Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Zamani watu walikuwa wanasoma sna, hata maksi zilikuwa ni kubwa.. Saivi wanafunzi wakijitahidi ni 95%
Zamani watu walikuwa wanasoma sana, nakumbuka DARASA LA SABA lilikuwa ni darasa la mitihani ~ inaanza MOKO KATA inakuja MOKO WILAYA inakuja MOKO MKOA halafu inarudi MOKO WILAYA tena na mtihani wa mwisho unakuwa ni PRE-NECTA.

6ee1704fa66f6659b7f8be7918002e1e.jpg

Baadae ndiyo wanafunzi wanakaa kumalizia mtihani wa mwisho wa DARASA LA SABA [PSLE].

Kipindi kile wanafunzi walikuwa wanasoma TUITION zaidi ya moja, unakuta mwanafunzi baada ya kutoka shule muda wa mchana, anaenda TUITION muda wa jioni na akirudi nyumbani anakutana na TABLE TEACHING.. 😂

87fb9e3fc1fd5da4fb83ea5288620643.jpg

​
Hivyo unakuta mwanafunzi anafaulu kwa kupata wastani mkubwa sana, hata walipokuwa wakiingia sekondari hali ilikuwa ni hivyo hivyo.

CamScanner 01-09-2026 13.16.jpg

​
Unakuta mwanafunzi anasoma TUITION katika sehemu mbili tofauti na vitabu anakuwa navyo, muda wa kupumzika ndiyo unakuta wanacheza mpira wa miguu.

CamScanner 01-09-2026 13.17.jpg

​
Ukija MTIHANI WA KIDATO CHA PILI unakuta wanapata DARAJA LA KWANZA na MOKO KANDA YA KIDATO CHA NNE wanafanya vizuri.

Kipindi kile cha miaka ya 2007's kupitia mtihani wa MOKO KANDA YA MAGHARIBI, kuna mwanafunzi aliongoza kwa kupata wastani wa tisini na tano [95] na huyo ndiyo alikuja kuwa MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007] kwa kupata wastani wa tisini na saba [97]..🤣

85b24d101d9d04a0a322543f2f4782ee.jpg

​
Hata walivyoingia KIDATO CHA TANO walikuwa wanasoma TUITION zaidi ya moja na kuelekea kumaliza KIDATO CHA SITA ~ wenzenu walikuwa wanatoka MABIBO MWISHO mida ya alfajiri kule jirani na shule ya LOYOLA na wanaenda MCHIKICHINI.

_20260103_195633.JPG

Wakitoka MCHIKICHINI walikuwa wanaenda MWENGE, pale MAPAMBANO kulikuwa kuna vituo vingi vya TUITION na ndiyo wale wanafunzi wawili waliokuwa wanashindia "CHIPS DUME" 🍟 na walikuwa wanarudi nyumbani mida ya usiku.. 😂

_20260103_170659.JPG

Walikuwa wanapenda kuvaa CONVERSE za rangi tofauti tofauti na vibegi mgongoni pamoja na suruali za DICKIES na t-shirt za MANGA..

MOKO KANDA YA KASKAZINI kwa upande wa KIDATO CHA SITA walikuwepo katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA na mmoja alifanikiwa kumaliza ELIMU YA KIDATO CHA SITA kama MWANAFUNZI KINARA [2010].

Kwahiyo wenzenu walikuwa wanasoma sana na maajabu pale BARAZA LA MITIHANI [NECTA] yaliisha mwaka 2010, baada ya hapo hakuna maajabu tena hadi leo.
 
Nyamka generation na hao ndo mtandao wa RA..
Wenzenu walikuwa mbele ya muda tangu siku nyingi na walifanikiwa kupiga hatua za kimaendeleo! Sasa hivi hata mpira wa miguu umebadilika..

_20260113_003356.JPG

​
Zamani mpira wa miguu ulikuwa ni mchezo wa burudani, lakini sasa hivi mpira wa miguu ni biashara inayohitaji uwekezaji wa fedha.

