Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mimi sio mwanausalama! Lakini nilitumia muda mwingi sana kujihusisha na SIASA ZA CCM kipindi nipo CHUO KIKUU CHA DODOMA.

Na nilifanikiwa kukutana na INNER CIRCLE ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kipindi hicho, 2013.

Ukizingatia mimi nilikuwa "MWANAFUNZI BORA" kidato cha nne, 2007 - kwahiyo na wao pia walikuwa na shahuku ya kufahamu maendeleo yangu ya kitaaluma.

Tofauti na hapo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] ni chama bora sana na kinafanya SIASA ZA KIMATAIFA, hali ni tofauti kabisa na watu wengi wanavyodhani huku uraiani. Hawa watu wamejipanga!
Kwamba Simba SC ni mali ya CUF? Waliinunua lini?
 
Kwa maelezo yako CCM ni mali ya Wajerumani na Waitaliano, kwa maana hiyo tunatawaliwa na nchi hizo?
Hapana! CCM sio mali ya WAJERUMANI 🇩🇪 wala WAITALIANO 🇮🇹. Jaribu kupitia posti za nyuma tumeshaeleza ni namna gani haya mataifa mawili yanavyohusika na siasa za TANZANIA 🇹🇿 kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Haya mataifa mawili yanafanyika kuwa ni msaada wa kisiasa kwa chama tawala, ndio maana CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kinazidi kunawili siku kadri ya siku.

Na kwanini wanafanya hivyo? Kwanini isiwe kwa vyama vingine vya kisiasa na iwe ni kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ pekee yake?

Majibu yake ni haya - kama ilivyo elezwa kwenye posti zilizotangulia huko nyuma, kwenye masuala ya kidiplomasia huwa wanasema hivi - MKONO MTUPU HAULAMBWI au DEBE TUPU HALINA MSHINDO wakiwa na maana ya kwamba hamuwezi kushirikiana pamoja pasipo kuwa na masilahi yanayowaunganisha.

Kwahiyo mahusiano yoyote ya kidiplomasia huwa yanachagizwa na masilahi ya kiuchumi - yaani nipe nikupe ushirikiano, kama hunipi na mimi sitokupa ushirikiano.

Kwa hali hiyo, HAYATI MWALIMU mwenyewe aliwekeza sana kwenye nchi za ITALIA 🇮🇹 na UJERUMANI 🇩🇪 na baadhi ya vitu tumeshavitaja kwenye posti zilizotangulia huko nyuma ikiwemo timu za mpira wa miguu.

Mataifa yoyote ya nchi za watu weupe iwe ASIA, ULAYA, AUSTRALIA na AMERIKA huwa wana mtindo unaofanana kwenye masuala ya kidiplomasia. Kwa mfano, ukiwekeza kwao na wao wanakusaidia kwenye masuala ya mahusiano ya watu na kijamii.

Huu ndio msaada pekee kwa mataifa ya watu weupe - na masuala ya mahusiano ya watu na kijamii huwa yanajumuisha mambo yote iwe ni elimu, siasa na utawala, biashara na uchumi, na mambo mengine yanayohusu jamii.

Sasa hapa kwenye mahusiano ya watu na kijamii, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kimechukua msaada wa kisiasa na utawala. Hiki ndio chanzo na kiini cha mafanikio ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ tangu mwaka 1977.
 
Kwamba Simba SC ni mali ya CUF? Waliinunua lini?
Wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC.

Na sio SIMBA SC tu! Kuna timu kama MTIBWA SUGAR FC, yaani ni hivi hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kiwanda cha sukari cha MTIBWA SUGAR pale TULIANI - MOROGORO.

Timu nyingine ni kama COASTAL UNION FC ya TANGA na BIASHARA MARA UNITED ya MARA.

Hivi hamuoni hata nembo ya timu kama BIASHARA MARA UNITED ilivyokaa?

6cfa010ba1553e5c5cf0890ad4abcea3.png

Hii nembo ya 🤝 inatumiwa pia na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

IMG_20210722_220041.jpg

Kwahiyo wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ pia ndio wamiliki halali wa timu ya BIASHARA MARA UNITED ya MARA.

Sema kilichokuwa kinadhoofisha shughuli za kisiasa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ni hawa wamiliki wa chama kutoruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kueneza sera na itikadi za CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

Lakini kwa siku za usoni, hawa wamiliki wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ wataruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kisiasa kwa masilahi mapana ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.
 
Ngoja tuelezane ukweli - kwenye kipindi hiki cha COVID-19 inabidi tufunguke hasa, pale COVID-19 itakapoisha tutakuwa hatuna muda tena wa kujadili mambo kwa kina na kwa kirefu kama hivi.

Mimi nilifanikiwa kuwa Rais wa CoHSS pale UDOM mwaka 2012/13. Na hatua zangu mpaka kufikia ngazi ya Urais ilikuwa sio nyepesi maana nilianza kuwa DEPUTY SPEAKER, SPEAKER, COUNCIL SECRETARY na hatimae PRESIDENT of COLLEGE OF HUMANITY & SOCIAL SCIENCES [ CoHSS ].

Na baada ya kuwa Rais wa CoHSS, nilichukuliwa moja kwa moja mpaka ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ pale WHITE HOUSE.

