Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Haya wanayajua! Ambaye hajui labda ni mtoto mdogo
Wenzenu waliyoyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, walijikita katika elimu ya msingi na elimu ya sekondari.
Haya wanayajua! Ambaye hajui labda ni mtoto mdogo
Inashauriwa mwanafunzi akishafankiwa kuingia top ten anatakiwa aanze kujijenga yeye mwenyewe bila ya kutegemea watu wengine wenye umaarufu wa kisiasa, kibiashara, kimechezo na hata kijesh..
Wenzenu waliyoyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, walijikita katika elimu ya msingi na elimu ya sekondari.
Ikiwa mwanafunzi amefanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, anatakiwa kubadilisha hata mtindo wa maisha yake, sababu anakuwa tayari na sifa ya kuanzia cheo cha LUTENI KANALI WA JESHI LA ULINZI au SSP, ACP, SACP, CP hata CGP, IGP na CGF kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], ilishawahi kutoa mwanafunzi bora ambaye alifanikiwa kuwa na cheo cha SSP kwa upande wa JESHI LA POLISI baada ya kufanikiwa kuwa MWANAFUNZI BORA kwa mara mbili na zawadi huwa wanapewa.
Pia mwaka 2010, BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] lilifanikiwa kutoa MWANAFUNZI BORA ambaye alifanikiwa kuwa SACP na siyo ACP kwa upande wa JESHI LA POLISI baada ya kufanikiwa kuwa MWANAFUNZI BORA kwa mara nne.
Kuanzia DARASA LA SABA [2003], KIDATO CHA PILI [2005], KIDATO CHA NNE [2007] na KIDATO CHA SITA [2010].
Bila ya kusahau PhD ya heshima huwa wanapewa na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], baada ya mwanafunzi kufanikiwa kuongoza kitaifa kwa zaidi ya mara tatu.
Huyo mwanafunzi bora kwa mara nne ndiyo aliyezua gumzo baada ya kufanikiwa kuwa na zawadi nne ~ ikiwa ni nyumba mbili zilizopo maeneo ya OYSTERBAY pamoja na magari mawili aina ya TOYOTA LANDCRUISER.
Kwahiyo wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na viongozi pamoja na maafisa waandamizi wa kijeshi ndiyo huwa wanapatikana kupitia WIZARA YA ELIMU [MoET].
Hiyo ndiyo elimu ya msingi na elimu ya sekondari iliyokuwa imeasisiwa tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].
Wale wastaafu wa majeshi wapo vizuri na wamekamilika kila sehemu, walichokosa ni fedha za kutosha!Saivi watajitutumua had wataachia ushuz. Kila sehem kuna kipengele.. 😂
Inashauriwa mwanafunzi akishafankiwa kuingia top ten anatakiwa aanze kujijenga yeye mwenyewe bila ya kutegemea watu wengine wenye umaarufu wa kisiasa, kibiashara, kimechezo na hata kijesh..
Hata kuoa au kuolewa haitakiwi kujihusisha na zile familia zenye umaarufu wa kisiasa, kibiashara, kimechezo na hata kijesh..
Anatakiwa asimame mwenyewe na sio vizur kujihusisha na hao watu wa vita vita! Wakongo cjui Wahutu na Wakosovo tupilia mbali, maana inaleta picha mbaya kwa upande wa taaluma..
Kwahiyo mwanafunzi bora kitaifa anapaswa na anatakiwa kutengeneza njia yake mwenyewe, maana tayari anakuwa na sifa ya kuanzia cheo cha luten kanali wa jesh.
Ndo huwa ipo hivyo! Ukishafanikiwa kuwa mwanafunzi bora Unatakiwa kuwa na vitu vya pekee yako pekee yako ambavyo ni tofauti na wengine
Wale wastaafu wa majeshi wapo vizuri na wamekamilika kila sehemu, walichokosa ni fedha za kutosha! Ila hakuna MTANZANIA MZALENDO atakayeweza kuwa upande wao, hakuna!
Pia waliambiwa kuwa, katika kila idara kuna watumishi ambao hawajawahi hata kukanyaga ofisini. Hivyo idadi ya watumishi ni zaidi ya hao wanaonekana maofisini.
Tena hao ni wabaya zaidi na wanatumia zana za jadi na asili! Kwahiyo waliambiwa wahamie ZAMBIA na MALAWI, lakini hata MSUMBIJI panafaa.
Huu mtindo na mfumo wa elimu kwa wanafunzi bora wa SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI ~ HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuakisi kutoka kwa UINGEREZA na alisimika hivyo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANGANYIKA, hatimaye TANZANIA.
Bado haijafahamika ni kwanini wanataaluma waliamua kufanya hivyo, lakini ulimwengu mzima ulifanikiwa kuakisi kutoka kwa UINGEREZA.
Hata katika UANDISHI WA VITABU [PUBLISHING INDUSTRY], mtunzi hatakiwi kushirikiana na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] katika kazi za uandishi na akitokea amefanya hivyo ~ kazi yake ataisoma yeye mwenyewe akiwa chumbani kwake, ikiwa na maana hakuna hadhira itakayompa nafasi ya kusikiliza.
WAINGEREZA wanasema "as an educator, you have to learn and create your own path so that others could follow"
Lakini inaruhusiwa kushirikiana katika masuala mbalimbali yanayohusu jamii, ila yale maisha binafsi kunakuwa na mipaka ya kitaaluma.
Wakina nyamka na mwenzie walijarib kuharibu mfumo wa elimu kwa kuanza kupika matokeo ya wanafunzi..Huu mtindo na mfumo wa elimu kwa wanafunzi bora wa SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI ~ HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuakisi kutoka kwa UINGEREZA na alisimika hivyo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANGANYIKA, hatimaye TANZANIA.
Bado haijafahamika ni kwanini wanataaluma waliamua kufanya hivyo, lakini ulimwengu mzima ulifanikiwa kuakisi kutoka kwa UINGEREZA.
Hata katika UANDISHI WA VITABU [PUBLISHING INDUSTRY], mtunzi hatakiwi kushirikiana na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] katika kazi za uandishi na akitokea amefanya hivyo ~ kazi yake ataisoma yeye mwenyewe akiwa chumbani kwake, ikiwa na maana hakuna hadhira itakayompa nafasi ya kusikiliza.
WAINGEREZA wanasema "as an educator, you have to learn and create your own path so that others could follow"
Lakini inaruhusiwa kushirikiana katika masuala mbalimbali yanayohusu jamii, ila yale maisha binafsi kunakuwa na mipaka ya kitaaluma.
Ile elimu ya kipindi cha HAYATI MWALIMU ndiyo iliyokuwa elimu bora, hata wao walipitia huko. Asiyekuwepo kumi bora na lake halipo!Wakina nyamka na mwenzie walijarib kuharibu mfumo wa elimu kwa kuanza kupika matokeo ya wanafunzi..
Halaf baada ya hapo wanaanza kujadili, kufuatilia na kuchunguza maisha ya wanafunzi Bora..
Inafikia hatua wanaulizana tumpe cheti au bado! Waliiga mfumo wa Kosovo, ndo maana elimu ya tanzania imeshuka.. 🙏🏽
TANZANIA imebadilika sana, ila tunaambiwa ndiyo nchi ilikuwa hivyo tangu zamani! Sema wengine wamekua watu wazima na wamefanikiwa kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayohusu jamii.Kuna watumishi wanapaa na ungo, hao hatuwagus hata wakae miaka mia.! Shida ipo kwa hawa Kajambanani 🤣
Ndo nilitaka hivyo! Mwanajesh unatakiwa uwe na Roho mbaya, ngoja niwakute huko watanieleza leo.. 😂Ile elimu ya kipindi cha HAYATI MWALIMU ndiyo iliyokuwa elimu bora, hata wao walipitia huko. Asiyekuwepo kumi bora na lake halipo!
