Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Hata Joseph Kabila na yeye alisoma hapo Town pamoja na mke wake! Kishapu ndo wanaweza kuwaondoa watu wa Shinyanga vijijini kwenye system..
Sio hao majeneral wa standard seven, kwanza Kaizer Chiefs ina wanamichezo wote ambao ni watoto wa majeneral wa sekondari..
Wale majeneral wa Azimio watoto wao hawapo huko, wapo Senegal, Ulaya na Marekani ambapo ndo walipendelea kuwa na utamaduni wa kimagharibi.. ππ½
Wale watu wa shinyanga vijijin walikuwa ni wajinga kupitiliza, walikuwa wanatangaza watu wao kpindi cha kutangaza matokeo ya taifa tu.."The Battle of the Blues" ilishawahi kufanyika na kufanikiwa nchini KONGO kati ya BUSIA na BUBIKI! BUBIKI walifanikiwa kuwaondoa BUSIA chini ya utawala wa HAYATI MOBUTU na hatimaye BUBIKI walitawala TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA.
JOSEPH KABILA ni alumni wa SHULE YA MSINGI YA TOWN na alihitimu darasa la saba akiwa ni SE FAIRE VALOIR baada ya kufanikiwa kushika nafasi ya tano kitaifa katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na wana WhatsApp Group lao.
Hawa wenzenu wapo na wametulia kama hawapo, pia wana nafasi kubwa sana ya kuongoza MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO kutokana na kuwa WANAFUNZI BORA [TO's] kwa upande wa DARASA LA NNE [2000] na DARASA LA SABA [2003] kutoka katika SHULE YA MSINGI YA TOWN.
Ijapokuwa wale wanafunzi wawili waliofanikiwa kuingia KUMI [10] BORA KITAIFA [2003] katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA bado wana nafasi ya kwenda kuwa viongozi wa mataifa ya RWANDA au SIERRA LEONE.
Wale alumni wa SHULE YA MSINGI YA AZIMIO walikuwa siyo wanafunzi bora halisi na ilikuwa inafanyika siasa kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], maana kulikuwa kuna udanganyifu, ulaghai na sintofahamu kubwa.
Kilichofanyika katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE [2000] kupitia wale wanafunzi wawili waliotangazwa kuwa wameshika nafasi ya kwanza na nafasi ya pili, ndiyo kilichokuwa kinafanyika miaka iliyopita katika utawala wa HAYATI MWALIMU na HAYATI MZEE RUKSA.
Wao walikuwa wanapachika majina ya wanafunzi wao kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA, bila ya kuzingatia alama na wastani wa mwanafunzi husika na matokeo yake walikuwa wanapata viongozi wa kijeshi kama MAJENERALI na MAKANALI ambao walikuwa hawalipwi stahiki za mafao yao kipindi cha kustaafu.
Lakini wamefanikiwa kusambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi kwa kutegemea fursa na feva za serikali.
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanafahamu hizo sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na watu waliosisitiza kuanzishwa kwa mitihani ya moko kama kielelezo cha mtihani wa taifa walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU!Wale watu wa shinyanga vijijin walikuwa ni wajinga kupitiliza, walikuwa wanatangaza watu wao kpindi cha kutangaza matokeo ya taifa tu..
Halaf walikuwa wanaishia hapo hapo shule ya msingi, walikuwa hawaendelei na shule baada ya kutangazwa kuwa ni wanafunz Bora..
Baada ya hapo walikuwa wanaenda kuzaa na wanawake mbalimbali katika mataifa ya Rwanda, Burundi na Kongo..
Na ilikuwa ikifika mda wa kujiunga na majesh unakuta wameshazaa watoto 30 had 35! Nyamka Kipndi anajiunga na jesh la polis alikuwa tayari ana watoto 28..π
Hata hao wanafunzi Bora wa darasa la nne 2000 waliotangazwa kimakosa, saiv wameshazaa watoto Zaid ya 20 na hawakuendelea na shule badala yake walipelekwa Kongo..
