Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

ACP Enoch yupo Tabora.. 😂 Ukiwa magereza jamaa anaonekana kama alivyo Makongoro ndani ya ccm.. 🙏 Wale wengine walikuwa wanatumia vibaya vyeo vyao, eti walipeleka watanzania kwenda kujifunza lugha za kienyeji huko afrika ya magharib, kuna watanzania wanaongea kiyoruba na kihausa.. 😂 Na kuna koo za Kitanzania kabisaa
Wale viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO ni miongoni mwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's], hivyo wanajua sana na wanaishi kama VIONGOZI WA KITAIFA wa mataifa mengine.

7523e25f1a6983e63c03a2b3d4ce4e20.jpg

​
Hata aliyewahi kuwa RAIS WA KWANZA WA KONGO, JOSEPH KASAVUBU [the late] bado kizazi chake kipo na kinaendelea kufanya vizuri.

3e25a2781b3e3aedd1735a7d44d23c64.jpg

​
Ukiachana na BENINI! Idadi kubwa ya vizazi vyake vinapatikana TANZANIA, tena vipo katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Hivyo ni suala la kujipanga tu..

28b23a56f6c6d1b321f752f15cc5396d.jpg

​
Kwa upande wa MOBUTU SESE SEKO [the late], alikuwa ni mwenyeji wa asili wa KISUMU kutoka katika kijiji cha BONDO.

5d4912e882e093d33672d1ff9c6e9b75.jpg

​
Hivyo kizazi chake kilipaswa kurudi KENYA ambayo ni sehemu yao ya asili. Lakini walifanikiwa kusambaa katika mataifa mbalimbali ikiwemo GAMBIA na TANZANIA.

Kwahiyo wale waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa tayari wamefanikiwa kufahamu masuala mbalimbali yanayohusu jamii ya viongozi wa kitaifa pamoja na viongozi wa kijeshi. Hivyo walifanikiwa kujijenga vizuri, iwe ni kijeshi na hata kiuchumi.
 
Wenzenu walifanikiwa kutafuta pesa kwa ustadi mkubwa na walifanikiwa kuzipata.

Sasa hivi ni ROYAL FAMILIES na vizazi vyao vinashiriki michezo mbalimbali katika mataifa ya nje.

Wale waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa tayari wameshafanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi.

Wengine ndiyo wanajaribu na vizazi vyao vinacheza soka la kulipwa katika klabu ya mpira ya TP MAZEMBE.

Yaani kwenye kikosi cha kwanza cha TP MAZEMBE kuna mcheza mpira ambaye ni kizazi cha MKUU WA JESHI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Watu walipiga hela sanaaaaa.. 😂 Hivi inakuaje walituletea watu ambao kwao waliuana halafu sisi huku waonekane wanafaa, pumbafu kabisa hao.. 🙏
 
Wale viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO ni miongoni mwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's], hivyo wanajua sana na wanaishi kama VIONGOZI WA KITAIFA wa mataifa mengine.

Hata aliyewahi kuwa RAIS WA KWANZA WA KONGO, JOSEPH KASAVUBU [the late] bado kizazi chake kipo na kinaendelea kufanya vizuri.

Ukiachana na BENINI! Idadi kubwa ya vizazi vyake vinapatikana TANZANIA, tena vipo katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA! Hivyo ni suala la kujipanga tu..

Kwa upande wa MOBUTU SESE SEKO [the late], alikuwa ni mwenyeji wa asili wa KISUMU kutoka katika kijiji cha BONDO.

Hivyo kizazi chake kilipaswa kurudi KENYA ambayo ni sehemu yao ya asili. Lakini walifanikiwa kusambaa katika mataifa mbalimbali ikiwemo GAMBIA na TANZANIA.

