Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Unajua wale wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa wamekua na wametoka katika familia duni.

Hata baada ya kupata vile vyeo vya kijeshi na kufanikiwa kuwa wakuu wa majeshi! Badala ya kuanza kujijenga kiuchumi, wao wakataka kufanana na watawala wa kipindi kile ambao wengi walikuwa watoto wa machifu na wengi wao walikuwa wametoka katika familia za kitajiri.

WAINGEREZA huwa wanasema "Western culture is harmful to african society" na ili uweze kushiriki kikamilifu katika matukio ya kijamii kwa upande wa MATAIFA YA MAGHARIBI, lazima mhusika awe na uwezo wa kifedha! WAINGEREZA wanaita "Financial muscles".

Tofauti na hapo utaishia kuwa mtazamaji mzuri wa televisheni na kuvaa jezi za vilabu maarufu barani ulaya, tena zile jezi zinazouzwa kwa bei ya chini.

Lakini wale watu waliotoka katika familia za kitajiri wataendelea kushiriki na kucheza mpira wa miguu katika vilabu maarufu barani ulaya kama REAL MADRID, BAYERN MUNICH, AC MILAN, MANCHESTER UNITED pamoja na BARCELONA.

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo na wale wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa wanakosea sana kujihusisha na UKATILI WA KIJINSIA, kitu ambacho kiliwafanya kuwa na maadui wengi hata wasioonekana! Pia itawawia vigumu kufikia malengo yao, sababu hawana fedha na wanataka kuishi kama watawala.
Waambieni warudi Bongo! Huku kuna wakina Fred Vunjabei na RobyOne Fashion, wanauza jez za Madridi kwa bei chee.. 😂 Ulaya bei ya jez original unanua baskeli mtumba au phoenix mpya kwa Kanjibai.. 🙏🏽
 
Ikitokea inchi imeshuka katika viwango vya kimataifa, ujue Gereza linahusika. Jesh la Magereza ndo linalohusika na masuala ya kijamii..
Yaani ikitokea TANZANIA imeshuka kimataifa hata katika mchezo wa mpira wa kikapu, basi mkuu wa gereza [CGP] atakuwa hana kazi!

1adc0169c9501dc806dcf6266ed673ea.jpg

Ikitokea taifa limeshuka na kushika nafasi ya chini katika viwango vya kimataifa, ambapo TANZANIA itakuwa imesajiliwa na kutambulika kimataifa, basi mkuu wa gereza [CGP] atakuwa hana kazi!

fa2fca284d50f50295f26148930bdf03.jpg

Ndiyo maana JESHI LA MAGEREZA linahitaji WANASAYANSI JAMII wa kuweza kuliongoza na kutatua kero pamoja na changamoto zinazozikumba taasisi za kiserikali, ili kuweza kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria za JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [DOMESTIC LAWS] na sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

29e1695e8424637aa8c9a3c731731dab.jpg

JESHI LA MAGEREZA ndiyo jeshi linalohusika na masuala ya kijamii! Ndiyo maana huwa wanasema JESHI LA MAGEREZA ni somo la MAARIFA YA JAMII na somo la MAARIFA YA JAMII ni JESHI LA MAGEREZA.

90e04b257500e8e524e3a7e59f73f225.jpg

​
Kwahiyo ulimwenguni kote, JESHI LA MAGEREZA linafahamika kama ni jeshi linalohusika katika kuimarisha ubora na viwango kwa upande wa taasisi za kiserikali. WAINGEREZA wanasema "Quality and Standards".

8c8a9e9a246e5b162c131c5d33f7f92b.jpg

​
Lakini kazi ya kurekebisha tabia kwa wafungwa na mahabusu ni kazi ndogo inayofanyika ndani ya magereza. Huu mfumo TANZANIA imeakisi kutoka UINGEREZA.
 
Yaani ikitokea TANZANIA imeshuka kimataifa hata katika mchezo wa mpira wa kikapu, basi mkuu wa gereza [CGP] atakuwa hana kazi!