_20260113_003327.JPG

​
Pia kwa mataifa yaliyoendelea kama MISRI, mchezo wa mpira wa miguu unajumuisha wanamichezo waliotoka katika ROYAL FAMILIES.

_20260113_003256.JPG

Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya MISRI inajumuisha wanamichezo waliotoka ROYAL FAMILIES katika familia za kifalme, familia za marais pamoja na familia za wakuu wa majeshi wa mataifa ya falme za kiarabu.

20cdadcb79b050cc748c9686e67b7f02.jpg

Kwahiyo wale waliokuwa viongozi na wakuu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walijijenga kwa mtindo huo.

191e90c5aef29d26295eaabed9cf9b2a.jpg

Sasa hivi wana watoto na wajukuu ambao ni wanamichezo wa soka la kulipwa.
 
Zamani watu walikuwa wanasoma sana, nakumbuka DARASA LA SABA lilikuwa ni darasa la mitihani ~ inaanza MOKO KATA inakuja MOKO WILAYA inakuja MOKO MKOA halafu inarudi MOKO WILAYA tena na mtihani wa mwisho unakuwa ni PRE-NECTA.

Baadae ndiyo wanafunzi wanakaa kumalizia mtihani wa mwisho wa DARASA LA SABA [PSLE].

Kipindi kile wanafunzi walikuwa wanasoma TUITION zaidi ya moja, unakuta mwanafunzi baada ya kutoka shule muda wa mchana, anaenda TUITION muda wa jioni na akirudi nyumbani anakutana na TABLE TEACHING.. 😂

Hivyo unakuta mwanafunzi anafaulu kwa kupata wastani mkubwa sana, hata walipokuwa wakiingia sekondari hali ilikuwa ni hivyo hivyo.

Unakuta mwanafunzi anasoma TUITION katika sehemu mbili tofauti na vitabu anakuwa navyo, muda wa kupumzika ndiyo unakuta wanacheza mpira wa miguu.

Ukija MTIHANI WA KIDATO CHA PILI unakuta wanapata DARAJA LA KWANZA na MOKO KANDA YA KIDATO CHA NNE wanafanya vizuri.

Kipindi kile cha miaka ya 2007's kupitia mtihani wa MOKO KANDA YA MAGHARIBI, kuna mwanafunzi aliongoza kwa kupata wastani wa tisini na tano [95] na huyo ndiyo alikuja kuwa MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007] kwa kupata wastani wa tisini na saba [97]..🤣

Hata walivyoingia KIDATO CHA TANO walikuwa wanasoma TUITION zaidi ya moja na kuelekea kumaliza KIDATO CHA SITA ~ wenzenu walikuwa wanatoka MABIBO MWISHO mida ya alfajiri kule jirani na shule ya LOYOLA na wanaenda MCHIKICHINI.

Wakitoka MCHIKICHINI walikuwa wanaenda MWENGE, pale MAPAMBANO kulikuwa kuna vituo vingi vya TUITION na ndiyo wale wanafunzi wawili waliokuwa wanashindia "CHIPS DUME" 🍟 na walikuwa wanarudi nyumbani mida ya usiku.. 😂

Walikuwa wanapenda kuvaa CONVERSE za rangi tofauti tofauti na vibegi mgongoni pamoja na suruali za DICKIES na t-shirt za MANGA..

MOKO KANDA YA KASKAZINI kwa upande wa KIDATO CHA SITA walikuwepo katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA na mmoja alifanikiwa kumaliza ELIMU YA KIDATO CHA SITA kama MWANAFUNZI KINARA [2010].

Kwahiyo wenzenu walikuwa wanasoma sana na maajabu pale BARAZA LA MITIHANI [NECTA] yaliisha mwaka 2010, baada ya hapo hakuna m aajabu tena hadi leo.

Saiv ukiwa mchikichin na mwenge hamna wanafunz kabisa! Na walimu wengine walishakufa, zamani walikuwa wanasoma sana..
 
