Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mkuu Charles Mandela nina mengi ya kujifunza kutoka kwako, Lakini pia nina maswali na baadhi ya dots nahitaji unipatie msaada wa kuziconnect.


Kama PM yako haijafungwa nikucheki inbox kama hautakuwa busy.
 
Ndio! Hana tofauti na ADAM SAPI MKWAWA aliyekuwa SPIKA WA BUNGE mstaafu! Angalia SAFARI CHANNEL na TBC1, kuna makala ya video inaelezea familia na maisha ya aliyekuwa SPIKA WA BUNGE mstaafu, ADAM SAPI MKWAWA. Ile ni FEDHEA wala sio uongo.

Hivi unafahamu kipindi wanajeshi wa JWTZ walivyoamua kumjengea nyumba HAYATI MWALIMU, walimwambia hivi - Ni aibu kwa BABA WA TAIFA kuwa na nyumba ndogo ambayo hata tembo hatoshi!

Unafahamu HAYATI MWALIMU alivyowajibu wale waliokuwa wanajeshi wa JWTZ? Aliwajibu hivi - Nyinyi ni wajinga, mimi nina uwanja mkubwa unaoweza kuchukua tembo zaidi elfu moja.

Sasa swali lingine linakuja, huo uwanja aliokuwa akiusema HAYATI MWALIMU ulikuwa ni uwanja upi? Huo uwanja ni ule uliokuwa ukitumiwa na timu ya mpira ya UJERUMANI 🇩🇪, iliyokuwa ikijulikana kwa jina la BAYERN MUNICH.

Tangia hapo, sura yenye picha ya HAYATI MWALIMU iliwekwa kwenye NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].


Hiyo ndio historia ya NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].

f6504c1d63061b499c0da228a5b5e1e2.png

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ASIA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya AL HILAL SAUDIA FC inayoshiriki ligi kuu nchini SAUDIA ARABIA 🇸🇦.
 
Nitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala maalumu ya kumuelezea Kambona kama vile anavyofanya katika kuwaandikia makala wazee wake wa Kariakoo walioshiriki katika harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.


Najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. Labda kwa kuwa Kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
Huyu Mnafiki mkubwa na Mdini Mohammed Said hawezi kufanya hivyo

Anamjua vizuri O. Kambona lakini kwasababu sio mtawadhaji kama wao hawezi kumuandika
 
Kofia, nimeivua!


Salute kwako mkuu Charles Mandela
Unajua TANZANIA 🇹🇿 tuna utamaduni wetu ambao sio mzuri! Huo utamaduni ni wa kuzungumza mambo ambayo hatuna hata uhakika nayo! Wengine huwa wanaita ni MANENO YA VIJIWENI au MANENO YA MITAANI.

Lakini unapokuja kuelezwa ukweli, unabaki kushangaa tu! Kumbe hali halisi ilikuwepo tangu zamani.

Yaani hauwezi kuamini - kuna watu wanamdhihaki HAYATI MWALIMU lakini hao hao ndio wanaoenda kuomba msaada wa fedha za kampeni kwenye makampuni yanayomilikiwa na familia ya HAYATI MWALIMU.

Kuna watu wanamdhihaki HAYATI MWALIMU lakini hao hao ndio wanaoenda kufanya mahojiano na vyombo vya habari vinavyomilikiwa na familia ya HAYATI MWALIMU.

Kuna watu wanamdhihaki HAYATI MWALIMU lakini hao hao ndio wanaosaidiwa FUTARI na makumpuni yanayomilikiwa na familia ya HAYATI MWALIMU.

Ndio maana unakuta kuna baadhi ya watu wanakufa kama KUKU 🐔. Haya mambo hawayafahamu!!

Kuna mdau mmoja wa JF anaitwa johnthebaptist huwa anasema hivi, kuna watu walikuja mjini kimasomo 😂😂

Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA. Kuna watu waliwadharau watangulizi wetu yaani wazazi wetu kipindi wanaanzisha vyama vya kisiasa, waliambiwa hivi - katafuteni pesa ya kupambana na CHAMA CHA MAPINDUZI.

