Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hawa Murzah Wilmar EA kwa miaka ya 1995-7 mpaka miaka ya 2000 Walitisha sana kwa ubora wa bidhaa zao.

Walitwaa tuzo za ndani (Kitaifa) na tuzo za nje (Kimataifa) pale GENEVA BID 2000.

Halafu kumbe ni mali ya MNYAMA MWASHITA!, Sikulifahamu hilo.

MR TIGER yukoje kuhusu kabumbu pale Spain?
 


Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanafahamu wanachokifanya na hauwezi ukawafananisha na wakina ADAM SAPI MKWAWA au KAMBONA. Ni mbingu na ardhi!

Hawa wenye CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa timu ya mpira inayoitwa SEVILLA FC inayoshiriki LIGI KUU YA UHISPANIA 🇪🇸 na mabingwa mara sita [ 6 ] wa UEFA CUP na mwaka huu wamepata nafasi ya kishiriki UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Hiyo PESA ya matayarisho ya michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, kwa huku TANZANIA 🇹🇿 tunaweza kufunga kiwanda kingine kikubwa tu.

Na hiyo PESA ya matayarisho ya michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, kwa huku TANZANIA 🇹🇿 tunaweza kuhudumia mpaka timu za DARAJA LA KWANZA kama AFRICAN LYON, PAN AFRICAN na PAMBA SC. Hiyo ni PESA inayotoka SEVILLA FC pekee yake.

Kwahiyo hata kwa upande wa SIASA hali ni hiyo hiyo, na sioni sababu ya KIONGOZI kama JUMA DUNI HAJI kuendelea kubaki chama kama ACT - WAZALENDO 🖐️! Kwanza watampa nini? Chama chenyewe hakina hata vyanzo vya mapato! Ni bora arudi CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na agombee nafasi ya URAIS kupitia CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.
 
Hawa Murzah Wilmar EA kwa miaka ya 1995-7 mpaka miaka ya 2000 Walitisha sana kwa ubora wa bidhaa zao.
Hawa MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD ndio watengenezaji wa mafuta ya kupikia ya KORIE na miaka ya nyuma walikuwa ni watengenezaji wa mafuta ya kupikia yaliyokuwa yanaitwa KASUKU.

Haya mafuta ya kupikia yaliyokuwa yanaitwa KASUKU yalienea sana TANZANIA 🇹🇿 na kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI kwa kipindi hicho.

Na hata sasa hivi hawa MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD ndio watengenezaji wa sabuni maarufu sana TANZANIA 🇹🇿 zinazoitwa FOMA GOLD. Pia wana bidhaa nyingine za sabuni zinazoitwa B29, KIBOKO na PUFF.

Pia hawa MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD wanatengeneza MADAFTARI YA KUTUMIA WANAFUNZI WA SHULENI NA VYUO VIKUU, ni MADAFTARI mazuri sana na yanafaa kwa matumizi.

Vile vile hawa MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD wanamiliki WATER PROCESSING PLANT ambayo inatengeneza maji ya kunywa yanayoitwa MAJI POA.

Hawa MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD ndio wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya ZANZIBAR FAST FERRIES COMPANY LTD inayomiliki meli zinazofanya safari zake za majini kutoka DAR ES SALAAM kwenda ZANZIBAR.

Hawa MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD ndio wamiliki halali wa kampuni ya ALFA CAR RENTALS ZANZIBAR.

Na hawa MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD ndio wamiliki halali wa kiwanda cha ALFA PHARMACEUTICAL PRODUCTION PLANT, hiki kitakuwa ni kiwanda cha kwanza kwa nchi ya TANZANIA 🇹🇿 kitakachotengeneza FIRST IV DRIP.

