Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wakina Mkwawa walihamia Malawi na Wahehe wanataka kuingia kwenye siasa za Malawi, ili kuwa kama wakina Odinga..

Lakin kupata ile nafas ya kukubalika kule inakuwa ni vgumu! Wanataka kutoa wazir mkuu au Makamu wa Rais ili wafanye siasa kama za Kenya..

Kule ikulu ni Ngudu na cjui kama wataweza kutoa wazir mkuu au Makamu wa Rais, maana wanatakiwa kuwa na angalau 50 bilioni walizowekeza Malawi ili kukubalika na serikali ya Malawi.. 🙏🏽

Kwahyo yale mataifa ya zambia, malawi na msumbij yanapenda sanaa watanzania wakafanye siasa kule, sema vigezo na masharti ndo magum.. 🙏🏽
Kule ni pagumu sana kwa watu wengine! MALAWI ni NGUDU kutoka MWANZA na tunaambiwa KENNETH KAUNDA [the late] alizuia WANYAMBO kuingia IKULU na tayari walikuwa wameshafanikiwa kuhamia na kuishi nchini ZAMBIA.

Zile nchi tatu ni WASUKUMA na aliwaambia WANYAMBO kuwa wana asili ya RWANDA - URUNDI, hivyo ni vizuri wakafanye siasa katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Hiyo ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi mkuu wa ZAMBIA ambapo FREDERICK CHILUBA alitangazwa rais kwa muhula wa pili [1996]! Wakina CHIFU INYAMBO YETA walibaki kuwa watazamaji..

61e5d4885a970cdaad2fa2b3708d5035.jpg

​
Hayo mataifa matatu ya kusini ni mazuri sana, hata SOCIAL CONSTRAINTS [VIPINGAMIZI VYA KIJAMII] zipo chini ukilinganisha na mataifa ya kaskazini ambayo ni KENYA, UGANDA na RWANDA.

2e061f0f53fcac3bc32abccc4f0e507c.jpg

ZAMBIA ni SHINYANGA MJINI! Sasa sijajua WAHEHE wakiongozwa na MKWAWA CLAN walipewa jibu gani kwa upande wa TAIFA LA MALAWI.

77e24b657b010323b56feefe95bf2d4c.jpg

​
Kwahiyo yale mataifa matatu ya kusini ambayo ni ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI ni mazuri sana kwa kuishi, kufanya kazi, biashara pamoja na siasa.
 
Kule ni pagumu sana kwa watu wengine! MALAWI ni NGUDU kutoka MWANZA na tunaambiwa KENNETH KAUNDA [the late] alizuia WANYAMBO kuingia IKULU na tayari walikuwa wameshafanikiwa kuhamia na kuishi nchini ZAMBIA.

Zile nchi tatu ni WASUKUMA na aliwaambia WANYAMBO kuwa wana asili ya RWANDA - URUNDI, hivyo ni vizuri wakafanye siasa katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Hiyo ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi mkuu wa ZAMBIA ambapo FREDERICK CHILUBA alitangazwa rais kwa muhula wa pili [1996]! Wakina CHIFU INYAMBO YETA walibaki kuwa watazamaji..

Hayo mataifa matatu ya kusini ni mazuri sana, hata SOCIAL CONSTRAINTS [VIPINGAMIZI VYA KIJAMII] zipo chini ukilinganisha na mataifa ya kaskazini ambayo ni KENYA, UGANDA na RWANDA.

ZAMBIA ni SHINYANGA MJINI! Sasa sijajua WAHEHE wakiongozwa na MKWAWA CLAN walipewa jibu gani kwa upande wa TAIFA LA MALAWI.

Kwahiyo yale mataifa matatu ya kusini ambayo ni ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI ni mazuri sana kwa kuishi, kufanya kazi, biashara pamoja na siasa.

Hata watoto wa nyamka baadhi walhamia zambia, lakin cjui kama vigezo wataweza?

Maana wapo Zaid ya arobain, hata hela aliyoacha mzee wao inakuwa ni kidogo ukilinganisha na familia yao..

Tunaona watoto wengne wanapewa kampuni za kipolis ili kusimama kama wakurungez, lakin kiuhalisia hela hawana saivi! PMM na PM zote ni kampuni za polis..

Wana nyumba za kuishi wao na sio nyumba za kbiashara kama walivyo wengine. Walikuwa wanafanya spending sanaaaaa, saiv wamekua wa kawaida tu hata kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa hawana uwezo.. 😂
 
Nimecheka! Kumbe unajua? Unajua kuzaa sana kuna faida na hasara zake, maana furaha huwa inageuka kuwa kero.