Wenzenu walikuwa mbele ya muda tangu siku nyingi na walifanikiwa kupiga hatua za kimaendeleo! Sasa hivi hata mpira wa miguu umebadilika..

Zamani mpira wa miguu ulikuwa ni mchezo wa burudani, lakini sasa hivi mpira wa miguu ni biashara inayohitaji uwekezaji wa fedha.

Pia kwa mataifa yaliyoendelea kama MISRI, mchezo wa mpira wa miguu unajumuisha wanamichezo waliotoka katika ROYAL FAMILIES.

Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya MISRI inajumuisha wanamichezo waliotoka ROYAL FAMILIES katika familia za kifalme, familia za marais pamoja na familia za wakuu wa majeshi wa mataifa ya falme za kiarabu.

Kwahiyo wale waliokuwa viongozi na wakuu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walijijenga kwa mtindo huo.

Sasa hivi wana watoto na wajukuu ambao ni wanamichezo wa soka la kulipwa.
Watoto wengi wa wakuu wa majeshi ya magereza na zimamoto walikuwa wanaenda ufaransa na uhollanzi..

Ufaransa ilikuwa ni kuboresha mahusiano mazur na Marekan! Halaf Uholanz ilikuwa ni kuboresha mahusiano na Urusi..

Ndo wakina Djibril Cisse hao wa Ufaransa, halaf Ujerumani kulikuwa kuna wakina Sinama wote walikuwa wanacheza timu za taifa..

Wale wakuu wa magereza na zimamoto ni matajiri had leo. Kuna mtoto wa mkuu wa jesh alisoma maswa girls miaka hiyo, walimu had leo hawatasahau..

Binti alikuwa analindwa kuliko watoto wa nyerere na alikuwa na vitabu vingi! Wenzie wanakunywa uji, yeye alikuwa na maziwa ya unga na mafuta ya kibo kuchanganyia kwenye maharage...

Nadhan ndo atakuwa huyo adc wa Samia.. Wengi ni watoto wa vishua na kama inatokea hawajaingia kumi bora basi wanaenda kuishi nje ya nchi..🙌
 
Alikuwa anaitwa FLORENT SINAMA PONGOLE, kipindi fulani waliwahi kuwa mchezampira wa miguu katika timu ya LIVERPOOL na timu ya taifa ya UFARANSA.

798fdee69ebdd3a8a2fe54898db76d63.jpg

​
Sasa hivi muda mwingi anapatikana UFARANSA na ana ndugu zake TANZANIA na TANZANIA ni nyumbani kwao!

b3d08427fc7635914d13da726c226969.jpg

​
Pia kulikuwa kuna wakina PIUS ND'IEFI wa KAMERUNI, unajua WATANZANIA wengi wanaoishi KAMERUNI huwa wanapitia BURUNDI na huwa wanaripoti katika UBALOZI WA BURUNDI unaopatikana nchini KAMERUNI.

43a66766e31c137b41573f6bd5f0be66.jpg

​
PIUS ND'IEFI ni kizazi cha viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA na hadi leo bado ana ndugu zake kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA.

1b93a44f22323871322a949de44fa36b.jpg

​
KAMERUNI ipo ukanda wa AFRIKA YA KATI na TAIFA LA BURUNDI limefanikiwa kumudu vizuri siasa za mataifa ya AFRIKA YA KATI ikiwemo SERIKALI YA KAMERUNI yenyewe.
Wale wakuu wa magereza na zimamoto ni matajiri had leo. Kuna mtoto wa mkuu wa jesh alisoma maswa girls miaka hiyo, walimu had leo hawatasahau..

Binti alikuwa analindwa kuliko watoto wa nyerere na alikuwa na vitabu vingi! Wenzie wanakunywa uji, yeye alikuwa na maziwa ya unga na mafuta ya kibo kuchanganyia kwenye maharage...