Hawa waliokuwa wanasema hayo maneno walikuwa sio hata miongoni mwa familia ya HAYATI MWALIMU. Walikuwa ni SAMBULA MATE tu, tena walikuwa ni watu wajinga kwa sababu waliamini na wao ni sehemu ya CHAMA CHA MAPINDUZI, kumbe sio! CHAMA CHA MAPINDUZI ni mali ya HAYATI MWALIMU na familia yake, wengine ni wanachama wa kawaida tu.

Sasa ngoma ilivyokuja kugeuka, wale walioambiwa wakatafute pesa ya kupambana na CHAMA CHA MAPINDUZI ndio walioshika UCHUMI WA TANZANIA 🇹🇿 leo hii. Ndio hao HAYATI MAGUFULI aliokuwa akiwasema kuwa wanaishi kama wapo MBINGUNI ☁️.

Hao watu sasa hivi wana uchumi mkubwa sana kuliko hata wale watu waliobaki CCM! Na wana vyama vyao vya kisiasa.

Utawaambia nini? Na ruzuku wanapokea! Utawaeleza nini? Kilicho baki sasa hivi ni kumtafuta HAYATI MWALIMU kiuchumi na kisiasa.

Sema sasa hivi, hali ya kisiasa ya TANZANIA 🇹🇿 imeyumba sana. Lakini hiyo ndio changamoto kwa vyama vya upinzani.

CHAMA CHA WANANCHI - CUF 🤝 sasa hivi kina wabunge watatu [ 3 ] wa kuchaguliwa! ACT WAZALENDO 🖐️ kina wabunge watatu [ 3 ] wa kuchaguliwa na CHADEMA ✌️ kina mbunge mmoja [ 1 ] wa kuchaguliwa kati ya wabunge mia mbili sitini na mbili [ 262 ] wa kuchaguliwa.

Kwahiyo utaona ni jinsi gani hali ya kisiasa ilivyo kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿. Kuna jitihada kubwa inatakiwa kufanyika kwa upande wa vyama vya upinzani ili kukabiliana na CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM.
 
Sasa hivi hali imebadilika ndani ya VYOMBO VYA DOLA, watu wenye mapenzi mema ya nchi wameshaanza kuona ukweli na hali ya kitaifa kwa ujumla.

Na sasa hivi ndani ya VYOMBO VYA DOLA kuna vuguvugu la mabadiliko - aidha tuwe na mfumo wa kisiasa kama CHINA 🇨🇳 au tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸.

Wakichagua mfumo wa kisiasa kama CHINA 🇨🇳 - CCM itaendelea kupeta na SERENGETI yaani CHUI ndio watakaoendelea kunufaika zaidi na zaidi na kuna jamii nyingine zitaendelea kuwa masikini na duni sana.

Wakichagua mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸 - kwa sasa hivi hakuna chama cha kisiasa chenye uwezo na hali ya kuiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ madarakani. Chama cha kisiasa chenye nafuu ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, vyama vingine ni SACCOS tu!

Sasa kwanini iwe CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na sio vyama vingine kama NCCR - MAGEUZI au TLP au UDP au CHAUMA au CHADEMA au JAHAZI - ASILIA au ACT - WAZALENDO?

Majibu yake ni haya - SIASA ni huduma za kijamii na mahusiano ya watu, sio kupiga porojo tu! Na watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa hospitali ya REGENCY iliyopo DAR ES SALAAM. Hii ni sekta ya AFYA.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa timu za mpira wa miguu za SIMBA SC ya DAR ES SALAAM, COASTAL UNION FC ya TANGA, MTIBWA SUGAR FC ya MOROGORO, BIASHARA UNITED MARA ya MARA na KAGERA SUGAR FC ya KAGERA. Hii ni sekta ya MICHEZO na BURUDANI.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa viwanda vya SAYONA INDUSTRIES, AZANIA GROUP, KIOO INDUSTRY, MMM STEEL, TANGA FRESH, TANGA PHARMACEUTICAL & PLASTIC LTD na kwa kumalizia hivi ni viwanda kwa uchache tu, vipo viwanda vingine vingi ambavyo vinatoa ajira kwa watanzania. Hii ni sekta ya VIWANDA na BIASHARA.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kampuni ya MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD na vituo vya redio kama KISS FM na WASAFI MEDIA. Hii ni sekta ya HABARI.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa HOTELI za KEMPINSKI na SEACLIFF pamoja na hoteli nyingine nyingi za kitalii. Hii ni sekta ya UTALII.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA 🇹🇿. Hii ni sekta ya MAWASILIANO na UCHUKUZI.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa shule za KEMEBOS ya KAGERA, UJENZI ya IRINGA, ANDERLEK RIDGES ya SHINYANGA na ST MATHEWS ya DAR ES SALAAM. Hii ni sekta ya ELIMU.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa chuo kikuu cha ECKERNFORD TANGA UNIVERSITY. Hii ni sekta ya ELIMU YA JUU.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa benki za AKIBA COMMERCIAL BANK [ ACB ], DIAMOND TRUST BANK [ DTB ] na AZANIA BANK. Hii ni sekta ya FEDHA.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamewekeza nchi jirani za AFRIKA YA MASHARIKI na KUSINI ili kudumisha UJIRANI MWEMA.

