Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana



Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa uwanja wa STADIO SAN PAOLO pamoja na timu ya SOCIETA SPORTIVA CALCIO NAPOLI [ SSC NAPOLI ] inayoshiriki ligi kuu nchini ITALIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น.
 


Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa uwanja wa LUMINUS ARENA pamoja na timu ya KRC GENK inayoshiriki ligi kuu nchini UBELIGIJI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช.
 


Na hawa MWASHITA yaani SIMBA wapo hadi ULAYA. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa timu ya ATHLETIC BILBAO ๐Ÿฆ inayoshiriki ligi kuu nchini UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ. Wanaomiliki timu ya SIMBA SC ๐Ÿฆ ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, ndio wamiliki halali wa timu ya ATHLETIC BILBAO ๐Ÿฆ kutoka UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ.

[ Bado haijahakikiwa.. ] Hawa hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio wamiliki halali wa uwanja wa ANFIELD na timu ya mpira ya LIVERPOOL inayoshiriki ligi kuu nchini UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง.

[ Bado haijahakikiwa.. ] Hawa hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya CHELSEA inayoshiriki ligi kuu nchini UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง. Huyo ROMAN ABRAMOVICH ni mfanyakazi tu hapo.

Sasa maswali yanakuja - Kwa hizi timu za mpira wanazomiliki hawa MWASHITA yaani SIMBA mbona ni nyingi sana? Hali ya kiuchumi ikoje ukilinganisha na wengine?

Kwa upande wa SERENGETI yaani CHUI maswali hamna, kwa sababu wao ndio wenye DOLA YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na wao ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM - kwa hiyo pesa sio tatizo.

Kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA wao wanatoa wapi hizo pesa? Hawa MWASHITA yaani SIMBA baada ya kutoka RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio waliokuwa nyuma ya UTAWALA WA ROBERT GABRIEL MUGABE kipindi ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ inawekewa vikwazo na nchi za magharibi.

Kwahiyo, hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio waliokuwa wakitumika kupitisha fedha za kigeni kwa serikali ya ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ iliyokuwa ikiongozwa na HAYATI RAIS ROBERT GABRIEL MUGABE. Na walifanikiwa kuingiza zaidi ya kiasi cha fedha za kigeni USD 400,000,000 [ dola milioni mia nne za kimarekani ] kwa serikali ya ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ.

Hali hii ilipekea hawa MWASHITA yaani SIMBA kuaminika sana kwa serikali ya ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ na kupatiwa baadhi ya hisa za migodi ya dhahabu, shaba, almasi na platinamu.

Mbali na nchi ya ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ, hawa MWASHITA yaani SIMBA wamewekeza na wanamiliki hisa nyingi sana kwenye migodi ya madini, mafuta na gesi kwa nchi za ANGOLA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด, NAMIBIA ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ, BOTSWANA ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ, AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ, ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ, KAMERUNI ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ, MALI ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ, KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, SUDANI ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ, TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, GHANA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ, NAIJERIA ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ, SAUDI ARABIA ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ na MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ.
 










LION OF JUDAH ๐Ÿฆ = SIMBA WA YUDAH ๐Ÿฆ​

Rejea posti niliyoinakili hapo juu. Hawa MWASHITA yaani SIMBA tunavyosema kuwa kufikia mwaka 2025 watakuwa wameanza safari za KUSINI MWA AFRIKA, sio kwamba hawana kabisa makampuni ya kusafirisha abiria kwa upande wa KUSINI MWA AFRIKA.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio wamiliki halali wa makampuni ya ROYAL AFRICA na SHALOM yanayofanya shughuli zake za kibiashara kutoka LUSAKA, mji mkuu wa ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ mpaka JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ.

Kwahiyo wapo kule, sema kinachokuja kufanyika ni kuongeza gari wanazozitengeneza wenyewe kutoka kwenye viwanda vyao wenyewe ili kuongeza ufanisi na kuunganisha majiji yote ya SADC yaani SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COUNTRIES.

Hiyo picha hapo juu ni gari inayoitwa SHALOM na hapo ni LUSAKA, ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ilikuwa inaelekea JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kwa njia ya barabara [ ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ].

Kwahiyo, kama ilivyo kwa SERENGETI yaani CHUI ndivyo ilivyo kwa MWASHITA yaani SIMBA, tayari hizi jamii mbili zimeshaingia kwenye biashara ya kidunia yaani GLOBAL TRADE.


Na sio vyepesi kufilisika, hawa MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI wataendelea kuwepo vizazi na vizazi.

Narudia tena - Na sio vyepesi kufilisika, hawa MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI wataendelea kuwepo vizazi na vizazi.