Na ifike mahala tuelezane ukweli tu! Hii menejimenti ya MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD inafanya vizuri sana kwenye mambo ya UTAWALA na MASOKO - ndio maana bidhaa zao zina ubora.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 watakuwa wanamiliki viwanda viwili vya PHARMACEUTICAL kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿, hii ikiwa inajumuisha TANGA PHARMACEUTICALS & PLASTICS LTD na ALFA PHARMACEUTICALS PRODUCTION.
Walitwaa tuzo za ndani (Kitaifa) na tuzo za nje (Kimataifa) pale GENEVA BID 2000.
Ndio hao! Nadhani mpaka sasa hivi hakuna bidhaa bora kama mafuta ya kupikia ya KORIE, mafuta yanayofuata kwa ubora ni mafuta ya AZANIA ambapo wote ni wamoja, sema wanatofautiana "BRAND NAMES".
Halafu kumbe ni mali ya MNYAMA MWASHITA!, Sikulifahamu hilo.
Ndio! Kwa upande wa SEKTA YA VIWANDA TANZANIA 🇹🇿, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wameshikilia SEKTA YA VIWANDA pamoja na SERENGETI yaani CHUI.

Hizi ndio jamii mbili zenye UCHUMI WA VIWANDA TANZANIA 🇹🇿. Hakuna Wahindi, Waarabu wala Wazungu - hawa wote ni wafanyakazi tu! Lakini wenye UCHUMI WA VIWANDA ni MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI.
MR TIGER yukoje kuhusu kabumbu pale Spain?
Hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wamiliki halali wa timu za ATLETICO MADRID na REAL MADRID zote za UHISPANIA 🇪🇸.

Hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wamiliki wa "MADRID DERBY", yaani hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wanaomiliki WATANI WA JADI WA JIJI LA MADRID.

Vile vile hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wanaomiliki timu kubwa za ULAYA 🇪🇺 - timu hizo ni AC MILAN kutoka ITALIA 🇮🇹, REAL MADRID kutoka UHISPANIA 🇪🇸 na BAYERN MUNICH kutoka UJERUMANI 🇩🇪. Hizi ni timu kubwa ULAYA 🇪🇺 na sio tu ULAYA 🇪🇺 pekee yake, bali ni timu kubwa DUNIANI 🌏.

BAYERN MUNICH huwa wana kauli mbiu yao inayosema hivi - "The problem is not MONEY, the problem is how to find the best player who can fit for BAYERN MUNICH." Kwa sababu wao wana aina yao ya mpira wanaocheza uwanjani, sio kila aina ya mchezaji bora anafaa kwenda kucheza BAYERN MUNICH. Jibu ni hapana! Ndio maana wachezaji maarufu kama CHRISTIANO RONALDO na LIONEL MESSI hawajapata fursa ya kujiunga na timu ya BAYERN MUNICH. Hali hii, ipo hivyo hivyo kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Na hawa WAJERUMANI 🇩🇪 ndio wamechangia mafanikio ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kwa kiasi kikubwa sana. Vile vile HAYATI MWALIMU mwenyewe alichangia pakubwa sana kwenye uchumi wa UJERUMANI 🇩🇪 kwa kuwekeza kiasi kikubwa sana cha FEDHA.

Na HAYATI MWALIMU alishawahi kuwaambia WAJERUMANI 🇩🇪 kuwa ana uwezo wa kuilisha UJERUMANI 🇩🇪 kwa kipindi cha muda wa miaka mitatu [ 3 ].

Na HAYATI MWALIMU pamoja na JUMUIYA YA WATU WA UJERUMANI 🇩🇪 waliingia makubaliano ya kibiashara ili HAYATI MWALIMU apate msaada wa kisiasa na kidiplomasia pale panapohitajika.

Ndio maana biashara za familia ya HAYATI MWALIMU kwa kiasi kikubwa zinafanywa na WAJERUMANI 🇩🇪. WAJERUMANI 🇩🇪 wamesaidia pakubwa sana kwenye familia ya HAYATI MWALIMU - iwe kisiasa, kijamii na kibiashara.

Kupitia hawa WAJERUMANI 🇩🇪 - SERENGETI yaani CHUI wamekuwa vizuri sana kwenye masuala ya kijamii na mahusiano ya watu.