80575b22d06133bb42fb386cda152abc.jpg

​
Hautakiwi kuweka matumaini yote kwa serikali, hata kama ulikuwa umeshika nafasi ya juu serikalini, maana serikali huwa haitabiliki na huwa inabadilika badilika kila baada ya awamu kuisha.

58950fae223489912223de322ce2b8f1.jpg

​
Lakini wenzenu bado wanaendelea kubebwa bebwa katika ofisi na taasisi za kiserikali, kampuni za kiserikali na hata wakiwa nje ya nchi wanakuwa chini ya usimamizi wa ubalozi, ila ipo siku watawekwa kando wote.

Kwahiyo ni vizuri kuwa na kumiliki vitu vyako! Hii ngoma ni ngumu na haitabiliki mazee.. 😂 Sasa hivi tunaambiwa TOYOTA inamilikiwa na TANZANIA kwa asimilia hamsini [50%] na siyo KENYA tena.. 😂

9982203c85d89b85089ee19fc0ef07e1.jpg

​
Sasa kuna baadhi ya familia za kitanzania huwa zinalewa mafanikio ya serikali, huku wakiamini kuwa kila siku wataendelea kupewa upendeleo na kipaumbele cha kwanza kutoka serikalini.

07495733f9fde93882d1c8605af58a0e.jpg

​
Yaani hiyo ndiyo TANZANIA! Kwahiyo changamoto zipo nyingi na maboresho yanatakiwa kufanyika ili kuweza kupiga hatua za kimaendeleo.

1e590e7a3a191616b40ddf7436eef41d.jpg

​
Ipo siku TANZANIA itachukua na kumiliki hisa zote za kampuni ya kutengeneza magari ya TOYOTA.
 
Nimecheka! Kumbe unajua? Unajua kuzaa sana kuna faida na hasara zake, maana furaha huwa inageuka kuwa kero.

Hautakiwi kuweka matumaini yote kwa serikali, hata kama ulikuwa umeshika nafasi ya juu serikalini, maana serikali huwa haitabiliki na huwa inabadilika badilika kila baada ya awamu kuisha.

Lakini wenzenu bado wanaendelea kubebwa bebwa katika ofisi na taasisi za kiserikali, kampuni za kiserikali na hata wakiwa nje ya nchi wanakuwa chini ya usimamizi wa ubalozi, ila ipo siku watawekwa kando wote.

Kwahiyo ni vizuri kuwa na kumiliki vitu vyako! Hii ngoma ni ngumu na haitabiliki mazee.. 😂 Sasa hivi tunaambiwa TOYOTA inamilikiwa na TANZANIA kwa asimilia hamsini [50%] na siyo KENYA tena.. 😂

Sasa kuna baadhi ya familia za kitanzania huwa zinalewa mafanikio ya serikali, huku wakiamini kuwa kila siku wataendelea kupewa upendeleo na kipaumbele cha kwanza kutoka serikalini.

Yaani hiyo ndiyo TANZANIA! Kwahiyo changamoto zipo nyingi na maboresho yanatakiwa kufanyika ili kuweza kupiga hatua za kimaendeleo.

Ipo siku TANZANIA itachukua na kumiliki hisa zote za kampuni ya kutengeneza magari ya TOYOTA.

Hizi picha unazitoa wapi.. 😂
 
Hata watoto wa nyamka baadhi walhamia zambia, lakin cjui kama vigezo wataweza?

Maana wapo Zaid ya arobain, hata hela aliyoacha mzee wao inakuwa ni kidogo ukilinganisha na familia yao..

Tunaona watoto wengne wanapewa kampuni za kipolis ili kusimama kama wakurungez, lakin kiuhalisia hela hawana saivi! PMM na PM zote ni kampuni za polis..

Wana nyumba za kuishi wao na sio nyumba za kbiashara kama walivyo wengine. Walikuwa wanafanya spending sanaaaaa, saiv wamekua wa kawaida tu hata kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa hawana uwezo.. 😂
Kuna siku nilikuwa barabarani, nikakutana na malori yameandikwa PIMP kwa upande wa anuani! Kwa haraka haraka nikajua itakuwa ni kampuni ya 50 CENT kutokana na ile nyimbo ya PIMP..🎶

Kumbe wapi ndugu yangu! TANZANIA ina uchumi wake, lakini sijui hela zinaenda wapi? 😂

f0cf5ac82c2f47aaa2a7e5f03a102eda.jpg

​
Siku TANZANIA ikibadilika, kuna watanzania watakosa nauli ya kutoka huko walipo! Maana wao wanaishi kwa kupitia feva ya serikali.

