Baada ya kufanikiwa kuwekeza kwenye nchi za AFRIKA YA MASHARIKI pamoja na nchi ya MSUMBIJI 🇲🇿 - hawa MWASHITA yaani SIMBA watakuja na mradi wa tatu. Huu mradi wa tatu utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2025.
Huu mradi utakuwa ni mradi unaonganisha majiji yote ya nchi zote za SADC [ SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COUNTRIES ] kwa njia ya barabara.
Kutakuwa na kampuni moja ya usafirishaji wa abiria itakayounganisha nchi zote za SADC, kama unavyoona hapo juu kwenye ramani.
Hii kampuni itakuja na jina litakalojulikana kama SADC ROAD LINK itakayounganisha nchi za KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮, KONGO 🇨🇩, ANGOLA 🇦🇴, NAMIBIA 🇳🇦, BOTSWANA 🇧🇼, AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦, LESOTHO 🇱🇸, ESWATINI 🇸🇿, ZIMBABWE 🇿🇼, ZAMBIA 🇿🇲, MALAWI 🇲🇼, MSUMBIJI 🇲🇿 na TANZANIA 🇹🇿 yenyewe.
Kama unavyoona hapo juu! Huu mradi utakuwa unajumuisha gari aina ya SCANIA TURISMO kama unavyoona hapo kwenye picha, hizi ni gari zinazotengenezwa na kampuni ya
Banbros Limited inayopatikana nchini KENYA 🇰🇪. Hii kampuni ya
Banbros Limited inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA.
Kwahiyo hii itakuwa ni fursa ya kibiashara kwa kampuni ya
Banbros Limited kutangaza bidhaa zake kwenye nchi za SADC.
Na awamu hii itakuwa inachukua wafanyakazi wote yaani SIMBA au MWASHITA wa mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA kwenda kufanya kazi kwenye hizi nchi za SADC.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na MWASHITA yaani SIMBA yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU kuwainua kiuchumi hawa wakazi wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
Hiyo ndio SIASA inayofanywa na MWASHITA yaani SIMBA dhidi ya SERIKALI INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI YAANI CCM.