Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Ndiyo! Hata MOKO YA KASKAZINI [2010] nadhani alikuwepo katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA.

Hao wenzenu tangu BABU hadi MJUKUU wanachezea KUMI [10] BORA, nadhani na yeye ataenda kujiunga JESHI LA MAGEREZA.

Yaani wakina NYAMKA wamejijenga vizuri sana kuliko hata HAYATI MWALIMU! Hawa ndiyo "ROYAL FAMILY" ambayo haina doa wala skendo chafu kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Hata huyu CGP MZEE alikuwa ni MWANAFUNZI BORA, imefanyika kama muendelezo kutoka kizazi kimoja hadi kizazi kingine na chimbuko lao lilikuwa ni CGP RAMADHANI [REVOCATUS] NYAMKA.

Wapo vizuri kiuchumi na wanamiliki vitega uchumi vyao tangu miaka ya sabini [1970's] hadi leo.

Karibia ukoo wote upo kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hasa JESHI LA MAGEREZA na wanasoma mno. Haya mapindi ya "TUITIONS" wanapiga sana..

Kwahiyo JESHI LA MAGEREZA na MAJESHI YA POLISI na ZIMAMOTO ndiyo yamejijenga kwa misingi hiyo ~ WANAFUNZI BORA na WANAFUNZI VINARA ndiyo wanafanyika kuwa viongozi wa majeshi hayo.
Saivi watu ndo wanafanya hivyo! Magereza, Polis na Zimamoto pametulia, hata watu waliopo huko wametulia na wana miradi kibao.. 🙏

Pesa zipo nje nje tu! Hakuna lawana, ilmradi kila mtu atimize majukumu yake.. 🙏
 
Hayo yote tunayajua, hakuna ambaye hajapitia huko! Ulikuwa ukiangalia ile ripoti ya matokeo, pale kwenye MAONI YA MWALIMU WA DARASA unakuta "ongeza bidii" na makalai kibao.. 😂

Ukiangalia kuanzia matokeo ya MOKO YA KATA, MOKO WILAYA na MOKO MKOA waliokuwa wanaongoza darasani pale SHULE YA MSINGI TOWN [2003] walikuwa ni hawa..

Hawa wote ni SE FAIRE VALOIR! Mmoja aliingia KUMI [10] BORA katika masomo mawili yaliyosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na mwingine aliingia KUMI [10] BORA katika masomo matatu yaliyosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na kufanikiwa kuwa MWANAFUNZI KINARA [2003].

Safari ya kujijenga KIUCHUMI ikaanzia hapo baada ya kupewa zawadi ya jengo linalopatikana OYSTERBAY, DAR ES SALAAM.

KIDATO CHA NNE wote walifanikiwa kuingia katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na mmoja alifanikiwa kuwa MWANAFUNZI BORA na kupewa zawadi ya TOYOTA LANDCRUISER.

Yaani hakuna kuacha kitu! Kwenye safari ya kujijenga, maumivu lazima yawepo! Hakuna kuacha kitu..🙏🏽

Sasa hivi mwenzenu ana jengo maeneo ya OYSTERBAY, DAR ES SALAAM pamoja na gari mbili aina ya TOYOTA LANDCRUISER.

Ukisoma kwa bidii, kila kitu kinawezekana. Hakuna cha SHULE ZA VIPAJI MAALUM wala nini..🙏🏽
Hizo zawadi za majengo na magari watawapeni, sema kuna mwingine utafikiri hakuongoza sekondari.. 😂

Eti ameuza nyumba ya Oysterbay na amenunua malori. Eeh! Bongo sekta ya usafirishaji imeshikiliwa na serikali.. 🙏

Bora mbakie huko huko kwenye majeshi, huko ccm wataenda watoto wenu.. 🙏
 
Ndiyo! Hata MOKO YA KASKAZINI [2010] nadhani alikuwepo katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA.

Hao wenzenu tangu BABU hadi MJUKUU wanachezea KUMI [10] BORA, nadhani na yeye ataenda kujiunga JESHI LA MAGEREZA.

