Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Pale Rwanda, Shinyanga vijijini ndo walikuwa wameshikilia RAF na wanamaruban weng wa kurusha ndege za kivita
TANZANIA yenyewe ndiyo ilikuwa inataka kuwafanya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] kuwa kama WAHUTU.


​
Lakini wao wenyewe hawana hela za kuwatosha na wameshindwa kwenda na wakati kulingana na mabadiliko ya nchi. Sasa hivi WATANZANIA wengi wanasoma na wanafanya vizuri katika MITIHANI YA SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI.


​
Wameenea kila sehemu ambapo kuna uwekezaji wa serikali, wao wanategemea feva na fursa zinazopatikana katika ofisi za kibalozi nje ya nchi.


​
Kwahiyo wale askari wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa wakati huu watakuwa wanafahamu namna ya kujipanga, sababu fursa za serikali huwa zipo na haziwezi kuisha, kikubwa unatakiwa watoto wakihamia ng'ambo uwe na kitu cha kuwekeza, siyo wakati wakurudi waje wakute hamna kitu na waanze upya.
 
Huwa wanatia najisi kwenye ardhi ya nchi, lakini inategemea na idadi yao. WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa hawaruhusiwi kuwa na mafungamano na WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS].


​
Hata kuchangamana na walevi wa pombe kupita kiasi huwa hawaruhusiwi! Pia huwa wanashauriwa kuepuka makundi yanayochochea tabia zenye ukakasi na wanashauriwa kuvumilia endapo itakuwa ni ndugu wa karibu, kama mzazi au mlezi.

Sasa hivi BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] wameenda mbali zaidi, hata huu utamaduni wa kimagharibi "western culture" wanaukataa kutokana na matukio ya kijamii kuwa mengi kama mapenzi ya jinsia moja, ugaidi na uvamizi wa kivita.

​

Kwahiyo italeta taswira mbaya, kama endapo ikitokea WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] watahusishwa na matukio yatakayokuwa yanaleta ukakasi katika jamii.
 
Hata kinywaji cha RedBull kinamilikiwa na Tanzania! Mwinyi alinunua kampuni nyingi za kibiashara katika utawala wake na kuna watanzania wanafanya kaz huko had leo.. πŸ™πŸ½
Wale watu waliokuwa karibu na serikali ndiyo wanayafahamu haya mambo! Serikali ilinunua kampuni nyingi za kibiashara, kipindi cha MZEE RUKSA.
 
Kitu kingine, askar yoyote aliyesomea fani ya ualimu huwa anatumika na wizara ya elimu kwenye majesh na huwa wanaungana na wanafunzi bora katika kutimiza majukum ya wizara ya elimu kwenye majesh ya ulinzi na usalama.
 
Hata kinywaji cha RedBull kinamilikiwa na Tanzania! Mwinyi alinunua kampuni nyingi za kibiashara katika utawala wake na kuna watanzania wanafanya kaz huko had leo.. πŸ™πŸ½

​
Hata ile DIGITAL SATELLITE TELEVISION [DSTV] pamoja na SUPERSPORT inamilikiwa na serikali tangu utawala wa MZEE RUKSA na wafanyakazi wengi ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

WASWAHILI huwa wanasema "ukitaka kumtoa nyoka aliyeingia ndani ya chungu, hutakiwi kuingiza mkono ndani ya chungu maana atakung'ata! Unatakiwa kutikisa kile chungu na nyoka atatoka mwenyewe..". Kwahiyo ukitaka kuwaondoa hao watu kwenye mfumo, unatakiwa kufuata sheria ile kikamilifu.
 
Wanafunzi wa Nindo walikuwaga wanapewa majibu! Hata Chris Brown, mzaz wake alisoma shule ya msingi ya Azimio na aliwah kuwa askari mwenye cheo kikubwa cha Zimamoto..
Alumni wa SHULE YA AZIMIO wapo wengi na ilishawahi kutoa MARAIS pamoja na MAWAZIRI WAKUU kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA! MAJENERALI WA KIJESHI ndani na nje ya nchi.


