Shule ya azimio ilishawah kutoa wanafunzi kumi Bora wote kitaifa, had wanafunzi aliyeshika nafas ya 11 alitoka azimio na nafas ya 12 ilishikwa na mwanafunzi wa shule nyingine.. 😂
Lakin maajab yalikuwa wakiingia sekondari walikuwa hawafanyi vizuri na weng walikuwa wanatoka na four had zero..
Watu Ilibid wagome na wengine wakaanza kutoka bariadi na Kishapu kwenda kusoma hapo, lakin ilikuwa ni ngumu kupata nafasi.. Hapo ndo ilianza mitihani ya moko kama kigezo cha mitihani ya taifa
Nyerere alitoka Nindo na kuja shinyanga mjin kwa Anko wake ili apate nafas ya kusoma Town school na alikuwa akiish majengo ya zaman..
Huo mkoa umetoa viongozi wengi sanaa na wengine walikuwa wanatoka Kongo kuja kusoma shinyanga na zaman mkoa wa shinyanga ulikuwa unaitwa Inyanga.. 🙏🏽
Ngoja tuwape kitu kingine ambacho ni cha mwisho kwa upande wa sekta ya elimu, tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] ~ TANZANIA haijawahi kupeleka raia wake ambaye ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA kitaifa katika mataifa ya magharibi kwa ajili ya ufadhili wa kimasomo.Itoshe kusema UZI umevamiwa, ama nasema uongo ndugu zangu??
Had saivi shule ya azimio imetoa mawazir wakuu watano wa Tanzania na mawazir kibao.. 😂 Maguful alipeleka mtoto wake pale, ngoja tumsubir moko kata.. 🙏🏽Alumni wa SHULE YA AZIMIO wengi walihamia RWANDA baada ya mwaka 1994 na idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo wanapoishi kwa sasa.
Wanafunzi bora huwa hawaruhusiw hata kuzaa na wazungu, labda itokee watoto wao ndo wazaliane na wazungu ili wapatikane wajukuu. Lakin wao hawaruhusiwi.. 🙏🏽Ngoja tuwape kitu kingine ambacho ni cha mwisho kwa upande wa sekta ya elimu, tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] ~ TANZANIA haijawahi kupeleka raia wake ambaye ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA kitaifa katika mataifa ya magharibi kwa ajili ya ufadhili wa kimasomo.
TANZANIA ilishawahi kupeleka raia wake nchini URUSI kwa ajili ya masomo, ambaye alishawahi kushika nafasi ya kumi na mbili [12] kitaifa. Wengine wote ambao ni FIRST ELEVEN au TOP ELEVEN au KUMI NA MOJA [11] BORA huwa wanaenda CHINA au INDIA kwa ajili ya ufadhili wa kimasomo.
Sasa hivi wameenda mbali zaidi, masomo ya kijeshi kwa ngazi ya ujenerali yanatolewa katika mataifa ya RWANDA au AFRIKA YA KUSINI. Lakini mataifa ya magharibi huwa hawaendi kutokana na jamii yao kuharibika na matukio ya kijamii kuwa mengi na yanayoleta ukakasi katika utamaduni wa kitanzania.
Acheni uongo Tanzania haina huo ukuu wa kumiliki kila kitu.ndo nakuuliza kama wanamiliki hivyo vitu mbona ni masikini?maana yake ukiinvest unapata faida.Hata ile DIGITAL SATELLITE TELEVISION [DSTV] pamoja na SUPERSPORT inamilikiwa na serikali tangu utawala wa MZEE RUKSA na wafanyakazi wengi ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
WASWAHILI huwa wanasema "ukitaka kumtoa nyoka aliyeingia ndani ya chungu, hutakiwi kuingiza mkono ndani ya chungu maana atakung'ata! Unatakiwa kutikisa kile chungu na nyoka atatoka mwenyewe..". Kwahiyo ukitaka kuwaondoa hao watu kwenye mfumo, unatakiwa kufuata sheria ile kikamilifu.