Yaani wakina NYAMKA wamejijenga vizuri sana kuliko hata HAYATI MWALIMU! Hawa ndiyo "ROYAL FAMILY" ambayo haina doa wala skendo chafu kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Hata huyu CGP MZEE alikuwa ni MWANAFUNZI BORA, imefanyika kama muendelezo kutoka kizazi kimoja hadi kizazi kingine na chimbuko lao lilikuwa ni CGP RAMADHANI [REVOCATUS] NYAMKA.

Wapo vizuri kiuchumi na wanamiliki vitega uchumi vyao tangu miaka ya sabini [1970's] hadi leo.

Karibia ukoo wote upo kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hasa JESHI LA MAGEREZA na wanasoma mno. Haya mapindi ya "TUITIONS" wanapiga sana..

Kwahiyo JESHI LA MAGEREZA na MAJESHI YA POLISI na ZIMAMOTO ndiyo yamejijenga kwa misingi hiyo ~ WANAFUNZI BORA na WANAFUNZI VINARA ndiyo wanafanyika kuwa viongozi wa majeshi hayo.
Nyamka alitakiwa kuwa rais wa Tanzania mwaka 1975..🙏
 
Jaribu kuangalia hiyo video! Hata hapo kuna mtoto wake katika hayo mahojiano. Hao watu wamepiga hatua kubwa sana.

Yaani sehemu zote ambazo timu za SIMBA SC na TP MAZEMBE zilitaka kuhamia kuna idadi kubwa ya WATANZANIA [hasa wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA].

342a2f632f6cb2c2678828a4d56893d0.jpg

Sehemu hizo ni JINJA nchini UGANDA! MOMBASA nchini KENYA na NDOLA nchini ZAMBIA.
 
Jaribu kuangalia hiyo video! Hata hapo kuna mtoto wake katika hayo mahojiano. Hao watu wamepiga hatua kubwa sana.

Yaani sehemu zote ambazo timu za SIMBA SC na TP MAZEMBE zilitaka kuhamia kuna idadi kubwa ya WATANZANIA [hasa wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA].

Sehemu hizo ni JINJA nchini UGANDA! MOMBASA nchini KENYA na NDOLA nchini ZAMBIA.

Ndola wapo watanzania kibao! Hata Malawi, kule familia ya spika Mkwawa ndo ilipohamia na wao wamefanya kama chifu Makwaia..

Pale Kalenga hawakuacha hata ndugu mmoja! Waliweka wakongo na wakosovo, huyo dogo ambaye ni chifu sio hata kizazi cha chifu Mkwawa.. 🙏

Yupo yupo tu na yeye anakula mbunye na hela za wajinga wajinga.. 😂
 
_20251225_125157.JPG

​
Familia ya CHIFU MKWAWA wapo BLANTYRE, MALAWI na wanapata stahiki zote kama familia ya aliyewahi kuwa kiongozi wa bunge.

Pia kulikuwa kuna viongozi wa bunge kama wakina CHIFU MANG'ENYA. Sijui sasa hivi wapo wapi?
Pale Kalenga hawakuacha hata ndugu mmoja! Waliweka wakongo na wakosovo, huyo dogo ambaye ni chifu sio hata kizazi cha chifu Mkwawa.. 🙏
184aeed6c12530f26069c175cacff4f6.jpg

​
Wao walifanya kama UCHIFU WA BUSIA, lakini UCHIFU WA BUSIA ni sehemu ya utawala kwa upande wa TAIFA LA TOGO na UCHIFU WA KALENGA wameenda kuwa WALOWEZI kwa upande wa TAIFA LA MALAWI.
Yupo yupo tu na yeye anakula mbunye na hela za wajinga wajinga.. 😂
DSC_0004.JPG

​
Kuna kipindi nilikuwa natoka MBEYA, nimefika ile barabara ya IRINGA - MBEYA nilikutana na RANGE ROVER imeandikwa namba za usajili "MKWAWA"..😂
 
Saivi watu ndo wanafanya hivyo! Magereza, Polis na Zimamoto pametulia, hata watu waliopo huko wametulia na wana miradi kibao.. 🙏

Pesa zipo nje nje tu! Hakuna lawana, ilmradi kila mtu atimize majukumu yake.. 🙏
Sasa hivi pametulia sana.
 