Sasa, hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vina miliki nini ambavyo ni MSAADA KWA JAMII? Jibu ni hakuna! Hata dispensari hawana!!

Wengine walianza kutumia hadi timu ya SIMBA SC 🦁 kwenye kampeni zao za kisiasa, wakati hiyo timu ni ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ wala sio timu ya CHADEMA ✌️ wala ACT - WAZALENDO 🖐️.

Hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vinamiliki nini zaidi ya kukusanya ruzuku na kupiga porojo? Jibu ni hakuna! Hata kiwanda cha maji ya kunywa hawana!!

Sasa hiyo DOLA YA TANZANIA 🇹🇿 wataipata vipi? Jibu ni hakuna! Wanapoteza muda tu au ni sehemu ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kupoteza malengo ya mabadiliko.

Kwa sababu kwa upande SERIKALI yoyote ile, kipindi cha UCHAGUZI MKUU huwa tunasema SERIKALI inakuwa ni AUTO - PILOTED GOVERNANCE, kunakuwa hakuna mamlaka kamili ya SERIKALI na BUNGE tayari linakuwa limeshavunjwa. Na baada ya MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU kutangazwa, CHAMA CHA SIASA kilichoshinda UCHAGUZI MKUU kinalazimika kuendesha SERIKALI KUU kwa fedha za chama mpaka pale bajeti ya SERIKALI KUU itakapopangwa na kuanza kutumika rasmi.

Sasa swali lingine linakuja - tofauti na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuna chama gani kingine cha kisiasa ambacho kinaweza kuhudumia matumizi ya SERIKALI kwa kipindi cha miezi saba [ 7 ]? Yaani kuanzia mwezi NOVEMBA pale ambapo matokeo ya UCHAGUZI MKUU yanapotangazwa hadi mwezi JULAI pale ambapo bajeti ya SERIKALI KUU inapokuwa inajadiliwa na kuanza kutumika?

Ni chama gani cha kisiasa ambacho kinaweza kuhudumia matumizi ya SERIKALI kwa kipindi cha miezi saba [ 7 ]? Jibu ni hakuna! Labda CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, vingine sidhani! Kwa sababu ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ hakuna chama kingine cha kisiasa chenye vitu [ ASSETS ] vyenye thamani ya kuanzia shilingi trilioni moja za kitanzania [ 1,000,000,000,000 ].

Na kwanini CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kilipoteza mvuto au umaarufu wa kisiasa kwa miaka kumi [ 10 ] iliyopita? Jibu ni hili - hawa wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ waliamua kushindana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuwekeza nje ya nchi na wakajisahau kwa upande wa nyumbani, ndio ikawa chanzo cha kuporomoka. Lakini CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ bado kipo na kina nguvu kwenye baadhi ya maeneo ya TANZANIA 🇹🇿, ndio maana kina wabunge wa kuchaguliwa wengi ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kina wabunge watatu [ 3 ], ACT - WAZALENDO 🖐️ kina wabunge watatu [ 3 ] na wengine wana mbunge mmoja [ 1 ] tu 😂😂.

Na kwa upande wa VYOMBO VYA DOLA hasa POLISI, JWTZ, TISS na NSA na wao walikuwa miongoni mwa wale waliotaka kutumia vitu vya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa shughuli zao wanazozifahamu wenyewe, lakini MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wakagoma kutumika.

