Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Huo mtandao ulikuwaga unaanzia juu. Lakin necta ya darasa la saba mwaka 2003 ndo ilikuwaga necta..

Wanafunzi walikuwa wanapishana maksi moja moja kwenye kila somo na somo la kingereza ndo lililoamua mwanafunzi bora..

Waalim had wanaingia kusahisha mtihani wa mwisho, bado To hajapatikana..

Saivi hivi vitu havipo! Wanafunzi wafaulu kwa maksi za kawaida tu 🙏🏽
Kipindi hicho ilikuwa imebaki mtihani wa mwisho, somo la KIINGEREZA ~ mwenzenu alikuwa tayari ameshaongoza masomo matatu ya MAARIFA YA JAMII, HISABATI na KISWAHILI.

3360995e85c07924f74def7a3122f4fe.jpg

​
Yaani tayari alikuwa ni MWANAFUNZI KINARA [OP], lakini somo la KIINGEREZA ndiyo lililoamua nani angelikuwa MWANAFUNZI BORA [TO] na alitakiwa kupata alama arobaini na tatu [43/50] katika somo la KIINGEREZA ili awe MWANAFUNZI BORA [TO].. 😂

e4d2243b33d5c5261c33ffe78e35e397.jpg

Baada ya hapo ni kama walichochea kuni! Watu walikuwa wanasoma sana.
 
Baada ya hapo haijawahi kuingia kumi Bora had leo, jesh likiongoza nchi kunakuwa na faida na hasara zake.. 🙏🏽
DSC_0001.JPG

JESHI likiwa limeshika hatamu, hata miundombinu ya ujenzi inakuwa siyo mizuri! Unakuta barabara ya T-JUNCTION au Y-JUNCTION imewekewa lami upande mmoja na upande mwingine kunakuwa hakuna lami.. 😂
 
Kipindi hicho ilikuwa imebaki mtihani wa mwisho, somo la KIINGEREZA ~ mwenzenu alikuwa tayari ameshaongoza masomo matatu ya MAARIFA YA JAMII, HISABATI na KISWAHILI.

Yaani tayari alikuwa ni MWANAFUNZI KINARA [OP], lakini somo la KIINGEREZA ndiyo lililoamua nani angelikuwa MWANAFUNZI BORA [TO] na alitakiwa kupata alama arobaini na tatu [43/50] katika somo la KIINGEREZA ili awe MWANAFUNZI BORA [TO].. 😂

Baada ya hapo ni kama walichochea kuni! Watu walikuwa wanasoma sana.
Mitihani yote iliyofata ilikuwa nafasi ya kwanza tu, had kilimanjaro tulikuwa tunaisikilizia mwanangu.. 🙏🏽
 
JESHI likiwa limeshika hatamu, hata miundombinu ya ujenzi inakuwa siyo mizuri! Unakuta barabara ya T-JUNCTION au Y-JUNCTION imewekewa lami upande mmoja na upande mwingine kunakuwa hakuna lami.. 😂
Na Magorofa huwa yanaanguka kabisaa, huwa hawapo vizuri kwenye maswala ya ujenzi na miundombinu..

Magufuli alijitahid kukaza lakini alimaliza mwendo kabla ya matendo kukamilika.. 🙏🏽
 
Mitihani yote iliyofata ilikuwa nafasi ya kwanza tu, had kilimanjaro tulikuwa tunaisikilizia mwanangu.. 🙏🏽
Sasa wanafunzi wa aina hiyo, huwa siyo sahihi kuwachanganya na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] ili kuzuia MENTAL DISTORTION.

TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA huwa ni JENERALI WA JESHI LA ULINZI na huwa makosa kuwachanganya na watu ambao hawana faida [DISADVANTAGES PEOPLE] kama WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS].

01a7675bd1926c8ab637156249c6e13c.jpg

​
TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA wakishafanikiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA mara nyingi huwa inafanyika "REFRESHMENT" ili kuondoa uraibu na msongo wa mawazo na hii inasaidia kuondoa fikra za kufanya mapinduzi ya kijeshi.

563a9cb4ea7e0a43845c14b487d31436.jpg

​
Kwahiyo utaratibu ndiyo huwa upo hivyo! Sema ukishafanikiwa kupata TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA, pale ndiyo huwa mchakato unaanza na vigezo kuzingatiwa.

