Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wengine wapo WIZARA YA FEDHA, ila VIONGOZI WA KIJESHI ndiyo wanaenda vizuri.

Sasa hivi soko la wanamichezo lipo katika TAIFA LA SIERRA LEONE, wanamichezo wengi wanapata nafasi ya kuwakilisha TAIFA LA SIERRA LEONE katika michezo mbalimbali na wengi wanakuwa wanatoka TANZANIA.

Wengi wao wanakuwa ni vizazi vya WAKUU NA VIONGOZI WA KIJESHI na sasa hivi SIERRA LEONE ina uwakilishi wa kibalozi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Kongo ndo waliojenga Burkina Faso na Sierra Leone, saivi wapo kama wamechanganyikiwa na serikali zote zimeenda.. 🤣
 
Alitakiwa kuwa msemaji wa familia ya nyerere, lakini aligoma na baadae nafasi hiyo ilienda kwa Butiku. Hizo nafasi za Mzee Butiku zilikuwa ni nafasi za Chale wa shireku, tatizo ni ulevi na alikuwa na hofu ya kutiwa sumu kutokana na maisha aliyoishi.. 🙏 Maisha aliishi machafu sanaaaaa
Aisee.. 🙏🏽
 
Wakosovo wanalipwa na ulaya na wakongo wanajilipa wao wenyewe. Wakongo wanahela sana na ndo wana serikal ya Qatar pamoja na Ujerumani. Hela walizoweka pale Qatar ni aibu kwa afrika.. 🙏
27df0a3e271fa7c811ab8124091f1750.jpg

​
KONGO ni matajiri sana! Sasa hivi QATAR ni "SEMI AUTONOMOUS GOVERNMENT" baina ya UJERUMANI na KONGO.

0cbc7d30e721dad9efa1a2ed81c5e181.jpg

​
Hata intelijensia wanashirikiana na QATAR, sema bado wana matatizo yao wao wenyewe ambayo siyo vizuri kushea.
 
Kongo ndo waliojenga Burkina Faso na Sierra Leone, saivi wapo kama wamechanganyikiwa na serikali zote zimeenda.. 🤣
Tunaambiwa ndiyo waliojenga uchumi wa MATAIFA YA MAGHARIBI! Sema wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI huwa hawana shida na masuala ya SIASA na UTAWALA.

3f5f18a07c8f9fa1bbf7994b07c89b47.jpg

Wao wanaweza kuachia mamlaka za kiutawala na kisiasa kwa matabaka mengine ya kigeni, lakini wao wataendelea kuwa ndiyo wenye nchi "as long as" ndiyo wenyeji wa asili kwa mataifa yao.
 
Kongo ndo waliojenga Burkina Faso na Sierra Leone, saivi wapo kama wamechanganyikiwa na serikali zote zimeenda.. 🤣
63757069faa9fbc186295fd090a34217.jpg

​
KONGO wana historia ambayo siyo nzuri na haipaswi kuigwa wala kuwa mfano!

ff2dcee1958022db3bfcf552f11aed38.jpg

​
MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI yapo mengi ambayo KONGO ilijenga na kutoa viongozi wa kitaifa, lakini baadae walikuja kupinduliwa na kupoteza kila kitu.

c6587a14cafb48f1093d4a5340a079e9.jpg

​
Hata TAIFA LA KAMERUNI wao ndiyo walijenga na kuleta maendeleo katika tasnia ya mpira wa miguu! Walijenga viwanja vya michezo kwa pesa za kutoka KONGO na mwisho wa WAKONGOMANI kucheza katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya KAMERUNI ilikuwa ni mwaka 1982, baada ya hapo yalitokea mabadiliko ambayo yanaendelea hadi leo na nafasi hiyo ilichukuliwa na WATANZANIA.

Sasa hivi wanamichezo katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya KAMERUNI ni WATANZANIA kwa asili.

0c85f313bc05b8b8453a96d91643e474.jpg

​
Hali kadhalika, kwa upande wa MATAIFA YA SENEGAL na GAMBIA ~ hawa wanaotawala sasa hivi ni WAKENYA kwa asili ambao ni WAKIKUYU na WAJALUO.