Nadhan ndo atakuwa huyo adc wa Samia.. Wengi ni watoto wa vishua na kama inatokea hawajaingia kumi bora basi wanaenda kuishi nje ya nchi..🙌
Huyo dada alikuwa akifika SHINYANGA MJINI, ile POLICE DEFENDER ilikuwa inampokea halafu inampeleka moja kwa moja hadi shuleni na wakati wa likizo POLICE DEFENDER ilikuwa inamfuata shuleni na kumleta hadi SHINYANGA MJINI.

c36d378aff5d43ecfdff44e8a28afc2e.jpg

Baada ya hapo, alikuwa anatafutiwa usafiri wa kurudi nyumbani.
 
Saiv ukiwa mchikichin na mwenge hamna wanafunz kabisa! Na walimu wengine walishakufa, zamani walikuwa wanasoma sana..
Zamani wanafunzi walikuwa wanasoma hata maksi walizokuwa wanapata kwenye MITIHANI YA TAIFA zilikuwa kubwa!

CamScanner 01-14-2026 10.42.jpg

Wenzenu walianza kusoma TUITION tangu darasa la tano hadi wanamaliza kidato cha sita na walikuwa wanapatikana KUMI [10] BORA katika MITIHANI YA MOKO yote. Hata ELIMU YA MSINGI ndiye aliyekuwa MWANAFUNZI KINARA [OP].

IMG-20260114-WA0000.jpg

​
Huyo ndiye aliyekuwa MWANAFUNZI BORA [TO] wa MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI [2005] kwa kupata wastani wa tisini na tatu [93].

b528086f20de0ef8883eafc79937c9bc.jpg

​
Lakini bado na haikuwahi kutolewa ufafanuzi na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] kuhusu matokeo ya upimaji wa kitaifa wa DARASA LA NNE na KIDATO CHA PILI, kwamba na yenyewe ipo katika ORODHA YA MITIHANI YA TAIFA inayotambulika kwa kutoa WANADIPLOMASIA au lah?

Ndiyo maana kunatakiwa kuwepo na sheria za wanafunzi wa SHULE ZA MSINGI [PRIMARY ACT] pamoja na SHULE ZA SEKONDARI [SECONDARY ACT] ili kuwepo na muongozo katika sekta ya elimu ya msingi na elimu ya sekondari.

IMG-20260114-WA0005.jpg

​
MOKO KANDA YA MAGHARIBI [2007] ndiye aliyeongoza kwa kupata wastani wa tisini na tano [95].

IMG-20260114-WA0004.jpg

​
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE [2007] ndiye aliyekuwa MWANAFUNZI BORA [TO] kwa kupata wastani wa tisini na saba [97].

IMG-20260114-WA0003.jpg

​
Hata MOKO KANDA YA KASKAZINI alifanikiwa kushika nafasi ya tatu [3] na alikuwa MWANAFUNZI KINARA [OP] kwa upande wa KIDATO CHA SITA [2010].

IMG-20260114-WA0001.jpg

​
Kwahiyo kama matokeo ya DARASA LA NNE na KIDATO CHA PILI yanatambulika katika kupata WANADIPLOMASIA, basi huyo mwanafunzi atapaswa kutunukiwa cheo cha SACP kwa upande wa JESHI LA POLISI.

images.jpeg

​
Hiyo ndiyo TANZANIA na wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO huwa wanapatikana kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
 
Watumishi wa hivyo wa nn3.. 😂 Wananchi atawakilisha wa wapi

Hapo kuna mtoto wa mkapa.. 🙏
UINGEREZA huwa wanasema UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] ni jicho au taswira ya serikali.

9fc01339976bb11254c2229047eae13a.jpg

​
Ukihitaji kufahamu mwenendo, ufanisi, tabia, muonekano na utendaji wa serikali huwa wanaangalia na kupitia UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"].