Hizo zawadi za majengo na magari watawapeni, sema kuna mwingine utafikiri hakuongoza sekondari.. 😂
99cdac52d2b7de249f6393f0d38d9180.jpg

​
WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA huwa wanapewa zawadi zao za magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER.

bfda58820eb3e77adf54f65470fbc9ca.jpg

​
Sema huwa kuna VISHOKA, wao wanatoa milioni hamsini [Tshs. 50, 000,000] halafu wanatembea gari lenye thamani zaidi ya milioni mia moja [> Tshs. 100,000,000].

_20251202_230510.JPG

Mfumo wa URASIMU [BUREAUCRACY] ndiyo chanzo cha matatizo yote! Unakuwa na watumishi wa umma was*nge was*nge tu.. 😂

b126cf592720eb9e5457bd19fa5922c9.jpg

​
Wanafunzi wanasoma kwa bidii na wanahangaika huku na kule hadi wanafanikiwa kuongoza kitaifa! Lakini inapofika muda wa kupokea zawadi zao, wanapatikana VISHOKA.. 😬

f5788b96f0edc4a3195ec0a92177b373.jpg
Eti ameuza nyumba ya Oysterbay na amenunua malori. Eeh! Bongo sekta ya usafirishaji imeshikiliwa na serikali.. 🙏
Ni haki yake! Ile nyumba ya OYSTERBAY ilikuwa ni mali yake halali, kama aliamua kuuza na kufanya biashara ni jambo jema.
Bora mbakie huko huko kwenye majeshi, huko ccm wataenda watoto wenu.. 🙏
a7d2570733ca6ba67fcdbf5d2a36e3a9.jpg

​
MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA hasa majeshi ambayo yanapatikana katika WIZARA YA MAMBO YA NDANI ["PARAMILITARY"] ndiyo huwa yanapaswa kuongoza na kusimamia idara ya utumishi wa umma ["PARASTATAL ORGANIZATIONS"] na hii inafanyika kwa mataifa yaliyoendelea kama TAIFA LA UINGEREZA.

caa7f810fc68c1c5f5484c35eca3e1aa.jpg

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yaliyo chini ya WIZARA YA MAMBO YA NDANI ndiyo wanaosimamia idara ya utumishi wa umma.

3abe65e9b8b54dbfb211eb1ca3923111.jpg

Kwa upande wa TAIFA LA AFRIKA YA KUSINI, wao walienda mbali zaidi hadi kuwa na WIZARA YA JESHI LA POLISI inayojitegemea.

dde2f8d88f7bda3b53b70ec26de8cc6f.jpg

Kwahiyo TANZANIA bado tupo nyuma, lakini ndiyo tunapoelekea huko na tutafika.
 
Familia ya CHIFU MKWAWA wapo BLANTYRE, MALAWI na wanapata stahiki zote kama familia ya aliyewahi kuwa kiongozi wa bunge.

Pia kulikuwa kuna viongozi wa bunge kama wakina CHIFU MANG'ENYA. Sijui sasa hivi wapo wapi?

Wao walifanya kama UCHIFU WA BUSIA, lakini UCHIFU WA BUSIA ni sehemu ya utawala kwa upande wa TAIFA LA TOGO na UCHIFU WA KALENGA wameenda kuwa WALOWEZI kwa upande wa TAIFA LA MALAWI.

Kuna kipindi nilikuwa natoka MBEYA, nimefika ile barabara ya IRINGA - MBEYA nilikutana na RANGE ROVER imeandikwa namba za usajili "MKWAWA"..😂
Hao ndo kizazi cha Mkwawa.. 🙏
 
WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA huwa wanapewa zawadi zao za magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER.

