Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ bado kuna miiko ya ajabu sana! Kuna mambo mengine ukiyafahamu yatakuletea shida! Hivyo inakupasa utulie na uyaache kama yalivyo.
 
Namuona "PANTHERA LEO" taratibu na kwa uhakika akikamilisha mambo yetu yale katika series zetu za "PRISON BREAK", "CRIME", "CRISIS", na "24 HOURS LEGACY FOX".
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na SERENGETI yaani CHUI wana INTELIJENSIA ya hali ya juu sana. Hauwezi kuwafananisha na VYOMBO VYA USALAMA VYA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Kwa upande wa VYOMBO VYA USALAMA VYA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ - hawa WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง huwa wanawaambia hivi - You are PRETTY but LOCAL.

Na operasheni zote zilizofanyika kwa nchi za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ni operasheni zilizohusisha SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ. Hakuna VYOMBO VYA USALAMA VYA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ vilivyohusika na SIASA ZA MAZIWA MAKUU.
Namuona "PANTHERA LEO" taratibu na kwa uhakika akikamilisha mambo yetu yale katika series zetu za "PRISON BREAK", "CRIME", "CRISIS", na "24 HOURS LEGACY FOX".
Halafu hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kwa sasa hivi wanashambulia MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI [ IRINGA, MBEYA na RUKWA] kama walivyofanya kwa MIKOA YA KASKAZINI [ ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA ].

Na kwa upande wa MBEYA, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ tayari wameshaweka NGOME yao pamoja mbunge. Sema kwa bahati mbaya huyo mbunge hana ELIMU ya kumuwezesha kugombea kiti cha URAIS, kwahiyo nguvu ya KISIASA itaelekezwa kwa watoto wake.
 
Je, Ni MWASHITA aliyezipiga BAN kampuni zingine za TRANSIT zisiende MIKOA YA KUSINI na hata KUSINI MWA MAZIWA MAKUU!?!!

Makampuni karibu yote ya MALORI yaliyokuwa yanapeleka bidhaa toka LAKE ZONIA kwenda MBEYA, LUSAKA, MALAWI na MOZAMBIQUE yamehamisha safari zake na hayaendi tena huko.

Yamehamia MZ-Kampala, MZ-DAR, MZ-KIGALI, MZ-BUJUMBURA, KAHAMA-CONGO, MZ-MUSOMA, N.K

Mkuu, Charles Mandela! Una mtazamo upi juu ya hilo?
 
Ni kweli, Mkuu Charles Mandela!

Hapo kwenye "UKANDA WA NGANO NYINGI" na kuchelewa kwa "MKATE WA TAIFA" na "MEMA YA NCHI" inabidi nivunge.

Kwenye "ASALI NA MAZIWA" dhidi ya "MATOMBO", "KIBAIGWA", "KIBOKOSAUZI", NA "UNYANYEMBE" Napo nimenyamaa hapo ili "TWIGA" asinipe "BAN YA MILELE"
 
Je, Ni MWASHITA aliyezipiga BAN kampuni zingine za TRANSIT zisiende MIKOA YA KUSINI na hata KUSINI MWA MAZIWA MAKUU!?!!
Yaani kuanzia leo inakupasa kufahamu ya kuwa, miongoni mwa wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU kuna aliyekuwa mfanyakazi mmojawapo anamiliki malori elfu tano [ 5000 ] kwa kupitia kampuni tofauti tofauti zipatazo zaidi kumi [ 10 ].

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ pekee yao ndio wameshikilia bandari za TANGA, DAR ES SALAAM na MTWARA.

Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ukiondoa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ bado wana kampuni nyingine za usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande wa MSUMBIJI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ, MALAWI ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ, ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ na KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ.

Halafu pia hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanamiliki kampuni za usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช na UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wapo hadi bandari za LAMU na MOMBASA.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA.

Watu ambao wanamiliki kampuni nyingine hawawezi kushindana na kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanamiliki malori mengi na wapo kwenye sekta ya usafirishaji kwa kipindi kisichopungua miaka ishirini [ 20 ].
Makampuni karibu yote ya MALORI yaliyokuwa yanapeleka bidhaa toka LAKE ZONIA kwenda MBEYA, LUSAKA, MALAWI na MOZAMBIQUE yamehamisha safari zake na hayaendi tena huko.
Ndio! Sasa hivi hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria kwa sababu wao ndio wamiliki wakuu wa VIWANDA kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wameshikilia SUPPLY CHAIN yote kuanzia viwandani hadi kwa watumiaji wa kawaida na hata kwa upande wa bandari za DAR ES SALAAM, MTWARA na TANGA wao ndio wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo.
Yamehamia MZ-Kampala, MZ-DAR, MZ-KIGALI, MZ-BUJUMBURA, KAHAMA-CONGO, MZ-MUSOMA, N.K
Kuna kampuni nyingine zimekufa kabisa na baadhi zimepunguza ruti kwa sababu ya kukosa wateja na huduma ni mbovu.