80d7e826f3db6cd09d646a130a730fc9.jpg

​
Mazingira na sifa za WATUMISHI WA UMMA pamoja na vitendea kazi vya WATUMISHI WA UMMA, ndiyo huwa vinatoa taswira ya serikali.

249fd6b4bb961c7a6c7dd7c0e921e257.jpg

Kwahiyo UINGEREZA huwa wana sheria kali za UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] kuliko taasisi nyingine za kiserikali, kwa sababu UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] unakuwa umebeba ile taswira ya kiserikali.

d1c6b2889eedc5f27692d40feac3307a.jpg

​
UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] ukichafuka, serikali nzima inakuwa imechafuka. Hivyo taasisi ya UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization" ] haipaswi kuwa na dosari.

32274e88dc1405aa89616c5aed8bfc5b.jpg

​
MISTER CLEAN alivyoingia madarakani alijaribu na kufanikiwa kwa kiasi chake katika ile namna ya kurekebisha na kuongeza ufanisi kwa upande wa UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] lakini malengo yake hayakutumia kwa asimilia mia moja [100%].

CamScanner 01-06-2026 14.07.jpg

​
Kwahiyo bado kuna maboresho ambayo yalitakiwa kufanyika na wengine walipaswa kuendelee pale alipoishia MISTER CLEAN.
 
UINGEREZA huwa wanasema UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] ni jicho au taswira ya serikali.

Ukihitaji kufahamu mwenendo, ufanisi, tabia, muonekano na utendaji wa serikali huwa wanaangalia na kupitia UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"].

Mazingira na sifa za WATUMISHI WA UMMA pamoja na vitendea kazi vya WATUMISHI WA UMMA, ndiyo huwa vinatoa taswira ya serikali.

Kwahiyo UINGEREZA huwa wana sheria kali za UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] kuliko taasisi nyingine za kiserikali, kwa sababu UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] unakuwa umebeba ile taswira ya kiserikali.

UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] ukichafuka, serikali nzima inakuwa imechafuka. Hivyo taasisi ya UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization" ] haipaswi kuwa na dosari.

MISTER CLEAN alivyoingia madarakani alijaribu na kufanikiwa kwa kiasi chake katika ile namna ya kurekebisha na kuongeza ufanisi kwa upande wa UTUMISHI WA UMMA ["parastatal organization"] lakini malengo yake hayakutumia kwa asimilia mia moja [100%].

Kwahiyo bado kuna maboresho ambayo yalitakiwa kufanyika na wengine walipaswa kuendelee pale alipoishia MISTER CLEAN.
Mtumishi wa umma kwa uingereza ni kama mchugaji wa kanisa kwa tanzania, hawatakiwi kuonekana baa akinywa bia..😂 Hata skendo chaf chaf hawatakiwi..🙏 Akionekana anafukuzwa kazi.. 😂

Mtumishi wa Umma kwa Uingereza huwa ananunua bia na kwenda kunywa nyumbani kwao, huwa hawaruhusiwi kunywa hadharani.. 🙏
 
Alikuwa anaitwa FLORENT SINAMA PONGOLE, kipindi fulani waliwahi kuwa mchezampira wa miguu katika timu ya LIVERPOOL na timu ya taifa ya UFARANSA.

Sasa hivi muda mwingi anapatikana UFARANSA na ana ndugu zake TANZANIA na TANZANIA ni nyumbani kwao!

Pia kulikuwa kuna wakina PIUS ND'IEFI wa KAMERUNI, unajua WATANZANIA wengi wanaoishi KAMERUNI huwa wanapitia BURUNDI na huwa wanaripoti katika UBALOZI WA BURUNDI unaopatikana nchini KAMERUNI.

PIUS ND'IEFI ni kizazi cha viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA na hadi leo bado ana ndugu zake kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA.

KAMERUNI ipo ukanda wa AFRIKA YA KATI na TAIFA LA BURUNDI limefanikiwa kumudu vizuri siasa za mataifa ya AFRIKA YA KATI ikiwemo SERIKALI YA KAMERUNI yenyewe.

