Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kama mtu hajawahi kuingia tano bora kwenye mitihani ya moko, hakuna haja ya kusoma PhD! Unachukua PhD ya nin, wakat kwenye moko hukufanya vizuri. Labda mtu awe ameingia kumi bora kitaifa..
 
Jeshi la wanyamapori ndo wenye kampuni ya Howo! Mie napenda kuona vijana wakimiliki makampuni yao. Maana dunia ya leo kama ulikuwa mkali darasani halaf ukakosa hela, wanadamu watakutemea mate..

Chukueni Howo hizo kwa bei kitonga, 15milion tu! Tena Gari zinasoma ziro kilometers. Maana ajira za serikalin hata kama ukifanifanikiwa kuajiriwa inakua ni ajira za mzunguko maana watumishi ni wengi..


Kwahiyo kipindi uko kwenye mzunguko wa ajira unakua unaendesha Lori lako mwenyewe la mizigo na kufanya biashara yako ipanuke.. πŸ™ It's over and topic is closed πŸ”
 
Buthelezi ndo wanataka kuja kumfananisha na Mwanguku au Nyamka! Wamelewa Gongo, labda tumfananishe na Magufuli. Mtu anavaa viatu vya majeshi.. πŸ˜‚ Matio wa miaka ya elfu mbili wana akili kuliko hawa mawazir uchwara..


Kwanza wana hela zao za halal! Kumiliki zaid ya 300million sio kazi ndogo, labda tuwawekee Chuma ulete! Lakin vijana wa saiv sio washamba wa kubabaika na mademu wakalee. Mikndu wanakula, halaf hawatoi matunzo. It's over and topic is closed.. πŸ”
 
Huwa wanafanya vibaya kuwashindanisha kwenye masuala mbalimbali ya kijamii! Ukiwa MAREKANI, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI ndiyo wanaocheza mpira wa kikapu katika timu ya INDIANA FEVER na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI ndiyo wanaocheza mpira wa kikapu katika timu ya LAS VEGAS ACES.

Huwa kuna ushindani mkali, lakini huwa hawafanyi vizuri maana ile hali huwa inaendeleza kuchochea uhasama baina yao.

SHINYANGA MJINI ndiyo watanzania waliohamia mataifa ya ZAMBIA, MALAWI, BOTSWANA na kidogo MSUMBIJI. Lakini SHINYANGA VIJIJINI ni KENYA na WATANZANIA wa hapa hapa!

​

SHINYANGA MJINI wana uwezo mkubwa wa kifedha, kwahiyo haiwapi shida hata baada ya kustaafu michezo! Lakini SHINYANGA VIJIJINI huwa inawawia vigumu baada ya kustaafu michezo.

SHINYANGA MJINI wana uwezo mkubwa katika masomo ya shuleni na huwa wanafanya "relocation" katika majeshi yote ya TANZANIA, MALAWI, ZAMBIA na BOTSWANA. SHINYANGA VIJIJINI, idadi kubwa huwa hawafanyi vizuri darasani na hii inaaanzia kwenye uzazi na malezi [ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto katika umri mdogo] na idadi kubwa huwa wanaajiriwa katika majeshi ya TANZANIA tu.

Wenzenu baada ya kushindwa kutimiza malengo yao nchini KAMERUNI, walihamia ERITREA! Lakini hata huko hawatoweza kufanikiwa, maana wana maadui wengi na hata wao kwa wao huwa wanasalitiana.
Mfumo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ndiyo uliowalemaza wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI, maana haiwezekani kusaini makubaliano ya kisheria ya kuhodhi majeshi bila ya kuzingatia vigezo vya kitaaluma wala kupewa mafao.
 
​
 
Mfumo ndo uliowajenga shinyanga vijijn kuwa kama wahutu na huwa wanafundishwa ili wasiwe wanatoa ushirikiano kwa watu wengine! Hata kama kuna kitu wanatakiwa kusema huwa hawasemi na wakitumwa huwa hawaendi. Hiyo tabia huwa wanafundishwa makwao huko! Sema hawana akili za darasani..