Sema huwa kuna VISHOKA, wao wanatoa milioni hamsini [Tshs. 50, 000,000] halafu wanatembea gari lenye thamani zaidi ya milioni mia moja [> Tshs. 100,000,000].

Mfumo wa URASIMU [BUREAUCRACY] ndiyo chanzo cha matatizo yote! Unakuwa na watumishi wa umma was*nge was*nge tu.. 😂

Wanafunzi wanasoma kwa bidii na wanahangaika huku na kule hadi wanafanikiwa kuongoza kitaifa! Lakini inapofika muda wa kupokea zawadi zao, wanapatikana VISHOKA.. 😬

Ni haki yake! Ile nyumba ya OYSTERBAY ilikuwa ni mali yake halali, kama aliamua kuuza na kufanya biashara ni jambo jema.

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA hasa majeshi ambayo yanapatikana katika WIZARA YA MAMBO YA NDANI ["PARAMILITARY"] ndiyo huwa yanapaswa kuongoza na kusimamia idara ya utumishi wa umma ["PARASTATAL ORGANIZATIONS"] na hii inafanyika kwa mataifa yaliyoendelea kama TAIFA LA UINGEREZA.

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yaliyo chini ya WIZARA YA MAMBO YA NDANI ndiyo wanaosimamia idara ya utumishi wa umma.

Kwa upande wa TAIFA LA AFRIKA YA KUSINI, wao walienda mbali zaidi hadi kuwa na WIZARA YA JESHI LA POLISI inayojitegemea.

Kwahiyo TANZANIA bado tupo nyuma, lakini ndiyo tunapoelekea huko na tutafika.
Watanzania wanaenda Sauzi kushangaa magorofa tu, lakini mambo ya msingi hawaoni wala kusikia. Kule kuna wizara ya polisi.. 🙏
 
Kazi ya JESHI LA POLISI katika masuala yanayohusu MENEJIMENTI NA UTAWALA ["MANAGEMENT AND ADMINISTRATION"] ni UKAGUZI WA KIUTAWALA ["ADMINISTRATIVE INSPECTIONS"] na hii ipo kwa mujibu wa SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

784880742c9beb086e0a63e1c014761c.jpg

​
UKAGUZI WA KIUTAWALA unahusisha usimamizi wa idara ya utumishi wa umma na una mchango mkubwa katika kudumisha viwango vya juu katika kila idara.

58df91990b59346238c5c4404e6174b9.jpg

UKAGUZI WA KIUTAWALA unahakikisha kuwa taratibu za kiutawala na kiufundi zinafanyika kwa ufanisi, tija na kuzingatia kanuni! Jambo ambalo linachangia utayari na weledi wa utumishi wa umma katika kutoa huduma za kijamii.

IMG-20251226-WA0001.jpg

Kwahiyo TANZANIA bado tupo nyuma, lakini ndiyo tunapoelekea huko na tutafika.
 
Hao ndo kizazi cha Mkwawa.. 🙏
Chuma kilikuwa kimeng'ata lami vibaya mno! Pale maeneo ya msituni kilipita kama upepo.. 😂

IMG-20251226-WA0002.jpg

​
Nilivyofika MAFINGA MJINI kidogo nikapumua, lami moja kwa moja hadi DARAJA LA MTERA! Ukishafika DODOMA, SHINYANGA inakuwa ni kugusa tu.. 🙏🏽

IMG-20251226-WA0003.jpg

​
Sasa wakati wa kurudi nilipitia TABORA, kule SIKONGE barabara ya kwenda SUMBAWANGA halafu unakata pale kwenye T - JUNCTION, maeneo ya IPOLE..