31b04c7e2ee7eb21501b92143accb26e.jpg

​
Lakini wenyeji wa asili wa MATAIFA YA SENEGAL na GAMBIA wapo na wanatambulika katika tasnia ya kimataifa.

0a01832e34050fe65639e017fac4f652.jpg

​
Hali hiyo ipo hivyo hivyo kwa upande wa MATAIFA YA NAIJERIA pamoja na GHANA, wenyeji wa asili wapo lakini walowezi ndiyo wanaongoza serikali na maendeleo yanapatikana.

7689d2421e1ec4918eaca534e2f03856.jpg

​
Kwahiyo sasa hivi WAKONGOMANI wanarudi kwao, maana kila sehemu walipofanikiwa kuwekeza na kujijenga kisiasa na kiuchumi wanaondolewa na wenyeji wa asili.
 
Tunaambiwa ndiyo waliojenga uchumi wa MATAIFA YA MAGHARIBI! Sema wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI huwa hawana shida na masuala ya SIASA na UTAWALA.

Wao wanaweza kuachia mamlaka za kiutawala na kisiasa kwa matabaka mengine ya kigeni, lakini wao wataendelea kuwa ndiyo wenye nchi "as long as" ndiyo wenyeji wa asili kwa mataifa yao.
Bashite watammaliza, amekula hela zao! Aliwahidi angewasaidia kwenye mchakato wa kutambulika.. 🙏
 
KONGO wana historia ambayo siyo nzuri na haipaswi kuigwa wala kuwa mfano!

MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI yapo mengi ambayo KONGO ilijenga na kutoa viongozi wa kitaifa, lakini baadae walikuja kupinduliwa na kupoteza kila kitu.

Hata TAIFA LA KAMERUNI wao ndiyo walijenga na kuleta maendeleo katika tasnia ya mpira wa miguu! Walijenga viwanja vya michezo kwa pesa za kutoka KONGO na mwisho wa WAKONGOMANI kucheza katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya KAMERUNI ilikuwa ni mwaka 1982, baada ya hapo yalitokea mabadiliko ambayo yanaendelea hadi leo na nafasi hiyo ilichukuliwa na WATANZANIA.

Sasa hivi wanamichezo katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya KAMERUNI ni WATANZANIA kwa asili.

Hali kadhalika, kwa upande wa MATAIFA YA SENEGAL na GAMBIA ~ hawa wanaotawala sasa hivi ni WAKENYA kwa asili ambao ni WAKIKUYU na WAJALUO.

Lakini wenyeji wa asili wa MATAIFA YA SENEGAL na GAMBIA wapo na wanatambulika katika tasnia ya kimataifa.

Hali hiyo ipo hivyo hivyo kwa upande wa MATAIFA YA NAIJERIA pamoja na GHANA, wenyeji wa asili wapo lakini walowezi ndiyo wanaongoza serikali na maendeleo yanapatikana.

Kwahiyo sasa hivi WAKONGOMANI wanarudi kwao, maana kila sehemu walipofanikiwa kuwekeza na kujijenga kisiasa na kiuchumi wanaondolewa na wenyeji wa asili.

Hizo ndo serikal za Ghana, wana serikali nyingine tatu na wanawaangalia tu! Mnavyoenda kucheza mpira kwenye taifa lao.. 🙏 Afrika ya magharib wana akili sanaaaaa
 
Wakongo hawatosahau kilichowakuta Lesotho, walienda ili wapate kiutawala kama ilivyokuwa kwa upande wa Sierra Leone, walinyongwa wote na miili yao haikuonekana hadi leo. Kule Kusin mwa Afrika hawatakagi ujinga.. 🙏
 
Mataifa ya KUSINI MWA AFRIKA huwa hawataki ujinga na wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo, AFRIKA YA KUSINI wanamiliki kampuni ya kutengeneza magari inayopatikana ULAYA na inaitwa IVECO.