47e1a1e0bbe38f4e6610294b127ae993.jpg

​
Sasa hawa wenzenu ni vizazi vya wakuu wa majeshi, tena wale waliotingisha taifa kiasi ambacho hata vizazi vijavyo vitakuja kuwakumbuka!

a551768be6fa4f432748dac51839ce0a.jpg

​
Ndiyo maana bado watoto pamoja na wajukuu wao wanaendelea kupata ile feva kutoka serikalini.

4e4cce4b3fe65899ed6224e9e8ea14b2.jpg

​
Wale waliokuwa CGP MSTAAFU pamoja na CGF MSTAAFU, ndiyo walioanza kwenda kinyume na sera za HAYATI MWALIMU na hadi leo ndiyo hali ipo hivyo.

Wanajaribu kuthibitisha kuwa HAYATI MWALIMU hakuwa sahihi na wao ndiyo wapo sahihi kuanzia sera za kiutawala hadi mtindo wa maisha kwa watoto na wajukuu zao.

e4c99be42afd6be8c19e2c25ff0d9646.jpg

​
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na siku TANZANIA ikiamua kufuata zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu, tutashuhudia mambo mengi sana. Maana kuna watu wengi pamoja na familia nyingi zinazotegemea feva kutoka serikalini zitaanguka na hazitakuja kunyanyuka tena!
 
Kuna siku nilikuwa barabarani, nikakutana na malori yameandikwa PIMP kwa upande wa anuani! Kwa haraka haraka nikajua itakuwa ni kampuni ya 50 CENT kutokana na ile nyimbo ya PIMP..🎶

Kumbe wapi ndugu yangu! TANZANIA ina uchumi wake, lakini sijui hela zinaenda wapi? 😂

Siku TANZANIA ikibadilika, kuna watanzania watakosa nauli ya kutoka huko walipo! Maana wao wanaishi kwa kupitia feva ya serikali.

Sasa hawa wenzenu ni vizazi vya wakuu wa majeshi, tena wale waliotingisha taifa kiasi ambacho hata vizazi vijavyo vitakuja kuwakumbuka!

Ndiyo maana bado watoto pamoja na wajukuu wao wanaendelea kupata ile feva kutoka serikalini.

Wale waliokuwa CGP MSTAAFU pamoja na CGF MSTAAFU, ndiyo walioanza kwenda kinyume na sera za HAYATI MWALIMU na hadi leo ndiyo hali ipo hivyo.

Wanajaribu kuthibitisha kuwa HAYATI MWALIMU hakuwa sahihi na wao ndiyo wapo sahihi kuanzia sera za kiutawala hadi mtindo wa maisha kwa watoto na wajukuu zao.

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na siku TANZANIA ikiamua kufuata zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu, tutashuhudia mambo mengi sana. Maana kuna watu wengi pamoja na familia nyingi zinazotegemea feva kutoka serikalini zitaanguka na hazitakuja kunyanyuka tena!

Haya watu walishasema, imebaki kwao kuckia na kutenda.. 🙏🏽 Kipndi kile walikuwa wanapga starehe sanaa.. Mapombe makali makali yale ya bei mbaya walikuwa wanatumia.. Unakuta kwa mwez mtu anatumia laki tano hadi laki sita kwenye pombe tu.. 😂
 
Kule ni pagumu sana kwa watu wengine! MALAWI ni NGUDU kutoka MWANZA na tunaambiwa KENNETH KAUNDA [the late] alizuia WANYAMBO kuingia IKULU na tayari walikuwa wameshafanikiwa kuhamia na kuishi nchini ZAMBIA.

Zile nchi tatu ni WASUKUMA na aliwaambia WANYAMBO kuwa wana asili ya RWANDA - URUNDI, hivyo ni vizuri wakafanye siasa katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Hiyo ilikuwa ni kipindi cha uchaguzi mkuu wa ZAMBIA ambapo FREDERICK CHILUBA alitangazwa rais kwa muhula wa pili [1996]! Wakina CHIFU INYAMBO YETA walibaki kuwa watazamaji..

Hayo mataifa matatu ya kusini ni mazuri sana, hata SOCIAL CONSTRAINTS [VIPINGAMIZI VYA KIJAMII] zipo chini ukilinganisha na mataifa ya kaskazini ambayo ni KENYA, UGANDA na RWANDA.