Kutangaza upya matokeo ya mitihani ya taifa huwa inachukua mda, sio simpo simpo tu maana watakuwa wanapingana na maamuz ya jaji kiongozi aliyeidhinisha kutangazwa kwa matokeo hayo ya darasa la nne..Kuna kesi iliwahi kutokea mwaka 2000 katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE, mwanafunzi bora [TO's] pamoja na mwanafunzi aliyeshika nafasi ya pili wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Pia mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] kutoka shule ya msingi inayoitwa TOWN na uchunguzi wa kuwafuatilia ukaanza mara moja kwa mwaka uliofuatia, 2001 wakiwa wanaingia darasa la tano hadi wanamaliza elimu ya msingi na sekondari.
Yule mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [2000] aliongoza mtihani wa moko kata ya mjini, lakini wale wanafunzi wawili hawakuingia hata KUMI [10] BORA..
Haikuishia hapo, yule mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [2000] aliongoza tena mtihani wa moko wilaya ya SHINYANGA MJINI, lakini wale wanafunzi wawili hawakuingia hata KUMI [10] BORA..
Ukaja tena mtihani wa moko mkoa, yule mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [2000] ndiyo aliyeongoza mkoa wa SHINYANGA, lakini wale wanafunzi wawili hawakuingia hata KUMI [10] BORA na mtihani wa taifa wa darasa la saba ndiyo aliyekuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] kwa mwaka 2003 na wale wanafunzi wawili hawakuingia hata KUMI [10] BORA.
Sasa nani alikuwa anafaa kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] kwa upande wa MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [2000]? Obviously, ni yule mwanafunzi aliyekuwa ameshika nafasi ya tatu kitaifa kutoka shule ya msingi ya TOWN.
Lakini kubadilisha na kutangaza upya matokeo ya mitihani ya taifa huwa inawachukua muda, maana MWANAFUNZI BORA [TO's] huwa anajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA akiwa amefikisha miaka thelathini na tano [35]. Sasa ikitokea matokeo yamebadilishwa na miaka imeshakwenda sijui inakuaje..
Kwahiyo yule mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [2000] ndiye aliyekuja kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] wa DARASA LA SABA [2003], KIDATO CHA PILI [2005], KIDATO CHA NNE [2007] pamoja na KIDATO CHA SITA [2010] lakini yule MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na mwanafunzi aliyeshika nafasi ya pili kwa upande wa darasa la nne [2000] haijulikani hata wameishia wapi?
Tafiti na chunguzi za namna hii huwa zinafanywa na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hasa JESHI LA WANANCHI [JWTZ] kwa sababu wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA huwa ni MAJENERALI WA KIJESHI.
Kila mwaka huwa wanatangaza kupitia bajet ya nchi, vyanzo vya mapato vya nje.. Hata Ford ni kampuni ya Tanzania sio Kenya 🙏🏽Acheni uongo Tanzania haina huo ukuu wa kumiliki kila kitu.ndo nakuuliza kama wanamiliki hivyo vitu mbona ni masikini?maana yake ukiinvest unapata faida.
Kiasi wanachokitajaga haziendani na madai yenu kuwa wanamiliki makampuni mengi.Kila mwaka huwa wanatangaza kupitia bajet ya nchi, vyanzo vya mapato vya nje.. Hata Ford ni kampuni ya Tanzania sio Kenya 🙏🏽
Nakwambia kila siku hujui! Ukijaribu kuangalia uwekezaji wa nje, utagundua kuwa unafanyika kupitia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hasa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.Acheni uongo Tanzania haina huo ukuu wa kumiliki kila kitu.ndo nakuuliza kama wanamiliki hivyo vitu mbona ni masikini?maana yake ukiinvest unapata faida.
Kiasi wanachokitajaga haziendani na madai yenu kuwa wanamiliki makampuni mengi.
Kiasi wanachokitajaga haziendani na madai yenu kuwa wanamiliki makampuni mengi.
Yaani kwa kifupi, SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] haijawahi kutoa MWANAFUNZI BORA [TO's] wala MWANAFUNZI KINARA [OP's]. Lakini kila mara wanajaribu kusaka sana taji la ushindi..Kutangaza upya matokeo ya mitihani ya taifa huwa inachukua mda, sio simpo simpo tu maana watakuwa wanapingana na maamuz ya jaji kiongozi aliyeidhinisha kutangazwa kwa matokeo hayo ya darasa la nne..
Hata katibu wa wizara atahusika kutoa maelezo kwann tuchukue matokeo ya uchunguz na tuache matokeo ya mwanzo, tena yalitangazwa had kwenye Redio..