Na hii inawafanya hawa SERENGETI yaani CHUI kuwa ni jamii yenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla.

Jamii nyingine ni MLIMA KENYA [ MOUNT KENYA ] kutoka KENYA 🇰🇪. Hii ndio jamii yenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi kwa upande wa KENYA 🇰🇪 na ni jamii ya pili baada ya SERENGETI kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.

Jamii nyingine ni WAHIMA kutoka UGANDA 🇺🇬. Hii ndio jamii yenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi kwa upande wa UGANDA 🇺🇬 na ni jamii ya tatu baada ya SERENGETI na MLIMA KENYA kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.

Jamii nyingine ni WALUO kutoka KENYA 🇰🇪. Hii ndio jamii yenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi baada ya MLIMA KENYA na ni jamii ya nne baada ya SERENGETI kutoka TANZANIA 🇹🇿, MLIMA KENYA kutoka KENYA 🇰🇪 na WAHIMA kutoka UGANDA 🇺🇬. Hii jamii ya WALUO ndio wenye chama cha kisiasa cha ODM 🍊 na wamekuwa mstari wa mbele sana kwenye siasa za KENYA 🇰🇪.

Jamii nyingine ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kutoka TANZANIA 🇹🇿. Hii ndio jamii yenye nguvu ya kiuchumi baada ya SERENGETI na kisiasa walipotea kidogo kwa upande wa TANZANIA BARA 🇹🇿 na TANZANIA VISIWANI. Hii ndio jamii yenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 baada ya SERENGETI na ni jamii ya tano baada ya SERENGETI kutoka TANZANIA 🇹🇿, MLIMA KENYA kutoka KENYA 🇰🇪, WAHIMA kutoka UGANDA 🇺🇬 na WALUO kutoka KENYA 🇰🇪. Hii jamii ya MWASHITA ndio wenye chama cha kisiasa cha CUF ☀️ na wamekuwa mstari wa mbele sana kwenye siasa za TANZANIA VISIWANI na TANZANIA BARA kwa ujumla.

Jamii nyingine hazipo kwenye ramani! Jamii nyingine ni watumishi wa SERIKALI na taasisi binafsi. Kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI, hakuna jamii nyingine inayofuata kwa uchumi au hata kukaribia hizo jamii tano hapo juu.
 
Na waliingizwa mkenge au chaka na aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA NNE! Bilioni mbili [ 2,000,000,000 ] zikaliwa na hawakupata kitu 😂😂
Na MZEE WA MSOGA ndio mtoto wa mjini sasa! Baada ya kuwapiga bilioni mbili [ 2,000,000,000 ] kile CHAMA CHA KISIASA na yeye akatoa milioni mia moja [ 100,000,000 ] ili awe MWENYEKITI WA BODI YA THE GLOBAL PARTNERSHIP FOR EDUCATION [ GP for Education ]. Kwahiyo sasa hivi amebakiwa na bilioni moja na milioni mia tisa [ 1,900,000,000 ] 😂😂
 
The guy was so bright Mwalimu akaona he is threat to him...aka m-fire.
Haya mambo aliyokuwa akiyafanya HAYATI MWALIMU, hakufanya kwa KAMBONA pekee yake! HAYATI MWALIMU alifanya haya mambo hata kwa watangulizi wetu.

Wale wana CCM ⚒️ walioambiwa wapungunze msongamano ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ndio waliokuwa tishio kwa HAYATI MWALIMU na SERENGETI kwa kipindi hicho, ndio maana wakaambiwa wajiengue wenyewe.

Kupelekea sababu hiyo, ndio ikawa chimbuko la MFUMO WA VYAMA VINGI na VYAMA VYA KISIASA kama CHADEMA, NCCR - MAGEUZI na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio vilianzishwa.

Halafu kuna kitu kingine ambacho watu wengi hawakifahamu - waanzilishi wa hivi VYAMA VYA KISIASA kama CHADEMA, NCCR - MAGEUZI na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ mwanzoni walikuwa ni wanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na ndio hao walioambiwa wajiengue ili kupisha msongamano ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.
 
