Watu hawakulala wik sita depo, halafu mnakuja mnawaambia habari za sp cjui acp bila hata kunyolewa VIPARA.. π€£ Hapo lazima kuwe kuna shida.. π
CONVERSE au wengine wanaita ALL STAR huwa tunawekwa pembeni halafu wanauliza buti unavaa namba ngapi?Watu hawakulala wik sita depo, halafu mnakuja mnawaambia habari za sp cjui acp bila hata kunyolewa VIPARA.. π€£ Hapo lazima kuwe kuna shida.. π
Nimecheka snaa.. π Picha za matakoni wanabaki nazo π€£Unafikiri ni kipara tu! Hadi MATAK*NI lazima ukaguriwe, lile jicho lote linapigwa picha! Yaani ukaguzi unafanyika wa mwili mzima na picha wanabaki nazo..
Lakini kama ulikuwa mkali darasani, wanachukua vipimo vya nguo halafu unavaa gwanda la kaki na mishahara inaingia kama kawaida. DEPO utaenda siku nyingine.. π€£
Kitu cha pyu pyu kama mpendazoe, alivyopewa bastola akawa mwehu kabisa..πCONVERSE au wengine wanaita ALL STAR huwa tunawekwa pembeni halafu wanauliza buti unavaa namba ngapi?
Ukisema saizi! Wakati huo huo unapewa buti zako, begi la mgongoni na bastola ikiwa risasi.. π€£
TANZANIA ukishakuwa MWANAFUNZI BORA au MWANAFUNZI KINARA tayari unakuwa umetoboa!
Hao ndo Kenya π°πͺAlafu huo usinga wa Kenyatta , sijui aliutolea wapi muda wote kwenye ziara anao , kama kamchape
Alafu huo usinga wa Kenyatta , sijui aliutolea wapi muda wote kwenye ziara anao , kama kamchape
Hawa wenzenu walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi.Hao ndo Kenya π°πͺ
Hao ndo Kenya π°πͺ
Tanzania ilikuwa zamani, saivi wanaiharibu kwa mikono yao wenyewe.. πHawa walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na walifanikiwa kuzaa na kulea watoto wengi!
Wanajaribu kuiga na kufuata ule mtindo wa maisha ya UINGEREZA. Hata yule mwanamama wa ICC aliyekuwa anaitwa FATOU BENSUDA ni kizazi cha HAYATI MZEE JOMO.
Sema bado haijawa wazi, kama ni yule FATOU BENSUDA wa kutoka katika TAIFA LA GAMBIA au FATUMATA DIAWARA ambaye ni msanii wa kike kutoka katika TAIFA LA MALI.
Lakini tunaambiwa wanalea na kutunza watoto wao vizuri kwa kufuata zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia UNICEF PARENTING.
Sasa hivi ukiwa KENYA inatambulika kama CIVILIZED SOCIETY. Lakini kwa upande wa TANZANIA imekuwa ni tofauti, kwani mwaka 1975 ~ CHAMA CHA TANU na ASP viliuzwa na kununuliwa na jeshi, ikiwa ni shinikizo la kutaka kufanya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya utawala wa HAYATI MWALIMU.
Tunaambiwa mwaka 1975 ilikuwa ni mwaka wa mapinduzi baridi, kwani HAYATI MWALIMU alikuwa hana tena ile nguvu na mamlaka ndani ya CHAMA CHA TANU na AFRO-SHIRAZ.
Hawa ndiyo waliokuwa nyuma ya muungano wa TANU na ASP [1977] na kulizaliwa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Kwahiyo kwa kipindi chote hicho, wenye chama tawala pamoja na serikali ni JESHI na HAYATI MWALIMU alifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na KISIASA.
Hawa ndiyo waliobadilisha TANZANIA kutoka katika ule mtindo wa CIVILIZED SOCIETY na kuwa HOSTILE SOCIETY ["huu mtindo una sifa na tabia zake] wala haufuati sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu na inafanya ACADEMIC GENOCIDE.
Lakini sasa hivi kuna jukumu kubwa la kurudisha jamii ya kitanzania kuwa katika ule mtindo wa CIVILIZED SOCIETY ambao ulikuwepo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].
Hao watu wanahela mpaka wanaumwa! Wakila wakishiba wanawaza kuzaa tu, wana watoto wengi eeh..KENYA ndiyo huwa inatumia kigezo cha utu katika kukuza "HUMANITY INDEX" na wanazaa na kulea watoto wengi sana.