Ikitokea taifa limeshuka na kushika nafasi ya chini katika viwango vya kimataifa, ambapo TANZANIA itakuwa imesajiliwa na kutambulika kimataifa, basi mkuu wa gereza [CGP] atakuwa hana kazi!

Ndiyo maana JESHI LA MAGEREZA linahitaji WANASAYANSI JAMII wa kuweza kuliongoza na kutatua kero pamoja na changamoto zinazozikumba taasisi za kiserikali, ili kuweza kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria za JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [DOMESTIC LAWS] na sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

JESHI LA MAGEREZA ndiyo jeshi linalohusika na masuala ya kijamii! Ndiyo maana huwa wanasema JESHI LA MAGEREZA ni somo la MAARIFA YA JAMII na somo la MAARIFA YA JAMII ni JESHI LA MAGEREZA.

Kwahiyo ulimwenguni kote, JESHI LA MAGEREZA linafahamika kama ni jeshi linalohusika katika kuimarisha ubora na viwango kwa upande wa taasisi za kiserikali. WAINGEREZA wanasema "Quality and Standards".

Lakini kazi ya kurekebisha tabia kwa wafungwa na mahabusu ni kazi ndogo inayofanyika ndani ya magereza. Huu mfumo TANZANIA imeakisi kutoka UINGEREZA.
Jesh la Magereza huwa ni wanayansi, sema tanzania wamechakachua! Saivi Wakala wa majengo-Tba, tarula na tanroads zipo chin ya magereza. Mabadiliko yote ya inchi huwa yanaanzia magereza
 
Yaani ikitokea TANZANIA imeshuka kimataifa hata katika mchezo wa mpira wa kikapu, basi mkuu wa gereza [CGP] atakuwa hana kazi!

Ikitokea taifa limeshuka na kushika nafasi ya chini katika viwango vya kimataifa, ambapo TANZANIA itakuwa imesajiliwa na kutambulika kimataifa, basi mkuu wa gereza [CGP] atakuwa hana kazi!

Ndiyo maana JESHI LA MAGEREZA linahitaji WANASAYANSI JAMII wa kuweza kuliongoza na kutatua kero pamoja na changamoto zinazozikumba taasisi za kiserikali, ili kuweza kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria za JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [DOMESTIC LAWS] na sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

JESHI LA MAGEREZA ndiyo jeshi linalohusika na masuala ya kijamii! Ndiyo maana huwa wanasema JESHI LA MAGEREZA ni somo la MAARIFA YA JAMII na somo la MAARIFA YA JAMII ni JESHI LA MAGEREZA.

Kwahiyo ulimwenguni kote, JESHI LA MAGEREZA linafahamika kama ni jeshi linalohusika katika kuimarisha ubora na viwango kwa upande wa taasisi za kiserikali. WAINGEREZA wanasema "Quality and Standards".

Lakini kazi ya kurekebisha tabia kwa wafungwa na mahabusu ni kazi ndogo inayofanyika ndani ya magereza. Huu mfumo TANZANIA imeakisi kutoka UINGEREZA.
Italia imeshindwa kufuzu kombe la dunia, wamefukuza mkuu wa gereza na sio wazir wa michezo. Hawa mawazir huwa ni wasemaj tu, lakin watendaj huwa ni majesh ya ulinzi..

Uingereza iliwahi kufukuza igp kpindi cha Tony Blair, baada ya kufahamika kuwa wazir mkuu alificha hela za umma katika visiwa vya Panama..

Baada ya 1975, wakina nyamka wakabadilisha mfumo ili wakuu wa majesh kujiweka safe na kuanza kufukuza mawazir badala ya wakuu wa majesh..

Skendo zote chafu za idara ya utumishi, anayetakiwa kuondolewa huwa ni igp na sio wazir..

