WAINGEREZA huwa wanasema
"The presidency is an ultimate platform" na kipindi ambacho HAYATI MWALIMU anauza CHAMA CHA TANU kwa serikali, alifanikiwa kuwa ni tajiri namba moja kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA baada ya kuuza CHAMA CHA TANU kwa thamani ya Tsh. 3,000,000 na hii ilikuwa ni mwaka 1975.
Sijafahamu kwa upande wa HAYATI SHEIKH KARUME pesa zake alipeleka wapi, baada ya kufanikiwa kuuza CHAMA CHA ASP kwa thamani ya Tsh. 500,000!
Lakini tunaambiwa HAYATI MWALIMU alihamisha Tsh. 2,000,000 na kupeleka KENYA, tena alisindikizwa hadi mpakani na fedha alizobaki nazo TANZANIA ilikuwa ni Tsh. 1,000,000 tu. Hivyo ni watu ambao watakuwa vizuri kiuchumi, sema ile hadhi ya kisiasa ndiyo waliyopungukiwa.
Ijapokuwa kuna mitazamo mingi kuhusu yale mabadiliko yaliyotokea mwaka 1975 na moja ilikuwa ni shinikizo la WATANZANIA waliokuwa wakiishi nje ya nchi [DIASPORA] ya kutaka TAIFA LA TANZANIA liwe ni JAMHURI YA WATANZANIA wote na kuondokana na ile dhana ya serikali kumilikiwa na familia ya mtu mmoja ambaye ni HAYATI MWALIMU.
Kwahiyo walifanikiwa na TAIFA LA TANZANIA tayari lilikuwa na raia ambao walikuwa tayari wamefanikiwa kuwa VIONGOZI WA KITAIFA katika mataifa ya MSUMBIJI, MALAWI, ZAMBIA, KENYA, UGANDA, GHANA, TOGO na BURKINA FASO.
Ilielezwa kuwa hawa ndiyo waliokuwa na shauku ya kuona TANZANIA ikiwa ni JAMHURI YA WATANZANIA wote na kuondokana na ile dhana ya serikali kumilikiwa na mtu mmoja.
Lakini ule ufanisi na utendaji kazi wa serikali [GOVERNANCE EFFICIENCY, GE] uliendelea kushuka taratibu kuanzia mwaka 1975 hadi leo!