Kwa wale wafanyakazi wa pale WHITE HOUSE watakubaliana na mimi - kuwa ukifika kwenye lile jengo kuna chumba kidogo na chembamba kama SERO YA POLISI. Hicho chumba hakina madirisha wala sehemu ya kupitishia hewa.

Na huwa kuna kiti ambacho HAYATI MWALIMU alikuwa anakitumia kutoa maamuzi ya mwisho ambayo yanahusu chama na serikali. Hicho chumba kimebaki hivyo hivyo kama kumbukumbu.

Nilivyofika kwenye kile chumba wakaniambia wewe unafanana na yule aliyekuwa anakitumia hicho kiti, yaani HAYATI MWALIMU. Na wakaniambia mimi bado mdogo sana - hata umri aliotawala HAYATI MWALIMU bado sijaufikisha. Kipindi hicho nilikuwa nina miaka ishirini na tatu [ 23 ] tu.

Baada ya kunieleza historia ya kile CHUMBA - wakaniambia hivi nikimaliza CHUO nikakae nyumbani mpaka nikue [😂😂]. Sikuelewa wanamaanisha nini?

Nikatoka pale nikaendelea na mambo yangu kama kawaida ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo ya 2013/14.

Lakini kwa upande wa SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU vyote hapa TANZANIA 🇹🇿 huwa kuna mchakato wa kuangalia ni viongozi gani wanafaa kwa ajili ya matumizi ya SERIKALI, huwa wanaita ni VETTING PROCESS.

Na wakishaona unafaa kuwa kiongozi wa SERIKALI, huwa kuna ishara wanakuonesha. Hii ishara huwa ni ya BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] asiye kuwa na dini, hii ikiwa na maana ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] unaweza kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa. Hii ikiwa ni ishara ya mafungamano na SERIKALI.

Kama hali hii haijawahi kukutokea, sahau kuwa kiongozi [ Rais ] wa nchi hii, yaani TANZANIA 🇹🇿.

Na huyu BINTI MWENYE RASTA [ DREAD ] huwa ananyumbulisha maumbile yake kama anafanya mazoezi ya viungo, kwahiyo sehemu zote za mwili utaziona wakati wa tendo. Hii ikiwa ni ishara ya SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na TAASISI zake.
Na kwa faida ya HUNIJUI SIKUJUI na Tmuller na wasomaji wengine, ni kuwa huu mtindo wa mafungamano huwa unafanyika duniani kote, yaani mataifa yote na uliasisiwa kutoka KANISA KATOLIKI 🇻🇦.

KANISA KATOLIKI huwa lina utaratibu wake wa mafungamano na kuna lugha ya KILATINI ambayo huwa inatumika kueleza tukio zima, hilo neno nimelisahau kidogo!

Lakini huwa inahusu WATAWA wote wa KANISA KATOLIKI. Nikisema WATAWA wote namaanisha jinsia zote za kike na kiume.

WATAWA ni wale watu waliowekwa wakfu kwa namna ya kipekee kwa kushika mashauri ya kiinjili ya KANISA KATOLIKI. Yaani ni watu waliojitenga na ulimwengu ili kuishi maisha maadilifu.

Kwahiyo kama KANISA KATOLIKI likiona kuna muumini wake limependezwa naye, huwa linatumia WATAWA kufikisha ujumbe na kuna mambo mengine huwa yanafanyika kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI kama mafungamano na mapatano ya damu.

Kwa upande wa WATAWA WA KIUME huwa inafikia hatua mpaka wanachangia damu na wanazaa kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI. Ndio! Huwa wanazaa halafu baadae wanafanya SAKRAMENTI YA KITUBIO.

Ndio maana unakuta kuna baadhi ya watu huwa wanaitwa MARO - hii ni ROMA [ ukiligeuza neno kinyume kinyume ]. Huyu MARO mzazi wake mmoja alikuwa ni MTAWA, ndio maana akaitwa MARO, yaani ROMA.

Na kwa upande wa WATAWA WA KIKE na wao huwa wanachangia damu na kukilimi [ SEXUAL PRESSURING ] muumini wa kiume kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI, halafu baadae wanafanya SAKRAMENTI YA KITUBIO.

Na kama wewe ni muumini wa kiume wa KANISA KATOLIKI na haujawahi kukilimiwa [ SEXUAL PRESSURING ] na SISTA WA KIKATOLIKI, basi wewe bado hujapendezwa na KANISA KATOLIKI 😁😁

0d286eb9ad20afb017dd303ccca3f809.png

Huu ndio moja ya mtindo wa mafungamano na mapatano ya damu ulioakisiwa kutoka KANISA KATOLIKI na unaofanywa na SERIKALI za mataifa yote ya duniani.

Na sasa hivi kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia na mitandao ya kijamii kukua na kuenea kwa kasi. Kuna baadhi ya MABINTI WENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] huwa hutumia mitandao ya kijamii kama INSTAGRAM na FACEBOOK kueleza mambo yanayoendelea kwenye SERIKALI husika.