Huyo dada alikuwa akifika SHINYANGA MJINI, ile POLICE DEFENDER ilikuwa inampokea halafu inampeleka moja kwa moja hadi shuleni na wakati wa likizo POLICE DEFENDER ilikuwa inamfuata shuleni na kumleta hadi SHINYANGA MJINI.

Baada ya hapo, alikuwa anatafutiwa usafiri wa kurudi nyumbani.

Bado mtoto kabsa huyo adc, lakini hata wakina ng'wani walikuwa wasomesha kwa bidii. Nasikia ana mtoto wa kike ambaye ni huyo r¶c wa geita
 
Zamani wanafunzi walikuwa wanasoma hata maksi walizokuwa wanapata kwenye MITIHANI YA TAIFA zilikuwa kubwa!

Wenzenu walianza kusoma TUITION tangu darasa la tano hadi wanamaliza kidato cha sita na walikuwa wanapatikana KUMI [10] BORA katika MITIHANI YA MOKO yote. Hata ELIMU YA MSINGI ndiye aliyekuwa MWANAFUNZI KINARA [OP].

Huyo ndiye aliyekuwa MWANAFUNZI BORA [TO] wa MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI [2005] kwa kupata wastani wa tisini na tatu [93].

Lakini bado na haikuwahi kutolewa ufafanuzi na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] kuhusu matokeo ya upimaji wa kitaifa wa DARASA LA NNE na KIDATO CHA PILI, kwamba na yenyewe ipo katika ORODHA YA MITIHANI YA TAIFA inayotambulika kwa kutoa WANADIPLOMASIA au lah?

Ndiyo maana kunatakiwa kuwepo na sheria za wanafunzi wa SHULE ZA MSINGI [PRIMARY ACT] pamoja na SHULE ZA SEKONDARI [SECONDARY ACT] ili kuwepo na muongozo katika sekta ya elimu ya msingi na elimu ya sekondari.

MOKO KANDA YA MAGHARIBI [2007] ndiye aliyeongoza kwa kupata wastani wa tisini na tano [95].

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE [2007] ndiye aliyekuwa MWANAFUNZI BORA [TO] kwa kupata wastani wa tisini na saba [97].

Hata MOKO KANDA YA KASKAZINI alifanikiwa kushika nafasi ya tatu [3] na alikuwa MWANAFUNZI KINARA [OP] kwa upande wa KIDATO CHA SITA [2010].

Kwahiyo kama matokeo ya DARASA LA NNE na KIDATO CHA PILI yanatambulika katika kupata WANADIPLOMASIA, basi huyo mwanafunzi atapaswa kutunukiwa cheo cha SACP kwa upande wa JESHI LA POLISI.

Hiyo ndiyo TANZANIA na wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO huwa wanapatikana kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Ss tulikuwa tunawashangaa wanafunzi waliokuwa wakihama hama shule, badala ya kutulia na kusoma.. 🙏.

Kuna wanafunzi walikuwa wakihamia shule za bweni wakiamini huko wataenda kufanya vizuri zaidi.. 😂

Kumbe uhuru inatoa wanafunzi bora kwa upande wa form two, hata 2004 ilitoa mwanafunzi bora..

Nashangaa kuona wakina ramadhani Hasan top ten 🔟, jamaa alikuwa wa tisa halafu wakina Irene na Ibrahim Ng'wan hawapo na ILBORU yao.. 😂 Zamani watu wengi walikuwa wanasoma sana. Tabora boys na girls so hakuna shule ya o'level, labda a'level..
 
Wenzenu walikuwa mbele ya muda tangu siku nyingi na walifanikiwa kupiga hatua za kimaendeleo! Sasa hivi hata mpira wa miguu umebadilika..

Zamani mpira wa miguu ulikuwa ni mchezo wa burudani, lakini sasa hivi mpira wa miguu ni biashara inayohitaji uwekezaji wa fedha.