Imefikia hatua hawa MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI wamebeba majukumu ya kuwasaidia watu wao. Kitu ambacho sio chepesi kufanyika kwa jamii nyingine za kitanzania.
 
Kambona angekuwa mwislamu mzee Said angekuwa ameisha andika kitabu kabisa
 
aliyeelewa hapa naomba na mimi anieleweshe in summary plz...au ni yule jamaa don Nalimi?
 
aliyeelewa hapa naomba na mimi anieleweshe in summary plz...au ni yule jamaa don Nalimi?
Jaribu kupitia huu uzi tangu mwanzo utaelewa. Halafu pia, huo ni muendelezo wa posti nyingine zilizotangulia huko nyuma ndio maana nimenakili.
 
Nyerere alikuwa sahihi,hakuna tulichokosa tuna amani, upendo na umoja vituleteacyo furaha ya kweli.

Na sasa tuko tayari kwa better future yetu na watoto wetu.

Labda tuharibu sisi wenyewe.
 
Nyerere alikuwa sahihi,hakuna tulichokosa tuna amani, upendo na umoja vituleteacyo furaha ya kweli.

Na sasa tuko tayari kwa better future yetu na watoto wetu.

Labda tuharibu sisi wenyewe.
Watu kama nyie sijui mpo dunia gani! khaa kazi ipo! Jitahidi umsomeshe mwanao asije kuwa kama wewe! elimu ni muhimu kuliko chochote Africa.
 
Nyerere alikuwa sahihi,hakuna tulichokosa tuna amani, upendo na umoja vituleteacyo furaha ya kweli.

Na sasa tuko tayari kwa better future yetu na watoto wetu.

Labda tuharibu sisi wenyewe.
Ndio! Na hiyo ndio SIASA! SIASA sio kupiga kabobo tu, ni kufanya mambo kama hayo!
 
Kambona was right.
Ujamaa ubakie tu mambo ya kijamii lakini kwenye uchumi twende na ubepari,ndio mfumo sahihi.Asiyefanya Kazi na asile.
 
Kambona was right.
Ujamaa ubakie tu mambo ya kijamii lakini kwenye uchumi twende na ubepari,ndio mfumo sahihi.Asiyefanya Kazi na asile.
HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa anafanya UJAMAA kama ni sera ya SERIKALI sio MAISHA YAKE BINAFSI.

Ujue hapo kuna tofauti kubwa sana ambayo kila Mtanzania wa leo anapaswa kufahamu.

UJAMAA ilikuwa ni sera ya SERIKALI kwa kipindi hicho, lakini ilikuwa sio MAISHA BINAFSI ya HAYATI MWALIMU.

Hivi mnafahamu kuwa mmoja wa dada zake HAYATI MWALIMU aliolewa na mmoja wa watoto wa machifu kutoka SONGEA?

Yule mtoto wa chifu alikuwa anaitwa [...], alikuwa ni askari wa jeshi la JWTZ na aliwahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa yaani JKT.

Yaani HAYATI MWALIMU alimpatia shemeji yake cheo cha ukuu wa jeshi la kujenga taifa, JKT.

Sasa unaambiwa hivi, dada zake HAYATI MWALIMU walipokuwa wanaugua walikuwa wanapelekwa ITALIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น kwa ajili ya matibabu tu.

Lakini HAYATI MWALIMU mwenyewe alipokuwa anaugua alikuwa anatibiwa hapa hapa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa ni KIOO CHA JAMII na sio dada zake wala familia yake.
 
Aliyakataa mawazo ya Kambona ambayo yalikuwa ni sahihi
 
Aliyakataa mawazo ya Kambona ambayo yalikuwa ni sahihi
Ndio! Sio tu kuyakataa mawazo ya KAMBONA bali KAMBONA mwenyewe alionekana kumfahamu fika HAYATI MWALIMU pamoja na janja janja zote zilizokuwa zinafanywa na HAYATI MWALIMU.
 
Na niwapeni SIRI nyingine - hawa waliokuwa wanasiasa wa mikoa ya IRINGA, MBEYA na RUVUMA walitakiwa kupewa nchi ya MALAWI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ kama ni sehemu ya kimkakati kwa serikali ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Yaani ilikuwa inatakiwa kufanyika harakati za kisiasa kama ilivyofanyika kwa nchi za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Na tayari waasi waliokuwa wamepewa mafunzo ya kijeshi walikuwa wameandaliwa kwa ajili ya kuivamia MALAWI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ ili kuleta MAPINDUZI na hatimaye kuchukua DOLA YA MALAWI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ.

Lakini cha kushangaza wale wanasiasa wa kipindi hicho kutoka mikoa ya IRINGA, MBEYA na RUVUMA walikataa kufanya MAPINDUZI kwa sababu wanazozijua wao.