Kwahiyo wale waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walikuwa tayari wamefanikiwa kufahamu masuala mbalimbali yanayohusu jamii ya viongozi wa kitaifa pamoja na viongozi wa kijeshi. Hivyo walifanikiwa kujijenga vizuri, iwe ni kijeshi na hata kiuchumi.

Ni matajiri sana kuliko hata Nyerere. Pia huyo mwingine ni mtoto wa chifu Milambo
 
Sasa hivi ndiyo wenzenu wanaenda hivyo! Hizo habari za kugombania keki ya taifa wanawaachia wale wengine ambao hawajitambui.

bae4747d8d186bb85b1b1b0298031e7c.jpg

​
Hata katika kile kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL kilichotwaa ubingwa wa AFRIKA [2026] kuna kizazi cha aliyewahi kuwa MWANASIASA WA UPINZANI nchini TANZANIA.

29e10c6cfd07b2280c7dd068cf0b7c76.jpg

​
Tena mzee wao aliwahi kuwa mfanyakazi wa BENKI KUU YA TANZANIA [BOT] na MAKAMU MWENYEKITI wa CHADEMA BARA.

97ebb71ff17f350093b5b7cbe1998a73.jpg

​
Wakati mwingine huwa anapewa nafasi ya UNAHODHA badala ya SADIO MANE.

59fe6bf723cf634764cd9e17bae77ca5.jpg

​
Hivyo amefanyika kuwa heshima kwa upande wa familia yake na taifa la SENEGAL kwa ujumla.

4ec0bdc54b1c6e9ce6865ad58b615594.jpg

​
Tunaambiwa beki namba tano [5] na beki namba mbili [2] wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL ni ndugu.

0476b7de1ed9e3bf1beac940e1513fed.jpg

​
Wote ni WATANZANIA kwa asili na wamefanikiwa kuweka historia katika taifa la SENEGAL.

a8cb44a3036987e0ce37bdc109a8b35a.jpg

​
Yaani mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI wanafanya kama ilivyo kwa upande wa AFRIKA YA KASKAZINI kama MISRI, MOROKO, TUNISIA pamoja na ALGERIA.

79102ae4489891bdbd4681621c1fa60c.jpg

Kwani na wao wanajitahidi kutafuta na kuchukua wanamichezo kutoka katika familia za kiafrika zenye ushawishi wa kisiasa, kijeshi na kibiashara ili kupata uungwaji mkono katika masuala yao ya kitaifa.

74be5598ba21ac47166bbcbb2c9bacbf.jpg

​
Kwahiyo wenzenu waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo wanaishi hivyo hata mtindo wa maisha umebadilika.
 
Watu walipiga hela sanaaaaa.. 😂 Hivi inakuaje walituletea watu ambao kwao waliuana halafu sisi huku waonekane wanafaa, pumbafu kabisa hao.. 🙏
FB_IMG_1770275883880.jpg

​
Wale watu walikuwa ni WASHENZI sana, kwa sababu hauwezi kufanya hivyo kwa taifa lako! Hao ndiyo walioleta ACADEMIC GENOCIDE na wanataka, kwa sababu bado haijaisha kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO-KINSHASA.
 
Sasa hivi ndiyo wenzenu wanaenda hivyo! Hizo habari za kugombania keki ya taifa wanawaachia wale wengine ambao hawajitambui.

Hata katika kile kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL kilichotwaa ubingwa wa AFRIKA [2026] kuna kizazi cha aliyewahi kuwa MWANASIASA WA UPINZANI nchini TANZANIA.

Tena mzee wao aliwahi kuwa mfanyakazi wa BENKI KUU YA TANZANIA [BOT] na MAKAMU MWENYEKITI wa CHADEMA BARA.

Wakati mwingine huwa anapewa nafasi ya UNAHODHA badala ya SADIO MANE.

Hivyo amefanyika kuwa heshima kwa upande wa familia yake na taifa la SENEGAL kwa ujumla.

Tunaambiwa beki namba tano [5] na beki namba mbili [2] wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL ni ndugu.

