Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wenzenu waliomba kupewa usimamizi wa kampuni ya kutengeneza mafuta ya kupikia ya KORIE, sijui iliishia wapi?

Yaani imekuwa ni kama WAHUTU au WAKONGOMANI kipindi cha utawala wao katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Lakini kuna watanzania wakiwemo viongozi wa kijeshi pamoja na raia ambao walifanikiwa kuyaona haya masuala tangu siku nyingi na waliamua kujipanga, kwa sababu tunaambiwa hakuna mtu atakeyekuja kuwa na akili kuliko taasisi ya kiserikali.

Hata wao waliofanikiwa kuongoza taifa kitaaluma na kuwa wakuu wa majeshi bado hatima yao imeshikiliwa na serikali.

Kwahiyo ni kitendo cha kulala na kuamka, serikali wakiamua kumaliza mchezo ndiyo inakuwa imeisha.

Waliambiwaga hayo, kuwa hakuna mtu mwenye akili kuliko taasisi ya kiserikali..

Ilifikia hatua hata mwanamke akitaka kupata kaz serikalin anapitia kwao kwanza, walikuwa wanawapa mimba halaf wanaajiriwa serikalin..

Wakajikuta wana watoto wengi! Ndo huo Msemo wa Utamu wa mua kuangusha Meli ulipoanzia..

Watoto wengi na matumizi ya nyumbani yakawa makubwa na wakajikuta hawafanyi maendeleo zaid ya kuwaza wanawake na watoto..

Baadae kitengo wakaja na msemo unaosema Meli inaelea, lakini Shilingi inazama! Wakiwa na maana ya kuwa wao watabak, lakin pesa zitawaishia.

Ndo hayo mnayoona saivi, watoto na wajukuu wamegeuka kuwa Wapiga madili ya kitapel, udalali na kujipatia mali kwa njia za udanganyifu.. 🙏🏽
 
Hao watu siyo wa mchezo mchezo! Tunaambiwa hata RAIS WA KWANZA WA BURKINA FASO alikuwa ni MTANGANYIKA.

MAURICE YAMEOGO [the late] alikuwa ni MTANGANYIKA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA na alisoma shule ya msingi [sehemu inayopatikana shule ya azimio] inayopatikana SHINYANGA MJINI na aliongoza BURKINA FASO kutoka 1960-1966 na baadhi ya vizazi vyake vipo TANZANIA.

BURKINA FASO imekuwa ikitawaliwa na MARAIS wa kutoka katika mataifa ya KONGO na iliyokuwa TANGANYIKA [sasa hivi ni TANZANIA].

Baada ya YAMEOGO alifuata SANGOULE [1966/80] ambaye alikuwa ni MKONGOMANI na baadae alifuata KANALI SAYE ZERBO [1980/82] ambaye alikuwa ni MLAIBERIA na RAIS aliyefuata alikuwa ni MTANGANYIKA ambaye alikuwa anaitwa JEAN BAPTISTE [1982/83] mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na alifanikiwa kujenga kanisa la kipentekoste linaloitwa BAPTIST linalopatikana katika wilaya ya SHINYANGA MJINI.

Baada ya hapo BURKINA FASO iliongozwa na WAKONGOMANI, hadi pale kizazi cha HAYATI MZEE kilipoingia na kutawala BURKINA FASO.

Hata rais wa kwanza wa SierraLeone amesoma shule ya azimio
 
Wale wakina MKWAWA CLAN pamoja na viongozi wengine wa kitaifa bado wapo! Wengine wapo MALAWI kwa malengo ya kisiasa, ili kufanikisha adhma ya kuwa kama ODINGA CLAN.. 😂
Hawa wapo vizuri na wanamiliki majengo yao pale kariakoo, lakin wale wastaafu wa jesh kama hawakuwa matio..

Kwan walileta tabia ya kutemea mate vyakula wakati wa mapish huko jeshin..

Wakati mwingine unakuta mpish anajifuta jasho kwenye sufuria la kusongea ugal au wali..

Au unakuta anaonja chakula, halaf anarudishia humo humo! Ni uchafu na kichwan unakuta hawapo sawa, wanakuwa kama walevi wa pombe..

Hao ndo walileta ile tabia ya kuweka mafuta ya taa kwenye vyakula ili kupunguza nyege..

Hiyo tabia walitoa Kosovo ili kuwapumbaza askari na ilifikia sehem wanajesh walikuwa hawali chakula makambin.. 😂
 
Hawa wapo vizuri na wanamiliki majengo yao pale kariakoo, lakin wale wastaafu wa jesh kama hawakuwa matio..

Kwan walileta tabia ya kutemea mate vyakula wakati wa mapish huko jeshin..

Wakati mwingine unakuta mpish anajifuta jasho kwenye sufuria la kusongea ugal au wali..

