Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Jesh ndo wenye serikal ya Burkina faso, SierraLeone cjui ya nan? 😂
Wenzenu walivyofanikiwa kuchukua SERIKALI YA BURKINA FASO walitakiwa kutoa bajeti na gharama ya kutengeneza barabara kwa kiwango cha lami.

Inakadiriwa kuwa ni kiasi cha zaidi ya trilioni tano za kitanzania [5,000,000,000,000] na wenyeji wa asili wapo kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Hapo ndiyo SARAKASI zikaanza.. 😂

51aa1f59d0ff1d9529f16f7c28ba8add.jpg

Hata kwa upande wa TAIFA LA GABONI, hali ilikuwa ni ile ile! Wale mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI wana tabia ambazo zinafanana.

e53742757d3d342a39e19f215225a72e.jpg

Kwahiyo wenyeji wengi wa AFRIKA YA MASHARIKI wamefanikiwa na kujikita katika mataifa ya KUSINI MWA AFRIKA kama MSUMBIJI, ZAMBIA, MALAWI na ANGOLA.
 
Ooh mara paap jamaa ametemwa ubunge! Cjui atarudi tena Sierra Leone.. 😂 Ila mie napaogopa sanaa

Wenzenu baada ya mwaka 1975, walichokuwa wanafanya ni "OCCUPATION POLITICS" kwa mataifa machanga, sababu pesa ilikuwepo ambayo ilikuwa imepatikana kwa juhudi za HAYATI MWALIMU.

Yaani wao kila baada ya CGP na CGF akichukua ofisi alikuwa anakuja na mwongozo wake wa kufanya "OCCUPATION POLITICS" kwa mataifa machanga na walikuwa hawana muda na "SOCIAL DEVELOPMENT" kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Wenzenu walisambaa hadi TAIFA LA KAMERUNI! Sasa hivi ukiwa KAMERUNI kuna WATANZANIA wapatao laki nne [400,000] na hakuna uwakilishi wa kibalozi.

96db72ca99437063da23e51e418c61e2.jpg

Yaani walikuwa wanafanya na kupeleka mambo kijeshi, bila ya kuzingatia athari za kijamii.

Hawa wote wanaonekana katika video zinazohusu SIERRA LEONE ni WATANZANIA waliofanikiwa kuhama TANZANIA tangu miaka ya sitini [1960's] na sasa hivi ndiyo wamehodhi TAIFA LA SIERRA LEONE.
 
Msumbiji ni pazur na wanaongea kireno! Viongozi wa awam ya kwanza had awam ya tatu wamewekeza Msumbiji, Nyerere huko aliwekeza sana
_20260312_065329.JPG

Ndiyo! MSUMBIJI ni pazuri, lakini baada ya mwaka 1975 wale viongozi wa kijeshi walianza kufanya na kwenda kinyume na HAYATI MWALIMU, kwani HAYATI MWALIMU alifanya kuwekeza katika mataifa yanayotuzunguka.

Lakini wale viongozi wa kijeshi hawakuzingatia jiografia na walienda mbali zaidi hadi mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI na AFRIKA YA KATI.

ca3a8dc190c9480ef21505d050d21a27.jpg

​
Pia kuna stori kuhusu RAIS WA KAMERUNI na aliyewahi kuwa CGP WA MAGEREZA kupitia UBALOZI WA BURUNDI unaopatikana nchini KAMERUNI! Sasa sijui ilikuwa ni ukweli au ilikuwa ni uzushi?
 
Kumbe mnaijua had hii stori? Mambo gan Sasa haya!! Tuishie hapa.. 😂
 
Back
Top Bottom