Wote ni WATANZANIA kwa asili na wamefanikiwa kuweka historia katika taifa la SENEGAL.

Yaani mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI wanafanya kama ilivyo kwa upande wa AFRIKA YA KASKAZINI kama MISRI, MOROKO, TUNISIA pamoja na ALGERIA.

Kwani na wao wanajitahidi kutafuta na kuchukua wanamichezo kutoka katika familia za kiafrika zenye ushawishi wa kisiasa, kijeshi na kibiashara ili kupata uungwaji mkono katika masuala yao ya kitaifa.

Kwahiyo wenzenu waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo wanaishi hivyo hata mtindo wa maisha umebadilika.
Wakina Bob Makani hao! Wengine walikuwa ni walevi sana, vurugu kila cku na nyumbani kesi zilikuwa haziishi aisee.. 🙏
 
Wale watu walikuwa ni WASHENZI sana, kwa sababu hauwezi kufanya hivyo kwa taifa lako! Hao ndiyo walioleta ACADEMIC GENOCIDE na wanataka, kwa sababu bado haijaisha kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO-KINSHASA.
Hiyo shughuli ilishafeli kabla hata steringi hajafa.... 😂 Lakini hiyo ni siasa iliyoletwa na jeshi la magereza, sababu uongozi wa kiraia hauwezi ukafanya hivyo
 
Sasa hivi ndiyo wenzenu wanaenda hivyo! Hizo habari za kugombania keki ya taifa wanawaachia wale wengine ambao hawajitambui.

Hata katika kile kikosi cha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL kilichotwaa ubingwa wa AFRIKA [2026] kuna kizazi cha aliyewahi kuwa MWANASIASA WA UPINZANI nchini TANZANIA.

Tena mzee wao aliwahi kuwa mfanyakazi wa BENKI KUU YA TANZANIA [BOT] na MAKAMU MWENYEKITI wa CHADEMA BARA.

Wakati mwingine huwa anapewa nafasi ya UNAHODHA badala ya SADIO MANE.

Hivyo amefanyika kuwa heshima kwa upande wa familia yake na taifa la SENEGAL kwa ujumla.

Tunaambiwa beki namba tano [5] na beki namba mbili [2] wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya SENEGAL ni ndugu.

Wote ni WATANZANIA kwa asili na wamefanikiwa kuweka historia katika taifa la SENEGAL.

Yaani mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI wanafanya kama ilivyo kwa upande wa AFRIKA YA KASKAZINI kama MISRI, MOROKO, TUNISIA pamoja na ALGERIA.

Kwani na wao wanajitahidi kutafuta na kuchukua wanamichezo kutoka katika familia za kiafrika zenye ushawishi wa kisiasa, kijeshi na kibiashara ili kupata uungwaji mkono katika masuala yao ya kitaifa.

Kwahiyo wenzenu waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo wanaishi hivyo hata mtindo wa maisha umebadilika.
Wanaocheza mpira huko duniani ni wale waliotoka familia bora! Ni watu wanaojiweza, hata ile faini aliyotozwa kocha mkuu wa senegal watakaolipa ni wachezaji na vishua wa senegal.. 😂 Hao wakina Mendy cjui Mende ni matajiri wa kufa mtu.. 🙏Sie wakina kajamba nani tuendelee kushabikia Yanga na Simba.. 😂
 
Saivi ukiwa Oysterbay idadi kubwa ya nyumba zinamilikiwa na viongoz wa kitaifa pamoja na matio.. 🙏
Sasa hivi hizo nyumba zina thamani ya USD20,000,000 na kupangisha ni USD8,000 kwa mwezi.

FB_IMG_1770275328162.jpg

​
Ikifika 2030, hizo nyumba zitakuwa zimepanda thamani kuanzia USD30, 000,000 hadi USD35, 000,000 na kuna wanafunzi wengine wanasubiri hadi ifike 2030 ndiyo wapate kuuza kwa thamani kubwa kuliko ilivyo hivi sasa.