MR TIGER yukoje kuhusu kabumbu pale Spain?


Na hii ni UKWELI na UHAKIKA! Hawa SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa familia ya HAYATI MWALIMU ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya CHELSEA FC. Pale STAMFORD BRIDGE, ROMAN ABROMOVICH ni mfanyakazi tu kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine.

Na hata huu utajiri alionao ROMAN ABROMOVICH ni utajiri wa HAYATI MWALIMU na kwenye ile orodha ya MABILIONEA 100 WA KIRUSI 🇷🇺, HAYATI MWALIMU ana MABILIONEA 5 wanaofanya biashara za familia ya HAYATI MWALIMU.

Kutokana na mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia, inavyosemekana HAYATI MWALIMU ameendelea kupiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kuliko siku za nyuma.
 
Halafu kumbe ni mali ya MNYAMA MWASHITA!, Sikulifahamu hilo.
Hivi vitu mlitakiwa kuvifahamu! Kwenye SIASA huwa kuna kitu WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita GEOPOLITICS wakiwa na maana ya MAZINGIRA YA KISIASA YA SEHEMU HUSIKA.

Sasa unapohusika na SIASA ZA NCHI kuna MAZINGIRA YA KISIASA YA NCHI ambayo kama mhusika unapaswa kuyafahamu na sio kukurupuka tu, ndio maana watu wengine wanakufa kama kuku 🐔.

Sasa tofauti na MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa mgodi wa almasi unaoitwa EL - HILAL DIAMOND MINE unaopatikana MWADUI, KISHAPU katika mkoa wa SHINYANGA.

Wale wote wanaonekana pale ni wafanyakazi tu, lakini wamiliki wapo na siku wakiingia na kuanza kusimamia wenyewe mambo yatabadilika. Kutakuwa na mikataba ya kudumu kwa wafanyakazi na wafanyakazi wote watapewa bima.

Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa kampuni ya SUPERGROUP COMPANIES. Hii ni kampuni ambayo inajumuisha makampuni madogo madogo yapatayo saba [ 7 ], ambayo ni SUPER DOLL TRAILER MANUFACTURING LIMITED, SUPER STAR FORWARDERS [ SSF ], SUPER RETREAD TYRES COMPANY LIMITED, PIPE INDUSTRIES, KAGERA SUGAR LIMITED [ KSL ], MTIBWA SUGAR ESTATES na GENERAL MOTORS INVESTMENT LIMITED.

Hii kampuni ya SUPER DOLL TRAILER MANUFACTURING LIMITED ni kampuni inayoongoza katika utengenezaji wa matela ya malori kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI, KATI na KUSINI MWA AFRIKA.

Na hii kampuni ya SUPER STAR FORWARDERS [ SSF ] ni kampuni inayohusika katika usafirishaji wa mizigo kwa zaidi ya miongo miwili, yaani zaidi ya miaka ishirini [ 20 ].

Hii kampuni ya SUPER RETREAD TYRES COMPANY LIMITED ni kampuni ambayo ilianzishwa baada ya kuwa na tatizo la "POOR RETREAD RATIO" kwa kipindi hicho na mpaka leo hii inaendelea kufanya vizuri.

Hii kampuni ya PIPE INDUSTRIES inahusika na kutengeneza mabomba ya UBORA WA HALI YA JUU ya GRP, HDPE, STEEL na PVC ili kukidhi mahitaji kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿, AFRIKA MASHARIKI na KATI.

Hii kampuni ya KAGERA SUGAR LIMITED [ KSL ] ni kampuni inayohusika na uzalishaji wa sukari na inapatikana katika mkoa wa KAGERA.

Hii kampuni ya MTIBWA SUGAR ESTATES ni kampuni inayohusika na uzalishaji wa sukari na inapatikana katika mkoa wa MOROGORO.

