa na wana upinzani mkali sana baina yao.

c920bd938b95222c53cbcb2a824aa7d6.jpg

Kwahiyo siyo vizuri kuwaingilia masuala yao, hao wote ni watu weupe!
 
Hii nchi ina mambo mengi! Halafu tunaambiwa wale waliokuwa CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote walikuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's].. 🤣

Sasa sijui walikuwa wanafikiri kwa kutumia nini? Lakini tunaambiwa WAKOSOVO na WAINGEREZA wana uadui wa kudumu tangu miaka mingi iliyopita.

Hivyo siyo vizuri kuwaingilia! Pia tunaambiwa WAKOSOVO ndiyo walioandika vitabu vya WAFILIPI na ZABURI kama vitabu vya dini.

Pia tunaambiwa WAINGEREZA ndiyo waasisi wa ile dini yetu pendwa na wana upinzani mkali sana baina yao.

Kwahiyo siyo vizuri kuwaingilia masuala yao, hao wote ni watu weupe!

Waliandika vitabu vinne kwenye Bible na wateselonike ndo wasidweni.. 😂 Huko ni maji marefu na ni wachaw hatari.. 🙏🏽
 
Mzee ng'wani aliambiwa asizae nao, lakin hakusikia! Akasema eti wamemwambia ni wamoroko.. 😂

Saivi wanagombania urith na bado kidgo wafikishane mahakamani. Hata ile nyumba ya ngokolo wanataka wauze ili wagawane hela.. 😂

Watu wa shireku wengi walikuwa ni Tia maji Tia maji. Akili walikuwa nazo wao wenyewe tu, wengine tulikuwa wajinga.. 🙏🏽
 
Hii nchi ina mambo mengi! Halafu tunaambiwa wale waliokuwa CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote walikuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's].. 🤣

Sasa sijui walikuwa wanafikiri kwa kutumia nini? Lakini tunaambiwa WAKOSOVO na WAINGEREZA wana uadui wa kudumu tangu miaka mingi iliyopita.

Hivyo siyo vizuri kuwaingilia! Pia tunaambiwa WAKOSOVO ndiyo walioandika vitabu vya WAFILIPI na ZABURI kama vitabu vya dini.

Pia tunaambiwa WAINGEREZA ndiyo waasisi wa ile dini yetu pendwa na wana upinzani mkali sana baina yao.

Kwahiyo siyo vizuri kuwaingilia masuala yao, hao wote ni watu weupe!

Lowasa ndo aliwaweza!. Jamaa alikuwa na mtandao had kwa wazungu lakin hakuzaa nao..

Saivi anamiliki majengo yake zaidi ya 40 na Kodi kwa mwezi inapita faida ya kiwanda cha Jambo. Zaidi ya 18 milioni kwa mwez.. 😂

Maisha ni kupanga na kuchagua, wengine walichagua kwenye kufel.. 🙏🏽
 
Majengo hayana KODI wala VAT.. 🙏🏽
 
Pia kuna aliyewahi kuwa CDF anamiliki majengo yake ambayo anapata kodi zaidi ya milioni tano kwa mwezi. It's profitable business..
Waliandika vitabu vinne kwenye Bible na wateselonike ndo wasidweni.. 😂 Huko ni maji marefu na ni wachaw hatari.. 🙏🏽
Hao hawatuhusu na wala siyo vizuri kushabihana nao! Wale viongozi waliopita walifanya makosa makubwa sana.

_20260315_233859.JPG

​
Wenzenu walikuwa wanasoma kwa malengo ya kuingia KUMI [10] BORA ile TOP TEN na wale waliokuwa na uwezo zaidi walikuwa na malengo ya kuingia TANO [TOP FIVE] BORA KITAIFA kwa malengo ya kuja kuwa VIONGOZI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

CamScanner 01-08-2025 15.11.jpg

​
Sasa wengine wanaenda enda tu, ilmradi wamekaguliwa MATAK*NI na baadae wanaanza kulalamika kuhusu vyeo!

8f211ac9cf6180e57fe1003c4b00e3cc(1).jpg

​
MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yameshikiliwa na SE FAIRE VALOIR ambao ni WANAFUNZI KUMI [10] BORA, iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.

Hata mtandao wa kisiasa unakuwa hauna nguvu, sababu hawa WANAFUNZI KUMI [10] BORA wanakuwa wanajielewa na wanafahamu nini wanafanya.