_20260205_160849.JPG

​
Kwahiyo kwa miaka michache ijayo tutegemee ROYAL FAMILIES nyingine zitainuka zikiwa zimesheni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].
 
Neema Kambona alikuwapo mjini.

Nyumba ya Kambona ipo pale pale Msasani anapokaa Nyerere barabarani.

Walikuwa majirani.
Kambona alikuwa rafiki sana wa mzee miaka fulani nyuma tulidhuru kaburi lake na mmj wa mwanafamilia yake hapo kinondoni alipozikwa
Ngj niishie hapa
Imebid niingie maktaba zangu niweke kaburi lake alipozikwa kinondoni

Ova

Ova
 
Attachments

  • 20260208_073440.jpg
    20260208_073440.jpg
    1 MB · Views: 14
Kambona alikuwa rafiki sana wa mzee miaka fulani nyuma tulidhuru kaburi lake na mmj wa mwanafamilia yake hapo kinondoni alipozikwa
Ngj niishie hapa
Imebid niingie maktaba zangu niweke kaburi lake alipozikwa kinondoni

Ova

Ova
TANZANIA ina mambo mengi sana, wakati mwingine ni mazito hata kuyabeba.. 😂
 
Kambona alikuwa rafiki sana wa mzee miaka fulani nyuma tulidhuru kaburi lake na mmj wa mwanafamilia yake hapo kinondoni alipozikwa
Ngj niishie hapa
Imebid niingie maktaba zangu niweke kaburi lake alipozikwa kinondoni

Ova

Ova
Pole sana mwana. Mzee inawezekama alipiga naye ma story ya ndani.

Bongo mpaka leo hakuna biography comprehensive ya Kambona.

Mwingine Mapalala nilikuwa namuona sana kike kipande vha kitaa cahako anatembea. Mpaka leo story yake haijaandikwa.
 
Sana mzee yupo na ana mastori mengi sana,age imeenda lkn memory yk iko vzr
Mapalala mwanae yule B mwanangu sana miaka ya 90 ile ukienda kwao bonge la eneo kama shamba,sema mzee mapalal naye alikuw mkax
Watoto wakumshauri hki alikuwa htk kusikia ndomana alingia mkenge na yule rafk yk wakili maarufu(rip)mpk wakj kupoteza eneo lao pale ursino
Namkumbk mapalala sana

Mimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu 😂😂

Kuna siku mid 1990s huko nilimuona Mzee Mapalala anatembea kipande cha hapa Morocco Gogo Hotel upande wa Obay Police, Mzee inaonekana alikuwa na mawazo saana.

Kapigwa tikitaka CUF wakamtoa kama si muanzilishi vile.
 
Kuna kibosho girls na tinde girls wanauwasha moto vibaya mno.. 🙏
Hizo shule zinafahamika kwa shughuli zinazofanya, lakini kuna shule nyingine zimeharibika kwa makusudi! Pengine tunaweza kusema ni kutokana na tamaa ya fedha, hadi ikapelekea baadhi ya shule kukabidhiwa kwa WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS].

IMG-20260118-WA0000.jpg

​
TANZANIA kuna mitihani ya taifa mitano [5] kwa idadi yake na mitihani hiyo ni MTIHANI WA DARASA LA NNE [FTNA], MTIHANI WA DARASA LA SABA [PSLE], MTIHANI WA KIDATO CHA PILI [FTNA], MTIHANI WA KIDATO CHA NNE [CSEE] na MTIHANI WA KIDATO CHA SITA [ACSEE].

_20260202_165953.JPG

​
Kila MTIHANI WA TAIFA huwa unatoa MWANAFUNZI KINARA [OP's], MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI KUMI [10] BORA.