Wenzenu huwa wanafanya kutambulisha watoto wao katika medani za kimataifa kupitia taasisi za ulinzi na usalama.
Wao wanakuwa wanafahamika kupitia taasisi za ulinzi na usalama, lakini uraiani inakuwa ni ngumu kuwatambua kwa sababu asilimia kubwa wanakuwa wanatumia utambulisho tofauti wa majina ya ukoo.
Kwahiyo KENYA ndiyo imekuwa ikijijenga kwa namna hiyo na diplomasia yao ipo juu kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI.
Wamekuwa was*nge was*nge tu! SARAKASI zimekuwa nyingi na TANZANIA ilianza kuharibika mwaka 1995.Tanzania ilikuwa zamani, saivi wanaiharibu kwa mikono yao wenyewe.. π
Mwingine yupo DAR ES SALAAM, ni mtoto wa kike na anamiliki kampuni ya kufanya usafi wa mazingira katika maofisi na sehemu mbalimbali. Hiyo kampuni inapatikana katika MKOA WA GEITA na inaitwa [...].Hao watu wanahela mpaka wanaumwa! Wakila wakishiba wanawaza kuzaa tu, wana watoto wengi eeh..
Jamaa ana watoto wa kiume wanacheza mpira kwenye timu ya taifa ya mali, wapo afcon..
Jamaa ana mtoto mwingine wa kiume yupo Mara, Tarime maeneo ya nyamongo na wanafanana mno.. π Huwa anatengeneza elution columns
Mkapa kishatoka yule! Lakini Tanzania inaenda kama Kongo, ndo wakongo walivyokuwaga..Wamekuwa was*nge was*nge tu! SARAKASI zimekuwa nyingi na TANZANIA ilianza kuharibika mwaka 1995.
Hata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] hawafuati na WATANZANIA wengi walianza kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kipindi hiki.
WATANZANIA wengi walihama taifa lao! Sasa hivi ukiwa NAIJERIA, IBADANI ni sehemu ambayo ina idadi kubwa ya watu ambao ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wengine walianza kuhamia BENINI.
DIASPORA WA KITANZANIA wanaoishi NAIJERIA walitaka kufanana na DIASPORA WA KITANZANIA wanaoishi AFRIKA YA KUSINI, kwani na wao waliomba fedha ili wawekeze viwanda nchini NAIJERIA kutokana na uhaba wa ajira.
Lakini idadi yao imezidi kile kiwango kinachotakiwa kwa mujibu wa SHERIA ZA JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].
Kwahiyo hali halisi ndiyo ipo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na kuna makosa ambayo yanatakiwa kusahihishwa.
Saivi utaratibu lazima ufatwe, kuasili mtoto ambae sio wako inatakiwa police na ustawi wa jamii wajue.. πHawa wenzenu walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi.
UNICEF PARENTING ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] na MATAIFA YA MAGHARIBI pamoja na ULAYA yamekuwa yanatumia malezi ya watoto kama kipimo cha utu.
Kama imetokea mzazi au mlezi ameshindwa kulea mtoto au watoto kutokana na sababu mbalimbali, kile kipimo cha utu au ubinadamu kinakuwa kipo chini au hakipo kabisa. Wao wanaita ni "HUMANITY INDEX".
Kuzaa na kulea watoto huwa ni kipimo cha utu [HUMANITY INDEX] na huwa inatumika kwa mataifa yaliyoendelea.
UINGEREZA na MAREKANI ndiyo huwa wanazingatia sana uwepo wa raia kuwa na familia, kuzaa na kulea watoto kama kipimo cha utu, yaani HUMANITY INDEX.
Sasa WANASIASA WA KENYA wamekuwa wakitumia hiki kipimo cha utu katika kukuza HUMANITY INDEX na wamefanikiwa.
VIONGOZI pamoja na WATU MASHUHURI wamekuwa wakitumia muda kupiga picha na kujenga mahusiano na watoto ili kukuza kile kigezo cha utu, yaani HUMANITY INDEX.
Hata wasanii wamekuwa wakitumia na kujenga mahusiano na watoto katika kujenga ule uwepo wao katika jamii.
Wasanii wa muziki na kazi mbalimbali za sanaa wanatumia muda kupiga picha na watoto katika kukuza kazi zao za sanaa.