Kwahiyo CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu kutokana na sababu tajwa hapo juu.

Na kitu kingine ambacho nilikuwa nimesahau kuwaeleza ni kuwa - TISS wanataka tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸 lakini waliambiwa wasimamie uchaguzi mdogo hata wa majimbo ya MUHAMBWE na BUHIGWE wakashindwa! Kwa sababu wao hata kibanda cha TIGO PESA hawana!!

Sasa hizo pesa za kusimamia uchaguzi mdogo watatoa wapi? Jibu hata wao hawafahamu 😂😂

Wao [ TISS ] wanategemea pesa kutoka SERIKALI KUU kufanya shughuli zao, ambayo hiyo SERIKALI KUU inaongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Kwahiyo [ TISS ] hawawezi kufanya maamuzi yoyote pasipo ruksa ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Na wao walipewa ushauri mzuri tu - kuwa waende kufanya makubaliano ya kusimamia makumpuni ya kibiashara ya MWASHITA yaani SIMBA ili waweze kupata FEDHA ya kujiendesha wenyewe lakini MWASHITA yaani SIMBA wakawa wamegoma kwa sababu na wao yaani MWASHITA yaani SIMBA wana malengo yao.

Kwa hali hiyo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu sana. Na hiyo ndio SIASA YA TANZANIA 🇹🇿 na madhaifu yake.
 
Sasa hivi hali imebadilika ndani ya VYOMBO VYA DOLA, watu wenye mapenzi mema ya nchi wameshaanza kuona ukweli na hali ya kitaifa kwa ujumla.

Na sasa hivi ndani ya VYOMBO VYA DOLA kuna vuguvugu la mabadiliko - aidha tuwe na mfumo wa kisiasa kama CHINA 🇨🇳 au tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸.

Wakichagua mfumo wa kisiasa kama CHINA 🇨🇳 - CCM itaendelea kupeta na SERENGETI yaani CHUI ndio watakaoendelea kunufaika zaidi na zaidi na kuna jamii nyingine zitaendelea kuwa masikini na duni sana.

Wakichagua mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸 - kwa sasa hivi hakuna chama cha kisiasa chenye uwezo na hali ya kuiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ madarakani. Chama cha kisiasa chenye nafuu ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, vyama vingine ni SACCOS tu!

Sasa kwani iwe CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na sio vyama vingine kama NCCR - MAGEUZI au TLP au UDP au CHAUMA au CHADEMA au JAHAZI ASILIA au ACT WAZALENDO?

Majibu yake ni haya - SIASA ni huduma za kijamii na mahusiano ya watu, sio kupiga porojo tu! Na watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa hospitali ya REGENCY iliyopo DAR ES SALAAM. Hii ni sekta ya AFYA.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa timu za mpira wa miguu za SIMBA SC iliyopo DAR ES SALAAM, COASTAL UNION FC iliyopo TANGA, MTIBWA SUGAR FC iliyopo MOROGORO, BIASHARA UNITED MARA iliyopo MARA na KAGERA SUGAR FC iliyopo KAGERA. Hii ni sekta ya MICHEZO na BURUDANI.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa viwanda vya SAYONA INDUSTRIES, AZANIA GROUP, KIOO INDUSTRY, MMM STEEL, TANGA FRESH, TANGA PHARMACEUTICAL & PLASTIC LTD na kwa kumalizia hivi ni viwanda kwa uchache tu, vipo viwanda vingine vingi ambavyo vinatoa ajira kwa Watanzania. Hii ni sekta ya VIWANDA na BIASHARA.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kampuni ya MWANANCHI COMMUNICATION LTD na vituo vya redio kama KWIZERA FM, KISS FM na WASAFI MEDIA. Hii ni sekta ya HABARI.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa HOTELI za KEMPINSKI na SEACLIFF pamoja na hoteli nyingine nyingi za kitalii. Hii ni sekta ya UTALII.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA 🇹🇿. Hii ni sekta ya MAWASILIANO na UCHUKUZI.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa shule za KEMEBOS, UJENZI na ST MATHEWS. Hii ni sekta ya ELIMU.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa chuo kikuu cha ECKERNFORD TANGA UNIVERSITY. Hii ni sekta ya ELIMU YA JUU.