Hawa waliokuwa wanasiasa wa mikoa ya IRINGA, MBEYA na RUVUMA waliamini wao ni sehemu ya CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM lakini ukweli CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM ni chama cha HAYATI MWALIMU pekee yake, wengine wamefanyika kuwa ni wafuasi na wanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI.

HAYATI MWALIMU alikuwa ni mjanja tena mjanja sana! Na yeye ndiye mwenye CHAMA CHA MAPINDUZI na SERENGETI yaani CHUI ndio wenye DOLA YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwahiyo baada ya mfumo wa vyama vingi, HAYATI MWALIMU alisisitiza sana watu wenye uwezo waanzishe vyama vyao vya kisiasa ili kupunguza msongamano ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI.

Watangulizi wetu yaani wazazi wetu ndio wakaanzisha CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ˜€๏ธ na wengine walianzisha vyama vya kisiasa kama NCCR - MAGEUZI, UDP, TLP na CHADEMA.

Cha ajabu na cha kushangaza! Wale walioanzisha vyama vya kisiasa walifanyika kuwa ni marafiki wa HAYATI MWALIMU na wale waliobaki ndani ya CCM walionekana ni WAJINGA akiwemo ADAM SAPI MKWAWA ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwahiyo HAYATI MWALIMU aliheshimu sana watu waliokuwa na mawazo mbadala na kujitegemea kuliko wale waliokuwa wafuasi wake.
 
Ndio! Sio tu kuyakataa mawazo ya KAMBONA bali KAMBONA mwenyewe alionekana kumfahamu fika HAYATI MWALIMU pamoja na janja janja zote zilizokuwa zinafanywa na HAYATI MWALIMU.
Mwalimu alikuwa mjanja Sana alimudu kuficha uovu wake usijulikane kwa watz sababu hakukuwa na mitandao.
 
Watu kama nyie sijui mpo dunia gani! khaa kazi ipo! Jitahidi umsomeshe mwanao asije kuwa kama wewe! elimu ni muhimu kuliko chochote Africa.
Na kitu kingine ambacho Watanzania wengi hawafahamu ni kuwa SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ni SIASA YA KIMATAIFA yaani SIASA INAYOFANYWA NA MATAIFA MAKUBWA.

Na walio nyuma ya SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ni WAITALIANO ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น na WAJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช.

Na hawa WAITALIANO ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น na WAJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ndio wanaofanya biashara za HAYATI MWALIMU kwa kiasi kikubwa na wamefanya biashara za HAYATI MWALIMU kuenea ulimwengu mzima.

WAJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช huwa wanasema hivi - "You have your money and we have our football clubs". Yaani kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili ni - "wewe una pesa zako lakini sisi tuna timu zetu".

"And you cannot separate between GERMANY ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช and BAYERN MUNICH". Yaani kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili ni - "na hauwezi kutenganisha UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช na BAYERN MUNICH".

"BAYERN MUNICH is GERMANY ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช and GERMANY ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช is BAYERN MUNICH". Yaani kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili ni - "BAYERN MUNICH ni UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช na UJERUMANI ni BAYERN MUNICH".

"So if you posses BAYERN MUNICH, you posses GERMANY ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช". Yaani kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili ni - "kwahiyo kama ukimiliki BAYERN MUNICH, umemiliki UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช".

"And GERMANY ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช will always be behind your back". Yaani kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili ni - "na UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช itakuwa nyuma yako".

Na hii ndio kanuni ya kidiplomasia inayotumiwa na mataifa yote ya nchi za watu weupe.

Kwahiyo, wale wawekezaji waliowekeza kwenye nchi ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช wanasaidiwa kwa namna moja ama nyingine na SERIKALI YA UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช yaani BUNDES.

Iwe kwenye masuala ya kisiasa na utawala! Iwe kwenye masuala ya kielimu! Iwe kwenye masuala ya kibiashara! Iwe kwenye masuala ya michezo na burudani yaani imebeba masuala yote ya kijamii na mahusiano ya watu.

Ndio maana CHAMA CHA MAPINDUZI kinazidi kunawili siku kadri ya siku na siri ya mafanikio ya CHAMA CHA MAPINDUZI ni kinapokea ushauri na msaada wa kisiasa kutoka kwa nchi wawekezaji, hasa ITALIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น na UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช.

Na hali hii ipo hivyo hivyo kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA. Na wao wanapokea ushauri na msaada katika masuala yote ya kijamii na mahusiano ya watu kutoka kwa MATAIFA YA ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ waliyowekeza. Ndio maana hawa MWASHITA yaani SIMBA sasa hivi wapo juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