4b0406823fc1251eb64e507ec729445a.jpg

Kigezo cha kwanza huwa ni PARENTHOOD [uzazi na malezi]! Kama TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA aliasiliwa katika ukuaji na malezi yake, basi anakuwa amepoteza ile sifa ya kuwa JENERALI WA JESHI. Pia kuna vigezo vingine vingi, lakini kigezo cha kwanza huwa ni PARENTHOOD [uzazi na malezi].
 
Sasa wanafunzi wa aina hiyo, huwa siyo sahihi kuwachanganya na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] ili kuzuia MENTAL DISTORTION.

TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA huwa ni JENERALI WA JESHI LA ULINZI na huwa makosa kuwachanganya na watu ambao hawana faida [DISADVANTAGES PEOPLE] kama WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS].

TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA wakishafanikiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA mara nyingi huwa inafanyika "REFRESHMENT" ili kuondoa uraibu na msongo wa mawazo na hii inasaidia kuondoa fikra za kufanya mapinduzi ya kijeshi.

Kwahiyo utaratibu ndiyo huwa upo hivyo! Sema ukishafanikiwa kupata TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA, pale ndiyo huwa mchakato unaanza na vigezo kuzingatiwa.

Kigezo cha kwanza huwa ni PARENTHOOD [uzazi na malezi]! Kama TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA aliasiliwa katika ukuaji na malezi yake, basi anakuwa amepoteza ile sifa ya kuwa JENERALI WA JESHI. Pia kuna vigezo vingine vingi, lakini kigezo cha kwanza huwa ni PARENTHOOD [uzazi na malezi].

Haya walikuwa hawayajui, ni kukaguliwa mikund tu halaf wanawaza magari na majumba mazuri.. 😂 Saivi ni fundi vyerehani.. 🤣 Nguo ikitatuka tunawapelekea kwa uaminifu mkubwa..
 
84a3d78ca7ff453308e1227c0d905763(1).jpg

​
Walikuwa wanadanganywa na kuambiwa uongo! MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo sehemu ambayo elimu inatumika kwa kiasi kikubwa.
 
Baada ya nyerere kutolewa madarakani mwaka 1975 alienda kukaa na watoto wake huko Ruvuma na 1985 aling'atuka rasmi..

Wale watu walianza kuchezea serikal had leo.. Hao wakina Nyamka na aliyekuwa cgf wa zimamoto ndo chimbuko la wanamtandao..

Ilipofika 1990 kuelekea 1993, cgp Mwanguku akaja na pendekezo la kuwa na serikali nje ya nchi ili kuweza kuendesha serikali kama ilivyokuwa kipindi cha Nyerere..

Ndo ikaja pendekezo la kuwa na serikali ya Rwanda! Mikoba yote ya jesh la magereza ilihamia Rwanda na Tanzania palibaki patupu..

Kwahiyo Rwanda ni iron fist ya Tanzania, ikiwa ni ideas na implementation ya cgp Mwanguku.. 🙏🏽
 
Suzuki ni nani anamiliki? Pajero na Fuso ni gari za uhakika, mapato yake kwa mwaka unaendesha nchi ya Burundi
569ef17ada5b92b1ea833575b78f8ae8.jpg

​
Tunaambiwa ni ANGOLA na kampuni ya kutengeneza magari ya KIA ni GHANA! Kwa jinsi inavyoonekana biashara ya kumiliki viwanda vya kutengeneza magari inalipa sana na mataifa mengi yanapigania kumiliki viwanda vya kutengeneza magari.
 
