Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Pia kulikuwa kuna wakina KANALI KABWEBWE! Lakini kiuhalisia hawakuwa na vyeo vya ukanali na walikuwa wanalipwa mishahara na wanamtandao.

​

Askari walikuwa wanapeleka kreti za bia nyumbani kwa kanali pamoja na kupeleka shuleni watoto wa kanali! Kumbe KANALI KABWEBWE siyo kanali, ni KAPTENI mwenye nyota tatu.. πŸ˜‚

​

Sasa linapokuja suala la UTAWALA WA KISERIKALI, hao wote ni MALIWARES na hauwezi kufanya POLITICAL CHANGES ikiwa nchi inakuwa na watumishi wa namna hiyo, inabidi waondolewe ndiyo mambo mengine yaweze kufanyika na kufanikiwa.


​
Hadhi mojawapo ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ni sare za kijeshi kuvaliwa na askari wanaostahili na kuwa na sifa za kutumikia vyeo vyao! Heshima ya majeshi ndiyo huwa inaanzia hapo, lakini siyo kuweka watu wa hovyo ambao hawana sifa.
 
Uhamiaji mpaka leo hawajawai kupata cgi, wote hamna kitu.. πŸ˜‚ Wakina Anna wanalipwa mishahara na shinyanga vijijn
​

WASWAHILI huwa wana msemo unaosema "maji hufuata mkondo" na likitoka JESHI LA ZIMAMOTO linafuatia JESHI LA UHAMIAJI katika ule mtiririko wa majeshi na kazi zao katika serikali.


​
Ukiachana na masuala ya uhamiaji na usimamizi wa baadhi ya wizara katika serikali, JESHI LA UHAMIAJI linahusika na ufuatiliaji wa kila jambo linalofanywa na kutekelezwa na majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.


​
Hiyo ndiyo kazi kubwa ya JESHI LA UHAMIAJI na huwa kuna uwiano wa askari uhamiaji katika majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO kwa ajili ya kufanya hiyo kazi.

​

Kama ilivyo uwiano wa kila askari watatu wa JESHI LA ULINZI [JWTZ], lazima awepo askari mmoja wa JESHI LA MAGEREZA! Ndivyo ilivyo kwa upande wa uwiano wa kila askari watatu wa JESHI LA MAGEREZA au JESHI LA POLISI au JESHI LA ZIMAMOTO, lazima awepo askari mmoja wa JESHI LA UHAMIAJI.

​

JESHI LA UHAMIAJI ndiyo wafatiliaji wakubwa wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO na jukumu lao kubwa ni kufahamu kila kitu kinachofanyika ndani ya MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

​

Kwahiyo ni muhimu na sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kuwa na CGI ambaye ni MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's], ili kuendana na sifa za wakuu wa majeshi ya MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.

​

Katika yale mataifa nane [8] yanayoizunguka TANZANIA, ambayo ni KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI ~ TAIFA LA MSUMBIJI ndiyo linalofanya kazi kama JESHI LA UHAMIAJI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
 
Hao ndo wanamtandao, tangu inchi inapata uhuru had leo jesh la Uhamiaji limekuwa likiongozwa na watu wa Shinyanga vijijn halaf wote walikuwa hawana vigezo.. πŸ™
 
Majeshi yangekuwa yanafata sheria tangu zamani, vijana wote wangekua majeshin maana sio kwa mzunguko huo..
 
Town school ni shule bora kwa wakati wote, ipo kama Old Moshi! Lakini Azimio ni shule ya msingi ambayo ni vipaji maalum kwa Tanzania na chimbuko la siasa za wanamtandao pamoja na viongoz wa kijesh wa magereza, police na zimamoto..
TOWN SCHOOL imefanikiwa kutoa viongozi mbalimbali, hata MOBUTU SESE SEKO [the late] aliyewahi kuwa RAIS WA KONGO na GOODLUCK JONATHAN aliyewahi kuwa RAIS WA NAIJERIA wote walisoma hapo!


​
TOWN SCHOOL ni shule ya kihistoria! Pia wahitimu wa hiyo shule ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA MAREKANI inayoitwa THE TOWN FC.


​
THE TOWN FC ni timu ya mpira wa miguu inayoendeshwa kwa michango ya wahitimu wale mashuhuri wa shule ya msingi ya TOWN ~ wamo marais pamoja na viongozi wa kijeshi.
 

​
Ilitokea kama bahati! Lakini hauwezi kubahatisha maswali karibia yote, ina maana kuna jitahada zilizofanyika na kuzaa matunda.


​
Yaani kuwa EP's kwa mtihani wa taifa wa kidato cha sita [2010] ni kitendo cha kihistoria na haijawahi kutokea tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] na hawawezi kuvunja hiyo rekodi hata kwa miaka mingine mingi ijayo..


​
Kwahiyo wenzenu wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa ni NATIONAL FLAG BEARERS [NFB] kwa upande wa kitaaluma na vyeo ambavyo ni vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya majeshi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


​
Hao wenzenu huwa wanajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA wakiwa na vyeo vya kuanzia SP, mara chache unakuta askari anaanzia cheo cha SSP na mara chache zaidi unakuta askari anaanzia cheo cha ACP kama aliyekuwa MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA [2010].