ZAMBIA ni SHINYANGA MJINI! Sasa sijajua WAHEHE wakiongozwa na MKWAWA CLAN walipewa jibu gani kwa upande wa TAIFA LA MALAWI.

Kwahiyo yale mataifa matatu ya kusini ambayo ni ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI ni mazuri sana kwa kuishi, kufanya kazi, biashara pamoja na siasa.

Zambia ni wajanja sanaaaaa, bado kidogo wafanane na Kenya halaf Malawi msukuma yoyote anaweza kuingia kwenye siasa na akashinda urais..

Bakil Muluzi alikuwa ni msukuma wa Kishapu kutoka bubiki na aliongoza vizur sanaa taifa la Malawi.. 🙏🏽
 
Haya watu walishasema, imebaki kwao kuckia na kutenda.. 🙏🏽 Kipndi kile walikuwa wanapga starehe sanaa.. Mapombe makali makali yale ya bei mbaya walikuwa wanatumia.. Unakuta kwa mwez mtu anatumia laki tano hadi laki sita kwenye pombe tu.. 😂
Unajua "western culture is harmful to african society". Sasa wale wenzenu kwa kujiona wasomi na waliokuwa wamefanikiwa kuongoza taifa kitaaluma kuliko hata HAYATI MWALIMU walijiona ni bora zaidi.

47e3b6632ff22c8c0d6eee6639b96af4.jpg

Wale waliokuwa CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote waliamua kufuata na kuiga utamaduni wa magharibi na kutupilia mbali utamaduni wa mtanzania.

e7a50e1349619f0e7421ca026e8df12d.jpg

Sasa hivi wamekuwa ni watu wa mataifa na wanachokitafuta hata hakijulikani! Walikuwa wanamuiga HAYATI MZEE JOMO, lakini baadae kizazi cha HAYATI MZEE JOMO kilirudi AFRIKA, hasa katika mataifa ya KENYA na TANZANIA.

066aaa97bff313bfc178744b6a96faeb.jpg

Pia kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kuna mawaziri walikuwa wanadharaulika mbele ya wale WASTAAFU, lakini sasa hivi wanamiliki viwanda vyao na walifanikiwa kupata watoto ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's]! Kwa siku za usoni na wao watakuja kuwa CGP-MAGEREZA au CGF-ZIMAMOTO

8853c29eeaeca29b6e7494d36ccfa219.jpg

​
Wenzenu wanakuja mdogomdogo, lakini wapo vizuri kiuchumi ijapokuwa ni kidogo lakini kinawatosha!

454804694d157b260ac2b32616f0dde1.jpg

​
Kwahiyo, asilimia kubwa HAYATI MWALIMU alikuwa sahihi na madhaifu yaliyokuwa yanajitokeza yalikuwa ni changamoto za kiutawala.
 
Unajua "western culture is harmful to african society". Sasa wale wenzenu kwa kujiona wasomi na waliokuwa wamefanikiwa kuongoza taifa kitaaluma kuliko hata HAYATI MWALIMU walijiona ni bora zaidi.

Wale waliokuwa CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote waliamua kufuata na kuiga utamaduni wa magharibi na kutupilia mbali utamaduni wa mtanzania.

Sasa hivi wamekuwa ni watu wa mataifa na wanachokitafuta hata hakijulikani! Walikuwa wanamuiga HAYATI MZEE JOMO, lakini baadae kizazi cha HAYATI MZEE JOMO kilirudi AFRIKA, hasa katika mataifa ya KENYA na TANZANIA.

Pia kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kuna mawaziri walikuwa wanadharaulika mbele ya wale WASTAAFU, lakini sasa hivi wanamiliki viwanda vyao na walifanikiwa kupata watoto ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's]! Kwa siku za usoni na wao watakuja kuwa CGP-MAGEREZA au CGF-ZIMAMOTO

View attachment 3561884
​
Wenzenu wanakuja mdogomdogo, lakini wapo vizuri kiuchumi ijapokuwa ni kidogo lakini kinawatosha!

Kwahiyo, asilimia kubwa HAYATI MWALIMU alikuwa sahihi na madhaifu yaliyokuwa yanajitokeza yalikuwa ni changamoto za kiutawala.
Ndo watu wanafanya hivyo! Ila hao Bado kdogo wataanza kucheza muv za porno, maana watoto na wajukuu wapo wengi na hela haiwatosh..