CamScanner 01-20-2026 16.07.jpg

​
Yaani kwa LUGHA NYEPESI, kila MTIHANI WA TAIFA kupitia katika kila somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA huwa unatoa SE FAIRE VALOIR ambao ni WANADIPLOMASIA.

CamScanner 01-20-2026 16.15.jpg

​
Kupitia ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA kuanzia MTIHANI WA DARASA LA NNE [FTNA], DARASA LA SABA [PSLE], KIDATO CHA PILI [FTNA], KIDATO CHA NNE [CSEE] na KIDATO CHA SITA [ACSEE] ~ wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Hivyo kila mwaka wa masomo huwa wanapatikana wanafunzi ishirini na tano [25] ambao ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

CamScanner 01-20-2026 16.16.jpg

​
Yaani ajira ya kwanza kwa wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] huwa ni kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA. Hata UTUMISHI WA UMMA wanakuwa hawapo na ikitokea wameajiriwa UTUMISHI WA UMMA, basi ujue wanakuwa wametoka JESHINI na wanakuwa wanafanya kazi ya JESHI!

CamScanner 01-20-2026 16.17.jpg

Pia huwa ni marufuku kujiunga na VYAMA VYA SIASA, hata kushiriki SIASA ZA VYAMA huwa ni marufuku! Hii huwa ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na ASKARI JESHI wote waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE], ndiyo huwa na sifa ya kufika cheo cha kuanzia LUTENI JENERALI, JENERALI na kuendelea hadi kuwa MKUU WA JESHI LA ULINZI.

a9597f95cfa20ba82270ff0d5b0df7d9.jpg

​
Wale WANAFUNZI BORA wengine waliofanikiwa kushika kuanzia nafasi ya sita [6] hadi nafasi ya kumi [10] kitaifa huwa wanaishia cheo cha KANALI na huwa wanajiunga na wale WANAFUNZI KUMI [10] BORA wengine waliofanya vizuri kitaifa katika kila somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, iwe ni MTIHANI WA DARASA LA NNE [FTNA] au DARASA LA SABA [PSLE] au KIDATO CHA PILI [FTNA] au KIDATO CHA NNE [CSEE] au hata KIDATO CHA SITA [ACSEE].!

FB_IMG_1770473079366.jpg

Sasa kwa upande wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO ~ wale WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] ndiyo huwa viongozi wa kijeshi na wanajiunga na JESHI LA POLISI wakiwa wamefikisha miaka thelathini na tano [35] kwa kuanzia cheo cha SP.

CamScanner 01-20-2026 16.13.jpg

​
Kwa kipindi chote cha HAYATI MWALIMU, wale askari wote kuanzia cheo cha LUTENI JENERALI, JENERALI na BRIGEDIA JENERALI walikuwa ni miongoni mwa WANAFUNZI BORA katika masomo ya SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI kwa kuingia katika ile ORODHA YA TANO BORA [5] KITAIFA.

FB_IMG_1770541329616.jpg

​
Kipindi cha HAYATI MWALIMU ndiyo kulikuwa kuna JESHI LA ULINZI [JWTZ] lililokuwa linafuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], lakini baada ya mwaka 1975 walianza kuondoa na kufuta baadhi ya vipengele na kufanya jeshi kupoteza zile sifa zilizokuwepo tangu mwanzo.

CamScanner 01-20-2026 16.14.jpg

​
Kipindi cha HAYATI MWALIMU, JESHI LA ULINZI [JWTZ] ndiyo lilikuwa linafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu!

Lakini baada ya MAPINDUZI BARIDI [1975], wakina CGP NYAMKA waliondoa baadhi ya vipengele katika JESHI LA ULINZI [JWTZ] na walipungunza ubora.

fad20d64c028a1a781319519199c9c25.jpg

Kwahiyo zamani MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo walikuwa wanasimamia SEKTA YA ELIMU, ukizingatia VIONGOZI WA KIJESHI wote ndiyo walikuwa wanatoka huko.
 