Huu mfumo huwa unatumiwa na nchi nyingi za KIAFRIKA na huwa ni vigumu kuwatambua, yaani mpaka uelezwe au uwe ni miongoni mwao ndio utaweza kuelewa lugha za picha.

d1ee62bbbb4a0303b7b80dc4c3e18016.png

Huyu BINTI MWENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] anatumia jina la Wayu Wayua na unaweza kumpata kwa kutumia Login • Instagram
Hiyo picha hapo juu inaonesha BINTI MWENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] kutoka nchi ya KENYA 🇰🇪.

Huyo binti ni ASKARI JESHI [ KDF ] na anawakilisha SERIKALI YA KENYA 🇰🇪, yaani anatumika kama ishara ya SERIKALI YA KENYA 🇰🇪 na anapewa ulinzi wote.

Kwahiyo, haya mambo huwa yapo na yanatumika sana kutoa ishara kwa yale yanayofanyika au yanayotarajia kufanyika na SERIKALI husika.
 
Wamiliki wa CUF ni akina nani?
Wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC.

Na sio SIMBA SC tu! Kuna timu kama MTIBWA SUGAR FC, yaani ni hivi hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ndio wamiliki halali wa kiwanda cha sukari cha MTIBWA SUGAR pale TULIANI - MOROGORO.

Timu nyingine ni kama COASTAL UNION FC ya TANGA na BIASHARA MARA UNITED ya MARA.

Hivi hamuoni hata nembo ya timu kama BIASHARA MARA UNITED ilivyokaa?

Hii nembo ya [emoji1666] inatumiwa pia na CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].

Kwahiyo wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] pia ndio wamiliki halali wa timu ya BIASHARA MARA UNITED ya MARA.

Sema kilichokuwa kinadhoofisha shughuli za kisiasa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] ni hawa wamiliki wa chama kutoruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kueneza sera na itikadi za CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].

Lakini kwa siku za usoni, hawa wamiliki wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] wataruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kisiasa kwa masilahi mapana ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508].
 
Ina maana waandamizi (mfn Mzee Mwinyi, Majaliwa, Ndugai n.k)wa CCM ambao ni wapenzi wa Simba SC hawalijui hili?

Ilikuwaje waipende mali ya CUF?

Mbona CCM na serikali wako karibu sana na China kuliko hayo mataifa mawili?
Hapana! CCM sio mali ya WAJERUMANI [emoji629] wala WAITALIANO [emoji634]. Jaribu kupitia posti za nyuma tumeshaeleza ni namna gani haya mataifa mawili yanavyohusika na siasa za TANZANIA [emoji1241] kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].

Haya mataifa mawili yanafanyika kuwa ni msaada wa kisiasa kwa chama tawala, ndio maana CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kinazidi kunawili siku kadri ya siku.

Na kwanini wanafanya hivyo? Kwanini isiwe kwa vyama vingine vya kisiasa na iwe ni kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] pekee yake?

Majibu yake ni haya - kama ilivyo elezwa kwenye posti zilizotangulia huko nyuma, kwenye masuala ya kidiplomasia huwa wanasema hivi - MKONO MTUPU HAULAMBWI au DEBE TUPU HALINA MSHINDO wakiwa na maana ya kwamba hamuwezi kushirikiana pamoja pasipo kuwa na masilahi yanayowaunganisha.

Kwahiyo mahusiano yoyote ya kidiplomasia huwa yanachagizwa na masilahi ya kiuchumi - yaani nipe nikupe ushirikiano, kama hunipi na mimi sitokupa ushirikiano.

Kwa hali hiyo, HAYATI MWALIMU mwenyewe aliwekeza sana kwenye nchi za ITALIA [emoji634] na UJERUMANI [emoji629] na baadhi ya vitu tumeshavitaja kwenye posti zilizotangulia huko nyuma ikiwemo timu za mpira wa miguu.

Mataifa yoyote ya nchi za watu weupe iwe ASIA, ULAYA, AUSTRALIA na AMERIKA huwa wana mtindo unaofanana kwenye masuala ya kidiplomasia. Kwa mfano, ukiwekeza kwao na wao wanakusaidia kwenye masuala ya mahusiano ya watu na kijamii.

Huu ndio msaada pekee kwa mataifa ya watu weupe - na masuala ya mahusiano ya watu na kijamii huwa yanajumuisha mambo yote iwe ni elimu, siasa na utawala, biashara na uchumi, na mambo mengine yanayohusu jamii.

Sasa hapa kwenye mahusiano ya watu na kijamii, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kimechukua msaada wa kisiasa na utawala. Hiki ndio chanzo na kiini cha mafanikio ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] tangu mwaka 1977.
 
Wamiliki wa CUF ni akina nani?
Wapo! Ni wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

Lakini kuna wanasiasa na wenyeviti waliopata kuwepo ndani ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kama JAMES MAPALALA na PROFESA IBRAHIM LIPUMBA.

Hawa wote walishawahi kuwa wenyeviti kwa nyakati tofauti na PROFESA IBRAHIM LIPUMBA bado anaendelea kuwa mwenyekiti wa CHAMA hadi leo hii na analipwa mshahara kutokana na shughuli anayoifanya pale MAKAO MAKUU kama mwenyekiti wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.
 
Ina maana waandamizi (mfn Mzee Mwinyi, Majaliwa, Ndugai n.k)wa CCM ambao ni wapenzi wa Simba SC hawalijui hili?
Wanafahamu sana! Tena MZEE MWINYI ndiye aliyehusika pakubwa kuinusulu timu ya SIMBA SC isishuke daraja.