Lakini wale watu waliokuwa wanaendelea na shule, chuo chao kilikuwa ni udsm na had leo pale walimu na wanafunzi weng ni watu wa Shinyanga vijijin..
Kwahyo Shinyanga vijijin ndo wapo hivyo had leo, sema hawana akili za darasan wala akili za kutafuta hela! Wangetumia nafas zao vizuri, saivi wangekua ni matajir sanaaaaa.. ππ½
Wenzenu wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ilifikia hatua walikuwa na MAJENERALI pamoja na MAKANALI wao ambao walikuwa wanawalipa mishahara wao wenyewe.Wale watu wa shinyanga vijijin walikuwa ni wajinga kupitiliza, walikuwa wanatangaza watu wao kpindi cha kutangaza matokeo ya taifa tu..
Halaf walikuwa wanaishia hapo hapo shule ya msingi, walikuwa hawaendelei na shule baada ya kutangazwa kuwa ni wanafunz Bora..
Baada ya hapo walikuwa wanaenda kuzaa na wanawake mbalimbali katika mataifa ya Rwanda, Burundi na Kongo..
Na ilikuwa ikifika mda wa kujiunga na majesh unakuta wameshazaa watoto 30 had 35! Nyamka Kipndi anajiunga na jesh la polis alikuwa tayari ana watoto 28..π
Hata hao wanafunzi Bora wa darasa la nne 2000 waliotangazwa kimakosa, saiv wameshazaa watoto Zaid ya 20 na hawakuendelea na shule badala yake walipelekwa Kongo..
Lakini wale watu waliokuwa wanaendelea na shule, chuo chao kilikuwa ni udsm na had leo pale walimu na wanafunzi weng ni watu wa Shinyanga vijijin..
Kwahyo Shinyanga vijijin ndo wapo hivyo had leo, sema hawana akili za darasan wala akili za kutafuta hela! Wangetumia nafas zao vizuri, saivi wangekua ni matajir sanaaaaa.. ππ½
Pale Jamaica kuna kiwanda cha bia za raum kmejaza watanzania pale, ni balaa! Sema wale watu wa shinyanga vijijin walkuwa wanatumia hela vibaya sanaa..Wenzenu wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ilifikia hatua walikuwa na MAJENERALI pamoja na MAKANALI wao ambao walikuwa wanawalipa mishahara wao wenyewe.
Hata MAJAJI walikuwa nao! Sema wanakuwa hawana vigezo vya kukidhi nafasi husika na serikali kama serikali inakuwa na watumishi wake ambao inawalipa mishahara yenyewe.
Kwahiyo wale MAJENERALI, MAKANALI pamoja na MAJAJI ambao wanalipwa mishahara na wanamtandao kwa nia ya kuwa waaminifu kwao hawapaswi kunufaika na vitu vya serikali hata baada ya kustaafu!
Maana wengine wanaingia na wanafanya kazi katika kampuni za kiserikali, lakini wanakuwa hawapo katika ile PAYROLL wala matunzo ya kiserikali na inakuwa ni vigumu kufanya POLITICAL CHANGES ikiwa nchi inakuwa na watumishi wa namna hiyo, tena wameshika nyadhifa za juu serikalini.
Kuna watoto wa viongozi ambao waliwahi kushika nyadhifa za juu serikalini, lakini hawapo kwenye ile orodha ya watumishi wa serikali ambao wanastahili kupokea matunzo ya kiserikali na wanapatikana katika orodha ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].
Pia kuna orodha ya wakuu wa majeshi tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964], ambao walikuwa wanalipwa mishahara na SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na hawapo kwenye ile GOVERNMENT PAYROLL lakini watoto wao wapo kwenye kampuni za kiserikali kama watoto wa wastaafu! Hizi JET BLUE zote zinamilikiwa na serikali..
TANZANIA ina watumishi wake ambao wanakuwa wanafahamika ndani na nje ya nchi na wanakuwa wanapata stahiki zote kulingana na nafasi walizonazo au nafasi walizowahi kushika.