Huwa sio ishu ya kitoto, pale nindo ndo huwa wamekaa na wanamtandao inchi nzima wa kuhakikisha watu wao wanaingia tano bora..
Hata Pengo alisoma pale Azimio na wana mtandao mkubwa sanaa, sema hawana akili za darasan wala akili za kutafuta hela..
Matokeo ya mitihani ya taifa yakitangazwa upya, ina maana yanafata taratibu zote za mwanzo ikiwa ni pamoja na kuchapisha na kupeleka nakala na zawad kwa shule husika, afisa elimu wa kata, afisa elimu wa wilaya pamoja na afisa elimu wa mkoa..
Bila ya kusahau Kutangaza matokeo ya ujumla katika vyombo vya habari vya serikal kama gazet la serikal pamoja na Redio..
Tanzania inapitia mambo mengi sanaa, sema taratibu tutafika na watanzania weng wameshaamka.. 🙏🏽
Nindo ndo walikuwa wamejificha kwenye mfumo katolik au mfumo kristu, hata Nimrod Mkono alisoma azimio na kwenye Biashara zake amejaza watu wa Nindo tu. Wafanyakaz wa Benki M wote ni watu wa nindo.. 🙏🏽
Kwamba Tanzania inazitawala nchi zingine nyingi?yenyewe imeshindwa kujitawala nchi inaumasikini na Rushwa na mauaji ya watu acheni mbangiTANZANIA ina serikali nyingine nyingi! Kuna FIJI, TONGA, SEYCHELLES, RWANDA na BURUNDI ambazo mapato yake mengine yanaenda kuhudumia hizo serikali na ndiyo maana inatakiwa ifanyike NATIONAL AUDITING kabla ya POLITICAL CHANGES.
Tena inahitajika kuwa na utaratibu mzuri wa kudhibiti malipo ya nje, EPA! Maana kuna utitiri wa kampuni nyingi za serikali zinazopatikana nje ya nchi. Ikianza NATIONAL AUDITING mwaka huu na kufuata sheria ile kikamilifu katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, 2040 inaweza kufanyika mabadiliko ya kisiasa.
It does not make sense.kama Tanzania ingekuwa hivyo tusingekuwa ovyo kila idara kama uchumi,michezo nk.Hawa wote wazazi wao ni alumni wa SHULE YA AZIMIO wakina MARCEL DESAILLY, SYLVAIN WILTORD na LILIAN THURAM! Hata NGELEJA ni alumni wa SHULE YA AZIMIO..
Sema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaishi kwa kuiga maisha ya WAHUTU, wangelikuwa mbali kiuchumi kama wangelifanikiwa kumiliki vitu vyao.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaishi kwa kutegemea serikali, hawamiliki uchumi wowote!
Aliyekuwa anawawezesha ni HAYATI MWALIMU na wao ndiyo waliongoza kumsaliti na walifanikiwa kumuondoa madarakani kwa tamaa ya vipande vya fedha.
Sasa hivi hawamiliki kitu chochote na wengine wanaongoza magenge ya kitapeli tu! Wakina CISSE wapo visiwani wanaishi kwa kujificha ficha, wanaona aibu na wanakata hadi vitunguu na kuandaa mboga katika hoteli zinazomilikiwa na serikali..😎
Utadhani hawakuwa wanamichezo wa kulipwa! Ila sasa hivi, askari wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA watakuwa wanafahamu namna ya kuishi vizuri kwa kutegemea vyeo vya kijeshi na siyo uwepo wa serikali.
Pia ile jamii ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imepitia mambo mengi sana, kiasi ambacho hata mgeni akishirikiana nao ataishia kutumika tu!
Sasa hivi wanaofanya vizuri kitaifa katika masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI ni watanzania wote, bila ya kujali dini wala kabila na hao ndiyo watakaokuja kuwa viongozi wa kijeshi kwa siku za usoni.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walipata nafasi nyingi katika serikali, ukiachana na nafasi za ukuu wa majeshi ya ulinzi, lakini walizichezea na hawakutumia fursa vizuri. Matokeo yake watu wengine wanaingia na wanafanikiwa kujijenga kiuchumi na kisiasa.