Kwa sababu, timu ya SIMBA SC ingelishuka daraja, timu ya YANGA SC ingelicheza na nani? Jibu, ni hakuna!

Kwahiyo ilifanyika jitihada za haraka za kumpata mnunuzi ili kuinusulu timu ya SIMBA SC isishuke daraja.
Ilikuwaje waipende mali ya CUF?
Ipo hivi - SIMBA SC ilikuwepo tangu mwaka 1936 na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kilikuwepo tangu mwaka 1993, kwahiyo SIMBA SC ilikuwepo hata kabla ya kuanzishwa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

Na hata hivyo, hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ hawakutaka kuchanganya SIASA na MICHEZO au SIASA na BIASHARA, kwa sababu wao waliamini kuchanganya SIASA na mambo mengine kungeathiri utendaji kazi ndani ya SIMBA SC na ndani ya BIASHARA zao.

Lakini sasa hivi hali, nyakati na mambo yamebadilika katika tasnia ya SIASA, unaweza kutumia timu za mpira wa miguu au wasanii wa nyimbo kama ni sehemu ya kampeni za KISIASA.

Na kitu kingine - kwa wale wapenzi wa SOKA la TANZANIA 🇹🇿 watakubaliana na mimi kuwa mwaka 1992 - timu ya SIMBA SC iliuzwa baada ya kunusulika kushuka daraja na aliyeinunua timu ya SIMBA SC alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wafanyakazi wa chama cha ushirika cha SHINYANGA, yaani SHIRECU.

Na niwapeni siri nyingine, tena ya kushangaza - timu ya SIMBA SC ilivyokuwa inasuasua mwaka 1992, wamiliki wa SIMBA SC kwa kipindi hicho waliamua kumpelekea aliyekuwa SPIKA WA BUNGE wa kipindi hicho aliyekuwa akiitwa ADAM SAPI MKWAWA ili ainunue timu, lakini ADAM SAPI MKWAWA aligoma kwa sababu yeye alikuwa ni mshabiki namba moja wa timu ya LIPULI FC na YANGA SC.

Chaguo la pili, waliambiwa waende MWANZA kuna mtu anamiliki timu ya PAMBA SC na anaweza pia kuinunua timu ya SIMBA SC ili kuinusulu isishuke daraja. Na kipindi hicho timu ya PAMBA SC ilikuwa inatisha kweli!

Baada ya makubaliano na kuhafikiana bei, timu ya SIMBA SC iliuzwa kwa shilingi milioni ishirini za KITANZANIA [ 20,000,000 ], hii biashara ilifanyika mwishoni mwa msimu wa mwaka 1992/1993 ili kuinusulu timu isishuke daraja.

Na msimu uliofuata, timu ya SIMBA SC ilienda kushiriki michuano ya kimataifa na kutolewa na timu iliyokuwa inaitwa STELLA ABIDJAN ya IVORY COAST 🇮🇪, katika hatua ya fainali.

Na hayo ndio mafanikio ya timu ya SIMBA SC mpaka leo hii na siku nyingine zitakazofuata huko MWENYEZI MUNGU ikimpendeza.
 
Hakuachia madaraka kwa kutaka,bali ilikuwa shindikizo la ndani na nje ya nchi.
Serikali ya Marekani ikiongozwa na Raisi Ronald Reagan ,huku waziri mkuu Margaret Thatcher wa Uingereza walimsumbua na kutuwekea vikwazo vya kiuchumi.
Ndani wananchi walimchoka wakipanga kumpindua mara kwa mara.
World Bank,IMF walikuwa mbogo sana.
Walishindwa kupenyeza ukoloni mambo leo ndio maana walimzingua. Ila Nyerere alikua kichwa sana japo kuona inaweza ikakuwia vigumu. Hakupenda majivuno wala dharau. Alihubiri usawa
 
Mbona CCM na serikali wako karibu sana na China kuliko hayo mataifa mawili?
Hapana! CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kipo karibu sana na nchi za ITALIA 🇮🇹 na UJERUMANI 🇩🇪 kuliko hata UCHINA 🇨🇳.

Sema CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kinataka kuiga mfumo wa kiuendeshaji na kiutawala kutoka kwa CHAMA TAWALA cha UCHINA 🇨🇳. Na hii yote itafanikiwa baada ya kuua VYAMA VYA UPINZANI.

Sio siri, WAITALIANO 🇮🇹 na WAJERUMANI 🇩🇪 tunaishi nao humu humu mitaani, sema wao wanatumia majina yenye asili ya KIARABU, ndio maana tunawaita WAARABU, lakini hawa huwa sio WAARABU. Ni WAITALIANO 🇮🇹 na WAJERUMANI 🇩🇪 walioakisi majina na tamaduni za KIARABU.

Vile vile, HAYATI MWALIMU alifanikiwa pia kuwekeza viwanda katika nchi ya UCHINA 🇨🇳 na baadhi ya bidhaa zake zinauzika dunia nzima.

Hii pia inafanyika kuwa ni turufu ya kisiasa na kidiplomasia kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na baadhi ya bidhaa zake ni pikipiki za SANLG:

ffa54e4e8d9f340e53894a4296c5a90b.png

235f728a88eede0ff96734e0c093a5b3.png

Ijapokuwa kuna baadhi ya taarifa zinasema kuwa hiki kiwanda kinachotengeneza pikipiki za SANLG kinamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿, lakini taarifa za awali zinasema kuwa hiki kiwanda kinamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.

dcb9f972b4193f5bba75cb643c3057ef.png

Kwa wale wataalamu wa kutambua picha - hiyo picha hapo juu inaonesha hicho kiwanda kinamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Yaani ni hivi, mnyama TWIGA anawakilisha SERIKALI na sifa ya mnyama TWIGA ni kuona mbali kuliko wanyama wengine wa mwituni. Na hiyo ndio sifa ya SERIKALI, ni kuona mbali. Na sehemu yoyote ukikuta picha au sanamu ya TWIGA ujue hapo ni SERIKALI inahusika.

Kwahiyo sitegemei kama utaniuliza swali lingine - Eti ni nani mmiliki halali wa kiwanda cha TWIGA CEMENT. Jibu ni SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿. [ 😁😁😁 ]

Yaani sehemu yoyote ya TANZANIA 🇹🇿 ukikuta sanamu ya TWIGA au picha ya TWIGA au jina la TWIGA ujue hapo SERIKALI inahusika, iwe kwenye mahoteli au vituo vya televisheni [ SAFARI CHANNEL 🦒 ] au vyombo vya usafiri.

Na kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama INSTAGRAM, TWITTER na FACEBOOK sasa hivi wameanza kutumia hashtags za TWIGA 🦒 kama ni ishara ya SERIKALI. Unaweza kukuta sehemu imeandikwa hivi #twigatanzania au #giraffetanzania ujue hapo ni SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 au unaweza kukuta sehemu imeandikwa hivi #twigakenya ujue hapo ni SERIKALI YA KENYA 🇰🇪 au unaweza kukuta sehemu nyingine imeandikwa hivi #giraffeturkey ujue hapo ni SERIKALI YA UTURUKI 🇹🇷 inahusika.

Kwahiyo hali halisi ndio iko hivyo, lakini ukiondoa ITALIA 🇮🇹 na UJERUMANI 🇩🇪 bado UCHINA 🇨🇳 ina nafasi kubwa kwenye SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kwa sababu ya mahusiano ya kisiasa na kiuchumi.

Na ukizingatia kiwanda kinachotengeneza pikipiki za SANLG kinauza bidhaa zake dunia nzima, kwahiyo UCHINA 🇨🇳 itaendelea kuwa ni turufu kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kutokana na mahusiano ya kibiashara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
The current CUF ni tawi la CCM, nguvu ya chama ni watu na CUF ni zero kwenye eneo hilo.
Lipumba ni puppet na yuko kwenye payroll ya CCM.
Hizo blah blahs nyingine zote ni total rubbish.
 
Pole sana Mkuu lkn atleast umetoa feelings zako out lbd kwa sisi tuliokulia kipindi kile cha Mageuzi ya kijamaa ningependa nikusahihishe kdg,kwa haraka unaweza ukasema Mwl Nyerere alikosea kutokana na Hali ilivyo kwasasa na mwelekeo wa Siasa za kiuchumi za leo ila atthat moment Mwl hakuwa na jinsi maana siasa na uchumi wa kijamaaa ulikuwa umepamba MOTO mageuzi ya Uchumi wa kijamaa(Socialism)ndio ilikuwa Habari ya mjini Urusi na Uchina iliongoza mageuzi hayo ,Vietnam,Eastern Europe yote Cuba na kule kwa Hugo Chaves kote wimbo ulikuwa ni huo huo ! So kwa nchi changa zilizokuwa ndio zinatoka kupata uhuru lzm zilitakiwa zipate sehemu ya kujiegemeza ili ziwe salama kwa kipindi kile super power ambaye alikuwa hana mrengo wa kikoloni alikuwa Urusi(kumbuka tulikuwa tumetoka kwenye kutawaliwa na siasa za kibepari zina shabihiana kwa karibu na sera za kikoloni za umilikaji ya njia kuu za kiuchumi)
Kwahali hiyo Nyerere hakuwa na jinsi ila kuingia kwenye siasa za Uchumi wa kijamaa!
Ukiangalia kwa makini model ya chaguo la Mwl kwa wakati huo lilikuwa chaguo sahihi kabisa na matazamio yalikuwa ni maendeleo ya haraka kwa wananchi wote kwa pamoja tukifuata mf wa China ya Mao,Urusi pia Vietnam na nchi za Malaya,sasa labda tujadili what was the problem then mpk akashindwa ku achieve?
1.Ni ujinga wa wananchi wa TZ .kipindi kile idadi ya watu waliokuwa wanajua kusoma na kuandika ilikuwa chache inshort wasomi wa ku implement mikakati walikuwa wachache sana
2.Wasaidizi wake baadhi walishindwa kumuelewa lengo
3.Nchi ilijiingiza kwenye vita za ukombozi kusini mwa Africa hivyo kufanya rasilimali nyingi zitumike huko(Wenzetu Kenya hawakufanya haya wakanyanyuka fasta)
4.Vita ya Kagera
5.Hujuma kutoka kwa watu wake wa karibu km hao uliowataja hapo juu na tamaa za wasomi waliokabidhiwa madaraka( km mtakumbuka wahenga kipindi kile neno "Ubadhilifu wa mali za umma"na "fagio la chuma la mzee Mwinyi" )kumbuka karibu viwanda vingi alivyoanzisha Mwl vilifilisiwa na Mameneja na Wakurugenzi na kutokana na uchache wa wasomi hakukuwa na jinsi mtu akiharibu huku anahamishiwa kule!
In short hayo ni mawazo yangu kwa kadri ya ninavyokumbuka na kushuhudia ,Mawazo ya Mwl yalikuwa sahihi kwa muda wake wala hakuna haja ya kumlaumu na km angefanikiwa TZ ya leo ingekuwa Uchina ila hakukuwa na Rasilimali na Maandalizi ya kutosha kwa wananchi wa kipindi kile (nyie jamani kipindi kile watu walikuwa wanapiga kambi vijijini kufundisha watu kupiga mswaki kunawa mikono,kujisaidia chooni,kuchemsha maji ya kunywa kula mlo kamili! nk)
 