Sasa hivi wenzenu wanajaribu kufosi kingi, hata kwenye hamna! Wanakaguliwa MATAK*NI kwa raha zao, halafu wanakuja kusumbua wengine.. 😂
Wakina nyamka na wenzie ndo walitaka kuwa kama hao watawala! Matokeo yake hamna kitu, wamekuta hewa..TANZANIA imebadilika sana, ila tunaambiwa ndiyo nchi ilikuwa hivyo tangu zamani! Sema wengine wamekua watu wazima na wamefanikiwa kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayohusu jamii.
Tunaambiwa BARACK HUSSAIN OBAMA SR. [the late] alikuwa na mahusiano ya kindugu na aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA BURKINA FASO, MAURICE YAMEOGO [the late].
Ijapokuwa hakuna taarifa za uhakika, hadi kuthibitisha wao wenyewe.
Kwahiyo wale watu waliokuwa wanafahamu familia ya BARACK HUSSAIN OBAMA SR. [the late] hawakushangaa kuona mtoto wao, BARACK OBAMA JR. anakuwa RAIS WA MAREKANI.
Hawa ni familia ya watawala na wana mambo mengi, muda mwingine ndugu zao wanakuwepo SHINYANGA MJINI wakiwa wanatokea KENYA.
Sasa hawa wenzenu tangu miaka ya sitini [1960's] walikuwepo na wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo kama ilivyokuwa kwa upande wa HAYATI MWALIMU.
Hata Oprah Winfrey ni kizaz cha watawala kutoka afrika, hakufika hapo alipo yeye pekee yake! Chanzo cha hela kpo, ile cheni ya hela ipo..TANZANIA imebadilika sana, ila tunaambiwa ndiyo nchi ilikuwa hivyo tangu zamani! Sema wengine wamekua watu wazima na wamefanikiwa kuwa na uelewa mpana wa masuala yanayohusu jamii.
Tunaambiwa BARACK HUSSAIN OBAMA SR. [the late] alikuwa na mahusiano ya kindugu na aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA BURKINA FASO, MAURICE YAMEOGO [the late].
Ijapokuwa hakuna taarifa za uhakika, hadi kuthibitisha wao wenyewe.
Kwahiyo wale watu waliokuwa wanafahamu familia ya BARACK HUSSAIN OBAMA SR. [the late] hawakushangaa kuona mtoto wao, BARACK OBAMA JR. anakuwa RAIS WA MAREKANI.
Hawa ni familia ya watawala na wana mambo mengi, muda mwingine ndugu zao wanakuwepo SHINYANGA MJINI wakiwa wanatokea KENYA.
Sasa hawa wenzenu tangu miaka ya sitini [1960's] walikuwepo na wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo kama ilivyokuwa kwa upande wa HAYATI MWALIMU.
Hata Oprah Winfrey ni kizaz cha watawala kutoka afrika, hakufika hapo alipo yeye pekee yake! Chanzo cha hela kpo, ile cheni ya hela ipo..
Haya huyu ni kizazi cha watawala kutoka ZAMBIA, ila wao wenyewe kwa wenyewe wanaoana sijui kwanini? Lakini ikitokea mtu wa tabaka la chini hairuhusiwi kuwa na mafungamano na watawala!
Pia ana mdogo wake wa kike, yupo SHINYANGA MJINI! Hawa wenzenu wapo mbali na hauwezi kulinganisha na askari!
Wao wanasema askari kazi yake ni kulinda watawala na watawala kazi yao ni kuajiri askari. Hivyo ni matabaka mawili tofauti na hawatokuja kuwa sawa!
Sasa wale wastaafu wa majeshi walijichanganya wao wenyewe na hawakuwa na kitu, zaidi ya kushika nafasi za juu kwa upande wa majeshi! Matokeo yake walijaribu kujiweka karibu na watawala, lakini hawakufanikiwa.