Na hii kampuni ya GENERAL MOTORS INVESTMENT LIMITED ni kampuni inayohusika na uuzaji wa mashine zinazotumika kwenye KILIMO, MIGODI na UJENZI.

Haya pia ni makampuni yanayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na haya ndio makampuni yanayojumuisha uwekezaji wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿.

Haya ni makampuni tanzu na shirikishi kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️, sasa utaona ni jinsi gani uchumi wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ulivyo, ukilinganisha na VYAMA VINGINE VYA UPINZANI. Na ndio maana CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ huwa wana sera ya chama iliyoegemea upande wa KULIA yaani ULIBERALI au kwa jina lingine ni UBEPARI.

Hii inatokana na hawa wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kushikilia nyanja zote za kiuchumi na kuwa uchumi mkubwa unaotegemea viwanda, hivyo kupelekea kuwa na SERA YA UPEBARI.

Na hawa ndio wanaowabeba wakazi wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwenye upande wa ajira.

Kwahiyo siku nyingine ni vyema kuchunguza kabla ya kufanya maamuzi, kwa sababu unaweza kufanya maamuzi ambayo yatagharimu maisha yote.

Hali hii iko vivyo hivyo kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA, ni vyema kuchunguza kwanza kabla ya kufanya maamuzi, kwa sababu tunaamini kuwa mtu yoyote anayejishughulisha na SIASA ni tayari ameshakua mtu mzima, kwa hiyo anafahamu anachokifanya.
 
Hali hii iko vivyo hivyo kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA, ni vyema kuchunguza kwanza kabla ya kufanya maamuzi, kwa sababu tunaamini kuwa mtu yoyote anayejishughulisha na SIASA ni tayari ameshakua mtu mzima, kwa hiyo anafahamu anachokifanya.
Na kwa kuongezea hapa kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA - kuna VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI! Kuna VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na USALAMA WA TAIFA! Na kuna baadhi ya VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa kwa msaada wa NCHI JIRANI.

Hii yote inatumika kama HUDUMA ZA KIJAMII NA MAHUSIANO YA WATU kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na USALAMA WA TAIFA.

Na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa kwa msaada wa NCHI JIRANI huwa inatokana na sababu za UKACHERO.

Kwahiyo kama MWANACHAMA wa CHAMA chochote kile cha KISIASA ni vyema kuchunguza kwanza kabla ya kufanya maamuzi, maana kuna VYAMA VYA KISIASA ukiingia na ukitoka salama ushukuru MUNGU!

Ndio maana kuna baadhi ya WANASIASA walishambuliwa kwa risasi na mwingine alifariki kwa sababu zisizojulikana, wengine wanasema ni COVID-19 lakini hali halisi ni POLITICAL ASSASSINATION.

Na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vilivyo juu sasa hivi, yaani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, CHADEMA ✌️, CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na ACT - WAZALENDO 🖐️ ni vyama viwili [ 2 ] tu ndio vyama vinavyomilikiwa na raia wa kawaida, vingine ni vyama vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI na USALAMA WA TAIFA.

VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na raia wa kawaida ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ lakini kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni chama cha kisiasa ambacho kinajumuisha kila aina ya watu, yaani ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuna kila aina ya sura na kila aina ya watu wanaopatikana TANZANIA 🇹🇿.

Ndio maana maendeleo yanachelewa kwa upande mwingine, kwa sababu ya aina na malengo ya kisiasa ambayo CHAMA CHA KISIASA kinakuwa na mwakilishi katika sehemu fulani, sehemu hiyo inaweza kuwa ni KATA, JIMBO au hata NCHI.

Ndio maana sasa hivi WABUNGE wanaenda BUNGENI kama wanaenda SOKONI halafu wanachukua POSHO yaani "SITTING ALLOWANCES" kikao kinakuwa kimeisha. Hawafanyi shughuli yoyote ya kitaifa zaidi ya kufanya POROJO yaani LITERALLY POLITICS.