Na kwa faida ya HUNIJUI SIKUJUI na Tmuller na wasomaji wengine, ni kuwa huu mtindo wa mafungamano huwa unafanyika duniani kote, yaani mataifa yote na uliasisiwa kutoka KANISA KATOLIKI 🇻🇦.

KANISA KATOLIKI huwa lina utaratibu wake wa mafungamano na kuna lugha ya KILATINI ambayo huwa inatumika kueleza tukio zima, hilo neno nimelisahau kidogo!

Lakini huwa inahusu WATAWA wote wa KANISA KATOLIKI. Nikisema WATAWA wote namaanisha jinsia zote za kike na kiume.

WATAWA ni wale watu waliowekwa wakfu kwa namna ya kipekee kwa kushika mashauri ya kiinjili ya KANISA KATOLIKI. Yaani ni watu waliojitenga na ulimwengu ili kuishi maisha maadilifu.

Kwahiyo kama KANISA KATOLIKI likiona kuna muumini wake limependezwa naye, huwa linatumia WATAWA kufikisha ujumbe na kuna mambo mengine huwa yanafanyika kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI kama mafungamano na mapatano ya damu.

Kwa upande wa WATAWA WA KIUME huwa inafikia hatua mpaka wanachangia damu na wanazaa kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI. Ndio! Huwa wanazaa halafu baadae wanafanya SAKRAMENTI YA KITUBIO.

Ndio maana unakuta kuna baadhi ya watu huwa wanaitwa MARO - hii ni ROMA [ ukiligeuza neno kinyume kinyume ]. Huyu MARO mzazi wake mmoja alikuwa ni MTAWA, ndio maana akaitwa MARO, yaani ROMA.

Na kwa upande wa WATAWA WA KIKE na wao huwa wanachangia damu na kukilimi [ SEXUAL PRESSURING ] muumini wa kiume kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI, halafu baadae wanafanya SAKRAMENTI YA KITUBIO.

Na kama wewe ni muumini wa kiume wa KANISA KATOLIKI na haujawahi kukilimiwa [ SEXUAL PRESSURING ] na SISTA WA KIKATOLIKI, basi wewe bado hujapendezwa na KANISA KATOLIKI 😁😁

Huu ndio moja ya mtindo wa mafungamano na mapatano ya damu ulioakisiwa kutoka KANISA KATOLIKI na unaofanywa na SERIKALI za mataifa yote ya duniani.

Na sasa hivi kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia na mitandao ya kijamii kukua na kuenea kwa kasi. Kuna baadhi ya MABINTI WENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] huwa hutumia mitandao ya kijamii kama INSTAGRAM na FACEBOOK kueleza mambo yanayoendelea kwenye SERIKALI husika.

Huu mfumo huwa unatumiwa na nchi nyingi za KIAFRIKA na huwa ni vigumu kuwatambua, yaani mpaka uelezwe au uwe ni miongoni mwao ndio utaweza kuelewa lugha za picha.

Huyu BINTI MWENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] anatumia jina la Wayu Wayua na unaweza kumpata kwa kutumia Login • Instagram
Hiyo picha hapo juu inaonesha BINTI MWENYE RASTA [ FEMALE RASTAFARIAN ] kutoka nchi ya KENYA 🇰🇪.

Huyo binti ni ASKARI JESHI [ KDF ] na anawakilisha SERIKALI YA KENYA 🇰🇪, yaani anatumika kama ishara ya SERIKALI YA KENYA 🇰🇪 na anapewa ulinzi wote.

Kwahiyo, haya mambo huwa yapo na yanatumika sana kutoa ishara kwa yale yanayofanyika au yanayotarajia kufanyika na SERIKALI husika.

Hapana! CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kipo karibu sana na nchi za ITALIA 🇮🇹 na UJERUMANI 🇩🇪 kuliko hata UCHINA 🇨🇳.

Sema CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kinataka kuiga mfumo wa kiuendeshaji na kiutawala kutoka kwa CHAMA TAWALA cha UCHINA 🇨🇳. Na hii yote itafanikiwa baada ya kuua VYAMA VYA UPINZANI.

