Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kipindi wanahamia gambia waliambiwa wakatulie huko na wasijihusishe na siasa. Lakini mobutu alitoa hela na kuweza kutambulika nchini gambia..

Saivi mtoto wake ni Rais wa gambia, hizo nchi za afrika ya magharib nyingi zipo chin ya ufaransa na wajaluo waliohamia kongo wengi walienda gambia..

Gambia ni kanchi kadogo kanakopatikana ndani ya senegal, baadae na wahutu wakaanza kutaka Lesotho ya afrika ya kusini..

Lakini Kongo ipo chini ya Kenya, na ukiwa bukavu kuna wakenya wengi sana.. πŸ˜ƒ
 
Saivi Kenya ipo imara kuliko Tanzania iwe kisiasa, kibiashara, kielimu, kiulinzi hata kidiplomasia.. πŸ™Halaf wanazaa watoto wengi na wana hela ile mbaya.. πŸ˜‚
 
Saivi Kenya ipo imara kuliko Tanzania iwe kisiasa, kibiashara, kielimu, kiulinzi hata kidiplomasia.. πŸ™Halaf wanazaa watoto wengi na wana hela ile mbaya.. πŸ˜‚
Sasa COLLATERAL DAMAGE huwa inafanyika katika mataifa ambayo yameamua kuwa na mfumo wa "HOSTILE SOCIETY".


Hii ndiyo huwa nyenzo na silaha ya kukabiliana na changamoto yoyote inayojitokeza katika jamii.

​

Hao wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA ndiyo huwa wataalamu wa kufanya COLLATERAL DAMAGE na mara nyingi inatumika na kufanikiwa sana nchini TANZANIA kwa sababu imeonekana WATANZANIA ni wepesi wa kutoa na kupokea RUSHWA.
 
Kagame aliunda kikosi kaz cha kupambana na wakongo..🀣 Cjui kama ataweza, maana wale watu wanazaa halaf wanasambaza watoto.. πŸ˜‚ Wale watu ni pasua vichwa..
 
Huyo binti ntafatilia na alkuwa headgirl wa uhuru Secondary! Ngoja nipakue faili lake.. πŸ™
 
Burkina Faso waliomba trilioni tatu! Eeh, hizo pesa zote za nini? πŸ˜‚ Wakati bado kuna watoto wanakaa chini na hakuna madawat..πŸ™

Bora warudi tujenge Tanzania, Burkina Faso ina wenyewe na hatuwezi kuwekeza nguvu za kimaendeleo huko kwenye mataifa ya watu..

Walikuwa Wanatuona sis ni wajinga sanaaa..🀣
 
Hiyo ndiyo SIASA inayofanyika na majeshi ambayo yaliruhusu mataifa yao kuwa HOSTILE SOCIETY.


​
Angalia TAIFA LA VENEZUELA, lina idadi ya watu milioni ishirini na tisa [29,000,000] lakini lina idadi ya diaspora milioni tisa [9,000,000]. Sijui TANZANIA hali ikoje..


​
VENEZUELA ni HOSTILE SOCIETY na ilikuwa inavunja sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].


​
Wenzenu wanapeleka raia wao nje ya nchi, halafu wanaanza kuomba fedha kupitia WIZARA YA MAMBO YA NJE ili kukidhi tatizo la ajira, wakiwa nje ya nchi. Hivyo wanakuwa wanafirisi taifa lao wao wenyewe..


​
Kwahiyo mabadiliko ya kisiasa huwa yanafanyika na mara nyingi mataifa ambayo ni HOSTILE SOCIETY huwa hayadumu.
 
Kagame aliunda kikosi kaz cha kupambana na wakongo..🀣 Cjui kama ataweza, maana wale watu wanazaa halaf wanasambaza watoto.. πŸ˜‚ Wale watu ni pasua vichwa..

​
Hawatoweza kufanikiwa! Kwa sababu WAKONGOMANI wapo wengi na idadi yao inaweza kuwa zaidi ya milioni mia nne [>400,000,000].


​
Wale wenzenu walianza kusambaa tangu miaka ya hamsini [1950's] na walikuwa wanaendelea na utamaduni wa kuzaa na kusambaza watoto wao.

Yaani walikuwa wakizaa, wanasambaza watoto wao katika familia mbalimbali na walikuwa wanatumia majina ya kifamilia na kiukoo katika familia na koo ambazo walikuwa wanalelewa.

​

Wanamiliki uchumi wao ambao kwa kiasi kikubwa umejengeka nje ya mataifa yao ya asili ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.


​
Kwahiyo itawawia vigumu kuweza kupambana na WAKONGOMANI na wao walisema watarudi katika mataifa yao ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.
 
Tanzania ina watu million 300 ambao wapo ndani na nje ya nchi.. Ila wakongo wamefanikiwa kujipachika ktk familia za Kitanzania kutokana na kukosa elimu hasa kwa watu wa vijijn.. πŸ˜‚
 
Ndo siasa hiyo..πŸ™ Hapa Tanzania kuna Rais atakuja kukamatwa hivyo.. πŸ˜‚
 
Du kambona alikuwa anakula yai kama mayi aisee!
 
Tanzania ina watu million 300 ambao wapo ndani na nje ya nchi..


Hata huyu BENNIE MANN ni MTANZANIA ambaye anaishi JAMAIKA na anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI.