Watu wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamewekeza nchi jirani za AFRIKA YA MASHARIKI na KUSINI ili kudumisha UJIRANI MWEMA.

Sasa, hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vina miliki nini ambavyo ni MSAADA KWA JAMII? Jibu ni hakuna! Hata dispensari hawana!!

Wengine walianza kutumia hadi timu ya SIMBA SC 🦁 kwenye kampeni zao za kisiasa, wakati hiyo timu ni ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ wala sio ya CHADEMA ✌️ wala ACT - WAZALENDO 🖐️.

Hivi VYAMA VINGINE VYA KISIASA vinamiliki nini zaidi ya kukusanya ruzuku na kupiga porojo? Jibu ni hakuna! Hata kiwanda cha maji ya kunywa hawana!!

Sasa hiyo DOLA YA TANZANIA 🇹🇿 wataipata vipi? Jibu ni hakuna! Wanapoteza muda tu au ni sehemu ya CHAMA CHA MAPINDUZI kupoteza malengo ya mabadiliko.

Na kwanini CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kilipoteza mvuto au umaarufu wa kisiasa kwa miaka kumi [ 10 ] iliyopita? Jibu ni hili - hawa wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ waliamua kushindana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuwekeza nje ya nchi wakajisahau kwa upande wa nyumbani, ndio ikawa chanzo cha kuporomoka. Lakini CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ bado kipo na kina nguvu kwenye baadhi ya maeneo ya TANZANIA 🇹🇿, ndio maana kina wabunge wa kuchaguliwa wengi ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kina wabunge watatu [ 3 ] na wengine wana mbunge mmoja [ 1 ] tu 😂😂.

Na kwa upande wa VYOMBO VYA DOLA hasa POLISI, JWTZ, TISS na NSA na wao walikuwa miongoni mwa wale waliotaka kutumia vitu vya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa shughuli zao wanazozifahamu wenyewe, lakini MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wakagoma kutumika.

Kwahiyo CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu kutokana na sababu tajwa hapo juu.

Na kitu kingine ambacho nilikuwa nimesahau kuwaeleza ni kuwa - TISS wanataka tuwe na mfumo wa kisiasa kama MAREKANI 🇺🇸 lakini waliambiwa wasimamie uchaguzi mdogo hata wa majimbo ya MUHAMBWE na BUHIGWE wakashindwa! Kwa sababu wao hata kibanda cha TIGO PESA hawana!!

Sasa hizo pesa za kusimamia uchaguzi mdogo watatoa wapi? Jibu hata wao hawafahamu 😂😂

Wao [ TISS ] wanategemea pesa kutoka SERIKALI KUU kufanya shughuli zao, ambayo hiyo SERIKALI KUU inaongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Kwahiyo [ TISS ] hawawezi kufanya maamuzi yoyote pasipo ruksa ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Na wao walipewa ushauri mzuri tu - kuwa waende kufanya makubaliano ya kusimamia makumpuni ya kibiashara ya MWASHITA yaani SIMBA ili waweze kupata FEDHA ya kujiendesha wenyewe lakini MWASHITA yaani SIMBA wakawa wamegoma kwa sababu na wao yaani MWASHITA yaani SIMBA wana malengo yao.

Kwa hali hiyo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kitaendelea kupeta na kuwepo madarakani kwa kipindi cha muda mrefu sana. Na hiyo ndio SIASA YA TANZANIA 🇹🇿 na madhaifu yake.
mkuu hapo kwenye vyombo vya dola vinavyohitaji mabadiliko fafanua zaidi na hilo vuguvugu zima
 
mkuu hapo kwenye vyombo vya dola vinavyohitaji mabadiliko fafanua zaidi na hilo vuguvugu zima
Mambo yalikuwa MOTO SANA, meli ilitaka kuzama!

Lakini hali ya bahari sasa hivi imetulia kwa sababu hata kwa upande wa VYAMA VYA UPINZANI hawafanyi siasa iliyo safi, wao wanafanya UANAHARAKATI.

Kwahiyo CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kilipewa muda wa kujirekebisha, kujitathimini na kujisafisha.