Sio siri, WAITALIANO 🇮🇹 na WAJERUMANI 🇩🇪 tunaishi nao humu humu mitaani, sema wao wanatumia majina yenye asili ya KIARABU, ndio maana tunawaita WAARABU, lakini hawa huwa sio WAARABU. Ni WAITALIANO 🇮🇹 na WAJERUMANI 🇩🇪 walioakisi majina na tamaduni za KIARABU.

Vile vile, HAYATI MWALIMU alifanikiwa pia kuwekeza viwanda katika nchi ya UCHINA 🇨🇳 na baadhi ya bidhaa zake zinauzika dunia nzima.

Hii pia inafanyika kuwa ni turufu ya kisiasa na kidiplomasia kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na baadhi ya bidhaa zake ni pikipiki za SANLG:

Ijapokuwa kuna baadhi ya taarifa zinasema kuwa hiki kiwanda kinachotengeneza pikipiki za SANLG kinamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿, lakini taarifa za awali zinasema kuwa hiki kiwanda kinamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.

Kwa wale wataalamu wa kutambua picha - hiyo picha hapo juu inaonesha hicho kiwanda kinamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Yaani ni hivi, mnyama TWIGA anawakilisha SERIKALI na sifa ya mnyama TWIGA ni kuona mbali kuliko wanyama wengine wa mwituni. Na hiyo ndio sifa ya SERIKALI, ni kuona mbali. Na sehemu yoyote ukikuta picha au sanamu ya TWIGA ujue hapo ni SERIKALI inahusika.

Kwahiyo sitegemei kama utaniuliza swali lingine - Eti ni nani mmiliki halali wa kiwanda cha TWIGA CEMENT. Jibu ni SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿. [ 😁😁😁 ]

Yaani sehemu yoyote ya TANZANIA 🇹🇿 ukikuta sanamu ya TWIGA au picha ya TWIGA au jina la TWIGA ujue hapo SERIKALI inahusika, iwe kwenye mahoteli au vituo vya televisheni [ SAFARI CHANNEL 🦒 ] au vyombo vya usafiri.

Na kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama INSTAGRAM, TWITTER na FACEBOOK sasa hivi wameanza kutumia hashtags za TWIGA 🦒 kama ni ishara ya SERIKALI. Unaweza kukuta sehemu imeandikwa hivi #twigatanzania au #giraffetanzania ujue hapo ni SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 au unaweza kukuta sehemu imeandikwa hivi #twigakenya ujue hapo ni SERIKALI YA KENYA 🇰🇪 au unaweza kukuta sehemu nyingine imeandikwa hivi #giraffeturkey ujue hapo ni SERIKALI YA UTURUKI 🇹🇷 inahusika.

Kwahiyo hali halisi ndio iko hivyo, lakini ukiondoa ITALIA 🇮🇹 na UJERUMANI 🇩🇪 bado UCHINA 🇨🇳 ina nafasi kubwa kwenye SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kwa sababu ya mahusiano ya kisiasa na kiuchumi.

Na ukizingatia kiwanda kinachotengeneza pikipiki za SANLG kinauza bidhaa zake dunia nzima, kwahiyo UCHINA 🇨🇳 itaendelea kuwa ni turufu kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kutokana na mahusiano ya kibiashara.
ni kweli kabisa ccm inaiga siasa za ccp
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
The current CUF ni tawi la CCM, nguvu ya chama ni watu na CUF ni zero kwenye eneo hilo.
Lipumba ni puppet na yuko kwenye payroll ya CCM.
Hizo blah blahs nyingine zote ni total rubbish.
Umenifurahisha sana! Lakini inabidi tuache stori za vijiweni na mitaani!

CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ sio tawi la CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kiliwekeza sana nguvu zake TANZANIA VISIWANI na mikoa yote ya MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI ambayo inajumuisha TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI, LINDI na MTWARA.

Kwahiyo, kwa mkaazi wa DODOMA au RUKWA atakwambia CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ hakina ushawishi kwa sababu maeneo yale hakuna shughuli zozote za KISIASA zinazofanywa na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ lakini CHAMA bado kipo na kina wawakilishi wengi bungeni ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Na kikubwa ilikuwa ni UHAI WA CHAMA, mambo mengine ni nyongeza tu! Halafu pia, CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kilijijenga kupitia vyama vingine vya kisiasa. Yaani CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kina watu wake kwenye vyama vya ACT - WAZALENDO 🖐️, CHADEMA ✌️ na CCM 👍.

Kwahiyo siku hawa watu wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ wakiamua kurudi nyumbani, natumaini CHAMA kitapendeza.

Na PROFESA IBRAHIM LIPUMBA hayupo kwenye PAYROLL ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, hizo nyingine ni PROPAGANDA za CHAMA TAWALA.

