Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Jeshin huwa wanafundisha imani ya kidini na familia ndo nguzo ya mafanikio.. πŸ™
 
Huyo Rais wa ivory coast alkuwa ni mdogo wake na Jomo Kenyata..πŸ™

Yeye ndo alikuwa amesoma akiwa na umri mdogo na alikuwa watatu kwenye mtihani wa taifa. Town hapo..
Tunaambiwa hivyo.. πŸ™πŸ½
Alikosa sifa ya kupigania uhuru kwa upande wa Tanganyika, hivyo aliamia katika makoloni ya kifaransa na kwenda kuishi ivory coast.. πŸ™
Alifanikiwa kumaliza DARASA LA NNE [MIDDLE SCHOOL] akiwa ni mwanafunzi wa tatu [3] na MUINGEREZA alihitaji mpigania uhuru ambaye aliwahi kuwa MWANAFUNZI BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na kushika nafasi ya tano [5].
Hata yeye alibeba watanzania wengi kupitia Kenya. Ni watu wenye bahat sanaaaaa na matajiri mno.

​
Hao watu ni matajiri sana na walifanikiwa kufahamu umuhimu wa kufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu kipindi KENYA inapata uhuru kutoka kwa UINGEREZA.
 
Tanzania waliangalia faida yao tu! Viongozi wengi walipata Hella kutoka kwa wahutu na wakongo.. πŸ™ Rwanda, Burundi na KONGO zipo chini ya Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ..
Tofauti kati ya KENYA na TANZANIA ilianza baada ya mataifa hayo kupata uhuru wao kutoka kwa UINGEREZA.

Kilicholeta tofauti hadi leo kwa mataifa hayo yanayopatikana AFRIKA YA MASHARIKI, kutofautiana KIUCHUMI ni milengo na mitizamo ya kisiasa.


​
Hawa wote ni WATANGANYIKA waliofanikiwa kutafuta na kupata uhuru nchini KENYA kutoka kwa UINGEREZA.

​

Lakini baadae tunaambiwa FRED KUBAI alirudi TANGANYIKA na kuishi ARUSHA baada ya kutokea sintofahamu dhidi ya HAYATI MZEE JOMO na nafasi ya MAKAMU URAIS ilienda kwa HAYATI ODINGA OGINGA.


​
Hawa watu walipiga siasa sana, hata taarifa za vifo vyao hazikuwa za kweli maana tunaambiwa kipindi cha vita vya UGANDA na TANZANIA ~ HAYATI MZEE JOMO alikuwa TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA na ndiyo aliyeongoza harakati za kumuondoa HAYATI IDD AMIN kwa mapigano ya kijeshi.


​
Yaani KENYA ndiyo iliyopigana vita dhidi ya UGANDA kwa kutumia ardhi ya nyumbani, TANZANIA na ndiyo waliomuweka RAIS WA UGANDA, YOWERI KAGUTA MUSEVENI.


​
Hata HAYATI MOI aliongoza nchi kwa mgongo wa HAYATI MZEE JOMO, kipindi chote cha utawala wake ~ HAYATI MZEE JOMO alikuwepo, though that's a myth.. πŸ™πŸ½

​
Baadae alikuja HAYATI MWAI KIBAKI na SERIKALI YA KENYA ilikuwa imewekeza nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

​

Hatimaye RAIS UHURU KENYATTA na sasa hivi tupo kwenye utawala wa WILLIAM RUTO, KENYA imeendelea kupiga hatua kubwa sana za kiuchumi.
Kipindi kile cha miaka ya 94, ndo tukajua kuwa Moi alifanya kazi pale Majibradia - shinyanga mjini na mtoto wake wa kwanza alizaliwa Muhimbili.. πŸ™

​
HAYATI MOI alisoma na kufanya kazi TANZANIA, kabla ya kuhamia nchini KENYA na kufanikiwa kuwa RAIS.

HAYATI MOI alifanya kazi MAJIBRADIA [sasa hivi inaitwa SHUWASA] kabla ya kuhamia na kuwa RAIS WA KENYA.
 
Kuzaa na kulea watoto ni mpango mzur wa Mungu! Hao watu wamelaaniwa full stop πŸ›‘..Wanabinuana had wanavunja chaga za vitanda!