Hawa wote wazazi wao ni alumni wa SHULE YA AZIMIO wakina MARCEL DESAILLY, SYLVAIN WILTORD na LILIAN THURAM! Hata NGELEJA ni alumni wa SHULE YA AZIMIO..

Mzee hizo blabla zako haziendani na uhalisia Tanzania ni nchi masikini bado na tupo nyuma kila idara mfano michezo na uchumi.kama hayo unayoongelea ingekuwa ni kweli Tanzania ilitakiwa kuwa no 1 kiuchumi Afrika.na unasema Tanzania inaserikali zingine kitu ambacho sio kweli kwa sababu hata hii serikali wameshindwa kuiongoza vizuri.Hawa wote wazazi wao ni alumni wa SHULE YA AZIMIO wakina MARCEL DESAILLY, SYLVAIN WILTORD na LILIAN THURAM! Hata NGELEJA ni alumni wa SHULE YA AZIMIO..
Sema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaishi kwa kuiga maisha ya WAHUTU, wangelikuwa mbali kiuchumi kama wangelifanikiwa kumiliki vitu vyao.
Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaishi kwa kutegemea serikali, hawamiliki uchumi wowote!
Aliyekuwa anawawezesha ni HAYATI MWALIMU na wao ndiyo waliongoza kumsaliti na walifanikiwa kumuondoa madarakani kwa tamaa ya vipande vya fedha.
Sasa hivi hawamiliki kitu chochote na wengine wanaongoza magenge ya kitapeli tu! Wakina CISSE wapo visiwani wanaishi kwa kujificha ficha, wanaona aibu na wanakata hadi vitunguu na kuandaa mboga katika hoteli zinazomilikiwa na serikali..😎
Utadhani hawakuwa wanamichezo wa kulipwa! Ila sasa hivi, askari wanaojiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA watakuwa wanafahamu namna ya kuishi vizuri kwa kutegemea vyeo vya kijeshi na siyo uwepo wa serikali.
Pia ile jamii ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imepitia mambo mengi sana, kiasi ambacho hata mgeni akishirikiana nao ataishia kutumika tu!
Sasa hivi wanaofanya vizuri kitaifa katika masomo ya SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI ni watanzania wote, bila ya kujali dini wala kabila na hao ndiyo watakaokuja kuwa viongozi wa kijeshi kwa siku za usoni.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walipata nafasi nyingi katika serikali, ukiachana na nafasi za ukuu wa majeshi ya ulinzi, lakini walizichezea na hawakutumia fursa vizuri. Matokeo yake watu wengine wanaingia na wanafanikiwa kujijenga kiuchumi na kisiasa.
Wao wameshindwa sera za uchumi tu, lakini serikali ilijitahidi kuwekeza sana nje ya nchi kupitia awamu zilizopita na wanufaika wakubwa walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hadi leo.It does not make sense.kama Tanzania ingekuwa hivyo tusingekuwa ovyo kila idara kama uchumi,michezo nk.
Mzee hizo blabla zako haziendani na uhalisia Tanzania ni nchi masikini bado na tupo nyuma kila idara mfano michezo na uchumi.kama hayo unayoongelea ingekuwa ni kweli Tanzania ilitakiwa kuwa no 1 kiuchumi Afrika.na unasema Tanzania inaserikali zingine kitu ambacho sio kweli kwa sababu hata hii serikali wameshindwa kuiongoza vizuri.
Kwahiyo wanampango upi wa kubadilisha hizo sera?Wao wameshindwa sera za uchumi, lakini serikali imejitahidi kuwekeza sana nje ya nchi kupitia awamu zilizopita na wanufaika wakubwa walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hadi leo.
Pia ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ya LP LEIPZIG kupitia kampuni ya REDBULL inayopatikana nchini UJERUMANI.
Tatizo ni sera za maendeleo! Siyo taifa masikini, TANZANIA ni tajiri tangu AWAMU YA KWANZA iliyokuwa chini ya HAYATI MWALIMU.
Sijui.. ☺️Kwahiyo wanampango upi wa kubadilisha hizo sera?
Kwamba Tanzania inazitawala nchi zingine nyingi?yenyewe imeshindwa kujitawala nchi inaumasikini na Rushwa na mauaji ya watu acheni mbangi