Kwahiyo Rwanda ni iron fist ya Tanzania, ikiwa ni ideas na implementation ya cgp Mwanguku.. 🙏🏽
ILLUSIONS zipo nyingi! Upande mwingine wanasema ni KENYA na upande mwingine wanasema ni TANZANIA.

f85e05c6fe262e2786e54ba443bf969e.jpg

​
Kwa upande wa TANZANIA wanasema RWANDA ipo chini ya JESHI LA MAGEREZA na chochote kinachofanyika na SERIKALI YA RWANDA ujue ni MAGEREZA ipo nyuma yake!

ce18de198e9e10e1fd97dfa39b7a8c2c.jpg

Halafu wanasema BURUNDI ipo chini ya JESHI LA POLISI na chochote kinachofanyika na serikali ya BURUNDI ujue ni POLISI ipo nyuma yake!

e8fbaadbfd8d139536953ee36e032844.jpg

Kipindi fulani WAKONGOMANI na WAHUTU walitaka kuanzisha kampeni ya kwenda mahakama ya ICC kuhusu kudai RWANDA na BURUNDI, lakini SERIKALI YA RWANDA na BURUNDI ziliwajibu kuwa walifanikiwa kuchukua SERIKALI zao kutoka mikononi mwa WAJALUO waliokuwa wakitawala mataifa hayo.

dcb50e774138bdcfc8b83b7880cc17f2.jpg

​
Tunaambiwa kizazi cha CGP MWANGUKU kipo hata RWANDA na kuna uwezekano mkubwa wa kuja kuongoza TAIFA LA RWANDA!

7e88c4ff659ce4d4996459201e2f859a.jpg

Kwahiyo mambo mengine unayaacha yapite, siyo kila jambo lazima ujue au ushiriki!
 
Mitihani yote iliyofata ilikuwa nafasi ya kwanza tu, had kilimanjaro tulikuwa tunaisikilizia mwanangu.. 🙏🏽
Wenzenu huwa wanaingia jeshini wakifikisha miaka thelathini na tano [35] na wakiwa ni "NATIONAL FLAG BEARERS" kupitia WIZARA YA ELIMU!

IMG-20221008-WA0000.jpeg

Huwa wanaanzia JESHI LA POLISI kupitia ofisi ya OCD au RPC halafu wanasambaa katika majeshi mengine.
 
ILLUSIONS zipo nyingi! Upande mwingine wanasema ni KENYA na upande mwingine wanasema ni TANZANIA.

Kwa upande wa TANZANIA wanasema RWANDA ipo chini ya JESHI LA MAGEREZA na chochote kinachofanyika na SERIKALI YA RWANDA ujue ni MAGEREZA ipo nyuma yake!

Halafu wanasema BURUNDI ipo chini ya JESHI LA POLISI na chochote kinachofanyika na serikali ya BURUNDI ujue ni POLISI ipo nyuma yake!

Kipindi fulani WAKONGOMANI na WAHUTU walitaka kuanzisha kampeni ya kwenda mahakama ya ICC kuhusu kudai RWANDA na BURUNDI, lakini SERIKALI YA RWANDA na BURUNDI ziliwajibu kuwa walifanikiwa kuchukua SERIKALI zao kutoka mikononi mwa WAJALUO waliokuwa wakitawala mataifa hayo.

Kwahiyo mambo mengine unayaacha yapite, siyo kila jambo lazima ujue au ushiriki!
Basi..
 
Wenzenu huwa wanaingia jeshini wakifikisha miaka thelathini na tano [35] na wakiwa ni "NATIONAL FLAG BEARERS" kupitia WIZARA YA ELIMU!

Huwa wanaanzia JESHI LA POLISI kupitia ofisi ya OCD au RPC halafu wanasambaa katika majeshi mengine.
Wenzenu walikuwa hawayajui haya! Walikuwa wanasoma juu juu tu, halaf wanaenda jesh.. 😂 Matio huwa wanaingia ofisi ya rpc halaf wanapitia kwa mwasibu pale, wanachukua mishahara yao then wanapangiwa vituo vya kaz.. 🙏🏽
 
nyau wew😆😆😆😆 hayo macho yanamanisha "seen" ile ulokuwa unaandikiwa na mwalim wako akikagua daftari
Achia mbususu hiyo imegwe..🤰🏽! Hata parenthood ulikuwa hujui , mnakuja kujificha jeshin eti.. 😂 Huyo ndo mjeda sasaa, achana na hao wengine Kajambanani.. 🤣 Cjui Baba Kanituma..
 
ila babu nyau sas mbususu imeingiaje hapa🤣🤣🤣 mi hata sielewi mnaongelea nini, nilikua napita zangu nikajikuta humu ngoja nitoke🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Unatoka unaenda wap? Kuingia bure, kutoka hela.. 😂
 
Back
Top Bottom