0ea4d0e1d6c72e408f379b3d432e1ed2.jpg

​
ELIMU YA CHUO KIKUU inakuwa siyo kigezo cha kujiunga na MAJESHI YA ULINZI, kigezo kinachotumika huwa ni SE FAIRE VALOIR!

a165477e472b83d1e09b9ab3b34fb3df.jpg

​
Kama siyo SE FAIRE VALOIR, huu uzi inabidi uhusike Ulishawahi kula tunda kimasihara? na muda wa kuhudumu kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa ni miaka mitano [5] tu kwa wale askari ambao siyo SE FAIRE VALOIR.

15ef105323345678349b32865792ce65.jpg

​
Hiyo huwa ni sheria ya UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], lakini TANZANIA huwa wana utaratibu ambao ni mzuri wa kuishia ngao kwa askari ambaye siyo SE FAIRE VALOIR.

Pia kuna mataifa mengine kama KENYA walishawahi kusema kuwa TANZANIA inawadekeza raia wake kwa kulegeza baadhi ya sheria na taratibu zinazotumika na JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

4371f5dcb1874d30e9fc7c6616f36e85.jpg

​
Kwahiyo haya masuala huwa yapo tangu siku nyingi, sema yanafahamika kwa watu wachache na watu wengi wanakuwa hawafahamu kutokana na jamii ya kitanzania kuwa HOSTILE SOCIETY.
 
Jesh ndo wenye serikal ya Burkina faso, SierraLeone cjui ya nan? 😂
Wale viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa wanakosea sana kufanya "OCCUPATION POLITICS" kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

23f7d7f787b9f58de380f0d11eea6b5c.jpg

​
HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuwaweka chini wale wote waliokuwa machifu wa MALAWI ~ wakina CHIFU M'MBELWA wa kanda ya kaskazini! CHIFU MWASE wa kanda ya kati na CHIFU MPONDA wa kanda ya kusini na kufanikisha kupatikana kwa uhuru wa taifa la MALAWI kwa wenyeji wa asili wa NGUDU kutoka MKOA WA MWANZA.

Ina maana tangu MALAWI inapata uhuru kutoka kwa UINGEREZA hadi leo inaongozwa na marais wenye asili ya MKOA WA MWANZA kutoka NGUDU.

d913ad4e70b5e6fdbe1078fe23422a3a.jpg

​
Hata kwa upande wa TAIFA LA ZAMBIA hali ipo hivyo hivyo! Yale mataifa matatu yote ya kusini yalifanikiwa kuwa upande wa TAIFA LA TANZANIA tangu miaka ya sitini [1960's].

c46f97728d00afd903a4d55fed0de3a2(1).jpg

Sasa wenzenu badala ya kuendelea sehemu alipoishia HAYATI MWALIMU, wao wakaenda tofauti hadi kuwa wavamizi [INVADERS] kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

Kwahiyo HAYATI MWALIMU alifanya kazi kubwa, kilicholeta tofauti ni pale kuanzia mwaka 1975!
 
Wale viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa wanakosea sana kufanya "OCCUPATION POLITICS" kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuwaweka chini wale wote waliokuwa machifu wa MALAWI ~ wakina CHIFU M'MBELWA wa kanda ya kaskazini! CHIFU MWASE wa kanda ya kati na CHIFU MPONDA wa kanda ya kusini na kufanikisha kupatikana kwa uhuru wa taifa la MALAWI kwa wenyeji wa asili wa NGUDU kutoka MKOA WA MWANZA.

Ina maana tangu MALAWI inapata uhuru kutoka kwa UINGEREZA hadi leo inaongozwa na marais wenye asili ya MKOA WA MWANZA kutoka NGUDU.

Hata kwa upande wa TAIFA LA ZAMBIA hali ipo hivyo hivyo! Yale mataifa matatu yote ya kusini yalifanikiwa kuwa upande wa TAIFA LA TANZANIA tangu miaka ya sitini [1960's].

Sasa wenzenu badala ya kuendelea sehemu alipoishia HAYATI MWALIMU, wao wakaenda tofauti hadi kuwa wavamizi [INVADERS] kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

Kwahiyo HAYATI MWALIMU alifanya kazi kubwa, kilicholeta tofauti ni pale kuanzia mwaka 1975!