Hata WABUNGE wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA wapo hivyo hivyo, hakuna vitu wanavyofanya BUNGENI na MIKOA yao ndio WAHANGA WAKUBWA WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Kwa mfano, ukiangalia matokeo ya wanafunzi bora ya kidato cha nne kwa miaka kumi [ 10 ] iliyopita, MKOA WA SHINYANGA ulitoa wanafunzi bora mara tatu [ 3 ] - kwa mwaka 2005, mwaka 2007 na mwaka 2012! Lakini hawa wanafunzi wanapewa matokeo tofauti kabisa na ufaulu wao na SHULE zao zimekaa kimya! Na HALMASHAURI zao zimekaa kimya! Na WABUNGE wao wamekaa kimya! Ndio maana hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameamua kuwasaidia WENYEJI WA HII MIKOA bila hata kuwa na mahusiano na WAWAKILISHI WA HII MIKOA. Yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 hawana mahusiano yoyote na VIONGOZI WA SERIKALI ZA MIKOA wala WABUNGE wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Kwa sababu hawa WABUNGE wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA hawana msaada wowote kwa majimbo yao, na hiyo ndio SIASA. Lakini pamoja na hayo yote, WENYEJI WA HII MIKOA wanakuja juu kiuchumi kwa sababu ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kwahiyo hii ndio SIASA YA TANZANIA 🇹🇿 inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwa msaada wa NCHI ZA UJERUMANI 🇩🇪 na ITALIA 🇮🇹.

Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ inayolenga kubaki madarakani kwa muda wa kipindi kirefu sana.

Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ambayo itaacha baadhi ya jamii masikini sana ikiwemo MIKOA YA KIGOMA, RUKWA, SINGIDA, RUVUMA, LINDI, IRINGA, DODOMA na MTWARA.

Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ambayo itafanya jamii ya SERENGETI yaani CHUI kuwa na NGUVU YA KIUCHUMI NA KISIASA huku jamii nyingine zikibaki kuwa hoi na masikini wa kutupwa!

Kwahiyo mabadiliko ni lazima, hasa kwa mfumo wa elimu wa TANZANIA 🇹🇿. Ni lazima kuwe na uwazi katika kuwasilisha matokeo ya wanafunzi kwa awamu zote yaani darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita ndio maendeleo kwa jamii zote yatapatikana lakini tofauti na hapo, itakuwa ni shughuli ya kumpigia mbuzi gitaa.
 
Kizazi chake Kipo wapi
Ukimlaumu Julius utakuwa unamwonea laumu mizimu ndio iliyokuwa imemshika masikio wakatihuo akidhani ni Mola wake. Utaelewa siku nyingine.
 
Hainiingii akilini. Nitakuwa wa mwisho kuamini
 


Hiyo ni ratiba ya michuano ya fainali ya CECAFA KAGAME CUP na hizo ni timu mbili za EXPRESS FC ya UGANDA 🇺🇬 na NYASA BIG BULLETS FC ya MALAWI 🇲🇼 zote zinamilikiwa na MTANZANIA, yaani hizo timu mbili zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Kwahiyo unaona ni jinsi gani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walivyojipanga kwa upande wa nje ya nchi.
 
Hainiingii akilini. Nitakuwa wa mwisho kuamini
Aisee! Ila ni vizuri kuchukua tahadhari na kuheshimu kila mtu, hasa hawa VIONGOZI WA SERIKALI. Maana haingii akilini kwa HAYATI MWALIMU aongoze nchi kwa kipindi cha miaka ishirini na minne [ 24 ] halafu awe masikini. Ni kitu ambacho hakiwezekani.


Halafu pia, HAYATI MWALIMU kupitia familia ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya PARIS SAINT GERMAIN [ PSG ] inayoshiriki ligi kuu nchini UFARANSA 🇨🇵.

Yaani hii familia ya HAYATI MWALIMU inatengenezwa kuja kuwa kama FAMILIA YA KIFALME YA UINGEREZA 🇬🇧 ndio maana hawana mambo mengi lakini ni hatari ile mbaya.