4631a28c2b9017d068f01c36ef64b3f8.jpg

​
KENYA na UGANDA ndiyo wanaelekea huko! TANZANIA ilikuwa vizuri kabla ya 1975, lakini baada ya hapo ilianza kuporomoka hata ukuaji wa kiuchumi haiendi katika ule mtiririko unaotakiwa.

e626e2630e170b5c16760c77a03d735e.jpg

HAYATI MWALIMU alifanikisha kununua viwanda vya magari ya ISUZU pamoja na FIAT. Baada ya 1975, haikuweza kununua viwanda vingine zaidi ya kwenda ASIA na kuanzisha viwanda kwa kutumia mitaji ya ndani.

Zamani ilikuwa haiwezekani kufanya BLACK MARKET, lakini sasa hivi inafanyika kama hakuna JESHI.. 😂

_20260122_144826.JPG

​
Hao walioanzisha baa zinazoitwa MATAKO wanatukana! Tena wanafanya BLACK MARKET na BLACK MARKET inazaa SOFT TARGET na SOFT TARGET haitakiwi kudumu zaidi ya siku tatu [masaa sabini na mbili, 72], baada ya hapo inatakiwa kufanyika CONFISCATION.

Hizi ni sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], SOFT TARGET haitakiwi kudumu zaidi ya masaa sabini na mbili [72]. Sasa kwa upande wa TANZANIA, BLACK MARKET imekuwa ni kitu cha kawaida, ndiyo maana wanaita MATAKO.. 😂

_20260122_144826.JPG

Huwa kuna msemo wa kikongo unaosema ~ "Hata matako yawe na haraka kiasi gani, yataendelea kubaki nyuma"..

Kwahiyo huu ujinga kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ulianza baada ya 1975 na sasa hivi ndiyo unashika kasi.. 🙏🏽
 
Hizo ndo serikal za Ghana, wana serikali nyingine tatu na wanawaangalia tu! Mnavyoenda kucheza mpira kwenye taifa lao.. 🙏 Afrika ya magharib wana akili sanaaaaa
Kuna misemo mingi ya KIAFRIKA ambayo inafanya kazi katika masuala yanayohusu jamii..

_20260122_144343.JPG

​
Ikiwa na maana ya "Yule anayekimbilia bahati, hukimbia amani.."

_20260122_144441.JPG

​
Ikiwa na maana ya "Ni sawa kwa mtoto kuchezea chuchu za mama yake, lakini siyo kende za baba yake.."

_20260122_144555.JPG

​
Ikiwa na maana ya "Hakuna bikra kwenye wodi ya wazazi.." Kuna misemo mingi ya KIAFRIKA kutoka katika mataifa mbalimbali, lakini kubwa kuliko yote ni UGANDA!

_20260122_144712.JPG

​
Ikiwa na maana ya "Mwenye tumbo la kuhara hujua mwelekeo wa mlango bila ya kuambiwa.."

_20260122_144938.JPG
​

Hata NAIJERIA wana misemo yao ambayo huwa wanatumia kufikisha ujumbe..

_20260122_145017.JPG

​
Misemo ipo mingi kwa upande wa AFRIKA na ikiwa na maana yake katika masuala yanayohusu utawala na masuala ya kijamii.

_20260122_145115.JPG

​
Mataifa mengi ya KIAFRIKA yamekuwa yakiendelea kutumia misemo, methali na nahau katika kutuma na kufikisha ujumbe.

Kwahiyo AFRIKA YA MAGHARIBI walishapitia mambo mengi, sasa hivi hata wakiambiwa habari za kwenda kuishi mataifa mengine, wao wanauliza wataenda kufanya nini katika mataifa ya kigeni.
 
Hizo ndo serikal za Ghana, wana serikali nyingine tatu na wanawaangalia tu! Mnavyoenda kucheza mpira kwenye taifa lao.. 🙏 Afrika ya magharib wana akili sanaaaaa
244410ad822d934afe55bd0cc0a876d4.jpg

​
BENINI ndiyo inatawaliwa na WANYAMWEZI hadi leo, tangu kipindi ambacho JOSEPH KASAVUBU [the late] alivyoondoka KONGO na kuhamia BENINI.

0bbd58b5d3a6c58196b4c0a101895164.jpg

Hadi leo BENINI ni "AUTONOMOUS GOVERNMENT" ya UFARANSA na wenyeji wa asili hawajawahi kujihusisha na harakati za kudai wala kutafuta uhuru kutoka kwa WATAWALA.