Hao ndo walileta ile tabia ya kuweka mafuta ya taa kwenye vyakula ili kupunguza nyege..

Hiyo tabia walitoa Kosovo ili kuwapumbaza askari na ilifikia sehem wanajesh walikuwa hawali chakula makambin.. 😂
Inabidi wafunge CCTV CAMERA hadi jikoni.. 😂
 
Odinga ndo wenye Sudani ya Kusin, saivi amerud shinyanga vijijini

Hawa wenzenu malengo yao yalitimia na muda sahihi wa kurudi NINDO, SHINYANGA VIJIJINI waweze kuendelea na SIASA ZA TANZANIA.

290ded2ac66ed17092bf00f217287b43.jpg

Tena alikuwa anasema kizazi chake siyo shida kushika nafasi ya tano kitaifa kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI, anaweza kutoa hata MWANAFUNZI BORA [TO's] na kutoa mkuu wa jeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Hawa walifanikiwa kufahamu tangu siku nyingi, kuwa "western culture is harmful to african society" na wengi wanaishi katika mataifa ya KUSINI MWA AFRIKA, hata AFRIKA YA MAGHARIBI hawapo kwani kule hawana tofauti na WAKONGO.

a2ad9d6da6881c0edc8bea48dc439cc3.jpg

Lakini wamejitahidi kuwekeza katika kila sehemu ambayo ilikuwa ni fursa kwao, wanamiliki viwanda hata katika TAIFA LA IRANI kama viwanda vya kutengeneza maji ya kunywa pamoja na mafuta ya kupikia vyakula.

c6e6ed2bb2623bb8d4b79ba96e6beeb4.jpg

​
Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, hawana ile "personal affairs" na watu wa mataifa zaidi ya kuwa na mafungamano ya kibiashara tu.
 
Hawa wenzenu malengo yao yalitimia na muda sahihi wa kurudi NINDO, SHINYANGA VIJIJINI waweze kuendelea na SIASA ZA TANZANIA.

Tena alikuwa anasema kizazi chake siyo shida kushika nafasi ya tano kitaifa kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI, anaweza kutoa hata MWANAFUNZI BORA [TO's] na kutoa mkuu wa jeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Hawa walifanikiwa kufahamu tangu siku nyingi, kuwa "western culture is harmful to african society" na wengi wanaishi katika mataifa ya KUSINI MWA AFRIKA, hata AFRIKA YA MAGHARIBI hawapo kwani kule hawana tofauti na WAKONGO.

Lakini wamejitahidi kuwekeza katika kila sehemu ambayo ilikuwa ni fursa kwao, wanamiliki viwanda hata katika TAIFA LA IRANI kama viwanda vya kutengeneza maji ya kunywa pamoja na mafuta ya kupikia vyakula.

Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, hawana ile "perfonal affairs" na watu wa mataifa zaidi ya kuwa na mafungamano ya kibiashara tu.

Afrika magharib watu wanaenda kwa ajil ya kufanya biashara na kucheza mpira tu..

Saiv ukiwa na milioni 40 unacheza mpira katika timu ya taifa ya Mali. Wao hawana shida kabisaa na suala la uraia..

Bob Makan ana watoto 3 kwenye timu ya taifa ya Senegal na walichukua ubingwa wa afcon..Halaf wote ni mabek

Wanawake wao ni wazuri sanaa, lakin sio wazuri kwenye ndoa! SierraLeone na BurknaFaso ndo wanaongoza kuwa na wanawake wazuri..

Wasierraleone wapo weng Tanzania had wamefungua ubaloz, zamani walikuwa wanatumia baloz wa Ghana, Naijeria na Kongo na wamebakia waburkinafaso na wamali. .

Mataifa mazuri ya kujenga Royal family ni Kusin mwa Afrika, kuanzia Malawi, Zambia, Msumbiji hadi afrika ya Kusin. Halaf baadae wajukuu wanarud Tanzania.. 😂
 
Wale watu ni wajinga sanaaa, saivi wataelewa somo 😂
7f2040ba56f056665806608c41ee4b77.jpg

​
Baadae hata hawa vizazi vya wakuu wa majeshi watakuja kuelewa kuwa, huko walipo katika mataifa ya magharibi wanapoteza muda!

cbc7b4b2c96d05a6b1eecfc4a9ef08da.jpg

​
Kweli, "western culture is harmful to african society" na viongozi wengi wa kitaifa pamoja na wakuu wa majeshi wanaishi kusini mwa afrika, huko kwingine wanafanya kuwekeza mitaji ya kibiashara tu.

45533c7dd542dc971aa12b2aaa9580b6.jpg

Mwisho wa siku "principles never change" na itaendelea kubaki kama ilivyo.
 