Wakina Roja Mila walisoma Azimio kabla ya kuhamia Kamerun na alikuwa anacheza mpira sana Kipndi cha umitashumta.. Azimio wamepita weng had wakina Joyce Ndalichako na Anna Tibaijuka wamesoma pale na ilifikia hatua walkuwa wanazaliana had watoto! Saivi wametengeneza bondi ya hatar..Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanafahamu hizo sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na watu waliosisitiza kuanzishwa kwa mitihani ya moko kama kielelezo cha mtihani wa taifa walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU!
Maana hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanatangaza watu wao tu, kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA.
Unajua ukiwa kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ~ MAJENERALI WA KIJESHI huwa ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA! CDF ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya tatu [3] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA na MNADHIMU WA JESHI ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya nne [4] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA!
Zile nafasi nyingine zilizobaki katika KUMI [10] BORA kwa ujumla pamoja na KUMI [10] BORA katika kila somo lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA huwa wanaishia nafasi ya KANALI WA JESHI.
ASKARI POLISI huwa ni wawili [2] tu, ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's]! Lakini ASKARI MAGEREZA huwa ni watano [5] tu, ambao ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].
CGP WA MAGEREZA, IGP WA POLISI pamoja na CGF WA ZIMAMOTO lazima mhusika awe ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika MTIHANI WA TAIFA.
Pia URAIS, MAKAMU URAIS, WAZIRI UKUU, MAKAMU WAZIRI UKUU, SPIKA, NAIBU SPIKA pamoja na KATIBU WA BUNGE lazima mhusika awe ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA katika masomo yaliyosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na kushika nafasi ya tano [5] kitaifa angalau katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
JENERALI WA JESHI aliyeshika nafasi ya tano [5] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi au JENERALI WA JESHI aliyefanikiwa kushika nafasi ya tano [5] kitaifa katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi, endapo itakuwa imetangazwa hali ya hatari ~ WAINGEREZA wanasema ni EMERGENCY STATES kama SIERRA LEONE, RWANDA, BURUNDI, BURKINA FASO, MALI na KONGO.
Sasa wenzenu kwa kuyatambua hayo, walikuwa wanapachika wanafunzi wao katika nafasi mbalimbali kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA na walikuwa wanafanya hivyo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964]. Lakini hadi leo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wana idadi halisi ya SE FAIRE VALOIR wasiozidi mia tano [500], wanachezea mia tatu [300] tu.
HAYATI MWALIMU alivyoulizwa hilo swali, kwanini anafanya hivyo kwa kuweka askari wasiokuwa na vigezo? Akajibu, anafanya hivyo kwa sababu anaweka wasaidizi waaminifu wa kusaidia kuongoza serikali na alikuwa anawalipa mishahara yeye mwenyewe kwa pesa zake za mfukoni na siyo pesa za serikali! Hadi mafao pamoja na pensheni za uzeeni alikuwa anawalipa kwa pesa zake za mfukoni, siyo pesa za serikali.
Hata MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walikuwa wanafanya hivyo hivyo kama HAYATI MWALIMU alivyokuwa anafanya, sema sasa hivi watu wengi wameamka. Lakini baada ya HAYATI MWALIMU kusalitiwa na watu aliokuwa akiwaamini, aliamua kuhamia SENEGAL pamoja na watu wake na ndiyo wanaounda serikali mseto kwa wakati huu, nchini SENEGAL.
Wale viongozi wa kitaifa waliofuatia baada ya HAYATI MWALIMU, wakina MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walianza harakati za kuhamia nchini KAMERUNI na kutaka kuunda serikali mseto baada ya mwaka 1985! Lakini hawana pesa za kutosha kama ilivyo kwa upande wa HAYATI MWALIMU na isitoshe huko KAMERUNI kuna wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ambao tayari wanaishi huko tangu siku nyingi na pesa wanazo za kutosha ili kufanikisha serikali mseto ya KAMERUNI.
Lile kundi la wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliobaki TANZANIA [wanamtandao] bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa ili kuhamia nchini KAMERUNI ~ hao ndiyo wapiga madili ya serikali na mbinu zote chafu za kitapeli wanafanya kwa nia ya kupata pesa za kufanikisha kuhamia nchini KAMERUNI.
