Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Kofia, nimeivua!
Salute kwako mkuu Charles Mandela
Salute kwako mkuu Charles Mandela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakutafuta mwenyewe baada ya mwezi Julai kupita 😁😁Umefunga A/C yako sanjari na PM yako Mkuu Chales Mandela
Nitakutafuta mwenyewe baada ya mwezi Julai kupita
Ndio! Hana tofauti na ADAM SAPI MKWAWA aliyekuwa SPIKA WA BUNGE mstaafu! Angalia SAFARI CHANNEL na TBC1, kuna makala ya video inaelezea familia na maisha ya aliyekuwa SPIKA WA BUNGE mstaafu, ADAM SAPI MKWAWA. Ile ni FEDHEA wala sio uongo.
Hivi unafahamu kipindi wanajeshi wa JWTZ walivyoamua kumjengea nyumba HAYATI MWALIMU, walimwambia hivi - Ni aibu kwa BABA WA TAIFA kuwa na nyumba ndogo ambayo hata tembo hatoshi!
Unafahamu HAYATI MWALIMU alivyowajibu wale waliokuwa wanajeshi wa JWTZ? Aliwajibu hivi - Nyinyi ni wajinga, mimi nina uwanja mkubwa unaoweza kuchukua tembo zaidi elfu moja.
Sasa swali lingine linakuja, huo uwanja aliokuwa akiusema HAYATI MWALIMU ulikuwa ni uwanja upi? Huo uwanja ni ule uliokuwa ukitumiwa na timu ya mpira ya UJERUMANI 🇩🇪, iliyokuwa ikijulikana kwa jina la BAYERN MUNICH.
Tangia hapo, sura yenye picha ya HAYATI MWALIMU iliwekwa kwenye NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].
Hiyo ndio historia ya NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].
Huyu Mnafiki mkubwa na Mdini Mohammed Said hawezi kufanya hivyoNitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala maalumu ya kumuelezea Kambona kama vile anavyofanya katika kuwaandikia makala wazee wake wa Kariakoo walioshiriki katika harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.
Najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. Labda kwa kuwa Kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
Unajua TANZANIA 🇹🇿 tuna utamaduni wetu ambao sio mzuri! Huo utamaduni ni wa kuzungumza mambo ambayo hatuna hata uhakika nayo! Wengine huwa wanaita ni MANENO YA VIJIWENI au MANENO YA MITAANI.Kofia, nimeivua!
Salute kwako mkuu Charles Mandela
Mkuu, Charles Mandela!
Unaweza kunigusia chombo hata kimoja cha media cha MWENYEHERI?
Sasa hivi hali imebadilika ndani ya VYOMBO VYA DOLA, watu wenye mapenzi mema ya nchi wameshaanza kuona ukweli na hali ya kitaifa kwa ujumla.duuuu
kwani mchakato wa kumtangaza kua mtakatifu umefika wap?Mkuu, Charles Mandela!
Unaweza kunigusia chombo hata kimoja cha media cha MWENYEHERI?
mkuu hapo kwenye vyombo vya dola vinavyohitaji mabadiliko fafanua zaidi na hilo vuguvugu zimaSasa hivi hali imebadilika ndani ya VYOMBO VYA DOLA, watu wenye mapenzi mema ya nchi wameshaanza kuona ukweli na hali ya kitaifa kwa ujumla.
Na sasa hivi ndani ya VYOMBO VYA DOLA kuna vuguvugu la mabadiliko - aidha tuwe na mfumo wa kisiasa kama CHINA 🇨🇳 au tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸.
Wakichagua mfumo wa kisiasa kama CHINA 🇨🇳 - CCM itaendelea kupeta na SERENGETI yaani CHUI ndio watakaoendelea kunufaika zaidi na zaidi na kuna jamii nyingine zitaendelea kuwa masikini na duni sana.
Wakichagua mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸 - kwa sasa hivi hakuna chama cha kisiasa chenye uwezo na hali ya kuiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ madarakani. Chama cha kisiasa chenye nafuu ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, vyama vingine ni SACCOS tu!
Sasa kwani iwe CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na sio vyama vingine kama NCCR - MAGEUZI au TLP au UDP au CHAUMA au CHADEMA au JAHAZI ASILIA au ACT WAZALENDO?