​
Hata YOHANA MADAKI alikuwa ni alumni wa SHULE YA AZIMIO na alifanya vizuri sana akiwa GAVANA WA JIMBO LA OLD GONGOLA, 1985 nchini NAIJERIA katika utawala wa JENERALI IBRAHIM BABANGIDA. SHULE YA AZIMIO ni shule ya VIPAJI MAALUM kwa upande wa shule za msingi.. πŸ˜‚
Wale viongozi wastaafu wa majesh weng walipeleka familia zao ulaya ili kuficha aibu, sema wengine wamerudi Tanzania na kwenye baraza la mawazir la Mama Samia wapo.. πŸ™πŸ½

​
Sasa hivi watakuwa wamefahamu na wamejifunza wapi walipokuwa wanakosea! Walifanikiwa kwenda ng'ambo na wamerudi TANZANIA huku wakikuta wale waliokuwa wamewaacha wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo.


​
Ila kuna wengine walifanikiwa kupata biashara za matangazo huko ughaibuni na kufanikiwa kufungua kampuni ya usafirishaji ya mizigo na kiwanda cha kuchakata pamba kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


​
Kwahiyo hali halisi ndiyo ilikuwa hivyo na wale waliokuwa wastaafu wa majeshi miaka ya sitini [1960's] hadi themanini [1980's] wengi walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].


​
Idadi kubwa walikuwa ni wahitimu wa shule zilizokuwa zinapatikana katika MKOA WA SHINYANGA kama AZIMIO, MAPINDUZI, MSUFINI na TOWN.


​
Tunaambiwa ilikuwa wakimaliza darasa la nne au darasa la saba na kupangiwa shule ya kujiunga kidato cha kwanza, ndiyo wanakuwa wamehamia huko huko hata baada ya kumaliza kidato cha nne au kidato cha sita.


​
Wenzenu ndiyo walikuwa wanasambaa kwa namna hiyo na walikuwa wanakutana kipindi cha kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA, JKT.
 
Wanafunzi wa Nindo walikuwaga wanapewa majibu! Hata Chris Brown, mzaz wake alisoma shule ya msingi ya Azimio na aliwah kuwa askari mwenye cheo kikubwa cha Zimamoto..

​
Hata wazazi wa SOL CAMPBELL na ASHLEY COLE ni alumni wa AZIMIO, kasoro THIERRY HENRY anayeoneka katika picha ambaye mzazi wake alikuwa ni alumni wa MAPINDUZI ambaye baadae alikuja kuwa CGF.
 

​
Hiyo shule ya msingi ya AZIMIO kulikuwa kuna kila dalili ya kuvuja kwa mitihani au kupewa majibu ya mtihani siku ya mtihani wa taifa.


​
Maana tangu imeanza kigezo cha mitihani ya moko kama kigezo cha mtihani wa taifa, hiyo shule haijawahi kutoa mwanafunzi bora wala mwanafunzi kinara kitaifa.


​
Kwahiyo ile ilikuwa ni siasa ya nchi iliyokuwa ikiongozwa na HAYATI MWALIMU mwenyewe katika ile hatua ya kuwajengea uwezo watu wake, lakini baadae ndiyo waliomgeuka na kumuondoa madarakani.

​

Ijapokuwa tangu imeanza mitihani ya moko kama kigezo cha mitihani wa taifa, haijawahi tokea mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ameongoza na imethibitika kuwa walikuwa wanafanya vizuri sana katika MITIHANI YA TAIFA YA DARASA LA NNE [4] pamoja na DARASA LA SABA [7] pekee yake.
 
Hiyo shule walikuwa wanafundwisha na waingereza, hata Jomo Kenyatta alienda kusoma pale lakin hakupata nafas na akaambiwa hiyo shule ilikuwa inachukua watu wa Nindo tu..

Jomo Kenyatta ndo akaenda kusoma Town! Azimio Imetoa watu wengi sana, hata Emeke Anyauko aliyewah kuwa katibu mkuu wa oau alisoma hapo..

Hadi leo wanafunzi wao huwa wanasambaa katika shule kubwa kubwa lakin hata moko kata huwa wanashindwa na shule ya lubaga.. πŸ™πŸ½
 
Hata wazazi wa SOL CAMPBELL na ASHLEY COLE ni alumni wa AZIMIO, kasoro THIERRY HENRY anayeoneka katika picha ambaye mzazi wake alikuwa ni alumni wa MAPINDUZI ambaye baadae alikuja kuwa CGF.
Baba mzaz wa Koulibaly alisoma azimio, wanafunz weng wa Azimio wanaish nje ya nchi na walkuwa wanapelekwa na serikal za Nyerere, Mwinyi na Mkapa..
 