0da5be66d492183c4b498df34ecab688.jpg

​
Hawa ndiyo WANYAMWEZI na kipindi cha miaka ya sabini [1970's] kuelekea themanini [1980's], wale waliokuwa CGP - MAGEREZA na CGF - ZIMAMOTO walianza kuhamisha WATANZANIA na kwenda kuishi katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI kwa kigezo cha kuwaiga WANYAMWEZI.

Lakini WANYAMWEZI walikuwa chini ya usimamizi wa UFARANSA na UBELIGIJI. Pia walifanikiwa kuzaliana na kusambaa katika mataifa yote ya AFRIKA YA MAGHARIBI pamoja na ERITREA.

02f3d014e9e23d2aaa21b8161abb0b38.jpg

​
Hawa BENINI walikuwa karibu zaidi na HAYATI MWALIMU na walifanikiwa kusomesha watoto wao katika SHULE YA MILAMBO.

3ae55398229dadf1b739ac2c331e52e8.jpg

Shule ambayo ilikuwa ni nzuri katika kufundisha somo la KIFARANSA pamoja na mchepuo wa KLF.

6fb38db8892f891d4199a89c5410adde.jpg

​
Hawa ndiyo BENINI tangu miaka ya sitini [1960's], ijapokuwa pale kulikuwa kuna na wenyeji wa asili lakini haitakuwa na madhara kama ilivyo kwa upande wa mataifa mengine ya AFRIKA YA MAGHARIBI.
 
Mataifa ya KUSINI MWA AFRIKA huwa hawataki ujinga na wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo, AFRIKA YA KUSINI wanamiliki kampuni ya kutengeneza magari inayopatikana ULAYA na inaitwa IVECO.

KENYA na UGANDA ndiyo wanaelekea huko! TANZANIA ilikuwa vizuri kabla ya 1975, lakini baada ya hapo ilianza kuporomoka hata ukuaji wa kiuchumi haiendi katika ule mtiririko unaotakiwa.

HAYATI MWALIMU alifanikisha kununua viwanda vya magari ya ISUZU pamoja na FIAT. Baada ya 1975, haikuweza kununua viwanda vingine zaidi ya kwenda ASIA na kuanzisha viwanda kwa kutumia mitaji ya ndani.

Zamani ilikuwa haiwezekani kufanya BLACK MARKET, lakini sasa hivi inafanyika kama hakuna JESHI.. 😂

Hao walioanzisha baa zinazoitwa MATAKO wanatukana! Tena wanafanya BLACK MARKET na BLACK MARKET inazaa SOFT TARGET na SOFT TARGET haitakiwi kudumu zaidi ya siku tatu [masaa sabini na mbili, 72], baada ya hapo inatakiwa kufanyika CONFISCATION.

Hizi ni sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], SOFT TARGET haitakiwi kudumu zaidi ya masaa sabini na mbili [72]. Sasa kwa upande wa TANZANIA, BLACK MARKET imekuwa ni kitu cha kawaida, ndiyo maana wanaita MATAKO.. 😂

Huwa kuna msemo wa kikongo unaosema ~ "Hata matako yawe na haraka kiasi gani, yataendelea kubaki nyuma"..

Kwahiyo huu ujinga kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ulianza baada ya 1975 na sasa hivi ndiyo unashika kasi.. 🙏🏽
Nyamka alifanikiwa kununua kiwanda cha kutengeneza matairi ya Bridgestone, kiwanda cha Tata pamoja na Yutong.. 🙏 Mwinyi alikuwa hana kazi kabisaa kipindi cha utawala wake.. 😂 Na Black Market ni Zero Tolerance kwa upande wa mambo ya ulinzi na ikibainika, kamati ya ulinzi ya mkoa na kamati ya ulinzi ya wilaya wote wanakuwa hawana kazi. Hivyo sio ishu ndogo.. 🙏
 
Kuna misemo mingi ya KIAFRIKA ambayo inafanya kazi katika masuala yanayohusu jamii..

Ikiwa na maana ya "Yule anayekimbilia bahati, hukimbia amani.."

Ikiwa na maana ya "Ni sawa kwa mtoto kuchezea chuchu za mama yake, lakini siyo kende za baba yake.."