Nyerere alikuwa kichwa! Hao machifu wote walihamia Tanzania na mmoja wao alifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambae baadae alikuja kuwa To na mkuu wa jesh la Zimamoto..

Mwanza yote ilihamiaga Malawi, hasa wilaya za Kwimba na Magu. Kule Malawi, Ngudu ndiyo watawala ni kama ilivyo Nindo kwa upande wa Tanzania na wamesoma sanaa.

Msumbiji ni Nindo ndo inatawala, lakini Zambia ni shinyanga mjini ndo watawala.. 🙏🏽
 
Majengo hayana KODI wala VAT.. 🙏🏽
Hata kufanya services hamna! Ni maintenance basi, tena maintenance yenyewe ni baada ya miaka kupita..

Lakini wakina ng'wani walizaa zaa na wanawake wa kibantu na alifankiwa kupata watoto, mmoja wao ni dc wa wilaya ya mkoa wa Geita..

Tumewaweka wote Geita, mtoto wa kike ni rpc na mtoto wa kiume ni dc. Sasa waanze kugombania na mali za serikal huko.. 😂
 
Wale viongozi wastaafu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa wanakosea sana kufanya "OCCUPATION POLITICS" kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuwaweka chini wale wote waliokuwa machifu wa MALAWI ~ wakina CHIFU M'MBELWA wa kanda ya kaskazini! CHIFU MWASE wa kanda ya kati na CHIFU MPONDA wa kanda ya kusini na kufanikisha kupatikana kwa uhuru wa taifa la MALAWI kwa wenyeji wa asili wa NGUDU kutoka MKOA WA MWANZA.

Ina maana tangu MALAWI inapata uhuru kutoka kwa UINGEREZA hadi leo inaongozwa na marais wenye asili ya MKOA WA MWANZA kutoka NGUDU.

Hata kwa upande wa TAIFA LA ZAMBIA hali ipo hivyo hivyo! Yale mataifa matatu yote ya kusini yalifanikiwa kuwa upande wa TAIFA LA TANZANIA tangu miaka ya sitini [1960's].

Sasa wenzenu badala ya kuendelea sehemu alipoishia HAYATI MWALIMU, wao wakaenda tofauti hadi kuwa wavamizi [INVADERS] kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

Kwahiyo HAYATI MWALIMU alifanya kazi kubwa, kilicholeta tofauti ni pale kuanzia mwaka 1975!

Cku zote mvamiz hana haki mbele ya mwenyeji! Mvamiz atapambana wee, lakin mwisho wa cku mwenyej atashinda.. 🙏🏽
 
_20260317_092242.JPG

Wakitoka huko watahamia CAPE VERDE, MAURITANIA hata JAMAIKA watafika! Lakini kulikuwa hakuna ulazima wa kuhamia kwa wingi katika MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

6c8f78a201de1f8a193c4952bc3085a5.jpg

​
Tunaambiwa hata SENEGAL wameshafika na wanaishi kwa wingi! Lakini kulikuwa hakuna ulazima wa kuhamia huko, sababu kuna mataifa kama MSUMBIJI, MALAWI na ZAMBIA ambayo bado yanahitaji watu ili kuweza kukua kiuchumi.

a00db6a95080dc2d89bc0319412f5a51.jpg

​
Isitoshe MSUMBIJI ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza magari ya HYUNDAI na mdogo mdogo taifa litanyanyuka kiuchumi.

77ff2a596160e96807600a8eab4472d5.jpg

Kwahiyo yale maamuzi ya wale waliokuwa CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote walikuwa wanaenda kinyume na utaratibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na hao ndiyo walioua ile kazi inayotakiwa kufanyika na JESHI LA MAGEREZA na badala yake wakaanza kufanya kazi ambayo ni majukumu ya JESHI LA ULINZI.
 
Msumbiji ni Nindo ndo inatawala, lakini Zambia ni shinyanga mjini ndo watawala.. 🙏🏽
Yes! TANZANIA ilijitahidi kuhodhi yale mataifa matatu ya kusini ambayo ni ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI.

Pia kuna idadi ya WATANZANIA wengi waliohamia ZAMBIA kutokana na sababu ya kwenda kujenga serikali imara ya ZAMBIA na walitoa ahadi kwamba watakuja kurudi TANZANIA, kwani TANZANIA ndiyo nyumbani.