​
Yaani MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA SITA [2010] atajiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA akiwa tayari anatambulika hadi kizazi cha tatu ~ mjukuu!


​
Kwahiyo WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] wakishafikisha miaka thelathini na tano [35] wanakuwa hawana shida na huwa wanazaa kutokana na kuwa na sifa ya ujenerali na wanatambulika hadi vizazi vya tano na pesa wanakuwa nazo kutokana na zawadi za kitaaluma pamoja na matunzo kutoka serikalini.


Lakini WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa hawapaswi kuchanganywa au kuwa na mahusiano ya kimapenzi "personal affairs" na jamii ya kimagharibi, kutokana na jamii ya kimagharibi kutoendana na jamii ya kitanzania.
 
Hawa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually pamoja na TINDE actually] wana tabia zinazofanana!


​
Sema wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] walimsaliti HAYATI MWALIMU kwa vipande vidogo vya fedha na ahadi kemkem kwa upande wa serikali ya TANZANIA. Lakini kusema na ule ukweli walikuwa wanadanganywa, maana muda umefika na wao wamejionea kuwa hawawezi kuendelea na ile nafasi ndani ya serikali waliokuwa nayo tangu 1975's maana WATANZANIA wameshakuwa ni wengi.


​
Hivyo njia sahihi ni kurudi na kuomba msamaha kwa HAYATI MWALIMU au kuhamia KIAMBU kwa familia ya HAYATI MZEE JOMO, maana kwa sasa hivi ukiwa nchini KENYA ~ idadi kubwa ya WAKIKUYU ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually]! Lakini kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA imekuwa ni ngumu kuendelea na nafasi yao ya kukagua na kusimamia miradi ya serikali kupitia ofisi za kibalozi nje ya nchi.
 
Acheni uongo arsenal inamilikiwa na Tajiri wa kimarekani
 
Kwamba Samia anapenda kufuata sheria na haki
 
Sakata lilianzia pale walipotaka kujenga upya shule yao, serikal wakata hela za michango ziwe zinatumwa wizara ya elim ndo zijenge Town! Wale viongozi waligoma na kila cku wanatamani kukarabati na kujenga upya shule yao. Pale ingekuwa ni ulaya ndogo, maana walitaka kujenga maghorofa..
 
Shinyanga vijijn walikuwa wanakula hela tu na wakajisahau kujijenga wao wenyewe, matokeo yake saivi wanaomba had kampuni ya Zuberi ili wasimamie na wapatemo tuhela twa kuzugia. Wangeendelea na Nyerere, wangekua mbali sana..

Kundi la Mwinyi na Mkapa ndo wanataka wapewe Burundi ili wakatawale huko, lakini Burundi imetawaliwa na watu wa kutoka Kishapu tangu siku nyingi na saivi Burundi imetulia..

Hata kutawala Kameruni imeshindikana! Kwa mambo waliyoyafanya awamu tatu za mwanzo, hawawezi kuja kuaminika tena hata kwa upande wa Tanzania na hawatakuja kutoa Rais miaka 1000.. πŸ™
 
Acheni uongo arsenal inamilikiwa na Tajiri wa kimarekani
Acha kukalili matajiri wa Forbes, ukiwa Marekani madalali ni wengi kuliko matajir wa ukweli! Huko Marekani uchumi unabana na hawawezi kununua na kumiliki timu ya mpira wa miguu kwa upande wa Ulaya halaf waache Kanada, Mexico na Marekani penyewe..πŸ™ MLS NEXT PRO
 
Watu wa Kishapu wanapenda kufata sheria, ukwel na haki, wamenyooka kama rula ndo maana wamefanikiwa kutoa marais wengi katika mataifa mbalimbali ya afrika..
Basi Samia sio mtu wa kishapu kalaaniwa kwa mauaji na maovu ya serikali yake
 
Charles Mandela unapata faida gani kutuambia huu uzushi?hauna evidence na pia haimake sense.kwa mfano unasema kila taifa la Afrika linatawaliwa na watanzania.haiwezekani kwa wameshindwa kutawala Hata hii Tanzania yenyewe
 
Charles Mandela unapata faida gani kutuambia huu uzushi?hauna evidence na pia haimake sense.kwa mfano unasema kila taifa la Afrika linatawaliwa na watanzania.haiwezekani kwa wameshindwa kutawala Hata hii Tanzania yenyewe
Umeshalewa Gongo tayari! Ngoja aje mwenyewe, saivi yupo mazoezi.. πŸ˜‚
 
Mimi bado nahitaji uthibitisho usio na mashaka bila hivyo hii ni hadithi ya kufikirika.
Hata Robert Mugabe alikuwa ni mtanganyika kutoka Maswa! Zimbabwe inatawaliwa na Maswa, Tanzania imetoa marais wengi kwa upande wa Afrika ndo wao hawajishughulishi.. πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…