Mataifa mazuri ya kujenga Royal family ni Kusin mwa Afrika, kuanzia Malawi, Zambia, Msumbiji hadi afrika ya Kusin. Halaf baadae wajukuu wanarud Tanzania.. 😂
46a41f670013f46ea1484f464b22093d.jpg

​
Tunaambiwa hata ORLANDO PIRATES ni ZAMBIA, inamilikiwa na familia yenye ushawishi wa kisiasa na kibiashara pale ZAMBIA!

Sema na wao wanataka kufanana na KENYA katika kuitumia TANZANIA kukamilisha masuala yao.

09b588dd9986a229cbb23844ff5357ed.jpg

​
Hawa ni ZAMBIA, tena ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wanajiita "AN ANGRY LION" ikiwa na maana halisi ya SIMBA MWENYE NJAA.

6c7ad1a6790b90f717f829dc6b21d365.jpg

​
Kwahiyo wapo vizuri sana katika masuala yanayohusu jamii na wametulia. Hawana shida.. 😂
 
Tunaambiwa hata ORLANDO PIRATES ni ZAMBIA, inamilikiwa na familia yenye ushawishi wa kisiasa na kibiashara pale ZAMBIA!

Sema na wao wanataka kufanana na KENYA katika kuitumia TANZANIA kukamilisha masuala yao.

Hawa ni ZAMBIA, tena ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wanajiita "AN ANGRY LION" ikiwa na maana halisi ya SIMBA MWENYE NJAA.

Kwahiyo wapo vizuri sana katika masuala yanayohusu jamii na wametulia. Hawana shida.. 😂
Kaizerchiefs ndo Tanzania! Zambia waliambiwa kama wangeweka kikosi cha Orlando Pirates wangefka robo fainali michuano ya afcon iliyopita..

Wakina Kaunda ndo wenye shirika la umeme la zanaco na walinunua kwa kutumia mgongo wa Kenya..

Hao ndo wamiliki wa kiwanda cha kutengeneza lime knachoitwa neelkanti kinachopatikana Tanga, Tanzania..

Uraisi ni taasisi, haiwezekani kulinganisha na nafas za wakuu wa majesh! Wale wastaafu wa majesh wamechemsha.. 🙏🏽
 
Tunaambiwa hata ORLANDO PIRATES ni ZAMBIA, inamilikiwa na familia yenye ushawishi wa kisiasa na kibiashara pale ZAMBIA!

Sema na wao wanataka kufanana na KENYA katika kuitumia TANZANIA kukamilisha masuala yao.

Hawa ni ZAMBIA, tena ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wanajiita "AN ANGRY LION" ikiwa na maana halisi ya SIMBA MWENYE NJAA.

Kwahiyo wapo vizuri sana katika masuala yanayohusu jamii na wametulia. Hawana shida.. 😂
Zambia ndo wenye SierraLeone! Hao wakina kaunda wana hela kuliko wakina kenyata na ndo wamiliki wa kampuni ya Samsung..

Sema na wenyewe wanafanya michezo kama ya Kenya ya kuitumia Tanzania katka mambo yao..

Watoto wao weng wapo shinyanga mjini, maeneo ya kizumbi. Shinyanga imejaa watoto wa viongoz.. 🙏🏽
 
Hata watoto wa nyamka baadhi walhamia zambia, lakin cjui kama vigezo wataweza?

Maana wapo Zaid ya arobain, hata hela aliyoacha mzee wao inakuwa ni kidogo ukilinganisha na familia yao..

Tunaona watoto wengne wanapewa kampuni za kipolis ili kusimama kama wakurungez, lakin kiuhalisia hela hawana saivi! PMM na PM zote ni kampuni za polis..

Wana nyumba za kuishi wao na sio nyumba za kbiashara kama walivyo wengine. Walikuwa wanafanya spending sanaaaaa, saiv wamekua wa kawaida tu hata kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa hawana uwezo.. 😂
Hao PMM wanamiliki kiwanda cha kutengeneza matairi ya magari yanayotumika kwenye malori na mabasi.

Wapo vizuri sana na kwa mujibu wa SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], JESHI LA POLISI ndiyo linalohusika na teuzi ya UWAZIRI UKUU kutokana na kazi ya UWAZIRI UKUU kuwa ni kiongozi wa shughuli za kiserikali ndani ya bunge.

766b012c891c38ec281f2b8a976eca65.jpg

Kwahiyo nafasi ya UWAZIRI UKUU inakuwa chini ya JESHI LA POLISI kutokana na JESHI LA POLISI kusimamia utumishi wa umma.
 
Zambia ndo wenye SierraLeone! Hao wakina kaunda wana hela kuliko wakina kenyata na ndo wamiliki wa kampuni ya Samsung..

Sema na wenyewe wanafanya michezo kama ya Kenya ya kuitumia Tanzania katka mambo yao..