Kwahiyo wanamtandao bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa kwa nia ya kuhamia nchini KAMERUNI na kuunda serikali mseto. Lakini tangu mwaka 1985 hadi leo bado hawajafanikiwa kupata pesa za kutosha.
Cjui ni nini kilichotokea baina yao kati ya Nyerere na watu wa Azimio had kuwa na uhasama wa namna ya kutoana madarakan..Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanafahamu hizo sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na watu waliosisitiza kuanzishwa kwa mitihani ya moko kama kielelezo cha mtihani wa taifa walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU!
Maana hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanatangaza watu wao tu, kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA.
Unajua ukiwa kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ~ MAJENERALI WA KIJESHI huwa ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA! CDF ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya tatu [3] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA na MNADHIMU WA JESHI ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya nne [4] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA!
Zile nafasi nyingine zilizobaki katika KUMI [10] BORA kwa ujumla pamoja na KUMI [10] BORA katika kila somo lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA huwa wanaishia nafasi ya KANALI WA JESHI.
ASKARI POLISI huwa ni wawili [2] tu, ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's]! Lakini ASKARI MAGEREZA huwa ni watano [5] tu, ambao ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].
CGP WA MAGEREZA, IGP WA POLISI pamoja na CGF WA ZIMAMOTO lazima mhusika awe ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika MTIHANI WA TAIFA.
Pia URAIS, MAKAMU URAIS, WAZIRI UKUU, MAKAMU WAZIRI UKUU, SPIKA, NAIBU SPIKA pamoja na KATIBU WA BUNGE lazima mhusika awe ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA katika masomo yaliyosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na kushika nafasi ya tano [5] kitaifa angalau katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
JENERALI WA JESHI aliyeshika nafasi ya tano [5] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi au JENERALI WA JESHI aliyefanikiwa kushika nafasi ya tano [5] kitaifa katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi, endapo itakuwa imetangazwa hali ya hatari ~ WAINGEREZA wanasema ni EMERGENCY STATES kama SIERRA LEONE, RWANDA, BURUNDI, BURKINA FASO, MALI na KONGO.
Sasa wenzenu kwa kuyatambua hayo, walikuwa wanapachika wanafunzi wao katika nafasi mbalimbali kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA na walikuwa wanafanya hivyo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964]. Lakini hadi leo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wana idadi halisi ya SE FAIRE VALOIR wasiozidi mia tano [500], wanachezea mia tatu [300] tu.
HAYATI MWALIMU alivyoulizwa hilo swali, kwanini anafanya hivyo kwa kuweka askari wasiokuwa na vigezo? Akajibu, anafanya hivyo kwa sababu anaweka wasaidizi waaminifu wa kusaidia kuongoza serikali na alikuwa anawalipa mishahara yeye mwenyewe kwa pesa zake za mfukoni na siyo pesa za serikali! Hadi mafao pamoja na pensheni za uzeeni alikuwa anawalipa kwa pesa zake za mfukoni, siyo pesa za serikali.
Hata MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walikuwa wanafanya hivyo hivyo kama HAYATI MWALIMU alivyokuwa anafanya, sema sasa hivi watu wengi wameamka. Lakini baada ya HAYATI MWALIMU kusalitiwa na watu aliokuwa akiwaamini, aliamua kuhamia SENEGAL pamoja na watu wake na ndiyo wanaounda serikali mseto kwa wakati huu, nchini SENEGAL.
Wale viongozi wa kitaifa waliofuatia baada ya HAYATI MWALIMU, wakina MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walianza harakati za kuhamia nchini KAMERUNI na kutaka kuunda serikali mseto baada ya mwaka 1985! Lakini hawana pesa za kutosha kama ilivyo kwa upande wa HAYATI MWALIMU na isitoshe huko KAMERUNI kuna wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ambao tayari wanaishi huko tangu siku nyingi na pesa wanazo za kutosha ili kufanikisha serikali mseto ya KAMERUNI.
Lile kundi la wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliobaki TANZANIA [wanamtandao] bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa ili kuhamia nchini KAMERUNI ~ hao ndiyo wapiga madili ya serikali na mbinu zote chafu za kitapeli wanafanya kwa nia ya kupata pesa za kufanikisha kuhamia nchini KAMERUNI.
Kwahiyo wanamtandao bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa kwa nia ya kuhamia nchini KAMERUNI na kuunda serikali mseto. Lakini tangu mwaka 1985 hadi leo bado hawajafanikiwa kupata pesa za kutosha.
Zile awamu tatu za mwanzo zilikuwa zinafanya makosa makubwa, maana askari wengi waliokuwa wameshika nyadhifa za juu kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA walikuwa hawana vigezo na wala walikuwa siyo waajiriwa wa serikali na walikuwa wanalipwa mishahara na ofisi ya urais kipindi wakiwa wameshika nafasi hizo.Pale Jamaica kuna kiwanda cha bia za raum kmejaza watanzania pale, ni balaa! Sema wale watu wa shinyanga vijijin walkuwa wanatumia hela vibaya sanaa..
Kulkuwa hakuna haja ya kuweka askari wengne ambao hawana vigezo, wakat askari weng wenye sifa wamejaa majeshin na wanalipwa mishahara na serikal..
Wakina Mwinyi walitumia gharama zisizo na lazima kuwalipa mishahara wakina Mwanguku na walkuwa wanapewa had magari kupitia mfuko wa Rais..
Hizi mark II pamoja na datsun, Mwanguku ametumia sanaa kipindi cha Mwinyi! Lakin saiv Mwinyi hayupo na mfereji wa mafao umekata wote na hela hakuna..
Lakin Nyerere aliwabeba askari wake wote na kuhamia Senegal, saivi watoto wao wanacheza mpira katika tim ya taifa ya Senegal kasoro wale waliomsalit.. ππ½
Miaka ya tisini [1990's] iliwahi kutokea askari magereza mwenye nyota mbili akipandishwa nyadhifa hadi kuwa KAMISHNA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA, halafu baada ya kutenguliwa katika nafasi yake akashushwa cheo hadi kuwa askari magereza mwenye nyota tatu.Pale Jamaica kuna kiwanda cha bia za raum kmejaza watanzania pale, ni balaa! Sema wale watu wa shinyanga vijijin walkuwa wanatumia hela vibaya sanaa..
Kulkuwa hakuna haja ya kuweka askari wengne ambao hawana vigezo, wakat askari weng wenye sifa wamejaa majeshin na wanalipwa mishahara na serikal..
Wakina Mwinyi walitumia gharama zisizo na lazima kuwalipa mishahara wakina Mwanguku na walkuwa wanapewa had magari kupitia mfuko wa Rais..
Hizi mark II pamoja na datsun, Mwanguku ametumia sanaa kipindi cha Mwinyi! Lakin saiv Mwinyi hayupo na mfereji wa mafao umekata wote na hela hakuna..
Lakin Nyerere aliwabeba askari wake wote na kuhamia Senegal, saivi watoto wao wanacheza mpira katika tim ya taifa ya Senegal kasoro wale waliomsalit.. ππ½
Hiyo tabia wanayo watu shinyanga vijijn, lakin mishahara huwa wanawalipa wao kupitia ofisi ya rais atayekuepo madarakan na sio serikal..Zile awamu tatu za mwanzo zilikuwa zinafanya makosa makubwa, maana askari wengi waliokuwa wameshika nyadhifa za juu kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA walikuwa hawana vigezo na wala walikuwa siyo waajiriwa wa serikali na walikuwa wanalipwa mishahara na ofisi ya urais kipindi wakiwa wameshika nafasi hizo.
Maana askari mwenye hadhi ya ujenerali anakuwa ana hadhi sawa ya urais na anakuwa anatambulika hadi kizazi cha tano [5]. Sasa wale viongozi wa kijeshi wa awamu tatu za mwanzo hawakuwa na vigezo vyovyote na inawaondolea hadhi ya kutambulika serikalini hata baada ya wao kustaafu.
Sasa wengine tunaambiwa wapo hadi VISIWA VYA MARTINI au wengine wanaita MARTINIQUE huko VISIWA VYA KARIBIANI na wanaendelea na utambulisho wa vizazi vya majenerali, wakati hawastahili na wanastahili kuwa chini ya mfuko wa rais aliyekuwepo madarakani kipindi cha utumishi wao.
Ile hali ilikuwa imezoeleka katika majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO lakini kwa upande wa JESHI LA ULINZI walikuwa wanapata hofu kupandisha vyeo watu wao kiholela holela. Kwahiyo haikuwa sana kwa upande wa JESHI LA ULINZI.
Hao ndo matapel saivi, wana vurugu sanaa na walikuwa wanatumia vyeo vyao vibaya! Walitaka kuwa kama wahutu, sema hawana hela..Miaka ya tisini [1990's] iliwahi kutokea askari magereza mwenye nyota mbili akipandishwa nyadhifa hadi kuwa KAMISHNA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA, halafu baada ya kutenguliwa katika nafasi yake akashushwa cheo hadi kuwa askari magereza mwenye nyota tatu.
Kwa kipindi kifupi, yule KAMISHNA MKUU alifanya mambo ya hovyo sana na alikuwa anasema "mlango wa gereza ukifungwa, hakuna wa kuweza kuufungua", lakini kwa sababu hakuna mwenye kupinga teuzi za rais basi waliacha teuzi ya rais ifanye kazi yake!
Lakini ukifuata taratibu za kijeshi, yule askari alikuwa hana hadhi ya kuwa KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA maana jeshi linahitaji kuwa na kiongozi ambaye ni MWANAFUNZI BORA [TO's] na aliyefanikiwa kuingia tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia ~ ndiyo ataweza kuwa na sifa ya kuwa KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA. Kitu kingine, hauwezi kuwa mkuu wa jeshi lolote ndani ya mipaka ya TANZANIA kama siyo JENERALI WA JESHI LA ULINZI [JWTZ].
Kwahiyo kwa kufuata sheria na taratibu za nchi, yule KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA alikuwa hana sifa tangia mwanzo na teuzi yake ilikuwa ni batili na walikuwepo viongozi wengi wa kijeshi wa namna hiyo ambao hawakuwa na sifa. Ijapokuwa kulikuwa kuna askari wengine wengi wenye sifa nzuri..
Kuna watu wanajua majesh, wengne walienda kukaguliwa mikund tu.. π Ngoja niwafate huko, watanieleza leo.. ππ½Daaah haya bhna
Ile ya mwashimba na mwafisi ilishiaga wapo...
Ngoja leo niwafungulie dunia! Tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawajawahi kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika matokeo ya ujumla, iwe DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.Hiyo tabia wanayo watu shinyanga vijijn, lakin mishahara huwa wanawalipa wao kupitia ofisi ya rais atayekuepo madarakan na sio serikal..
Hela walikuwa wanatumia vbaya sanaa wale watu, walkuwa wana majeneral na makanali ambao hawana sifa, sema walikuwa wanawalipa mishahara wao..
Had leo ndo wanafanya hivyo, shida inakuja kwa askari wa chin maana wanakuwa na maamuzi mabovu ndani ya ofisi na hao ndo huwa wanakwamisha mambo.. ππ½
Kishapu wanafaulu sanaa na cku za mbeleni timu za simba na yanga zitakuwa na wachezaj wa Kishapu, maana wanawake wa nindo wanaenda kuzalishwa na wanaume wa Kishapu..Ngoja leo niwafungulie dunia! Tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawajawahi kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika matokeo ya ujumla, iwe DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.
Tunaweza kusema kuwa, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawajawahi kupata JENERALI WA JESHI tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo! WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imekuwa ikifuatiliwa sana, sababu ni jamii ambayo anatoka BABA WA TAIFA.
Wanawake wao imewalazimu kuhamisha hisia zao za kimapenzi kwa wanaume wa asili ya WILAYA YA KISHAPU, kwa sababu tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo ~ wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wamekuwa wakitoa WANAFUNZI BORA katika kila mtihani wa taifa iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA kwa upande wa DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.
Tafiti za aina hii huwa zinafanyika na JESHI LA MAGEREZA kupitia WIZARA YA ELIMU na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Baada ya Nyerere kuondoka madarakan, aliondoka na viongoz wote wa kijesh waliokuwa wanamtii.. Kabla ya kuingia Senegal, walifikia Gambia na walikuwa wanapokelewa uwanja wa ndege..Ngoja leo niwafungulie dunia! Tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawajawahi kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika matokeo ya ujumla, iwe DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.
Tunaweza kusema kuwa, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawajawahi kupata JENERALI WA JESHI tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo! WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imekuwa ikifuatiliwa sana, sababu ni jamii ambayo anatoka BABA WA TAIFA.
Wanawake wao imewalazimu kuhamisha hisia zao za kimapenzi kwa wanaume wa asili ya WILAYA YA KISHAPU, kwa sababu tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo ~ wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wamekuwa wakitoa WANAFUNZI BORA katika kila mtihani wa taifa iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA kwa upande wa DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.
Tafiti za aina hii huwa zinafanyika na JESHI LA MAGEREZA kupitia WIZARA YA ELIMU na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Chifu Makwaia alisisitiza uwepo wa mitihan ya Moko na aliamin ndo itakuwa kifo cha watu wa Shinyanga vijijn, saivi hata kumi bora wanaitafuta kwa tochi..π¦Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanafahamu hizo sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na watu waliosisitiza kuanzishwa kwa mitihani ya moko kama kielelezo cha mtihani wa taifa walikuwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU!
Maana hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanatangaza watu wao tu, kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA.
Unajua ukiwa kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ~ MAJENERALI WA KIJESHI huwa ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA! CDF ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya tatu [3] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA na MNADHIMU WA JESHI ni lazima awe alishawahi kushika nafasi ya nne [4] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA!
Zile nafasi nyingine zilizobaki katika KUMI [10] BORA kwa ujumla pamoja na KUMI [10] BORA katika kila somo lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA huwa wanaishia nafasi ya KANALI WA JESHI.
ASKARI POLISI huwa ni wawili [2] tu, ambao ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's]! Lakini ASKARI MAGEREZA huwa ni watano [5] tu, ambao ni wale wanafunzi tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].
CGP WA MAGEREZA, IGP WA POLISI pamoja na CGF WA ZIMAMOTO lazima mhusika awe ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] katika MTIHANI WA TAIFA.
Pia URAIS, MAKAMU URAIS, WAZIRI UKUU, MAKAMU WAZIRI UKUU, SPIKA, NAIBU SPIKA pamoja na KATIBU WA BUNGE lazima mhusika awe ni miongoni mwa WANAFUNZI KUMI [10] BORA katika masomo yaliyosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA na kushika nafasi ya tano [5] kitaifa angalau katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.
JENERALI WA JESHI aliyeshika nafasi ya tano [5] kitaifa katika MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi au JENERALI WA JESHI aliyefanikiwa kushika nafasi ya tano [5] kitaifa katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA anaweza kuwa rais wa nchi, endapo itakuwa imetangazwa hali ya hatari ~ WAINGEREZA wanasema ni EMERGENCY STATES kama SIERRA LEONE, RWANDA, BURUNDI, BURKINA FASO, MALI na KONGO.
Sasa wenzenu kwa kuyatambua hayo, walikuwa wanapachika wanafunzi wao katika nafasi mbalimbali kipindi cha kutangaza ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA na walikuwa wanafanya hivyo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964]. Lakini hadi leo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wana idadi halisi ya SE FAIRE VALOIR wasiozidi mia tano [500], wanachezea mia tatu [300] tu.
HAYATI MWALIMU alivyoulizwa hilo swali, kwanini anafanya hivyo kwa kuweka askari wasiokuwa na vigezo? Akajibu, anafanya hivyo kwa sababu anaweka wasaidizi waaminifu wa kusaidia kuongoza serikali na alikuwa anawalipa mishahara yeye mwenyewe kwa pesa zake za mfukoni na siyo pesa za serikali! Hadi mafao pamoja na pensheni za uzeeni alikuwa anawalipa kwa pesa zake za mfukoni, siyo pesa za serikali.
Hata MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walikuwa wanafanya hivyo hivyo kama HAYATI MWALIMU alivyokuwa anafanya, sema sasa hivi watu wengi wameamka. Lakini baada ya HAYATI MWALIMU kusalitiwa na watu aliokuwa akiwaamini, aliamua kuhamia SENEGAL pamoja na watu wake na ndiyo wanaounda serikali mseto kwa wakati huu, nchini SENEGAL.
Wale viongozi wa kitaifa waliofuatia baada ya HAYATI MWALIMU, wakina MZEE RUKSA pamoja na MISTER CLEAN walianza harakati za kuhamia nchini KAMERUNI na kutaka kuunda serikali mseto baada ya mwaka 1985! Lakini hawana pesa za kutosha kama ilivyo kwa upande wa HAYATI MWALIMU na isitoshe huko KAMERUNI kuna wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ambao tayari wanaishi huko tangu siku nyingi na pesa wanazo za kutosha ili kufanikisha serikali mseto ya KAMERUNI.
Lile kundi la wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliobaki TANZANIA [wanamtandao] bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa ili kuhamia nchini KAMERUNI ~ hao ndiyo wapiga madili ya serikali na mbinu zote chafu za kitapeli wanafanya kwa nia ya kupata pesa za kufanikisha kuhamia nchini KAMERUNI.
Kwahiyo wanamtandao bado wapo kwenye harakati za kutafuta pesa kwa nia ya kuhamia nchini KAMERUNI na kuunda serikali mseto. Lakini tangu mwaka 1985 hadi leo bado hawajafanikiwa kupata pesa za kutosha.
Wao wanachofanya ni kuomba majeshin ili kupromot watu wao katika ngaz ya ukanal na ujenerali na mishahara huwa wanalipa wao..Ngoja leo niwafungulie dunia! Tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawajawahi kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika matokeo ya ujumla, iwe DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.
Tunaweza kusema kuwa, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawajawahi kupata JENERALI WA JESHI tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo! WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imekuwa ikifuatiliwa sana, sababu ni jamii ambayo anatoka BABA WA TAIFA.
Wanawake wao imewalazimu kuhamisha hisia zao za kimapenzi kwa wanaume wa asili ya WILAYA YA KISHAPU, kwa sababu tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] hadi leo ~ wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wamekuwa wakitoa WANAFUNZI BORA katika kila mtihani wa taifa iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA kwa upande wa DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.
Tafiti za aina hii huwa zinafanyika na JESHI LA MAGEREZA kupitia WIZARA YA ELIMU na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Chifu Makwaia alisisitiza uwepo wa mitihan ya Moko na aliamin ndo itakuwa kifo cha watu wa Shinyanga vijijn, saivi hata kumi bora wanaitafuta kwa tochi..π¦
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanafanya hivyo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964], lakini hadi leo IGP's wanaotambulika ndani na nje ya nchi ni watatu tu wengine ilikuwa ni teuzi binafsi kwa kuangalia masilahi yao na wote walikuwa hawana vigezo na kufanyika kuwa ni batili tangia mwanzo.Wao wanachofanya ni kuomba majeshin ili kupromot watu wao katika ngaz ya ukanal na ujenerali na mishahara huwa wanalipa wao..
Zamani walikuwa wanatoa 500 milioni kama mafao kwa wakuu wao wa majesh, saivi wanatoa 700 milioni kwa wakuu wao wa majesh..
MAJENERALI na MAKANALI wa serikali wapo na wanatambulika ndani na nje ya nchi, wale wengine wanaolipwa mishahara na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] hawatambuliki na huwa wanafanya makosa kuwaweka katika utendaji.Lakin wale wakuu wa majesh wa serikali huwa wanachukua 5 billion had 7 billion kama mafao..
Kwahiyo shida inakuja kwenye utendaji, wale watu wa Shinyanga vijijn wanakuwa na uwezo mdogo sababu hawajakiz vigezo na wanakuwa wanaangalia masilahi yao tu hivyo askari wa ngaz ya chini wanakuwa wanapata shida.. π