Pia kwa mataifa yaliyoendelea kama MISRI, mchezo wa mpira wa miguu unajumuisha wanamichezo waliotoka katika ROYAL FAMILIES.

Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya MISRI inajumuisha wanamichezo waliotoka ROYAL FAMILIES katika familia za kifalme, familia za marais pamoja na familia za wakuu wa majeshi wa mataifa ya falme za kiarabu.

Kwahiyo wale waliokuwa viongozi na wakuu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walijijenga kwa mtindo huo.

Sasa hivi wana watoto na wajukuu ambao ni wanamichezo wa soka la kulipwa.
Saivi vijana wanavaa Airforce One, All Star hawajui na wanazungusha ile mbaya.. 😂
 
Mzee Maziku
Kile chama kinaitwaje cha wana shirecu?
Chale amefulia saivi! Hana hela, shireku walitaka kummaliza kabisa.. 😂 Mwisho wa ubaya ni aibu, alikuwa anamalza kreti mbili za pombe pekee yake 😄
 
Mtumishi wa umma kwa uingereza ni kama mchugaji wa kanisa kwa tanzania, hawatakiwi kuonekana baa akinywa bia..😂 Hata skendo chaf chaf hawatakiwi..🙏 Akionekana anafukuzwa kazi.. 😂
11b69049f74a78b03144248866284523.jpg

​
Wao wanaamini katika maadili ya UMMA na NIDHAMU ya kila raia mmoja mmoja ndiyo huinua TAIFA.

d1a43d685f9e3d7dc80a607f7794ec09.jpg

​
Wameenda mbali zaidi hadi kukataza VIONGOZI WA KITAIFA kupiga picha na kinywaji chochote chenye ladha ya bia.

86784ab618ed88f79c3a44eb09ef03a1.jpg

​
Lakini mataifa mengine yanaruhusu matumizi ya pombe hadharani, ilmradi sheria za nchi zifuatwe.

ba7cee0ee6b87bb515d1796dbb600e51.jpg

​
Mataifa mengine kama MAREKANI na URUSI huwa hawana pingamizi wala katazo katika matumizi ya pombe, lakini unywaji wa pombe usifanye ukavunja sheria na taratibu za nchi na hautakiwi mahala pa kazi.

52b8746a4e4f115bd457ab7ee7affce7.jpg

​
VIONGOZI WA UMMA kwa upande wa mataifa mengine huwa wanatumia bia hadharani na wala hakuna katazo lolote, ilmradi wasionekane kulewa hadharani.

64b74e3ef51dea8fe3e0921995d66410.jpg
Mtumishi wa Umma kwa Uingereza huwa ananunua bia na kwenda kunywa nyumbani kwao, huwa hawaruhusiwi kunywa hadharani.. 🙏
49be8a1fa438a6755fd99389060e12ff.jpg

​
Tunaambiwa hizo taratibu zilikuwepo TANZANIA kabla ya mwaka 1975 na zilianza kufifia baada ya mwaka 1975.
 
Bado mtoto kabsa huyo adc, lakini hata wakina ng'wani walikuwa wasomesha kwa bidii. Nasikia ana mtoto wa kike ambaye ni huyo r¶c wa geita
570ce99b49cc2646b05e45373f4b80a5.jpg

​
Wale watu waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi walisomesha kwa bidii na wengi walipeleka watoto wao kwenye majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO ~ haya ndiyo majeshi yanayofuata SE FAIRE VALOIR kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

22d78e8e4a2edaf84219218e7f649c62.jpg

​
Wale wanaoshindwa kuingia KUMI [10] BORA huwa wanapelekwa nje ya nchi kwa masomo mengine au kujiunga na klabu za michezo ya kulipwa.
 
Wao wanaamini katika maadili ya UMMA na NIDHAMU ya kila raia mmoja mmoja ndiyo huinua TAIFA.

Wameenda mbali zaidi hadi kukataza VIONGOZI WA KITAIFA kupiga picha na kinywaji chochote chenye ladha ya bia.

Lakini mataifa mengine yanaruhusu matumizi ya pombe hadharani, ilmradi sheria za nchi zifuatwe.

Mataifa mengine kama MAREKANI na URUSI huwa hawana pingamizi wala katazo katika matumizi ya pombe, lakini unywaji wa pombe usifanye ukavunja sheria na taratibu za nchi na hautakiwi mahala pa kazi.

VIONGOZI WA UMMA kwa upande wa mataifa mengine huwa wanatumia bia hadharani na wala hakuna katazo lolote, ilmradi wasionekane kulewa hadharani.

Tunaambiwa hizo taratibu zilikuwepo TANZANIA kabla ya mwaka 1975 na zilianza kufifia baada ya mwaka 1975.
Wakina nyamka ndo waliwalleta wakosovo na vurugu zote za wakongo na wahutu. Nyerere aliwakataa kabisa.. 🙏
 
Wale watu waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi walisomesha kwa bidii na wengi walipeleka watoto wao kwenye majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO ~ haya ndiyo majeshi yanayofuata SE FAIRE VALOIR kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Wale wanaoshindwa kuingia KUMI [10] BORA huwa wanapelekwa nje ya nchi kwa masomo mengine au kujiunga na klabu za michezo ya kulipwa.
Huyu ni mtoto wa nani? Mwenyekiti wa CUF na yey ana watoto Marekani, professor anawadanganya wamatumbi kuwa ni mgumba kumbe ana watoto hiace inajaa.. 😂 Wengine wamo ccm
 
Ss tulikuwa tunawashangaa wanafunzi waliokuwa wakihama hama shule, badala ya kutulia na kusoma.. 🙏.
CamScanner 01-16-2026 13.25.jpg

​
Wenzenu walikuwa wanasoma SHULENI, wanasoma TUITION na wasoma TABLE TEACHING wakiwa nyumbani.

CamScanner 01-17-2026 09.59.jpg

​
Ukiangalia MAONI YA MWALIMU WA DARASA na MAONI YA MKUU WA SHULE unaweza kuvunjika moyo, lakini baadae kwenye MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI ndiyo akawa MWANAFUNZI BORA [TO].
Kuna wanafunzi walikuwa wakihamia shule za bweni wakiamini huko wataenda kufanya vizuri zaidi.. 😂
Baada ya matokeo ya KIDATO CHA PILI, MAONI YA MWALIMU WA DARASA na MAONI YA MWALIMU MKUU yalibadilika ~ "Usiridhike na alama hizi, kazana kujisomea.."☺️

_20260117_132613.JPG

​
Wenzenu walianza kusoma hadi TUITION zinazohusu PRACTICALS za PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY.

CamScanner 01-17-2026 10.07.jpg

​
TUITION PRACTICALS za PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY zilikuwa zinahusu THEORY, ALTERNATIVE [IDEAL] PRACTICALS pamoja na REAL PRACTICALS.

CamScanner 01-17-2026 10.08.jpg

​
Wenzenu walijikuta wamemaliza kila kitu walipokuwa wanamaliza KIDATO CHA TATU na walivyofika KIDATO CHA NNE ilikuwa ni marudio..

d987606e700b1c85d699ff2dbafa5438.jpg

Kumbe uhuru inatoa wanafunzi bora kwa upande wa form two, hata 2004 ilitoa mwanafunzi bora..
2ce00a3483b387f554ca0919f213e49c.jpg
Nashangaa kuona wakina ramadhani Hasan top ten 🔟, jamaa alikuwa wa tisa halafu wakina Irene na Ibrahim Ng'wan hawapo na ILBORU yao.. 😂
_20260115_083051.JPG
Zamani watu wengi walikuwa wanasoma sana. Tabora boys na girls so hakuna shule ya o'level, labda a'level..
fe4182622593e9b4496781f9d6d49b0b.jpg
 
Back
Top Bottom