Watoto wao weng wapo shinyanga mjini, maeneo ya kizumbi. Shinyanga imejaa watoto wa viongoz.. 🙏🏽
e97b0586d23fd2af086d207b3e1cf2e6.jpg

​
Hao ndiyo ZAMBIA - MALAWI tangu miaka ya sitini [1960's] na haiwezi kuja kutengana wala kutofautiana. Baadae kwenye miaka ya sabini [1970's] ndiyo ikaja KENYA - UGANDA ikiwa chini ya HAYATI MZEE JOMO.
 
Hao PMM wanamiliki kiwanda cha kutengeneza matairi ya magari yanayotumika kwenye malori na mabasi.

Wapo vizuri sana na kwa mujibu wa SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], JESHI LA POLISI ndiyo linalohusika na teuzi ya UWAZIRI UKUU kutokana na kazi ya UWAZIRI UKUU kuwa ni kiongozi wa shughuli za kiserikali ndani ya bunge.

Kwahiyo nafasi ya UWAZIRI UKUU inakuwa chini ya JESHI LA POLISI kutokana na JESHI LA POLISI kusimamia utumishi wa umma.

Haya wanayajua! Ambaye hajui labda ni mtoto mdogo
 
Hao ndiyo ZAMBIA - MALAWI tangu miaka ya sitini [1960's] na haiwezi kuja kutengana wala kutofautiana. Baadae kwenye miaka ya sabini [1970's] ndiyo ikaja KENYA - UGANDA ikiwa chini ya HAYATI MZEE JOMO.
Kaunda ndo alikuja kumchukua Kamuzu Banda pale ngudu, mwanza na kumpeleka had Zambia kwa nauli yake mwenyewe..

Kaunda alisoma jomu na Jomo Kenyata alisoma town, shule jirani hapo Shinyanga mjini.. 🙏🏽
 
Hao ni watawala na wametulia, ukiona watoto wao utashangaa! Hawana mambo mengi, very calm and humble..

Hata yule Oliva Tambo ni mtanganyika na alisoma azimio, kabla ya kuhamia Sauzi..

Mda mwingi Watoto wao huwa wanakuepo kizumbi na Kagame alisoma hapo hapo Shinyanga mjini! Ila Kagame alikuwa anatoka Bukene..

Sasa hao wastaafu Ushamba uliwajaa, Watoto 40 hata hela ya kufunga kiwanda cha maji hakuna..

Kila kitu wanategemea serikal iwasaidie! Shule ya mapinduzi wanashindwa kulea, hata rangi wanapaka nusunusu na madarasa mengine hayana milango..

Ndo hayo! Mbio za sakafuni huishia ukingoni, Watoto ukijumlisha na wajukuu wanafka Zaid ya 100 halaf hawana hela.. Ni makosa makubwa kujifananisha na Watawala.. 🙏🏽
 
Pia tunaambiwa kulikuwa kuna msemo maarufu kipindi cha miaka ya tisini [1990's] uliokuwa ukisema "chuna buzi" na wale wanawake waliokuwa wanaletewa ili kuzaa nao walikuwa wanawachuna kweli kweli.!

28e58cf3709843eb9d45b16ea6bd84e1.jpg

Ilikuwa mtoto akiumwa kidogo tu, anakimbizwa hospitalini na taxi ya kukodi! Kipindi hicho kulikuwa hakuna bodaboda na DCM walikuwa hawatumii! Ilikuwa ni mwendo wa taxi tu..🙏🏽
 
Kaunda ndo alikuja kumchukua Kamuzu Banda pale ngudu, mwanza na kumpeleka had Zambia kwa nauli yake mwenyewe..

Kaunda alisoma jomu na Jomo Kenyata alisoma town, shule jirani hapo Shinyanga mjini.. 🙏🏽
6b02f2685b028fa211d9ddd789dbb950.jpg

Hao watu walipambana enzi za ujana wao katika kutafuta na kupigania uhuru na walifanikiwa. Kwahiyo acha vizazi vyao vile matunda ya watangulizi wao.
 
Pia tunaambiwa kulikuwa kuna msemo maarufu kipindi cha miaka ya tisini [1990's] uliokuwa ukisema "chuna buzi" na wale wanawake waliokuwa wanaletewa ili kuzaa nao walikuwa wanawachuna kweli kweli.!

Ilikuwa mtoto akiumwa kidogo tu, anakimbizwa hospitalini na taxi ya kukodi! Kipindi hicho kulikuwa hakuna bodaboda na DCM walikuwa hawatumii! Ilikuwa ni mwendo wa taxi tu..🙏🏽
Saivi watajitutumua had wataachia ushuz. Kila sehem kuna kipengele.. 😂
 
Back
Top Bottom