Wanapandisha Miguu juu ya dalii, baadae tulee na kusomesha watoto wao?? Sis sio wahutu wala wakongo au wakosovo .. πŸ™
 
Jomo Kenyata alikuwepo hata kpindi ambacho rpf wanavamia Rwanda
 
Kuzaa na kulea watoto ni mpango mzur wa Mungu! Hao watu wamelaaniwa full stop πŸ›‘..Wanabinuana had wanavunja chaga za vitanda!
Wengine walianza kuingia KUMI [10] BORA tangu MOKO KATA, ikaja MOKO WILAYA wamo tu! MOKO MKOA wamo! NECTA ya darasa la saba wamo.. πŸ˜‚


​
MOKO KANDA YA MAGHARIBI wamo! MOKO KANDA YA KASKAZINI wamo na sasa hivi wanamiliki zawadi zao jirani na BAHARI BEACH, DAR ES SALAAM na TOYOTA LANDCRUISER mbili..

​

Hao wenzenu walifanikiwa kuingia KUMI [10] BORA katika MITIHANI YA MOKO yote kuanzia DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA.

​
Wanapandisha Miguu juu ya dalii, baadae tulee na kusomesha watoto wao?? Sis sio wahutu wala wakongo au wakosovo .. πŸ™
​
Wengine hawawezi kuwa kama WAHUTU au WAKOSOVO, hayo ni makosa ya viongozi waliopita!
 
Jomo Kenyata alikuwepo hata kpindi ambacho rpf wanavamia Rwanda
HAYATI MWALIMU alikosea sana na aliamini TANZANIA ingeliweza kufanikiwa kuwa taifa lenye uchumi mkubwa kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI kutokana na rasilimali za madini na vivutio vya utalii.


​
Baadae waliamua kupuuzia sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], wakiamini rasilimali na vivutio vya utalii ndiyo vitakuza uchumi wa TANZANIA.


​
Lakini KENYA ilikuwa inafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na walifanikiwa kuingia katika soko la dunia.


​
Sasa hivi wanamiliki kampuni nyingi na pato la MAZDA kwa mwaka ni mara tatu ya faida ya utalii inayopatikana katika MLIMA KILIMANJARO.

​

Kwahiyo KENYA imefanikiwa kuwa na uchumi mkubwa kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI kutokana na kufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu na taifa likifanikiwa kufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA, hata milango katika soko la dunia inafunguka.
 
Wanafunzi bora na vinara ndo huwa wanaajiriwa na jeshi la polisi! Wengine wote ni mwendo wa kula makubaliano.. πŸ™
 
Wajinga sanaaaaa! Hadi leo Tanzania haifuati sheria za kimataifa vizuri.. πŸ™
 
Wajinga sanaaaaa! Hadi leo Tanzania haifuati sheria za kimataifa vizuri.. πŸ™
KENYA walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi.


​
Wanafanya siasa sana! Jamaa familia yake ambayo ni mke na watoto hawapo kwenye ulingo wa siasa na wala huwa hawaonekani kwenye majukwaa ya siasa.. πŸ˜‚


​
Hawa wote walifanya hivyo hivyo! Ijapokuwa HAYATI RAILA alikubali mke wake pamoja na mtoto wake wa kike ashiriki siasa za KENYA.


​
Huyu ndiyo mtoto wa HAYATI RAILA ambaye anatumia utambulisho wa RAILA na anashiriki siasa za KENYA. Wengine wote siyo.. πŸ˜‚

​

Kwahiyo KENYA walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na kufanya siasa tangu siku nyingi sana.
 
Wanafunzi bora na vinara ndo huwa wanaajiriwa na jeshi la polisi! Wengine wote ni mwendo wa kula makubaliano.. πŸ™

​
Ndiyo maana wenzenu wametulia kama hawapo na miaka thelathini na tano [35] ikifika tu, mishahara inaanza kuingia mwezi huo huo.

​

Unaweza kuona askari analipwa mshahara wa SP au SSP au hata ACP na hajawahi kuonekana kazini.

​

Hao huwa wanakuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].
 
Kenya wapo mbali sanaa
 
Washukuru mfumo umewaokoa, tofauti na hapo vilaza wangewakimbiza kitaani.. πŸ˜‚
 
Wajinga sanaaaaa! Hadi leo Tanzania haifuati sheria za kimataifa vizuri.. πŸ™

​
Kwahiyo HAYATI MWALIMU alifanikiwa kuongoza TAIFA LA TANZANIA katika kipindi cha miaka zaidi ya ishirini [20], lakini kuna baadhi ya mambo alikosea sana ambayo yanaendelea kuligharimu TAIFA LA TANZANIA hadi leo.

​

Lakini ile kashfa ya kuweka "THE DEAD PRESIDENT" ilikuwa ni mfumo na siyo makosa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…