Sasa, kwanini CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kilipewa muda wa kujirekebisha, kujitathimini na kujisafisha? Kwa sababu kuna mali siziso hamishika [ ASSETS ] nyingi sana na zenye thamani kubwa nje ya nchi zinazomilikiwa na VIONGOZI pamoja na WAFANYABIASHARA wa TANZANIA 🇹🇿.

Mali zisizo hamishika [ ASSETS ] hizo ni nyingi sana, kiasa ambacho thamani yake ina uwezo wa kubadilisha maisha na uchumi wa TANZANIA 🇹🇿.

Na waliobaini hayo ni VYOMBO VYA DOLA NA ULINZI yaani MAJESHI YA TANZANIA 🇹🇿 ikiwemo POLISI, JWTZ, TISS, NSA, MAGEREZA pamoja na UHAMIAJI.

Na mapendekezo yalikuwa ni MABADILIKO YA KISIASA, aidha kwa SANDUKU LA KURA au kwa MAPINDUZI YA KIJESHI.

Na MABADILIKO YA KISIASA kupitia VYOMBO VYA DOLA ni lazima VYOMBO VYA DOLA viandae viongozi wao ili kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha mabadiliko ya kisiasa.

Kwahiyo jukumu la kwanza ilikuwa ni kuweka askari uraiani kama ni sehemu ya maandalizi! Na sio kuwaweka tu bila kuwapatia shughuli ya kufanya, ilikuwa ni lazima kuwapatia shughuli za kufanya kwenye sekta binafsi.

Na walioshika sekta binafsi za TANZANIA 🇹🇿 ni MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI. Vile vile hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, kwahiyo majeshi yalitaka kutumia makampuni ya MWASHITA yaani SIMBA kama ni sehemu ya kuimarisha ulinzi, huduma za kijamii na mahusiano ya watu.

Lakini hawa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ walishituka mapema na wakazuia kwa sababu wanazozifahamu wao.

Ilikuwa ni tayari kwa MWASHITA yaani SIMBA kupokea askari zaidi ya elfu tano [ 5000 ] kama madereva kwa upande wa malori tu, yanayofanya kazi TANZANIA 🇹🇿.

Makampuni ambayo yalikuwa tayari kupokea wafanyakazi wapya yalikuwa ni SIMBA MTOTO, SIMBA LOGISTICS, BLUE COAST, TEXAS, BIG BULLETS, CONVOY HAULAGE, ALISTAIR, VAL pamoja na VICTORIA.

Na hawa waliokuwa madereva wa makampuni haya, walikuwa tayari kupisha na kupelekwa kwenda kufanya kazi kwenye nchi za KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, KONGO 🇨🇩, ZAMBIA 🇿🇲, MALAWI 🇲🇼, ZIMBABWE 🇿🇼, MSUMBIJI 🇲🇿 na AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦.

Haya makampuni tisa [ 9 ] ya usafirishaji wa mizigo yana malori zaidi ya elfu tatu [ 3000 ]. Kwahiyo yalikuwa na uwezo wa kupokea madereva wasiopunguwa elfu tano [ 5000 ] ikiwa kila lori moja litachukua madereva wawili [ 2 ].

Haya makampuni tisa [ 9 ] ndio yanayoshika bandari za DAR ES SALAAM, MTWARA pamoja na TANGA.

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA walikuwa na uwezo wa kuchukua askari elfu kumi [ 10000 ] ikiwa ni jumla ya wafanyakazi wote wa kwenye makampuni yao, ndani na nje ya TANZANIA 🇹🇿.

Lakini CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ hawakuhafiki kwa sababu wao pia wana sababu zao kama CHAMA TAWALA.
 
Uzi mtamu sana huu hata hauchoshi.
Sasa hivi watu wengi wameelimika, lakini inabidi hata wewe pia unatakiwa ufanye uchunguzi binafsi, sio kukurupuka tu kama mtoto mdogo.

Na hata kwenye kuchagua vyama vya kisiasa ni lazima uchunguze kwanza, sio kukurupuka tu kama mtu ambaye hujaelimika, ndio maana watu wengi sana wanapotea.

Angalia kwanza VYAMA VYA KISIASA vyenye uchumi, ndio mambo mengine yatafuata baadae. Sio sera, kwa sababu sera haitakufikisha popote zaidi ya kupoteza muda. UCHUMI ndio utakupa fursa ya kushiriki kwenye shughuli yoyote ya kisiasa, halafu sera ndio inafuata baadae.

Kwa sababu sera nzuri hata chama cha CHAUMMA kinachoongozwa na HASHIM RUNGWE SPUNDA bado kina sera nzuri, tena kuliko hata sera za CHAMA TAWALA lakini chama cha CHAUMMA hakina UCHUMI wa kuweza kusimamisha wagombea wa nchi nzima kwa ngazi za UDIWANI, UBUNGE na URAIS.

Lakini siku chama cha CHAUMMA kikipata uchumi, tutaongea habari tofauti kabisa na kinaweza kuwa ni miongoni mwa vyama tishio kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿.

Hali halisi ndio hiyo, lakini kitu kingine unatakiwa uangalie ni sehemu gani ambayo itakuwa ni faida kwako, sehemu ambayo mahitaji muhimu yanaweza kutimizwa kama ajira na fursa nyingine, sio porojo tu.

Sasa VYAMA VYA KISIASA ambavyo unaweza kupata vyote kwa pamoja yaani sera nzuri na fursa za ajira na mambo mengine ni CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.
 
Ngoja tuelezane ukweli - kwenye kipindi hiki cha COVID-19 inabidi tufunguke hasa, pale COVID-19 itakapoisha tutakuwa hatuna muda tena wa kujadili mambo kwa kina na kwa kirefu kama hivi.

Mimi nilifanikiwa kuwa Rais wa CoHSS pale UDOM mwaka 2012/13. Na hatua zangu mpaka kufikia ngazi ya Urais ilikuwa sio nyepesi maana nilianza kuwa DEPUTY SPEAKER, SPEAKER, COUNCIL SECRETARY na hatimae PRESIDENT of COLLEGE OF HUMANITY & SOCIAL SCIENCES [ CoHSS ].

Na baada ya kuwa Rais wa CoHSS, nilichukuliwa moja kwa moja mpaka ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ pale WHITE HOUSE.

Kwa wale wafanyakazi wa pale WHITE HOUSE watakubaliana na mimi - kuwa ukifika kwenye lile jengo kuna chumba kidogo na chembamba kama SERO YA POLISI. Hicho chumba hakina madirisha wala sehemu ya kupitishia hewa.

Na huwa kuna kiti ambacho HAYATI MWALIMU alikuwa anakitumia kutoa maamuzi ya mwisho ambayo yanahusu chama na serikali. Hicho chumba kimebaki hivyo hivyo kama kumbukumbu.

Nilivyofika kwenye kile chumba wakaniambia wewe unafanana na yule aliyekuwa anakitumia hicho kiti, yaani HAYATI MWALIMU. Na wakaniambia mimi bado mdogo sana - hata umri aliotawala HAYATI MWALIMU bado sijaufikisha. Kipindi hicho nilikuwa nina miaka ishirini na tatu [ 23 ] tu.

Baada ya kunieleza historia ya kile CHUMBA - wakaniambia hivi nikimaliza CHUO nikakae nyumbani mpaka nikue [😂😂]. Sikuelewa wanamaanisha nini?

Nikatoka pale nikaendelea na mambo yangu kama kawaida ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo ya 2013/14.

Lakini kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU vyote hapa TANZANIA 🇹🇿 huwa kuna mchakato wa kuangalia ni viongozi gani wanafaa kwa ajili ya matumizi ya SERIKALI, huwa wanaita ni VETTING PROCESS.

Na wakishaona unafaa kuwa kiongozi wa SERIKALI, huwa kuna ishara wanakuonesha. Hii ishara huwa ni ya BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] asiye kuwa na dini, hii ikiwa na maana ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] unaweza kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa. Hii ikiwa ni ishara ya mafungamano na SERIKALI.

Kama hali hii haijawahi kukutokea, sahau kuwa kiongozi [ Rais ] wa nchi hii, yaani TANZANIA 🇹🇿.

Na huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] huwa ananyumbulisha maumbile yake kama anafanya mazoezi ya viungo, kwahiyo sehemu zote za mwili utaziona wakati wa tendo. Hii ikiwa ni ishara ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na TAASISI zake.
 
Back
Top Bottom