Ikiwa na maana ya "Hakuna bikra kwenye wodi ya wazazi.." Kuna misemo mingi ya KIAFRIKA kutoka katika mataifa mbalimbali, lakini kubwa kuliko yote ni UGANDA!

Ikiwa na maana ya "Mwenye tumbo la kuhara hujua mwelekeo wa mlango bila ya kuambiwa.."

Hata NAIJERIA wana misemo yao ambayo huwa wanatumia kufikisha ujumbe..

Misemo ipo mingi kwa upande wa AFRIKA na ikiwa na maana yake katika masuala yanayohusu utawala na masuala ya kijamii.

Mataifa mengi ya KIAFRIKA yamekuwa yakiendelea kutumia misemo, methali na nahau katika kutuma na kufikisha ujumbe.

Kwahiyo AFRIKA YA MAGHARIBI walishapitia mambo mengi, sasa hivi hata wakiambiwa habari za kwenda kuishi mataifa mengine, wao wanauliza wataenda kufanya nini katika mataifa ya kigeni.

Usisubiri kuanguka, ili uangalie wapi ulipojikwaa.. 😂 Msemo wa Mzee Makamba kwa wanaccm kindakindaki.. 🙏
 
BENINI ndiyo inatawaliwa na WANYAMWEZI hadi leo, tangu kipindi ambacho JOSEPH KASAVUBU [the late] alivyoondoka KONGO na kuhamia BENINI.

Hadi leo BENINI ni "AUTONOMOUS GOVERNMENT" ya UFARANSA na wenyeji wa asili hawajawahi kujihusisha na harakati za kudai wala kutafuta uhuru kutoka kwa WATAWALA.

Hawa ndiyo WANYAMWEZI na kipindi cha miaka ya sabini [1970's] kuelekea themanini [1980's], wale waliokuwa CGP - MAGEREZA na CGF - ZIMAMOTO walianza kuhamisha WATANZANIA na kwenda kuishi katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI kwa kigezo cha kuwaiga WANYAMWEZI.

Lakini WANYAMWEZI walikuwa chini ya usimamizi wa UFARANSA na UBELIGIJI. Pia walifanikiwa kuzaliana na kusambaa katika mataifa yote ya AFRIKA YA MAGHARIBI pamoja na ERITREA.

Hawa BENINI walikuwa karibu zaidi na HAYATI MWALIMU na walifanikiwa kusomesha watoto wao katika SHULE YA MILAMBO.

Shule ambayo ilikuwa ni nzuri katika kufundisha somo la KIFARANSA pamoja na mchepuo wa KLF.

Hawa ndiyo BENINI tangu miaka ya sitini [1960's], ijapokuwa pale kulikuwa kuna na wenyeji wa asili lakini haitakuwa na madhara kama ilivyo kwa upande wa mataifa mengine ya AFRIKA YA MAGHARIBI.

Wanyamwezi wapo mbali sana, ndo wanaocheza timu ya taifa ya Benin 🇧🇯, hata afcon ya 2026 wameshiriki. Saivi Mboka Manyema ni wasukuma, hata wakina Mwanamboka ni wasukuma wa old shy na Hadija Mwanamboka alizaliwa kwenye hospital ya jeshi.. 🙏 Wakina Sita na mke wake wote ni wasukuma wa Shinyanga Vijijini, maeneo ya Bukene..
 
Nyamka alifanikiwa kununua kiwanda cha kutengeneza matairi ya Bridgestone, kiwanda cha Tata pamoja na Yutong.. 🙏 Mwinyi alikuwa hana kazi kabisaa kipindi cha utawala wake.. 😂
Sasa hivi kuna kampuni kama CATIK ambayo ni tawi la ISUZU pamoja na BHARATBENZ inayopatikana nchini INDIA.