Sasa huo ni udhalilishaji na aibu! Unawezaje kuzaa na wanawake watano wa familia moja? 😂To every reaxn, there is equal and opposite reaxn! Walifikir mambo ni mepesi, walivyoingia kwa watawala ndo wakajua ukweli..
Waliambiwa had kuzaliana ndo kutakuwa na ukaribu na watawala, lakin sio kuoa watoto wa kike wa watalawa bali ni watoto wa kiume wa watawala kuwazalisha watoto wao wa kike..
Kuna mtoto wa kiume wa watawala aliwapa mimba watoto wakike watano 5 wa familia moja na wasipate kitu! Waliambiwa had hao watoto waliozaa wakue ndo watakuja kuwasaidia..
Ilikuwa bonge ya skendo kwa upande wa kitengo, lakin waliamua kunyamaza ile kiutuzima..
Kwahiyo wameingia aibu na hela wasipate, zaid ya kuwa na wajukuu ambao kwa baadae ndo watakuja kuwasaidia.. 🙏🏽
Wapo weng na waliyataka wenyewe! Saivi watoto wao wa kike ndo wanazalishwa, lakin haitosaidia sababu malengo yao yalishajulikana toka kitambo na wanadanganywa na wakosovo.. 😂Sasa huo ni udhalilishaji na aibu! Unawezaje kuzaa na wanawake watano wa familia moja? 😂
View attachment 3566346
Kuwafikia itakuwa ngumu! Pia tunaambiwa baadhi ya vizazi vya HAYATI MWALIMU, KENNETH KAUNDA pamoja na KAMUZU BANDA vipo KENYA na vinashiriki siasa ya KENYA ~ kwa namna moja ama nyingine ndiyo wamesaidia kujenga uchumi wa KENYA.
Ni baba wa taifa but it's too late for them! Hivi bamako insurance ni ya Nyerere au Jomo Kenyata..Napenda sana historia hizi,natamani zingekuwa published zaidi.
This man was a visionary!
Kuna wakati nafikiria kwamba kulikuwa na watu bora zaidi kuliko JKN,lakini kwa namna moja au nyingine hawakupewa nafasi ya kum-outshine bwana mkubwa.Kulikuwa na kina Oscar,Bibi Titi,Mzee Abeid,Sokoine etc
Mathalani kulikuwa na wanamuziki bora sana wakati wa JKN ambao walifungiwa mf.Humplick ambaye aliimba nyimbo za ukombozi--na alifukuzwa na nyimbo zake kuwa banned zisipigwe kabisa nchini.
Pia kulikuwa na waandishi wazuri mno mf Dr,Kezilahabi,Prof Mbise .
Hao ni wachache tu niliofanikiwa kuwasikia,naamini wapo wengi zaidi.
Naamini yaliyotokea zamani bado yanatokea,watu kuwa na kesi za uongo,kufukuzwa nchini,kuitwa wahaini---haijaanza leo........tusipokuwa makini...wataendelea hivyo hivyo!
Wapo weng na waliyataka wenyewe! Saivi watoto wao wa kike ndo wanazalishwa, lakin haitosaidia sababu malengo yao yalishajulikana toka kitambo na wanadanganywa na wakosovo.. 😂
Wenzenu walifanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi na wamewekeza nguvu kubwa kwa watoto wao kwa upande wa SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI.
Kwani BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] ndiyo linalotoa viongozi na maafisa wote wa majeshi.
Sijui! Tunaambiwa HAYATI MWALIMU na HAYATI MZEE JOMO walikuwa ni marafiki wa kushibana, hata baada ya kuuza CHAMA CHA TANU [1975] ~ idadi kubwa ya watoto wa HAYATI MWALIMU walihamia KENYA.Ni baba wa taifa but it's too late for them! Hivi bamako insurance ni ya Nyerere au Jomo Kenyata..