Kwa mfano, jaribu kuangalia hii barabara ya DAR ES SALAAM mpaka MWANZA kuna malori ya TEXAS na BLUE COAST ndio yametawala hiyo njia. Na hizo kampuni zote zinamilikiwa na mtu mmoja.

Na jaribu tena kuangalia hii barabara ya DAR ES SALAAM mpaka TUNDUMA kuna malori ya SIMBA LOGISTICS na ALISTAIR ndio yametawala hiyo njia. Na hizo kampuni zote zinamilikiwa na mtu mmoja.

Kwa mtu mwingine ambaye ni mgeni kwenye sekta ya usafirishaji wa mizigo, anatakiwa awe na malori ya kutosha ili aweze kumudu biashara ya ushindani.
Mkuu, Charles Mandela! Una mtazamo upi juu ya hilo?
Hii sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria wameshikilia MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na ukihitaji kuingia kwenye hiyo sekta ni lazima uwe vizuri kiuchumi. Hapo hakuna SIASA, ni jitihada binafsi ndio zinazohitajika.
 
Sasa hivi kila mtu ameelimika na anauelewa wa mambo ya UTAWALA WA SHERIA NA SERIKALI. Hupaswi kusubiri kuambiwa, inabidi uchukue hatua mwenyewe.
 
Hapana, Mkuu Charles Mandela!
Nilikuwa mtupu hapo kwa mmiliki wa "ROYAL VILLE"












Hilo jina la ROYAL VILLAGE HOTEL ni jina ambalo wamelitoa ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ambako hawa wanaomiliki hoteli ya ROYAL VILLAGE HOTEL ndio wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji wa abiria inayoitwa ROYAL AFRICA TRANSPORT SERVICE.

Hii kampuni ya ROYAL AFRICA inafanya shughuli za usafirishaji wa abiria kwa upande wa ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ pekee yake. Lakini hawa hawa wanaomiliki kampuni ya usafirishaji wa abiria ya ROYAL AFRICA ndio wanaomiliki kampuni ya usafirishaji wa abiria ya SHALOM inayofanya shughuli zake ndani na nje ya ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ.

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanajaribu kuiga mfumo wa SERENGETI yaani CHUI, ijapokuwa SERENGETI yaani CHUI wapo mbali sana KIUCHUMI na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanajaribu kufuata nyayo za SERENGETI yaani CHUI.

Kwahiyo utaona ni jinsi gani hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ walivyo kwenye upande wa UCHUMI, wapo vizuri sana! Na wanaiga mfumo wa HAYATI MWALIMU aliouasisi kwa jamii ya SERENGETI yaani CHUI.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio miongoni mwa WATANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ waliowekeza nchini ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ mtaji wa kibiashara usiopunguwa SHILINGI BILIONI HAMSINI ZA KITANZANIA [ 50,000,000,000 ] na wanamiliki VIWANDA, HOTELI, SHULE na TIMU YA MPIRA WA MIGUU inayojulikana kwa jina la NKANA FC.


Hii timu ya mpira wa miguu ya NKANA FC ni timu ambayo inashiriki LIGI KUU YA ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ na ni timu ambayo ilishiriki michuano ya AFRIKA yaani CAF CONFEDERATION kwa mwaka uliopita.

Hao ndio MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanaofuata nyayo za SERENGETI yaani CHUI. Huu ni mfumo wa SERENGETI yaani CHUI ulioasisiwa na HAYATI MWALIMU mwenyewe kupitia msaada wa UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช na ITALIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น.
 
Huyu "SHALOM" si mgeni machoni pangu.

Huyu mnyama "SAULI" route zake zikoje? Wakati fulani nilimuona kule Rock City.

Ukiachana na "MAHARAMIA WA BAHARINI" a.k.a "ORLANDO PIRATES" na "MAMELODI SUNDOWNS" basi kule Kusini Mwa Maziwa Makuu huwa nawakubali sana, "MASHETANI WEKUNDU" waitwao "NKANA FC" a.k.a "THE RED DEVILS" na wale "WAKATA UMEME" waitwao, "ZESCO".