Wamekuwa wajanja wajanja tu na wanapiga mishe za utapel. Udalali mwingi na Wanajaribu kupata mali kwa njia ya udanganyifu wakisaidiana na Wakosovo..

Saivi wanabebwa na kampuni za kijesh, lakin wakiachwa pekee yao inakuwa hamna kitu kabsaa.. 🙏🏽
 
Ukiachana na wakina kenyata, Marais wa msumbij, malawi na zambia watoto wao tunao hum hum kwenye majesh na wengine ni wanamichezo..

Bernard Morrison wa Yanga ni mtoto wa Samora Machel na wengne wapo wengi ni wanamichezo kwenye mataifa ya kiafrika.. 🙏🏽
 
Hayo siyo mazuri kujadili mitandaoni, ni masuala binafsi! Lakini wale CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote walikuwa vizuri kiuchumi, labda hayo masuala madogo madogo yaanze kwa wajukuu na vitukuu vyao.

Sasa hivi habari ya mjini imehamia kusini kwenye yale mataifa matatu ya ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI. Pazuri sana!
 
4e4ea2b8967db7736f0964bc34e1b57e.jpg

​
Ingelikuwa ni TANZANIA au MSUMBIJI angeliweza kucheza timu za taifa, lakini GHANA ni pagumu sana.

Vipaji vipo vingi na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya GHANA ina vikosi vitatu vya timu ya taifa. Pia watashiriki KOMBE LA DUNIA kwa msimu unaofuata.
Bernard Morrison wa Yanga ni mtoto wa Samora Machel na wengne wapo wengi ni wanamichezo kwenye mataifa ya kiafrika.. 🙏🏽
946b694c928acc9630c77815fb3ac5a4.jpg

​
Watoto wa viongozi wa serikali pamoja na wanasiasa wapo wengi wanaoshiriki katika michezo.
 
Hayo siyo mazuri kujadili mitandaoni, ni masuala binafsi! Lakini wale CGP MSTAAFU na CGF MSTAAFU wote walikuwa vizuri kiuchumi, labda hayo masuala madogo madogo yaanze kwa wajukuu na vitukuu vyao.

Sasa hivi habari ya mjini imehamia kusini kwenye yale mataifa matatu ya ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI. Pazuri sana!

Saivi Hela hamna kwa wote.. 😂 Ngoja tusimamie sheria law.. 🙏🏽
 
Ingelikuwa ni TANZANIA au MSUMBIJI angeliweza kucheza timu za taifa, lakini GHANA ni pagumu sana.

Vipaji vipo vingi na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya GHANA ina vikosi vitatu vya timu ya taifa. Pia watashiriki KOMBE LA DUNIA kwa msimu unaofuata.

Watoto wa viongozi wa serikali pamoja na wanasiasa wapo wengi wanaoshiriki katika michezo.

Uraisi ni taasisi, hao wengne sio maraisi walkuwa ni wakuu wa majesh
 
Saivi Hela hamna kwa wote.. 😂 Ngoja tusimamie sheria law.. 🙏🏽
Wenzenu waliomba kupewa usimamizi wa kampuni ya kutengeneza mafuta ya kupikia ya KORIE, sijui iliishia wapi?

Yaani imekuwa ni kama WAHUTU au WAKONGOMANI kipindi cha utawala wao katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

d8dad8217f89be38037ce7a478d6a73e.jpg

Lakini kuna watanzania wakiwemo viongozi wa kijeshi pamoja na raia ambao walifanikiwa kuyaona haya masuala tangu siku nyingi na waliamua kujipanga, kwa sababu tunaambiwa hakuna mtu atakeyekuja kuwa na akili kuliko taasisi ya kiserikali.

Hata wao waliofanikiwa kuongoza taifa kitaaluma na kuwa wakuu wa majeshi bado hatima yao imeshikiliwa na serikali.

c1014e2a3c73a9b6e72969f3d21e27f5.jpg

Kwahiyo ni kitendo cha kulala na kuamka, serikali wakiamua kumaliza mchezo ndiyo inakuwa imeisha.
 
Saivi Hela hamna kwa wote.. 😂 Ngoja tusimamie sheria law.. 🙏🏽
IMG_20260324_111249_360.jpg

​
Wale wakina MKWAWA CLAN pamoja na viongozi wengine wa kitaifa bado wapo! Wengine wapo MALAWI kwa malengo ya kisiasa, ili kufanikisha adhma ya kuwa kama ODINGA CLAN.. 😂
 
Uraisi ni taasisi, hao wengne sio maraisi walkuwa ni wakuu wa majesh
Unajua hao viongozi wa kitaifa walifanikiwa kuzaa watoto wengi hadi kuanzisha na koo nyingine ambazo zimeenea katika mataifa mbalimbali ya kiafrika.