Hata ukiwa unaishi nao, wanakuwa hawatoi ushirikiano na wanaweza kukupotosha na kukupoteza muelekeo hata kama ukwel wanaujua! Ndo maana watu wengi wanaowafahamu huwa hawataki kujenga inner-circle na shinyanga vijijn. Wabaya mno..

Makubaliano waliosaini mwaka 1975 ndo iliyowamaliza, sababu walitaka kushikilia Majesh kwa kuwa na askari nusu ya idadi yote bila hata kuwa na vigezo. Walifanikiwa, lakini walikuwa hawapewi mafao ndo maana matukio yanakuwa mengi ndani ya Majesh na huwa wana tabia ya wizi. Wanaiba sana vitu vya ndani vile vidogo vidogo..

Kameruni walishindwa kufanya mapinduzi, lakin chaguo la pili lilikuwa ni Eritrea na huko watashindwa pia maana Jamii nzima ilishafahamu malengo yao..

Nyamka ndo alipendekeza Eritrea, lakini hawana hela za kufanya mapinduzi ya kijeshi ila walifanikiwa kuzaa watoto na wanawake kutoka Eritrea. Watoto wa Nyamka na Mwanguku wanaoneka kwenye video za mzungu, Harry Jagadu.. πŸ™
 
Nyie jengeni familia! Zaeni na kulea watoto wenu! Hao wanaozaa na kugawa watoto waacheni hivyo hivyo.! Unaweza ingia kwenye sherehe ya harusi halaf ukaambiwa huyo binti ana mama yake ambaye ni yule pale, lakini wanapishana tu na wakat mwingine wanaweza kushea hata mabwana..

Nyie nunueni malori ya mizigo na abiria maana petroli imepanda bei! Hao wenye Harrier Matako ya Nyani watapaki kwa aibu..

Shinyanga Mjini wana akili sanaa hawana mambo ya kishambaa! Wao wanasoma mijini had darasa la tano, ikifika mda wa kuingia darasa la sita wanahamia shule za vijijn au mipakan kwa ajili ya mitihani ya moko kata na huwa wanaongoza mitihani ya moko kata..

Wakishamaliza darasa la saba ndo wanarudi mijini wakiwa tayari wameshaingia tano Bora kwenye mitihani ya moko. Shinyanga vijijn wamebakiza kusema wao wana uwezo mdogo wakati wenzao waliohamia Kenya wanafanya vizuri.. πŸ™
 
Yeah! Kuna HARRY JAGGARD, TRAVEL WITH BERTIN na PURITY KHOSA, You Know. Hawa wote wanajitahidi kuonesha madhaifu nje ya nchi yanayofanywa na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually].

Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wameendelea kuenea sehemu mbalimbali, ambapo TANZANIA itakuwa imewekeza.


​
Hapa ilikuwa ni BURKINA FASO na HARRY JAGGARD amejitahidi kuwatembelea na kuwajulia hali baadhi ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliokuwa wakiishi nchini humo.

Pia alitembelea nchi ya ETHIOPIA na kukutana na baadhi ya WATANZANIA wanaoishi nchini humo!


​
Lakini bado haijajulikana ni nini hasa kilichopo nyuma ya pazia, hadi kufikia kuwamulika vizazi vya wakina MWANGUKU na NYAMKA.


​
Baadae alienda nchini SOMALIA na kukutana na baadhi ya WATANZANIA wanaoishi nchini humo, lakini zamu hiyo ilikuwa ni kukutana na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually].

Hao ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] waliojiingiza kimakosa kwenye siasa za HAYATI MWALIMU na kujikuta wametoa pesa nyingi kwa makubaliano ya kibiashara.


​
Sasa hivi wameenea hadi maeneo ya SOMALIA katika viunga vya MOGADISHU na wanafanya biashara ya uchuuzi wa samaki. Kwahiyo mambo yapo mengi na kila mmoja amejitahidi kuonesha kazi zake kupitia video.

​

Lakini wale wengine ambao ni TRAVEL WITH BERTIN na PURITY KHOSA wamejitahidi kuonesha ukiukwaji wa haki za binadamu pamoja na watoto unaofanywa na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually].
 
Mie nilikuwa nataka screenshot pictures, video nyingi zinachosha! Nyie zaeni na mle watoto wenu vizuri, hao Kimotco dawa yao ipo jikon inachemka.. πŸ˜‚
 
Mie nilikuwa nataka screenshot pictures, video nyingi zinachosha! Nyie zaeni na mle watoto wenu vizuri, hao Kimotco dawa yao ipo jikon inachemka.. πŸ˜‚
Ndiyo maana wenzenu huwa hawakai nao! Unajua kile kitendo walichokifanya miaka ya tisini [1990's] halafu hawakuchukuliwa hatua, pengine kuna uwezekano mkubwa wa kufanya tukio kama lile lililotokea mwaka 1993.


​
Wamejitahidi kusambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi. Hata KONGO - BRAZAVILE wapo na kuna baadhi ya video zilizofanikiwa kuwaonesha wao pamoja na baadhi ya watoto wanaowatumikisha huko KONGO.

Wao pia wamo katika ile orodha ya unyanyasaji na ukatili dhidi ya watoto ~ wanazaa na kusambaza watoto wao katika ile namna ya kupata mafanikio kwa imani potofu.


​
Huyo ni mtoto wao na walifanikiwa kumpata akiwa anafanya biashara ndogondogo "petty trading" pembezoni mwa barabara.


​
Kimaudhui inachafua taswira ya nchi na ukiachana na ile adhabu ya "NATIONAL SOCIAL ISOLATION" huwa adhabu nyingine kama "PERSONA NON GRATA" ambayo inahitaji wahusika kuondoka nchini ndani ya masaa sabini na mbili [72].


​
Baada ya kupitia adhabu zote mbili na wahusika wasipofanikiwa kuondoka nchini ndani ya muda uliotajwa, basi adhabu ya kifo huwa inatakelezwa kwa wahusika.


​
Kwahiyo mambo yapo mengi sana yakuzingatia kabla kufikiria mabadiliko ya kisiasa, lazima ifanyike "NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE".
 
Watu wa namna hiyo hata ofisi za umma hawapaswi kukabidhiwa wala kuajiriwa! Sema Tanzania huwa hawatiliii mkazo sheria kama hzo na sheria ya kifo huwa inatolewa na mkuu wa magereza sehem ambapo mtoto atakua alizaliwa..

Gereza ndo linawajibu wa kusimamia taratibu zote za malez ya mtoto kuanzia anapozaliwa had anapotimiza miaka 17 na kuweza kuwa mtu mzima na umri wa kujitegemea wa miaka 18..

Hizo ndo huwa kazi za tume ya maadili na ustawi wa jamii! Tume ya maadili na ustawi wa jamii hawatakiwi kukaa ofisini, wanatakiwa kujichanganya sehem zenye mikusanyiko ya watu ili kujua kinachoendelea..

Saivi ndo staili hiyo, kuzaa na kusambaza watoto kwenye mataifa mengine ili wasionekane kama wanawafanya ndagu watoto wao. Humo kwenye majumba ya watu kuna mambo mengi..

Ila Kimotco bado wana hela kupitia majengo wanayomiliki! Sema hela nyingine walizompa Nyerere kipindi kile miaka ya 1992 zilikuwa zinafika zaid ya 5million na walikuwa wanahangaika na siasa za Tanzania kwa sababu, wao hawajawahi kutoa Rais ijapokuwa Bubiki wametoka marais na wanasiasa wengi wa Burundi, Sierra Leone, Msumbiji na Afrika Kusin.. πŸ™
 
Kongo Brazavile ni Tanzania kama ilivyo Kenya na Uganda. Rais wa Kongo Brazavile alisoma Town School inayopatikana Shinyanga Mjini. Kipindi hicho Shinyanga ilikuwa juu sanaa hata Judith alitakiwa akawe mpishi au msaidizi na kalani wa Paulo Kagame kabla ya kufarik mwaka 1995..πŸ™
 
​

Wengine ni watu wazima na pengine waliamua namna ya kuishi au wapo katika kutimiza majukumu yao ya kikazi.

Sasa hivi YOUTUBE VLOGGERS wengi wanakuwa wanafuatilia matukio na mikasa ya watu mbalimbali waliopita na waliokuwa maarufu kwa njia ya video na kuwatambua wahusika waliomo kwenye video ni hadi uwe unafahamu mkasa mzima na maudhui ya video yote.

Tunaambiwa ule mkasa uliotokea mwaka 1993 na 1995 ulisisimua na kuhudhunisha watu wengi ~ baadae walifananisha yale matukio na mahusiano ya PRINCESS DIANA na DODI FAYED wa MISRI.


​
Lakini pia hata ndugu wa KHALFAN walifanikiwa kuhamia MSUMBIJI na wanaendelea kudai kuwa ndugu yao ambaye ndiye KHALFAN ndiyo aliyeingia makubaliano ya kibiashara na HAYATI MWALIMU na kufanikiwa kufufua, kununua na kumiliki kampuni ya KIOO!


​
Hata timu ya mpira wa miguu ya SCHARKE 04 ambayo inamilikiwa na kampuni ya KIOO, wanadai ilinunuliwa kabla ya mwaka 1993 kipindi ambacho KHALFAN yupo hai.

Pia KHALFAN ana watoto wake ambao alifanikiwa kuwazaa na wanawake wengine na wanaishi MSUMBIJI.


​
Kwahiyo mkasa mzima ndiyo ulikuwa hivyo! Sema bado wanandugu wa wahusika wanaendelea kuvutana katika ile namna ya kupata chochote kitu kutoka kwa familia ya HAYATI MWALIMU ~ maana walimuamini na waliwekeza kila kitu kwake.
 

​
Sasa hivi watu wamekuwa wajanja na wanafahamu kutumia fursa za kiserikali vizuri. Wanajijenga vizuri, taratibu na kwa njia halali.

​
 
JK alikuwa na hela sanaa kuliko hata Benjamin Mkapa kabla ya kuwa Rais wa inchi. Lakin hela zote alizikabidhi Masumun kwa makubaliano hewa..

JK ndo alinunua klabu ya Schalke04 ya Ujeruman pamoja na klabu ya Ismailia kutoka Misri iliyokuwa ikisumbuana na Simba kwa wakati ule kwenye michuano ya Afrika..

Lakini saivi Judith na JK wamekua matapeli na hakuna wa kuwaamini tena maana tayari walishakua mizuka! Kila kitu walikuwa wanagawa, saivi JK anatembelea pikipiki unaweza fikiri ni bodaboda.. 😁 Ila Mambo mengine tunawaachia wenyewe. Kama ni hela walizipata na wakazichezea, saivi ni mwendo wa majuto ni mjukuu.. πŸ™
 
​

Already forgotten! Those people are LOOSE BALLS. Sasa hivi watu wanazaa na kulea watoto wao wenyewe, hayo masuala mengine ni kujitafutia matatizo yasiyokuwa na ulazima.


​
Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI na ndiyo wanaongoza kuwa na idadi nyingi ya KANALI WA KIJESHI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA!


Wao wanazaa, wanalea na kusomesha watoto wao katika ile hali ya kufanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO na kuwa SE FAIRE VALOIR. Sasa hivi idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI inahamia nchini KENYA kutoka katika mataifa ya TANZANIA, MALAWI na ZAMBIA.

​

Wengine ni SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] waliohamia nchini KENYA tangu miaka ya hamsini [1950's] na bado wanaendelea kupambana katika masuala mazima ya kujijenga vizuri kijamii.
 
Hizo video mnazitoa wapi? Ukiwa KENYA watoto wao unawaona jioni tu, mda wa kwenda na kurudi shule hata hawaonekani! Sijui waga wanapitia wapi.. πŸ˜‚

Kiwanuka aliwatesa sanaa Uganda kwenye elimu na alifanikiwa kutoa mwanafunzi bora ambae baadae atakua ni Jeneral Kiwanuka! Huyo binti ni mjukuu wa Kiwanuka na alifanikiwa kuongoza Kenya kwa upande wa jinsia ya kike..

Odinga anapambana sanaa kwenye elimu na siasa! Tayari ameshaingiza top five na baadae atakua na Jeneral Odinga, lakini hata yeye alishasomesha mtoto wake wa kike pale Town school na alikuwa akiitwa Siwa. Alimaliza standard seven 2003..

Kipindi kile Town school ilikua na watoto wa wakubwa tuu! Kwahiyo saivi kila mtu anafahamu umuhimu wa kulea watoto wake mwenyewe. It's over and topic is closed πŸ”
 
Sasa hivi watu wamekuwa wajanja na wanafahamu kutumia fursa za kiserikali vizuri. Wanajijenga vizuri, taratibu na kwa njia halali.

Wakina Judith walikuwa na uwezo wa kujijenga kuwa kama wakina Odinga, maana Baloz Mwapachu ni kaka yake na Judith. JK alimpenda na kumhangaikia Judith ili apate connection na support ya kisiasa kutoka kwa Baloz Mwapachu..

Baloz Mwapachu ndo aliyemuingiza JK kwenye siasa, sema na JK kwa kutokujua akaligema na kugawa nafasi ya vyeo vyake kwa makubaliano ya kugawana mishahara na watu wengine..

Nafasi walikuwa nayo kubwa! Sema hela walizichezea na hawakuwa na malengo ya kujijenga kijamii. Kuzaa na kusambaza watoto wao kabla ya kuwaangalia ilikuwa ni kitu cha kawaida. Kuna mtoto mwingine wa kiume walimgawa kwa Mama Gaspaa pale jirani na Mama Shose, Ngokolo mtumbani..

Baloz Mwapachu ndo alitoa wazo la kuwa na Kimotco kama kampuni ya ukoo, lakini ni wabaya sanaa na ndo waliomfanya kitu mbaya JK. Ukitaka stori zao za ukwel na uhakika, Mzee Makamba anawajua vizur sanaa..

Hao ndo wenye JK White Cement! JK Wall Putty pamoja na JK Profix. Hata JK fitness festival ya Mbezi ni yao! Wanalitumia jina la jamaa kibiashara, wakati kwao wana hali mbaya kimaisha. It's over and topic is closed πŸ”
 
Hizo video mnazitoa wapi? Ukiwa KENYA watoto wao unawaona jioni tu, mda wa kwenda na kurudi shule hata hawaonekani! Sijui waga wanapitia wapi.. πŸ˜‚
Wenzenu huwa wanatoa akaunti zao za YOUTUBE pamoja na INSTAGRAM, halafu wao wanakuwa wanawekewa RECOMMENDED DOWNLOADS zinazohusu TANZANIA.

Hawa YOUTUBE VLOGGERS huwa wanafuatilia matukio na masuala yote yanayohusu TANZANIA. Kwahiyo unaweza jikuta unapakua video nyingi hadi unachoka, lakini hiyo ni mojawapo ya kazi ya vyombo vya ulinzi na ulasama.


​
Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] wanafuatiliwa sana, tena kwa njia ya video. Maana walijaribu kuiga mtindo wa maisha ya WAKONGOMANI.


​
Hiyo ndiyo kazi ya USTAWI WA JAMII pamoja na TUME YA MAADILI YA TAIFA ~ wanatakiwa kufuatilia na kujua kila kitu kwa njia ya video pamoja na picha.
Hao wengine walishastaarabika, ndiyo maana wanapiga hatua kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…