Majibu yake ni haya - SIASA ni huduma za kijamii na mahusiano ya watu, sio kupiga porojo tu! Na watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa hospitali ya REGENCY iliyopo DAR ES SALAAM. Hii ni sekta ya AFYA.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa timu za mpira wa miguu za SIMBA SC iliyopo DAR ES SALAAM, COASTAL UNION FC iliyopo TANGA, MTIBWA SUGAR FC iliyopo MOROGORO, BIASHARA UNITED MARA iliyopo MARA na KAGERA SUGAR FC iliyopo KAGERA. Hii ni sekta ya MICHEZO na BURUDANI.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa viwanda vya SAYONA INDUSTRIES, AZANIA GROUP, KIOO INDUSTRY, MMM STEEL, TANGA FRESH, TANGA PHARMACEUTICAL & PLASTIC LTD na kwa kumalizia hivi ni viwanda kwa uchache tu, vipo viwanda vingine vingi ambavyo vinatoa ajira kwa Watanzania. Hii ni sekta ya VIWANDA na BIASHARA.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kampuni ya MWANANCHI COMMUNICATION LTD na vituo vya redio kama KWIZERA FM, KISS FM na WASAFI MEDIA. Hii ni sekta ya HABARI.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa HOTELI za KEMPINSKI na SEACLIFF pamoja na hoteli nyingine nyingi za kitalii. Hii ni sekta ya UTALII.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA 🇹🇿. Hii ni sekta ya MAWASILIANO na UCHUKUZI.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa shule za KEMEBOS, UJENZI na ST MATHEWS. Hii ni sekta ya ELIMU.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa chuo kikuu cha ECKERNFORD TANGA UNIVERSITY. Hii ni sekta ya ELIMU YA JUU.
Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamewekeza nchi jirani za AFRIKA YA MASHARIKI na KUSINI ili kudumisha UJIRANI MWEMA.
Sasa, hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vina miliki nini ambavyo ni MSAADA KWA JAMII? Jibu ni hakuna! Hata dispensari hawana!!
Wengine walianza kutumia hadi timu ya SIMBA SC 🦁 kwenye kampeni zao za kisiasa, wakati hiyo timu ni ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ wala sio ya CHADEMA ✌️ wala ACT - WAZALENDO 🖐️.
Hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vinamiliki nini zaidi ya kukusanya ruzuku na kupiga porojo? Jibu ni hakuna! Hata kiwanda cha maji ya kunywa hawana!!
Sasa hiyo DOLA YA TANZANIA 🇹🇿 wataipata vipi? Jibu ni hakuna! Wanapoteza muda tu au ni sehemu ya CHAMA CHA MAPINDUZI kupoteza malengo ya mabadiliko.
Na kwanini CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kilipoteza mvuto au umaarufu wa kisiasa kwa miaka kumi [ 10 ] iliyopita? Jibu ni hili - hawa wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ waliamua kushindana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuwekeza nje ya nchi wakajisahau kwa upande wa nyumbani, ndio ikawa chanzo cha kuporomoka. Lakini CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ bado kipo na kina nguvu kwenye baadhi ya maeneo ya TANZANIA 🇹🇿, ndio maana kina wabunge wa kuchaguliwa wengi ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kina wabunge watatu [ 3 ] na wengine wana mbunge mmoja [ 1 ] tu 😂😂.
Na kwa upande wa VYOMBO VYA DOLA hasa POLISI, JWTZ, TISS na NSA na wao walikuwa miongoni mwa wale waliotaka kutumia vitu vya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa shughuli zao wanazozifahamu wenyewe, lakini MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wakagoma kutumika.
Kwahiyo CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu kutokana na sababu tajwa hapo juu.
Na kitu kingine ambacho nilikuwa nimesahau kuwaeleza ni kuwa - TISS wanataka tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸 lakini waliambiwa wasimamie uchaguzi mdogo hata wa majimbo ya MUHAMBWE na BUHIGWE wakashindwa! Kwa sababu wao hata kibanda cha TIGO PESA hawana!!
Sasa hizo pesa za kusimamia uchaguzi mdogo watatoa wapi? Jibu hata wao hawafahamu 😂😂
Wao [ TISS ] wanategemea pesa kutoka SERIKALI KUU kufanya shughuli zao, ambayo hiyo SERIKALI KUU inaongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Kwahiyo [ TISS ] hawawezi kufanya maamuzi yoyote pasipo ruksa ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.
Na wao walipewa ushauri mzuri tu - kuwa waende kufanya makubaliano ya kusimamia makumpuni ya kibiashara ya MWASHITA yaani SIMBA ili waweze kupata FEDHA ya kujiendesha wenyewe lakini MWASHITA yaani SIMBA wakawa wamegoma kwa sababu na wao yaani MWASHITA yaani SIMBA wana malengo yao.
Kwa hali hiyo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu sana. Na hiyo ndio SIASA YA TANZANIA 🇹🇿 na madhaifu yake.
Sijui mchakato ulikofikia kwa sasa.kwani mchakato wa kumtangaza kua mtakatifu umefika wap?
Mambo yalikuwa MOTO SANA, meli ilitaka kuzama!mkuu hapo kwenye vyombo vya dola vinavyohitaji mabadiliko fafanua zaidi na hilo vuguvugu zima
Sasa hivi watu wengi wameelimika, lakini inabidi hata wewe pia unatakiwa ufanye uchunguzi binafsi, sio kukurupuka tu kama mtoto mdogo.Uzi mtamu sana huu hata hauchoshi.
Ngoja tuelezane ukweli - kwenye kipindi hiki cha COVID-19 inabidi tufunguke hasa, pale COVID-19 itakapoisha tutakuwa hatuna muda tena wa kujadili mambo kwa kina na kwa kirefu kama hivi.duuuu