IMG-20251226-WA0004.jpg

Baada ya hapo nikula vumbi hadi unafika MAKONGOLOSI na unapita vijiji vingi utafikiri hawaishi watu huko.. 😂
 
Chuma kilikuwa kimeng'ata lami vibaya mno! Pale maeneo ya msituni kilipita kama upepo.. 😂

Nilivyofika MAFINGA MJINI kidogo nikapumua, lami moja kwa moja hadi DARAJA LA MTERA! Ukishafika DODOMA, SHINYANGA inakuwa ni kugusa tu.. 🙏🏽

Sasa wakati wa kurudi nilipitia TABORA, kule SIKONGE barabara ya kwenda SUMBAWANGA halafu unakata pale kwenye T - JUNCTION, maeneo ya IPOLE..

Baada ya hapo nikula vumbi hadi unafika MAKONGOLOSI na unapita vijiji vingi utafikiri hawaishi watu huko.. 😂
Kule kuna vijiji kama mgodin na Kambikatoto.. 🙏
 
Hizo zawadi za majengo na magari watawapeni, sema kuna mwingine utafikiri hakuongoza sekondari.. 😂

Eti ameuza nyumba ya Oysterbay na amenunua malori. Eeh! Bongo sekta ya usafirishaji imeshikiliwa na serikali.. 🙏

Bora mbakie huko huko kwenye majeshi, huko ccm wataenda watoto wenu.. 🙏
Sasa hivi kuna vituo vya radio karibia kila wilaya, lakini suala la elimu wameweka kando! Hasa ELIMU YA MSINGI na ELIMU YA SEKONDARI.

_20251226_125112.JPG

Zamani ilikuwa ikifika kila siku ya jumamosi, kunakuwa na kipindi cha maswali na majibu karibia vituo vyote vya radio na wanafunzi wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI walikuwa wanachaguliwa kutoka SHULENI na wanaenda kushiriki kipindi cha maswali na majibu kwa njia ya radio.

_20250917_212806.JPG

Sasa hawa wenzenu walienda RADIO FARAJA, kipindi hicho ndiyo imeanza! Maswali na majibu yalikuwa yameegemea katika masomo ya MAARIFA YA JAMII na KISWAHILI.

_20250917_212806.JPG

Jamaa alikuwa ni mtaalam wa kuchora moyo na kuelezea vizuri! Maswali na majibu yalipoanza, mtangazaji akauliza swali kuhusu moyo na jamaa akajibu vizuri sana. Studio nzima ilikaa kimya na mwenzie alikaa kimya hadi kipindi kikaisha..

Hilo swali kuhusu moyo wa binadamu lilikuja kutoka katika MTIHANI WA TAIFA na mwenzie aliyekuwa kimya pale studio alipata hamsini ya hamsini [50/50] na jamaa alikuwa KUMI [10] BORA katika SOMO LA MAARIFA YA JAMII.

9a41954bf9055071c879714c886d8787.jpg

​
Hata walivyoingia sekondari hali ilikuwa hivyo hivyo! Ukihitaji kufahamu mwanafunzi wa kwanza hadi mwanafunzi wa mwisho darasani, subiri MITIHANI YA MOKO!

33e4d947b605d7263e8f077d1adc1ab1.jpg

​
Haya masomo ya PHYSICS pamoja na MATHEMATICS, mwenzenu alianza kuongoza tangu MOKO KANDA YA MAGHARIBI [2007]. Ikaja NECTA YA KIDATO CHA NNE [2007] akaongoza tena!

355f889242e44604f807104c4ab5d664.jpg

Hata alivyoingia KIDATO CHA TANO hali ilikuwa hivyo hivyo! Haya masomo ya PHYSICS pamoja na MATHEMATICS aliongoza MOKO YA KANDA YA KASKAZINI [2009]. Ikaja NECTA YA KIDATO CHA SITA [2010] akaongoza tena!

dfe2a0315b801ed946112df98d244ec5.jpg

​
Kwahiyo MITIHANI YA MOKO ndiyo huwa kipimo sahihi cha MITIHANI YA TAIFA na kitu kingine ambacho huwa kimesahaulika ~ MWANAFUNZI BORA pamoja na MWANAFUNZI KINARA lazima wawe miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA MOKO.
 