Kwahiyo kigezo cha utu kwa mtu binafsi huwa kinapimwa kupitia familia, kuzaa na kulea watoto.
Lakini wale WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] kama wenyeji wa asili wa MATAIFA YA KONGO na YUGOSLAVIA huwa hawawezi kuishi na wenza wao kwa uvumilivu hata kulea watoto waliowazaa wao wenyewe inakuwa ni vigumu kutokana na kuathirika kisaikolojia.
Tanzania ilikuwa zamani, saivi wanaiharibu kwa mikono yao wenyewe.. π
MISTER CLEAN ndiyo aliyenufaika na fedha za WAKONGOMANI kwa kiasi kikubwa. MISTER ZERO aliambulia USD 40,000,000 pekee yake na wengine waliokuwa maafisa waandamizi wa serikali kwa wakati huo walikuwa na mgao wao.Mkapa kishatoka yule! Lakini Tanzania inaenda kama Kongo, ndo wakongo walivyokuwaga..
Hao watu siyo wazuri hata kujihusisha nao, wao ndiyo walianza kufirisi KONGO na baadae wakaja WALOWEZI.Wakongo walikuwa wanahama kwao, ila wakifika huko walipo amia wanaanza kuomba hela kwao.. π
Hao watu ni matajiri sana ndiyo wanapatikana hapa [Login β’ Instagram] wakiwa nchini BRAZILI.Baadae wakajikuta wanafirisi nchi wao wenyewe na maendeleo wasipate...
Wanamiliki kampuni za kibiashara nyingi na ndiyo wamebakiza EQUATORIAL GUINEA pamoja na SAO TOME.Walikuwa wakiomba hela, wanapewa mifuko imejaa almasi na dhahabu wanaenda kuuza, then wanapata hela za kuwekeza..
Mobutu alihamia Gambia na mtoto wake ndo alikuwa rais wa Gambia π¬π².. Wakongo wengi walihamia Gaboni na nchi yao imebaki na umasikini mkubwa..
Huo ni mtandao wa kupiga fedha za serikali na unafanyika kwa ustadi mkubwa sana kiasi ambacho kama huna akili za 4G au 5G, hauwezi elewa kitu.. πSasa Hela walizoomba Burkina Faso kwa Tanzania unaweza kujenga reli ya sgr nyingine kutoka Dar hadi Kigoma..
Hiyo ndiyo michezo wanayotumia kupiga fedha za serikali! Idadi ya diaspora wa kitanzania ilikuwa imevuka ile idadi inayotakiwa tangu 2005.Hii siasa ni ya kijeshi na inafanywa na magereza, saivi wanapeleka watu Burkina Faso na wanapiga hela mno kupitia hiyo michezo.. π
Saivi utaratibu lazima ufatwe, kuasili mtoto ambae sio wako inatakiwa police na ustawi wa jamii wajue.. π
Watu wanapigana miti huko halafu wao wanaondoka na wanatuachia watoto wao! Wanatiana madole huko.. π.
Huo sio utamaduni wa mtanzania, hata maadil ya mtanzania hayapo hvyo.. π
KENYA wapo vizuri sana, hata upinzani wa kisiasa waliotengeneza umeimarisha TAIFA LA KENYA.Hao ndo Kenya π°πͺ
Huo mfumo hatuutak..
Tunaambiwa HOSTILE SOCIETY ina sifa tano [5] kwa idadi yake na serikali ikiamua kuwa HOSTILE SOCIETY huwa inachukua miaka ishirini hadi miaka arobaini kuweza kuona matokeo.
Huwa ni "GRADUAL PROCESS" ambayo inachukua miongo kadhaa na siyo "RAPID PROCESS" kama watu wengi wanavyodhani na TANZANIA ilibadilika kutoka "CIVILIZED SOCIETY" na kuwa "HOSTILE SOCIETY" tangu mwaka 1975 hadi leo.
Mataifa kama UINGEREZA, UJERUMANI na ITALIA huwa hawawezi kuishi katika "HOSTILE SOCIETY" huwa wanaondoka na kuhamia katika mataifa mengine ambayo ni "CIVILIZED SOCIETY" ~ ndiyo maana TANZANIA waliondoka na kuwaacha WAKOSOVO.
Yaani mwisho wa "HOSTILE SOCIETY" huwa ni mapigano kama ilivyokuwa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA.