Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] ndiyo walikuwa wanafanya hivyo, walikuwa wanateua askari waaminifu na kuwalipa mishahara kupitia OFISI YA RAIS.Uhamiaji mpaka leo hawajawai kupata cgi, wote hamna kitu.. π Wakina Anna wanalipwa mishahara na shinyanga vijijn
Uhamiaji ndo walikuwa wenye wizara ya kilimo, uvuvi na umwagiliaj baadae ikaja wizara ya kilimo na maendeleo ya mifugo halaf wizara ya maji na umwagiliaji na saivi kuna wizara ya maji!Tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] ndiyo walikuwa wanafanya hivyo, walikuwa wanateua askari waaminifu na kuwalipa mishahara kupitia OFISI YA RAIS.
Ijapokuwa askari wenye vigezo walikuwepo, tena MAJENERALI WA KIJESHI ndiyo wanaopaswa kuongoza majeshi yote. Lakini wenzenu walikuwa hawazingatii vigezo vya kitaaluma wala kijeshi na gharama ya kuwalipia mishahara ilikuwa inawaingia wao na sio serikali.
Kwahiyo labda sasa hivi watakuwa wamejifunza na kuepuka gharama zisizokuwa na ulazima.
Watu waliamia Marekani tangu mwaka 1957!! Kulikuwa kuna wasanii kama Kelly Rowland, Olivia pamoja na Neyo, hao wote ni Kishapu kutoka kijij cha Bubiki..Hao G-UNIT wamejijenga kiuchumi bila ya kutegemea nyenzo ya wazazi au walezi wao, kama ilivyokuwa kwa upande wa wasanii wengine! Ukiachana na huyo LUDO, pia wanatumia WAZIMBABWE katika shughuli za uwekezaji katika madini.
Kulikuwa kuna wakina Yakubu, Jeneral Abdulsalami Abubakar na Brigedia Jeneral Abu Ali ni matajiri sanaaaaa hao watu lakini Kishapu hata maji ya ziwa viktoria hakuna.. π! Ukiwa Naijeria wamewekeza, wanamiliki visima vya mafuta na Watoto wao wakina Umar wanaruka na private jet tu..Huyu ndiyo ABIOLA na alikuwa mwanasiasa machachari sana enzi za uhai wake! Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU wapo mbali sana katika masuala yanayohusu jamii na huwa wanasema wametangulia kuliona jua kuliko WATANZANIA wengine.
Pia kulikuwa kuna wakina PASTOR CHRIS OYAKHILOME wa CHRIST EMBASSY, hawa wote ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU!
Huyu rais mstaafu kipindi anaingia madarakani nchini NAIJERIA, aliulizwa swali kuhusu maendeleo ya WILAYA YA KISHAPU na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU! Lakini hakufanikiwa kutolea majibu ya uhakika..
Wanyamwez wametulia sana, huwa ni wapole na wachamungu! Lakini Wale micharuko wa Tabora huwa ni wasukuma wa Nindo.. πHata BENINI ipo kwenye orodha, kwa sababu watawala nchini humo tangu kipindi cha ukoloni walikuwa ni WANYAMWEZI waliohamia kutoka KONGO na baadae wakafanikiwa kuhamisha WANYAMWEZI wengine waliokuwa wamesalia TANZANIA na kuwapeleka kwenda kuishi nchini BENINI.
Sasa hivi ukiwa TABORA, idadi kubwa ya wenyeji ni wasukuma waliohamia kutoka MKOA WA SHINYANGA, hasa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI.
Wanyamwez wametulia sana, huwa ni wapole na wachamungu! Lakini Wale micharuko wa Tabora huwa ni wasukuma wa Nindo.. π
Watu waliamia Marekani tangu mwaka 1957!! Kulikuwa kuna wasanii kama Kelly Rowland, Olivia pamoja na Neyo, hao wote ni Kishapu kutoka kijij cha Bubiki..
Kulikuwa kuna wakina Yakubu, Jeneral Abdulsalami Abubakar na Brigedia Jeneral Abu Ali ni matajiri sanaaaaa hao watu lakini Kishapu hata maji ya ziwa viktoria hakuna.. π!
Ukiwa Naijeria wamewekeza, wanamiliki visima vya mafuta na Watoto wao wakina Umar wanaruka na private jet tu..
Watu waliamia Marekani tangu mwaka 1957!! Kulikuwa kuna wasanii kama Kelly Rowland, Olivia pamoja na Neyo, hao wote ni Kishapu kutoka kijij cha Bubiki..
Hiyo ni siasa ya kibaguz na Walikuwa wanapika matokeo ili kupitisha wanafunzi wanaowataka wao, wanajiunga udsm halaf jesh then wanapelekwa visiwa vya Karibian! Saivi hata huko walipo visiwan tunaenda kuwaondoa lakin matio walikuwepo na wanaendelea kutoka kila mwaka..
Wakina 50cent na kundi lao walikuwa wajanja na walishtuka tangu mapema! 50cent ndo Ludo wa Nyarugusu na Lloyd Banks ndo Nyorobi wa Submarine Hotel na wasambazaj wa Nyorobi spare parts za pikipiki..Hawa wenzenu walifanikiwa katika muziki wa HIP HOP nchini MAREKANI na nyimbo zao zilikuwa zinapigwa hadi vituo vya televisheni kama CNN.
Sasa hivi wanamiliki vitu vyao na wamejitahidi kuwekeza kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kama diaspora.
Hao wote watu weusi wanaonekana kwenye video za 50 CENT pamoja na kundi zima la G-UNIT ni WATANZANIA wenye asili ya WILAYA YA KISHAPU, kwani na wao wanafanya kama ilivyo kwa upande wa wasanii wenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI.
Lakini bado kuna WATANZANIA wengine walioamua kubaki TANZANIA na walifanikiwa kujijenga kiuchumi na wamewekeza katika mataifa ya AFRIKA, ULAYA, ASIA pamoja na AMERIKA.
Town school ni shule bora kwa wakati wote, ipo kama Old Moshi! Lakini Azimio ni shule ya msingi ambayo ni vipaji maalum kwa Tanzania na chimbuko la siasa za wanamtandao pamoja na viongoz wa kijesh wa magereza, police na zimamoto..JENERALI ABDULSALAMI ABUBAKAR pamoja na aliyewahi kuwa RAIS WA AFRIKA YA KUSINI, NELSON MANDELA [the late] walikuwa ni majirani na wametoka kijiji kimoja, hata shule ya msingi walisoma pamoja na wote walifanikiwa kuwa marais kwa nyakati tofauti katika mataifa ya NAIJERIA na AFRIKA YA KUSINI.
Hali hiyo ipo hivyo hivyo, kwa upande wa RAIS WA RWANDA, PAUL KAGAME na NELSON MANDELA [the late].
Huyu ndiyo UMAR! Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] na JENERALI ABU ALI ndiyo miongoni mwa wahitimu bora wa SHULE YA MSINGI YA TOWN.
Kanye West anamiliki malori na anajenga kiwanda pale maeneo, kabla hujafika kijiji cha usanda! Tatizo anaajili watu wa Shinyanga vijijn tu.. πHawa ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na waliokuwa upande wa HAYATI MWALIMU. Wale wengine walikuwa ni wajinga..
Huyu pia amefanikiwa kuwekeza kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kama diaspora na anafanya vizuri katika sekta ya uwekezaji.
Wengine huwa wanafikiria kazi ni kutafuta wastan wa wanafunzi tu, kumbe kuna kazi kama kutafuta LCM na GCD! One Variable Statistics kama standard deviation, variances, number of frequencies, median pamoja na cumulative frequencies!Kitu kingine ambacho huwa hawasemi pale BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], mwanafunzi yoyote kupata wastani wa tisini na tano [95%] katika MTIHANI WA TAIFA ni kitendo cha kawaida.
Lakini ikitokea mwanafunzi amepata wastani zaidi ya tisini na tano [>95%] katika MTIHANI WA TAIFA huwa ni kitendo ambacho siyo cha kawaida na huwa inatokea kwa nadra. Kitendo hicho huwa wanaita EP ikiwa na maana ya "EXPECTIONAL PERFORMANCE" na taarifa za kitaaluma, kama wastani huwa unaandikiwa kwa tarakimu za kirumi.
Hii pia huwa ina maana yake kwa wale wanaofanya masuala ya unajimu na ilianza kutumika na WARUMI tangu karne ya kumi na tano [15c]. Sasa hivi imekuwa ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU [UNESCO].
Kwahiyo kwa ujumla, elimu ya msingi na elimu ya sekondari kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo huwa ipo hivyo na diaspora wa kitanzania walikuwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] kwa kuingia KUMI [10] BORA kabla ya kufanikiwa kushika nyadhifa mbalimbali nje ya nchi.
Mdogo ake na Vannesa alienda Benin kwa wanyamwez kutalii! Hapo ndogo inahusika sana.. πWengine wanafanya kwenda kutembea COTONOU, BENINI! WANYAMWEZI ndiyo watawala wa serikali ya BENINI.
Wakina 50cent na kundi lao walikuwa wajanja na walishtuka tangu mapema! 50cent ndo Ludo wa Nyarugusu na Lloyd Banks ndo Nyorobi wa Submarine Hotel na wasambazaj wa Nyorobi spare parts za pikipiki..
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanakosea sana kutegemea fursa na feva za serikali katika ile namna ya kuishi nje ya nchi, kwa sababu WATANZANIA wapo wengi.Lakin diaspora wengine hawana kitu na wanaishi yale maisha ya "domestic economy" kumiliki chumba kimoja cha kupangisha na sebule halaf hata kurudi Tanzania wanaona nomaa! Wanarud wakat wa kwenda depo hata airport huwa hawatumii, wanapaa na ungo.. π¬
Wengine huwa wanafikiria kazi ni kutafuta wastan wa wanafunzi tu, kumbe kuna kazi kama kutafuta LCM na GCD! One Variable Statistics kama standard deviation, variances, number of frequencies, median pamoja na cumulative frequencies!
Kuchora grafu zenye Expression Detail, Cumulative sums na Box and Whisker Chart π! Ukifanya hivyo hata kudanganya kwenye kutangaza matokeo inakua ni vigumu, hata ikitokea wametangaza tofauti matokeo halisi yataendelea kuwepo..
Kuwa EP huwa ni ngekewa na huwa inahesabika kama ni mwanafunzi atakayekua na bahati sanaaaaa! Mara nyingi tumekua tukishuhudia TO na OP, lakin EP huwa anatokea mara chache..
Darasa la saba ilishawah kutoa EP kwa mwanafunzi kupata wastan wa 97%! Form two na Form four ilishawah kutoa EP kwa wanafunzi kupata wastan wa 97% na form six ilishawah kutoa EP kwa kupata wastan wa 96% lakini darasa la nne haijawahi kutoa EP hadi leo.. π
Shinyanga vijijn huwa hawana akili za darasani na sehem ya kuwapiga kwenye mshono huwa ni kwenye mitihani ya taifa! Saivi To wa six ameishia wastan wa 92, mwaka uliopita alipata wastan wa 93! Kupata wastan wa 96 ni bahati, sio kujua ni vile inatokea mwanafunzi kaotea mitihan yote.. πSasa hivi teknolojia imekuwa na taarifa za kitaaluma katika fomu za TSM9 huwa zinajazwa kwa kutumia SOFTWARES.
View attachment 3623943
Hizi ni taarifa za mwanafunzi bora [TO's] kwa upande wa kidato cha sita, 2010 na alifanikiwa kuwa EP's baada ya kufikisha wastani wa tisini na sita [96].
Hata grafu huwa wanachora kwa kutumia SOFTWARES na kunakuwa na taarifa za kitaaluma kwa kila mwanafunzi ~ kuanzia mwanafunzi wa kwanza hadi mwanafunzi wa mwisho kitaifa.
Hii ndiyo BOX & WHISKER CHART, taarifa zote huwa zinaambatanishwa kwenye fomu ya TSM9 na haiwezekani kutokea udanganyifu kama kila kitu kikifanyika katika mpangalio maalum. Labda itokee udanganyifu kwenye ile hatua ya kutangaza matokeo tu..
50cent kishawaacha, amewekeza had ubeligij! Wao hata wakipata hela baadae huwa wanafilisika, ni wachache wanaoweza kumaintain hela zao..Pia hao kundi la G-UNIT ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza rangi za kupaka ukutani zinazoitwa SPECTRUM PAINT. SPECTRUM PAINT ni kampuni kubwa na inapatikana katika mataifa mbalimbali ikiwemo TANZANIA yenyewe.
Hawa wenzenu walifanikiwa katika tasnia ya muziki na wamefanikiwa kujijenga kiuchumi. Pia wapo diaspora wengine kama wakina TERRY CREWS.. π
Kitu ambacho wasanii wengine hawana, ni ile hali ya kuwa PECULIAR. Wasanii wa G-UNIT ni PECULIAR, hawana muda na mambo mengine! Wao ni kazi ya muziki na kujijenga kiuchumi..
Wengine wapo "busy with WHITE PARTY", lakini wao wanajijenga kiuchumi kwa upande wa AFRIKA na wamejitahidi kuwekeza sana katika mataifa ya TANZANIA na NAIJERIA.
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanakosea sana kutegemea fursa na feva za serikali katika ile namna ya kuishi nje ya nchi, kwa sababu WATANZANIA wapo wengi.
Pia wenyeji wengi wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanakosea sana kupeana vyeo vya kijeshi ambavyo walikuwa hawastahili.
Matokeo yake unakuta askari anastaafu na cheo cha kanali, lakini kiuhalisia alikuwa na cheo cha meja hadi kustaafu kwake na hatambuliki popote katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hali hii imewagharimu sana wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na imebainika hata vyeo vya kijeshi walivyokuwa wanapeana ni kazi bure, maana hawatambuliki popote.
Hawa ni watoto wa aliyewahi kuwa askari magereza aliyekuwa anaitwa NYANDA na askari wengi wa kipindi kile wenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa hawafiki hata cheo cha SP! Wengi walikuwa ni INSP na wakijitahidi sana walikuwa wanaishia ASP..
Kwahiyo yale maisha ya kupenda ujiko na kujikweza imewagharimu sana wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], wamejikuta hawana kitu na mara mia warudi upande wa HAYATI MWALIMU, SENEGAL πΈπ³.
Kulikuwa kuna Kanal Masha cjui Pasha, kule old Shinyanga walikuwa wanajua jamaa ni Kanal na alitafuna mbususu nyingi za mademu wakalee wa kila aina.. πPia hao kundi la G-UNIT ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza rangi za kupaka ukutani zinazoitwa SPECTRUM PAINT. SPECTRUM PAINT ni kampuni kubwa na inapatikana katika mataifa mbalimbali ikiwemo TANZANIA yenyewe.
Hawa wenzenu walifanikiwa katika tasnia ya muziki na wamefanikiwa kujijenga kiuchumi. Pia wapo diaspora wengine kama wakina TERRY CREWS.. π
Kitu ambacho wasanii wengine hawana, ni ile hali ya kuwa PECULIAR. Wasanii wa G-UNIT ni PECULIAR, hawana muda na mambo mengine! Wao ni kazi ya muziki na kujijenga kiuchumi..
Wengine wapo "busy with WHITE PARTY", lakini wao wanajijenga kiuchumi kwa upande wa AFRIKA na wamejitahidi kuwekeza sana katika mataifa ya TANZANIA na NAIJERIA.
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanakosea sana kutegemea fursa na feva za serikali katika ile namna ya kuishi nje ya nchi, kwa sababu WATANZANIA wapo wengi.
Pia wenyeji wengi wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa wanakosea sana kupeana vyeo vya kijeshi ambavyo walikuwa hawastahili.
Matokeo yake unakuta askari anastaafu na cheo cha kanali, lakini kiuhalisia alikuwa na cheo cha meja hadi kustaafu kwake na hatambuliki popote katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hali hii imewagharimu sana wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na imebainika hata vyeo vya kijeshi walivyokuwa wanapeana ni kazi bure, maana hawatambuliki popote.
Hawa ni watoto wa aliyewahi kuwa askari magereza aliyekuwa anaitwa NYANDA na askari wengi wa kipindi kile wenye asili ya WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walikuwa hawafiki hata cheo cha SP! Wengi walikuwa ni INSP na wakijitahidi sana walikuwa wanaishia ASP..
Kwahiyo yale maisha ya kupenda ujiko na kujikweza imewagharimu sana wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], wamejikuta hawana kitu na mara mia warudi upande wa HAYATI MWALIMU, SENEGAL πΈπ³.