TANZANIA inamiliki kampuni zaidi ya tano [5] za kutengeneza magari, lakini kampuni mlengwa ilikuwa ni ISUZU ambayo ingeliweza kutumika kwa matumizi ya serikali tangu miaka ya themanini [1980's].

ce1f6cc5e98821d3a79ffd9d60396149.jpg

​
Baada ya figisu kuwa nyingi, ISUZU iliwekwa pembeni na wakuu wakaendelea na TOYOTA hadi leo.

ecb132f46fc99cd0871174814c6ec0ee.jpg

​
Tunaambiwa kwenye tenda ya uagizaji wa magari ya serikali, kuna wakuu walikuwa wanapata mgao tangu miaka ya themanini [1980's] hadi leo! Ndiyo maana hawataki kuachia TOYOTA, ilhali serikali inamiliki kampuni zake za kutengeneza magari kama ISUZU na BHARATBENZ.

29d0c99dd426d521348f934fc9b2c58c.jpg
Na Black Market ni Zero Tolerance kwa upande wa mambo ya ulinzi na ikibainika, kamati ya ulinzi ya mkoa na kamati ya ulinzi ya wilaya wote wanakuwa hawana kazi. Hivyo sio ishu ndogo.. 🙏
Mambo mengine siyo vizuri kushupaa! Ukiwa pale KAHAMA MJINI kuna jengo limeandikwa jina la MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE kama mmiliki, hata ukiwa pale NYAMAGANA, maeneo ya CAPRIPOINT kuna jengo limeandikwa jina la MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE kama mmiliki.. 🙏🏽
 
Wanyamwezi wapo mbali sana, ndo wanaocheza timu ya taifa ya Benin 🇧🇯, hata afcon ya 2026 wameshiriki.
251c35272f1a5a6b75a5a0081eb65c20.jpg

​
WANYAMWEZI walikuwa na wanaendelea kuwa chini ya usimamizi wa UFARANSA tangu miaka ya sitini [1960's] na BENINI ni "FRENCH AUTONOMOUS GOVERNMENT" tangu kipindi cha UKOLONI hadi leo.

cb016afc9dffa6666551e5226c06b9a2.jpg

​
Wenyeji wengi wa AFRIKA YA MAGHARIBI walihamia GHANA, sasa ukiwa GHANA kila sehemu inataka kufanana na KARIAKOO, kwa namna ule umati wa watu ulivyojazana.
Saivi Mboka Manyema ni wasukuma, hata wakina Mwanamboka ni wasukuma wa old shy na Hadija Mwanamboka alizaliwa kwenye hospital ya jeshi.. 🙏
Wale CGP-MSTAAFU na CGF-MSTAAFU walikuwa wanaiga na walikuwa wanakosea pakubwa! Lakini WANYAMWEZI walikuwa wameshapiga hatua kubwa za kimaendeleo tangu miaka ya sitini [1960's].

16fbaa66ddf800323adceb489d9529ee.jpg

​
Baadae yule JOSEPH KASAVUBU alifanikiwa kuwa na watoto kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ~ wakina ELIHODARI ambao sasa hivi ni wazee na wana watoto na wajukuu..😂

45ecfb8a2ed45f34f92c0760338e3eda.jpg

​
Lakini ukiwa kwa upande wa MATAIFA YA SIERRA LEONE au BURKINA FASO au KAMERUNI au IVORY COAST ~ kule wenyeji wa asili wapo na wanawaangalia wale walowezi waliohamia katika mataifa yao.

d3b87e2472ad8a20418d44aace721e0f(1).jpg

​
Sehemu nzuri ya kufanya biashara na kuwekeza katika michezo ni AFRIKA YA MAGHARIBI. Lakini siyo sehemu nzuri ya kufanya siasa, hasa kwa watu ambao ni wageni.. 🙏🏽

4d05dba3200d7af772e2dd112d2987f6.jpg
Wakina Sita na mke wake wote ni wasukuma wa Shinyanga Vijijini, maeneo ya Bukene..
4859e51065330a56685aa7b1e7e5e707.jpg

​
Wenzenu huwa wanapeleka watoto wao kwenda kucheza mpira katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI, endapo wanakuwa hawajafanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI.
 