22b9c8fedc374b4eef1ccedcddd91a8a.jpg

Baadae yakaongezeka mataifa ya RWANDA na BURUNDI! Kwahiyo hayo mataifa matano [5] ndiyo kipaumbele hasa cha SERIKALI YA TANZANIA tangu miaka ya sitini [1960's]. Mengine ni yale mataifa yanayopatikana katika BAHARI YA HINDI.
 
Wakitoka huko watahamia CAPE VERDE, MAURITANIA hata JAMAIKA watafika! Lakini kulikuwa hakuna ulazima wa kuhamia kwa wingi katika MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

Tunaambiwa hata SENEGAL wameshafika na wanaishi kwa wingi! Lakini kulikuwa hakuna ulazima wa kuhamia huko, sababu kuna mataifa kama MSUMBIJI, MALAWI na ZAMBIA ambayo bado yanahitaji watu ili kuweza kukua kiuchumi.

Isitoshe MSUMBIJI ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza magari ya HYUNDAI na mdogo mdogo taifa litanyanyuka kiuchumi.

Kwahiyo yale maamuzi ya wale waliokuwa CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote walikuwa wanaenda kinyume na utaratibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na hao ndiyo walioua ile kazi inayotakiwa kufanyika na JESHI LA MAGEREZA na badala yake wakaanza kufanya kazi ambayo ni majukumu ya JESHI LA ULINZI.
Leo ukmchukua afisa magereza hata mwenye cheo cha acp na ukamuuliza kazi ya magereza ni nin katika serikal? Wengi hawajui na watakosa hili swali..

Jesh la Magereza ndo somo la maarifa ya jamii kwa shule ya msingi! Ndo civics kwa o'level na ds kwa a'level! Sasa wakina Nyamka walivyoingia ukuu wa jesh wakavuruga vuruga..

Baadae wakaanza kusema ukishakuwa askari magereza, tayari unakuwa ni mwanajesh.. 😂

Na mafunzo ya jesh la magereza ni zaidi ya jesh la Wananchi na ukishakuwa askari magereza unapewa na magwanda ya kijeshi.. 😂

Jamaa alikuwa anawalisha matango pori na hadi leo ilibaki hivyo, lakini ni majesh ambayo yanajitegemea kila kitu hata wizara ni tofauti..

Kwahiyo kipindi cha wakina Nyamka ndo jesh la magereza lilichukua jukumu la jesh la Wananchi, hata tisi ndo walibeba wao na yale makazi ya makumbusho walijenga magereza. Lakini tisi inatakiwa kujitegemea kabisa..🙏🏽
 
Yes! TANZANIA ilijitahidi kuhodhi yale mataifa matatu ya kusini ambayo ni ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI.

Pia kuna idadi ya WATANZANIA wengi waliohamia ZAMBIA kutokana na sababu ya kwenda kujenga serikali imara ya ZAMBIA na walitoa ahadi kwamba watakuja kurudi TANZANIA, kwani TANZANIA ndiyo nyumbani.

Baadae yakaongezeka mataifa ya RWANDA na BURUNDI! Kwahiyo hayo mataifa matano [5] ndiyo kipaumbele hasa cha SERIKALI YA TANZANIA tangu miaka ya sitini [1960's]. Mengine ni yale mataifa yanayopatikana katika BAHARI YA HINDI.

Sisi hayo tulishawaambia! Hatuwez kwenda kujenga na kuwekeza SierraLeone, wakati Malawi bado inahitaj hela za kukamilisha miradi ya maendeleo..

Burundi wanahitaji reli ya sgr na Hatuwez kujenga lami ya kuunganisha kutoka Liberia had SierraLeone sababu huko sio kwetu.. 😂

Ijapokuwa rais wa kwanza wa SierraLeone alikuwa ni mtanganyika wa kutoka shinyanga mjin maeneo ya lubaga. Bado Ile nchi ni ya wakina Mande na wadinka.. 😂

Hiyo kaz ya kupeleka watanzania hata sehem ambayo hakuna ubaloz ndo ilikuwa kaz ya Nyamka na mwenzie wa Zimamoto.. Walikuwa na maamuzi ya kijinga Utafikir hawakuongoza taifa.. 😂

Hao ndo walitaka kufanya Tanzania kuwa kama kongo, halaf watoto wao wanapeleka nje ya nchi.. 😂
 
Back
Top Bottom