Jamaa amejitahid, hio jineri ipo Maswa na wananunua pamba
 
Utashi wa kiuongozi walikuwa hawana wakina Magufuli! Walitaka kuwaondoa watu wa Nindo laivu laivu, lakin wakamuwai wao..

Hata Diwani wao ndo walitaka kumuondoa, lakin ikawa bahat nzuri kwake! Hao ndo tisi na wamejaa hawana hata kazi..

Kwa mda mrefu wamekua wakiongoza Tanesco na Njia sahihi ni kufuata sheria na askar wote waanzie Jwtz, hapo ndo watawaweza lakin tofauti na hapo itakuwa ni vigumu.. πŸ™πŸ½
 
Jamaa amejitahid, hio jineri ipo Maswa na wananunua pamba
​

Wapo diaspora wa kitanzania waliojiongeza na walifanikiwa, lakini wengine wamerudi mikono mitupu unajua mataifa ya watu weupe huwa ni ngumu sana kufanikiwa.. 😍


​
Lakini wengine bado wapo na wanaendelea na kazi za kusimamia na kukagua miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.


​
Hicho kiwanda cha kutengeneza bia za PITON ni kikubwa na wanamiliki bidhaa za FRUTA JUICE kwa upande wa VISIWA VYA KARIBIANI. Sema tenda nyingi za kutangaza bidhaa zinapatikana kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].


​
Serikali imejitahidi kuwekeza hadi visiwa vya SAINT LUCIA, lakini hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wakikosa fursa na feva za serikali huko ughaibuni huwa wanajiingiza kwenye matukio na kesi zao zimekuwa nyingi sana nchini MAREKANI.


​
Huyu pia ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na amekumbana kesi ya madai siku chache zilizopita nchini MAREKANI.

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wakikosa fursa na feva za serikali huwa wanaangukia kwenye makosa ya madai pamoja na makosa jinai na mara nyingi huwa wanakutwa na hatia.
 
Baba mzaz wa Koulibaly alisoma azimio, wanafunz weng wa Azimio wanaish nje ya nchi na walkuwa wanapelekwa na serikal za Nyerere, Mwinyi na Mkapa..
​

Ndiyo na familia yao ilikuwa upande wa HAYATI MWALIMU na waliamua kuachana na wale waliokuwa viongozi wastaafu wa majeshi ya MAGEREZA, ZIMAMOTO na kidogo POLISI, 1975!

​

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa watanzania wa kwanza kucheza soka la kulipwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


​
Pia kulikuwa kuna wakina PERCY TAU ambao wamefanikiwa kucheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa.


​
Kwahiyo ule uasi ulionza kutokea mwaka 1975 hadi mwaka 1985, ulimjenga HAYATI MWALIMU kiuchumi kiasi ambacho hadi leo yupo vizuri.


​
Pia wamejitahidi kuwekeza katika mataifa ya MASHARIKI YA KATI kupitia TAIFA LA MISRI na ndiyo wamiliki halali wa klabu ya mpira wa miguu yenye mataji mengi ya CAF CHAMPIONS LEAGUE.
 
Watoto wa wastaaf wa majesh wana shida sanaa, hapo kelele zingepigwa kama ingekua ni sisiem.. πŸ˜‚ Lakin ikiwa upande wao wanapiga kimya..

Wana watoto wazuri sanaa, sema Nindo hawajatulia na wanatakiwa wakazalishwe na wanaume wa Kishapu ili wapate mbegu nzuri.. πŸ™πŸ½
 
Hata wazazi wa SOL CAMPBELL na ASHLEY COLE ni alumni wa AZIMIO, kasoro THIERRY HENRY anayeoneka katika picha ambaye mzazi wake alikuwa ni alumni wa MAPINDUZI ambaye baadae alikuja kuwa CGF.
Shule ya azimio ilishawah kutoa wanafunzi kumi Bora wote kitaifa, had wanafunzi aliyeshika nafas ya 11 alitoka azimio na nafas ya 12 ilishikwa na mwanafunzi wa shule nyingine.. πŸ˜‚

Lakin maajab yalikuwa wakiingia sekondari walikuwa hawafanyi vizuri na weng walikuwa wanatoka na four had zero..