Pia huwa wanafanya "OCCUPATION AND ACQUISITION POLITICS" kwa mataifa machanga kutokana na kumiliki uchumi mkubwa.

Kwahiyo siyo watu wa mchezo mchezo, ijapokuwa kuna viongozi wengine wa kitaifa walifanikiwa kuanzisha mataifa machanga kama SUDANI YA KUSINI.

e01fb1da4b57bec2f29c4f14f14157f2.jpg

​
SUDANI YA KUSINI ilianzishwa na wanasiasa mashuhuri kutoka KENYA na wanaendelea kufanya vizuri hadi leo.
 
Wenzenu waliomba kupewa usimamizi wa kampuni ya kutengeneza mafuta ya kupikia ya KORIE, sijui iliishia wapi?

Yaani imekuwa ni kama WAHUTU au WAKONGOMANI kipindi cha utawala wao katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Lakini kuna watanzania wakiwemo viongozi wa kijeshi pamoja na raia ambao walifanikiwa kuyaona haya masuala tangu siku nyingi na waliamua kujipanga, kwa sababu tunaambiwa hakuna mtu atakeyekuja kuwa na akili kuliko taasisi ya kiserikali.

Hata wao waliofanikiwa kuongoza taifa kitaaluma na kuwa wakuu wa majeshi bado hatima yao imeshikiliwa na serikali.

Kwahiyo ni kitendo cha kulala na kuamka, serikali wakiamua kumaliza mchezo ndiyo inakuwa imeisha.

Hao Wastaafu walipiga hela nyingi sanaa na walifanyiwa mchezo wa Utamu wa Mua kuangusha Meli. Saivi wana watoto wengi Zaid ya 40 na hawana kitu, hata kiwanda cha kutengeneza maj ya kopo hawana uwezo wa kufunga..

Serikal imewabeba na cku ikiwaachia wanadondoka chin wote.. 🙏🏽
 
Unajua hao viongozi wa kitaifa walifanikiwa kuzaa watoto wengi hadi kuanzisha na koo nyingine ambazo zimeenea katika mataifa mbalimbali ya kiafrika.

Pia huwa wanafanya "OCCUPATION AND ACQUISITION POLITICS" kwa mataifa machanga kutokana na kumiliki uchumi mkubwa.

Kwahiyo siyo watu wa mchezo mchezo, ijapokuwa kuna viongozi wengine wa kitaifa walifanikiwa kuanzisha mataifa machanga kama SUDANI YA KUSINI.

SUDANI YA KUSINI ilianzishwa na wanasiasa mashuhuri kutoka KENYA na wanaendelea kufanya vizuri hadi leo.

Odinga ndo wenye Sudani ya Kusin, saivi amerud shinyanga vijijini
 
Hao watu siyo wa mchezo mchezo! Tunaambiwa hata RAIS WA KWANZA WA BURKINA FASO alikuwa ni MTANGANYIKA.

MAURICE YAMEOGO [the late] alikuwa ni MTANGANYIKA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA na alisoma shule ya msingi [sehemu inayopatikana shule ya azimio] inayopatikana SHINYANGA MJINI na aliongoza BURKINA FASO kutoka 1960-1966 na baadhi ya vizazi vyake vipo TANZANIA.

d705310e3f04903b69a8e9a6a930ab0c.jpg

BURKINA FASO imekuwa ikitawaliwa na MARAIS wa kutoka katika mataifa ya KONGO na iliyokuwa TANGANYIKA [sasa hivi ni TANZANIA].

5b147410dd7a4046aa7cfc8f0cc12766.jpg

​
Baada ya YAMEOGO alifuata SANGOULE [1966/80] ambaye alikuwa ni MKONGOMANI na baadae alifuata KANALI SAYE ZERBO [1980/82] ambaye alikuwa ni MLAIBERIA na RAIS aliyefuata alikuwa ni MTANGANYIKA ambaye alikuwa anaitwa JEAN BAPTISTE [1982/83] mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na alifanikiwa kujenga kanisa la kipentekoste linaloitwa BAPTIST linalopatikana katika wilaya ya SHINYANGA MJINI.

Baada ya hapo BURKINA FASO iliongozwa na WAKONGOMANI, hadi pale kizazi cha HAYATI MZEE kilipoingia na kutawala BURKINA FASO.
 
Back
Top Bottom