Lakini pia, tunategemea damu changa ikiingia italeta fikra na mawazo mapya yatakayoweza kubadilisha taswira nzima ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️. Sio kwamba, viongozi waliopo hawafanyi kazi! La hasha, tunahitaji kutumia vijana wasomi na nyenzo za kisiasa ili CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kirudi kwenye hali na uwezo kama zamani.
 
ni kweli kabisa ccm inaiga siasa za ccp
Subiri mwaka 2025 uone CCM ⚒️ itakavyoviburuza vyama vingine vya kisiasa, mpaka utapenda mwenyewe 😂😂

Lakini CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kitaendelea kuwepo kwa sababu kuna sehemu ni NGOME ya CHAMA, hata wafanye vipi kuna sehemu itaendelea kuwa ni NGOME ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

Sasa, hii staili ya kulinda goli inabidi CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kibadilike, kianze kushambulia huku kinajihami ili kisije kuwa kama chama cha NCCR - MAGEUZI.

Na wana uwezo wa kufanya hivyo, kwa sababu wana nguvu ya kiuchumi kuliko vyama vyote vya upinzani.

Kinachowakwamisha CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ni fikra duni na sio uwezo wa kifedha. Kwahiyo tunahitaji fikra mpya.
 
mwenyekiti wa hicho chama anagombeaga urais tangu nikiwa mdogo mpaka leo, je hatambui kwamba inawezekana akawa chanzo cha chama chake kufeli?
 
mwenyekiti wa hicho chama anagombeaga urais tangu nikiwa mdogo mpaka leo, je hatambui kwamba inawezekana akawa chanzo cha chama chake kufeli?
Hii nayo inaweza kuwa ni sababu ya kudumaa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, lakini tatizo haliwezi kuwa kwa upande wa PROFESA IBRAHIM LIPUMBA kwa sababu kuna kipindi alitaka kuachia nafasi ya uenyekiti, lakini wenye CHAMA waligoma kwa sababu kipindi hicho kulikuwa hakujapatikana wa kuchukua nafasi yake.

Na niwapeni siri nyingine - aliyetakiwa kuwa mwenyekiti wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ baada ya PROFESA IBRAHIM LIPUMBA alikuwa ni DKT WILLBROAD PETER SLAA, lakini alipata misukosuko kuelekea UCHAGUZI MKUU WA 2015 na baadae alienda KANADA 🇨🇦 kabla ya kuteuliwa kuwa balozi.

Kwahiyo, sasa hivi wenye CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ wanaangalia ni nani atakaye mrithi PROFESA IBRAHIM LIPUMBA kwenye nafasi ya uenyekiti.

Na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kinafuata mfumo kama wa SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na mfumo wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Yaani alianza JAMES MAPALALA [ Mkristu ], aliyefuata ni PROFESA IBRAHIM LIPUMBA [ Muislamu ] na baada ya hapo mwenyekiti atakayefuata atakuwa ni [ Mkristu ].

Kwahiyo CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ sasa hivi kinatazamia kupata mwenyekiti mpya na atakayechukua nafasi ya PROFESA IBRAHIM LIPUMBA.
 
Umenifurahisha sana! Lakini inabidi tuache stori za vijiweni na mitaani!

CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] sio tawi la CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] na CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kiliwekeza sana nguvu zake TANZANIA VISIWANI na mikoa yote ya MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI ambayo inajumuisha TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI, LINDI na MTWARA.

Kwahiyo, kwa mkaazi wa DODOMA au RUKWA atakwambia CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] hakina ushawishi kwa sababu maeneo yale hakuna shughuli zozote za KISIASA zinazofanywa na CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] lakini CHAMA bado kipo na kina wawakilishi wengi bungeni ukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].

Na kikubwa ilikuwa ni UHAI WA CHAMA, mambo mengine ni nyongeza tu! Halafu pia, CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kilijijenga kupitia vyama vingine vya kisiasa. Yaani CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kina watu wake kwenye vyama vya ACT - WAZALENDO [emoji2772], CHADEMA [emoji3577] na CCM [emoji106].

Kwahiyo siku hawa watu wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] wakiamua kurudi nyumbani, natumaini CHAMA kitapendeza.

Na PROFESA IBRAHIM LIPUMBA hayupo kwenye PAYROLL ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537], hizo nyingine ni PROPAGANDA za CHAMA TAWALA.

Lakini pia, tunategemea damu changa ikiingia italeta fikra na mawazo mapya yatakayoweza kubadilisha taswira nzima ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508]. Sio kwamba, viongozi waliopo hawafanyi kazi! La hasha, tunahitaji kutumia vijana wasomi na nyenzo za kisiasa ili CHAMA CHA WANANCHI - CUF [emoji3508] kirudi kwenye hali na uwezo kama zamani.
That CUF iliyokuwa imewekeza visiwani si hii CUF ambayo iko sponsored na CCM, the original CUF ndiyo hii ACT-Wazalendo ya sasa. Kila mwenye akili timamu analijua hilo.
Lipumba yuko kwenye payroll na hana namna kwani ndiyo njia yake ya ku survive na angalau aendelee kujidanganya kama yuko relevant, haihitaji mpaka uwe na PHD ya nuclear physics kubaini ya kuwa kwa sasa CUF iko level moja na TADEA.
Mchezo wote wa kuiua CUF(the original one) ulidhaminiwa na kusimamiwa na dola na walifanikiwa kwenye hilo ndipo option B kwao ikwa ni ACT-Wazalendo.
You're trying hard to deceive people lakini wajinga ni wachache kwenye mambo mepesi kama haya, all in all keep on trying.
 
Back
Top Bottom