Mawazir huwa ni wasemaj wa wizara, lakin wasimamiz na watendaj huwa ni wakuu wa majesh ya ulinzi na usalama.. 🙏🏽
 
Hata ikitokea imebainika mahala fulani kuna SOFT TARGET anayetakiwa kuondolewa kazini huwa ni CDF!

Sasa kipindi fulani cha miaka ya tisini [1990's], ilitokea kasheshe kule TANGA baada ya WAKONGOMANI kuandikisha nyumba zao kwa kampuni ya usafirishaji, wakiambiwa kuwa ni kampuni iliyokuwa inamilikiwa na mfanyakazi wa chama kikuu cha ushirika cha mkoa Shinyanga [SHIRECU].

ee56ba53b4267f9e4c17e33d4c0d2d74.jpg

Baadae walivyotaka kuzichukua zile nyumba zao walizokuwa wameandika kwa jina la kampuni ya usafirishaji, wakaambiwa hiyo kampuni inamilikiwa na POLISI.

Kwahiyo nyumba zao zote walizokuwa wameandika kwa jina la kampuni zikawa zimeenda kwa namna hiyo na mahakamani waliogopa kwenda, kwa sababu walikuwa wanafanya UHAINI.
 
Waambieni warudi Bongo! Huku kuna wakina Fred Vunjabei na RobyOne Fashion, wanauza jez za Madridi kwa bei chee.. 😂 Ulaya bei ya jez original unanua baskeli mtumba au phoenix mpya kwa Kanjibai.. 🙏🏽
Kwani wakuu wa majeshi walikuwa ni wao tu? Mbona wakuu wa majeshi wapo wengi, tena wametulia na wanafanya mambo yao vizuri.

Shida inakuja kwao, kwa sababu wanataka kuishi maisha kama FAMILIA ZA WATAWALA na wamesahau kabisa kuwa wao ni FAMILIA ZA KIJESHI.

Hawana chochote na walizaliana bila mpango, matokeo yake wamejikuta wapo wengi na kila mtu anapiga mishe mishe zake!
 
Hata ikitokea imebainika mahala fulani kuna SOFT TARGET anayetakiwa kuondolewa kazini huwa ni CDF!

Sasa kipindi fulani cha miaka ya tisini [1990's], ilitokea kasheshe kule TANGA baada ya WAKONGOMANI kuandikisha nyumba zao kwa kampuni ya SIMBA MTOTO, wakiambiwa kuwa ni kampuni iliyokuwa inamilikiwa na mfanyakazi wa chama kikuu cha ushirika cha mkoa Shinyanga [SHIRECU].

Baadae walivyotaka kuzichukua zile nyumba zao walizokuwa wameandika kwa jina la SIMBA MTOTO, wakaambiwa hiyo kampuni inamilikiwa na JESHI LA POLISI.

Kwahiyo nyumba zao zote walizokuwa wameandika kwa jina la SIMBA MTOTO zikawa zimeenda kwa namna hiyo na mahakamani waliogopa kwenda, sababu walikuwa wanafanya UHAINI.
Had hizi stories kumbe mnazijua? Maaskar ndo huwa wanatajirikia humo kwenye hyo michezo
 
Kwani wakuu wa majeshi walikuwa ni wao tu? Mbona wakuu wa majeshi wapo wengi, tena wametulia na wanafanya mambo yao vizuri.

Shida inakuja kwao, kwa sababu wanataka kuishi maisha kama FAMILIA ZA WATAWALA na wamesahau kabisa kuwa wao ni FAMILIA ZA KIJESHI.

Hawana chochote na walizaliana bila mpango, matokeo yake wamejikuta wapo wengi na kila mtu anapiga mishe mishe zake!
Saivi Wamekuwa ni matapeli, tena wale konkodi maana wana chaneli serikalin sababu ni watoto na wajukuu wa kijesh! Na wanashirikiana na wakosovo kupga mishe za kitapel
 
Back
Top Bottom