Usisubiri kuanguka, ili uangalie wapi ulipojikwaa.. 😂 Msemo wa Mzee Makamba kwa wanaccm kindakindaki.. 🙏
Waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, walijikita katika ELIMU YA MSINGI na ELIMU YA SEKONDARI.

de90c626a1084c7d40d15ed0ac134830.jpg

​
Ukifanikiwa kushika nafasi ya tano [5] kitaifa kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI, iwe katika matokeo ya ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, ndiyo inapendeza kujiunga na SIASA ZA TANZANIA.

de90c626a1084c7d40d15ed0ac134830.jpg

Lakini kama mhusika ni miongoni mwa WANAFUNZI BORA au WANAFUNZI VINARA, ni vyema kujiunga na MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO ~ sababu CGP, IGP na CGF lazima awe ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's].
 
Sasa hivi kuna kampuni kama CATIK ambayo ni tawi la ISUZU pamoja na BHARATBENZ inayopatikana nchini INDIA.

TANZANIA inamiliki kampuni zaidi ya tano [5] za kutengeneza magari, lakini kampuni mlengwa ilikuwa ni ISUZU ambayo ingeliweza kutumika kwa matumizi ya serikali tangu miaka ya themanini [1980's].

Baada ya figisu kuwa nyingi, ISUZU iliwekwa pembeni na wakuu wakaendelea na TOYOTA hadi leo.

Tunaambiwa kwenye tenda ya uagizaji wa magari ya serikali, kuna wakuu walikuwa wanapata mgao tangu miaka ya themanini [1980's] hadi leo! Ndiyo maana hawataki kuachia TOYOTA, ilhali serikali inamiliki kampuni zake za kutengeneza magari kama ISUZU na BHARATBENZ.

Mambo mengine siyo vizuri kushupaa! Ukiwa pale KAHAMA MJINI kuna jengo limeandikwa jina la MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE kama mmiliki, hata ukiwa pale NYAMAGANA, maeneo ya CAPRIPOINT kuna jengo limeandikwa jina la MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE kama mmiliki.. 🙏🏽
Kuna Ashok Leyland inayotumika na police.. 🙏 Hao Wastaafu walipiga hela nyingi sanaa na mkataba wa kutumia Toyota ulikuwa unaisha 2014 lakin wakaongeza tena kwa miaka 10. Magufuli ameingia madarakani amekuta watu tayari walishafanya mambo.. 🙏 Pale kuna commission wanapata kwenye manunuzi ya Toyota
 
WANYAMWEZI walikuwa na wanaendelea kuwa chini ya usimamizi wa UFARANSA tangu miaka ya sitini [1960's] na BENINI ni "FRENCH AUTONOMOUS GOVERNMENT" tangu kipindi cha UKOLONI hadi leo.

Wenyeji wengi wa AFRIKA YA MAGHARIBI walihamia GHANA, sasa ukiwa GHANA kila sehemu inataka kufanana na KARIAKOO, kwa namna ule umati wa watu ulivyojazana.

Wale CGP-MSTAAFU na CGF-MSTAAFU walikuwa wanaiga na walikuwa wanakosea pakubwa! Lakini WANYAMWEZI walikuwa wameshapiga hatua kubwa za kimaendeleo tangu miaka ya sitini [1960's].

Baadae yule JOSEPH KASAVUBU alifanikiwa kuwa na watoto kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ~ wakina ELIHODARI ambao sasa hivi ni wazee na wana watoto na wajukuu..😂

Lakini ukiwa kwa upande wa MATAIFA YA SIERRA LEONE au BURKINA FASO au KAMERUNI au IVORY COAST ~ kule wenyeji wa asili wapo na wanawaangalia wale walowezi waliohamia katika mataifa yao.

Sehemu nzuri ya kufanya biashara na kuwekeza katika michezo ni AFRIKA YA MAGHARIBI. Lakini siyo sehemu nzuri ya kufanya siasa, hasa kwa watu ambao ni wageni.. 🙏🏽

Wenzenu huwa wanapeleka watoto wao kwenda kucheza mpira katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI, endapo wanakuwa hawajafanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa upande wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI.
Wakina Elihodari walisomesha kiasi chake na alikuwa vjana kama wakina Ben ambao walisoma Tanga Tech, baadae chuo kikuu wakamla kichwa pale Cive-udom.. 🙏 Cjui atakua wapi saivi.. Wakina Joseph Kasavubu wapo vizuri na kizaz chake walitaka kurud Urambo kugombea ubunge..
 
Back
Top Bottom