Kuna kibosho girls na tinde girls wanauwasha moto vibaya mno.. 🙏
Pia huwa kuna mchakato maalum wa kufanya SHULE YA SEKONDARI kuwa ni SHULE YA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].

IMG-20260118-WA0000.jpg

Mwaka 2010, ule ulimwengu wa kitaaluma ulishuhudia SHULE YA MOSHI SEKONDARI ikitangazwa kuwa ni miongoni mwa SHULE YA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOL] baada ya kufanikiwa kuongoza na kutoa MWANAFUNZI BORA [TO's] kwa mara tatu mtawaliwo kuanzia mwaka 2008, 2009 na 2010 kwa upande wa KIDATO CHA SITA.

Kwahiyo SEKTA YA ELIMU ndiyo huwa ipo hivyo! Pia kuna shule nyingine ambazo zilijaribu ule mchakato wa kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS] na shule mojawapo ilikuwa ni IYUNGA TECHNICAL SCHOOL inayopatikana MBEYA.

3bc5f44babd2d82192a182e53d629178.jpg

IYUNGA TECHNICAL SCHOOL kwa mwaka 2006 ilitoa DIVISION ONE [96]! Mwaka wa 2007 ilitoa DIVISION ONE [98] na mwaka wa 2008 ilitakiwa kutoa DIVISION ONE [100] kwa upande wa KIDATO CHA NNE, ili itangazwe kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS], lakini hawakufikia malengo na kushindwa kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].

61a9c3167cf9b2f8e2453d9cb51ef62d.jpg

​
Zamani haya masuala yanayohusu ELIMU YA MSINGI pamoja na ELIMU YA SEKONDARI walikuwa wanatangaza kwenye vituo mbalimbali vya habari kama magazeti, radio na televisheni.

9c1885523864e4ae68f3643cd1b2ef96.jpg

Lakini baadae walisitisha, hivyo idadi kubwa ya wananchi wakawa hawana taarifa za uhakika kwa kile kinachoendelea katika SEKTA YA ELIMU na hayo ndiyo madhara ya kuruhusu jamii ya kitanzania kuwa HOSTILE SOCIETY.
 
Mimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu 😂😂

Kuna siku mid 1990s huko nilimuona Mzee Mapalala anatembea kipande cha hapa Morocco Gogo Hotel upande wa Obay Police, Mzee inaonekana alikuwa na mawazo saana.

Kapigwa tikitaka CUF wakamtoa kama si muanzilishi vile.
Mambo mengi yule mzee alijitakia mwenyewe
Laiti angesikiliza ushauri wa
Mtoto wake kumshirikisha
Asingepapoteza pale!
Ila ngoja tuishie hapa
Tusimfungulie sana ma file

Ova
 
Mimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu 😂😂

Kuna siku mid 1990s huko nilimuona Mzee Mapalala anatembea kipande cha hapa Morocco Gogo Hotel upande wa Obay Police, Mzee inaonekana alikuwa na mawazo saana.

Kapigwa tikitaka CUF wakamtoa kama si muanzilishi vile.
Tunapigw baridi tu sahv

Ova
 
Attachments

  • IMG-20260206-WA0010.jpg
    IMG-20260206-WA0010.jpg
    189.4 KB · Views: 14
Mimi nimekutajia kwa sababu najua kiwanja chako chote kile lazima utakuwa na mafaili tu 😂😂

Kuna siku mid 1990s huko nilimuona Mzee Mapalala anatembea kipande cha hapa Morocco Gogo Hotel upande wa Obay Police, Mzee inaonekana alikuwa na mawazo saana.

Kapigwa tikitaka CUF wakamtoa kama si muanzilishi vile.
Wakina Bob Nyanga Makan waliona hayo, ndo maana waliamua kujichenga mapema.. 🙏 Saivi Mbowe mguu mmoja nje na ndani na watoto walishatangulia chauma.. 😂
 
Back
Top Bottom