Kama ilivyoandikwa, Kwamba, "Ufalme wa mbinguni utatekwa na wenye nguvu".

Ndivyo MATAJIRI a.k.a WAFANYABIASHARA wanavyozidi kuuteka ufalme wa wananchi.

WANYAMA hawa wawili wako smart sana, Kama vile wasivyokosea katika ukokotozi wa namba, hesabu, na biashara zao, Ndivyo pia wanavyotumia majina smart sana yaliyobeba uzito mkubwa, mafumbo, siri, na mafanikio.

ROYAL, OASIS, SAUL, SHALOM, ST MATHEW, THE BLUES, THE LOS BLANCOS, TIGRIS, LEO, ETC.
 
Baada ya kufufuka Nabii KRISTO aitwaye, "YESU"..

Anawaambia wanafunzi wake neno, "SHALOM" a.k.a "AMANI IWE KWENU"

Na "MNYAMA LEO" anatumia hiyo "SHALOM".

Kama ilivyokuwa kwa "SAULI" a.k.a "PAUL" ndivyo pia ilivyokuwa kwa hawa APOSTLES 12.

Utofauti wa "SAULI" ni kwamba alikuwa "KILLER" lakini "PETER" a.k.a "PETRO" alikuwa dakika mbili mbele ukijipendekeza pale "MWALONI" kwake ujue umeisha kabla ya ubatizo hatimaye leo tunamuona pale ST. PETERS kivingine.

Ndivyo walivyokuwa hata wana "NGURUMO" yaani, "YAKOBO" na "ANDREA" nduguye ukigusa nyavu zao au samaki wao ujue kuzamishwa ni sekunde.

"MATHAYO" a.k.a "MATHEW" huyu alikuwa smart sana kichwani kama "YUDA" alivyokuwa mdhibiti wa mapato na bajeti za pale sinagogini.

UNABATIZWA NA MNYAMA LEO AU MNYAMA TIGRIS UNA-CHANGE KUWA KIVINGINE.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Wakati mwingine karata zao zinataka kurandana.

Huku naliona JOKERY [JOKER] liitwalo, "THE BLUES" na kule kuna "TURUFU" inaitwa, "BLUE COAST".

Kule kuna "ROYAL VILLE" na huku kuna "ROYAL CROWN (RMA)".
 
Mkuu, Charles Mandela!

Hapa "BLUE" imekula kwa "PANTHERA LEO" na imekula pia kwa "PANTHERA TIGRIS".

Tukiachana na "TAFSIRI YA BLUE" kwa maana ya "TWIGA", "BAHARI", NA "UTITIRI".

Mkuu, Charles Mandela, Wewe ambaye hukuukimbia umande, Unasemaje juu ya "TAFSIRI YA NENO BLUE" katika aina za "FRAMES" kikemia!?!!
 
Samahani, Mkuu Charles Mandela!

Naomba kufahamu lipi lilikuwa jina la "SAULI" wa "RWANDA" kabla ya ubatizo.

Niliipoteza makala hiyo kwenye uzi wa mkuu mmoja pale Jukwaa La Historia.
 
Samahani, Mkuu Charles Mandela!

Naomba kufahamu lipi lilikuwa jina la "SAULI" wa "RWANDA" kabla ya ubatizo.

Niliipoteza makala hiyo kwenye uzi wa mkuu mmoja pale Jukwaa La Historia.


Unaona hiyo basi kwenye picha hapo juu? Hiyo basi ni kampuni ya FALCON inayofanya biashara zake kuanzia DAR ES SALAAM - TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ mpaka LUSAKA - ZAMBIA ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ, DAR ES SALAAM - TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ mpaka HARARE - ZIMBABWE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ na DAR ES SALAAM - TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ mpaka LUBUMBASHI - KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ.

Hii kampuni ya FALCON ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na jina la FALCON limebeba historia kubwa sana kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU.

Kampuni nyingine za usafirishaji wa abiria ambazo zinamilikiwa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ zinaweza kuisha na hata kupotea kwenye RAMANI, lakini hii kampuni ya FALCON itabaki na itaendelea kubaki hata kwa miaka ijayo.

Sasa naomba uniulize SWALI, jina la FALCON limebeba historia gani kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU?
 
Acha upuuzi kijana, na stori zako za kubuni buni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