Watu Ilibid wagome na wengine wakaanza kutoka bariadi na Kishapu kwenda kusoma hapo, lakin ilikuwa ni ngumu kupata nafasi.. Hapo ndo ilianza mitihani ya moko kama kigezo cha mitihani ya taifa

Nyerere alitoka Nindo na kuja shinyanga mjin kwa Anko wake ili apate nafas ya kusoma Town school na alikuwa akiish majengo ya zaman..

Huo mkoa umetoa viongozi wengi sanaa na wengine walikuwa wanatoka Kongo kuja kusoma shinyanga na zaman mkoa wa shinyanga ulikuwa unaitwa Inyanga.. πŸ™πŸ½
 
Wanasiasa wa zaman walikuwa wanazaa watoto wengi halaf walikuwa wana hela, hata Moise Katumbi na Romario wa Brazil ni ndugu wa baba moja na timu yao ni Tp Mazembe


​
Hawa wa saiv wanajaribu kuish kama wahutu, fucking off hata hela hawana lakini kutwa kusubiria na kutegemea vitu vya serikal..

​

Wanategemea magepu ya visawani ili watoto wao wa kike wakaruke ruke na vichupi huko. Hawana akili, halaf ss wanataka kutuachia watoto wao tuwalelee.. πŸ˜‚
 
Sheria nyingine ya UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kwa upande wa elimu ambayo huwa haisemwi mara nyingi huwa ni "MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anatakiwa kupata DIVISION ONE au DIVISION TWO katika mitihani itakayofuatia. Lakini ikitokea amepata DIVISION THREE au DIVISION FOUR au DIVISION ZERO basi nafasi yake ya UANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na UANAFUNZI KINARA [OP's] itakuwa ni batili na ataondelewa katika nafasi yake ya UANAFUNZI BORA [TO's] au UANAFUNZI KINARA [OP's] na nafasi hiyo itakwenda kwa mwanafunzi aliyeshika nafasi ya pili.


​
Sasa hivi, hiyo sheria ya UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kwa upande wa elimu wameboresha na kuongeza kuwa "WANAFUNZI KUMI [10] BORA KITAIFA huwa wanatakiwa kupata DIVISION ONE au DIVISION TWO katika mitihani itakayofuatia. Lakini ikitokea mwanafunzi amepata DIVISION THREE au DIVISION FOUR au DIVISION ZERO basi nafasi yake katika KUMI [10] BORA itakuwa ni batili na ataondelewa katika nafasi yake na nafasi hiyo itakwenda kwa mwanafunzi aliyefuatia katika wale WANAFUNZI KUMI [10] BORA na hii huwa inafanyika katika kile kipindi ambapo muhutimu atakuwa katika mchakato wa kufikisha miaka thelathini na tano [35].


​
Sasa wale wenzenu ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanaifahamu hii sheria tangu mwanzo na ndiyo maana wale waliokuwa wanafanikiwa kuongoza kitaifa walikuwa wanaishia elimu ya msingi na walikuwa hawaendelei na elimu ya sekondari.


​
Ndiyo maana miaka ya zamani ulikuwa unaona MAJENERALI na WAKUU WA KIJESHI elimu zao ni msingi tu na hawakuweza kuendelea na elimu ya sekondari. Hao walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na kulikuwa kuna ulaghai, udanganyifu na sintofahamu katika matokeo yao ya shule za msingi.

Kwahiyo wenzenu baada ya kufamika, wao walifanikiwa kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Hiyo shule ya msingi ya AZIMIO waliiacha, lakini wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa wanaongoza BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] kwa kipindi kirefu sana, hivyo waliendelea kufanya mambo yao huko walipokuwa na wamefanikiwa kupitisha watu wao wengi sana pale BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na sasa hivi wana wasomi wengi.
 
Nindo ndo walikuwa wamejificha kwenye mfumo katolik au mfumo kristu, hata Nimrod Mkono alisoma azimio na kwenye Biashara zake amejaza watu wa Nindo tu. Wafanyakaz wa Benki M wote ni watu wa nindo.. πŸ™πŸ½
 
Nindo ndo walikuwa wamejificha kwenye mfumo katolik au mfumo kristu, hata Nimrod Mkono alisoma azimio na kwenye Biashara zake amejaza watu wa Nindo tu. Wafanyakaz wa Benki M wote ni watu wa nindo.. πŸ™πŸ½
Alumni wa SHULE YA AZIMIO wengi walihamia RWANDA baada ya mwaka 1994 na idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo wanapoishi kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…