Sasa hivi kama umejaribu kufuatilia, hata msiba wa mjukuu wa HAYATI MWALIMU umepewa kipaumbele kama msiba wa KIONGOZI WA SERIKALI na hii yote inafanyika ili kuindaa jamii ya WATANZANIA 🇹🇿 na uwepo wa familia ya HAYATI MWALIMU. Hii WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita - A RECOGNITION OF AN ELITE FAMILY.

Na isitoshe wao kama familia ya HAYATI MWALIMU wana ulinzi mkubwa tu kuliko familia yoyote ile kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿.
 
Hainiingii akilini. Nitakuwa wa mwisho kuamini
VIONGOZI WA SERIKALI wamewekeza sana nje ya nchi! Hauwezi kuamini kuwa kuna VIONGOZI WA SERIKALI wanamiliki HOSPITALI pamoja na VYUO VIKUU nje ya nchi.

Kuna VIONGOZI WA SERIKALI wanamiliki VYUO VIKUU vikubwa na vyenye UBORA kuliko hata VYUO VIKUU vya TANZANIA 🇹🇿.

Kuna VIONGOZI WA SERIKALI wanamiliki HOSPITALI kubwa na zenye UBORA kuliko hata HOSPITALI za TANZANIA 🇹🇿.

Hata hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki CHUO KIKUU nchini MAREKANI 🇺🇲 na kinapokea na kudahili wanafunzi kama kawaida, yaani kama VYUO VIKUU vingine.

Hicho CHUO KIKUU kinaitwa [...] na ni maarufu sana nchini MAREKANI 🇺🇲 na kuna kipindi msanii wa HIP HOP alihusishwa kuwa anamiliki hicho CHUO KIKUU, lakini ukweli ni kwamba hicho CHUO KIKUU kinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Sasa swali linakuja - kama hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki CHUO KIKUU nchini MAREKANI 🇺🇲, HAYATI MWALIMU atakuwa ana miliki CHUO KIKUU gani? Mambo mengine sio lazima utafuniwe, lakini pia HAYATI MWALIMU na yeye ana miliki CHUO KIKUU huko ughaibuni.
 
JK ye anamiliki nini?
 
Mali za CCM ndo mali za Nyerere?
 
Haiwezekani hao MWASHITA wakawa wametengenezwa na Nyerere?
 
JK ye anamiliki nini?
Siwezi kuusemea MOYO! Lakini ukweli ni kwamba kuanzia ngazi ya UNAIBU WAZIRI hadi ngazi ya URAIS huwa kuna ofa ambayo huwa wanapokea kutoka kwa watu wa mataifa ya ughaibuni, hasa ULAYA 🇪🇺 na MAREKANI 🇺🇲.

Ofa hizi huwa zinalenga kuwekeza kwenye nchi husika au hata kununua mali zisizohamishika yaani ASSETS. Kwahiyo kuna VIONGOZI WA SERIKALI wengi wamewekeza kwenye mataifa ya ughaibuni kwa mtindo huo.

Kwahiyo, sitegemei kama JK atakosekana kwenye hiyo orodha ya VIONGOZI WA SERIKALI waliowekeza kwenye mataifa ya ughaibuni. Na siwezi kusema ana miliki nini kwa sababu simfahamu kiundani kwenye mambo ya kifamilia.
 
Mali za CCM ndo mali za Nyerere?
Mali za CHAMA CHA MAPINDUZI zipo na mali za HAYATI MWALIMU pia zipo!

Lakini ukiachana na SIASA na mambo mengine ya UANACHAMA, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kitaendelea kuwa ni mali ya muasisi ambaye ni HAYATI MWALIMU.

Kwahiyo, mali za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni mali za muasisi wa CHAMA ambaye ni HAYATI MWALIMU na sasa hivi wanaosimama badala ya HAYATI MWALIMU ni FAMILIA YA HAYATI MWALIMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…