Tunaambiwa kuna WATANZANIA wengi wanaishi katika TAIFA LA JAMAIKA, lakini bado haijafahamika ni kwanini TANZANIA inakuwa na raia hata sehemu ambayo kunakuwa hakuna uwakilishi wa kibalozi.


​
Ila wakongo wamefanikiwa kujipachika ktk familia za Kitanzania kutokana na kukosa elimu hasa kwa watu wa vijijn.. πŸ˜‚
Ndiyo! Huwa wanaenda kwa watu ambao hawana elimu au wale watu ambao ni walevi wa pombe, halafu wanawaachia watoto wao.


Hiyo imekuwa ni kasumba, desturi na utamaduni wa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
 
Hata Sean Kingston ni mtanzania, ila hao wakongo ni laana kabisaa. Hauwez kuacha watoto wadogo kwa watu wengine, hao ni malaika.. πŸ™
 
Saivi Kenya ipo imara kuliko Tanzania iwe kisiasa, kibiashara, kielimu, kiulinzi hata kidiplomasia.. πŸ™Halaf wanazaa watoto wengi na wana hela ile mbaya.. πŸ˜‚

​
Hata huyu GRIGEDIA JENERALI FELIX KULAYIGYE ni kizazi chao! Pia ni msemaji wa JESHI LA UPDF, hawa ndiyo wenye SERIKALI YA UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬.


​
RAIS MUSEVENI aliwekwa madarakani na SERIKALI YA KENYA, siyo TANZANIA.


​
Kwahiyo RAIS MUSEVENI amefanikiwa kujijenga KIUCHUMI, lakini wenye SERIKALI YA UGANDA ni KENYA na hao ndiyo waliojenga HIMA EMPIRE.
 
Hata Sean Kingston ni mtanzania,

​
Hata huyu LADY OF RAGE [1993] ni MTANZANIA anayeishi MAREKANI. Pia kulikuwa kuna wakina CUBA GOODING JR. ambaye anajishughulisha na sanaa ya uigizaji pale HOLLYWOOD.


​
WATANZANIA wapo wengi wanaoishi MAREKANI na idadi yao imevuka kile kiwango kinachotakiwa.

Sasa hivi idadi kubwa ya diaspora wa kitanzania wanaoishi MAREKANI wanahamia VISIWA VYA KARIBIANI.


​
Hata huyu CHUCK D wa PUBLIC ENEMY [1987] ni MTANZANIA anayeishi MAREKANI. Kundi zima la PUBLIC ENEMY ni WATANZANIA..

ila hao wakongo ni laana kabisaa. Hauwez kuacha watoto wadogo kwa watu wengine, hao ni malaika.. πŸ™
Ukiwa pale METROPOLITAN POLICE, REMERA kuna stori nyingi sana kuhusu KONGO na wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.


​
Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO ndiyo waliokuwa nyuma ya MAUAJI YA KIMBARI [1994].


​
Waliingia makubaliano na WASUKUMA waliokuwa wakiishi katika mataifa ya TANZANIA, KENYA na UGANDA ili kuwaondoa WAJALUO waliokuwa wakitawala mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.


​
Wao ndiyo waliodhamini uvamizi wa kivita katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO na walifanikiwa kuwaondoa WAJALUO waliokuwa wakitawala katika mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO ambao walikuwa ni HAYATI HABYARIMANA [ijapokuwa huyu wanasema alikuwa ni mwenyeji wa asili wa BARIADI], HAYATI NTARYAMIRA na HAYATI MOBUTU.

​

Kwahiyo walifanikiwa kuwaondoa WAJALUO na sasa hivi wao ndiyo wanaamua nani awe RAIS WA KONGO, kwa sababu wao ndiyo wenye SERIKALI YA KONGO na walishakabiziwa hati ya nchi yao, ndiyo maana wana hela hadi leo.

​

Lakini yale mataifa ya RWANDA na BURUNDI bado yanaendelea kuwa chini WASUKUMA ambao walifanikiwa kuhamia nchini KENYA.


​
KONGO inapitishwa kwenye misukosuko ya kivita ili wale WAJALUO waliosalia pale KONGO waondoke na idadi kubwa wanahamia GAMBIA na GABON, tunaambiwa hata nauli huwa wanapewa ili waondoke.
 
Kongo hawawezi kuishi kwa kuvumiliana bila ya vurugu, ndo maana walitawanywisha na serikali yao kwenye mataifa mengine ili waishi kwa amani. Na serikali yao inaingia gharama ya kuwahudumia huko walipo.. πŸ™
 
Museveni amejijenga kiuchumi na alishatoka yule.. πŸ˜‚
 
Kongo hawawezi kuishi kwa kuvumiliana bila ya vurugu, ndo maana walitawanywisha na serikali yao kwenye mataifa mengine ili waishi kwa amani. Na serikali yao inaingia gharama ya kuwahudumia huko walipo.. πŸ™
Watajua wao wenyewe! Lakini haitokuja kujirudia tena TANZANIA kuwa "BATTLEGROUND" kwa siasa za mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

​

Yale yalikuwa ni makosa yaliyofanywa na viongozi waliopita. Sasa hivi wanapaswa kurudi kwao na kujenga upya mataifa yao ya asili. KONGO ni nzuri sana.

Pia siyo vizuri kuwa na mafungamano na watu ambao wameshindwa kuishi kwa kuvumiliana wao wenyewe. Wale wana matatizo yao na hayawezi kuisha leo wala kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…