Uzi mzuri.
Kwa LUGHA NYEPESI, yale matokeo ya WANAFUNZI KUMI [10] BORA kwa upande wa MOKO KATA, MOKO WILAYA, MOKO MKOA na MOKO KANDA ndiyo huwa yanayotoa MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na MWANAFUNZI KINARA [OP's] kwa upande wa MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.

Ikitokea wamepatikana MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na MWANAFUNZI KINARA [OP's], lakini hawapo katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA kwa upande wa MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au MOKO KANDA huwa wanaondolewa na nafasi ya MWANAFUNZI BORA inaenda kwa mwanafunzi aliyeshika nafasi ya pili.

Kigezo kinachotumika kinakuwa ni lazima mtahiniwa awe miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA katika matokeo ya MOKO.

b173b1e091021d1ffe050862f659d4ea.jpg

​
Kwahiyo mchakato mzima huwa unakuwa hivyo, hadi watahiniwa wanatangazwa kuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's] na WANAFUNZI VINARA [OP's] katika matokeo ya DARASA LA SABA au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA na wakifikisha miaka thelathini na tano [35] wanavishwa vyeo vya kijeshi kwa mujibu wa SHERIA.
 
Sasa hivi kuna vituo vya radio karibia kila wilaya, lakini suala la elimu wameweka kando! Hasa ELIMU YA MSINGI na ELIMU YA SEKONDARI.

Zamani ilikuwa ikifika kila siku ya jumamosi, kunakuwa na kipindi cha maswali na majibu karibia vituo vyote vya radio na wanafunzi wa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI walikuwa wanachaguliwa kutoka SHULENI na wanaenda kushiriki kipindi cha maswali na majibu kwa njia ya radio.

View attachment 3520887

Sasa hawa wenzenu walienda RADIO FARAJA, kipindi hicho ndiyo imeanza! Maswali na majibu yalikuwa yameegemea katika masomo ya MAARIFA YA JAMII na KISWAHILI.

Jamaa alikuwa ni mtaalam wa kuchora moyo na kuelezea vizuri! Maswali na majibu yalipoanza, mtangazaji akauliza swali kuhusu moyo na jamaa akajibu vizuri sana. Studio nzima ilikaa kimya na mwenzie alikaa kimya hadi kipindi kikaisha..

Hilo swali kuhusu moyo wa binadamu lilikuja kutoka katika MTIHANI WA TAIFA na mwenzie aliyekuwa kimya pale studio alipata hamsini ya hamsini [50/50] na jamaa alikuwa KUMI [10] BORA katika SOMO LA MAARIFA YA JAMII.

Hata walivyoingia sekondari hali ilikuwa hivyo hivyo! Ukihitaji kufahamu mwanafunzi wa kwanza hadi mwanafunzi wa mwisho darasani, subiri MITIHANI YA MOKO!

Haya masomo ya PHYSICS pamoja na MATHEMATICS, mwenzenu alianza kuongoza tangu MOKO KANDA YA MAGHARIBI [2007]. Ikaja NECTA YA KIDATO CHA NNE [2007] akaongoza tena!

Hata alivyoingia KIDATO CHA TANO hali ilikuwa hivyo hivyo! Haya masomo ya PHYSICS pamoja na MATHEMATICS aliongoza MOKO YA KANDA YA KASKAZINI [2009]. Ikaja NECTA YA KIDATO CHA SITA [2010] akaongoza tena!

Kwahiyo MITIHANI YA MOKO ndiyo huwa kipimo sahihi cha MITIHANI YA TAIFA na kitu kingine ambacho huwa kimesahaulika ~ MWANAFUNZI BORA pamoja na MWANAFUNZI KINARA lazima wawe miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA MOKO.
Huyo jamaa alkuwa wa nne kwenye maarifa ya jamii! Shule ya mwenge ilikuwa kelele nyingi, lakini hamna lolote. Town ni shule kwa hapo Shinyanga.. 😂
 
Back
Top Bottom