Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Shukrani sana, mkuu!
Hii EICHER ilitawala sana kwenye HIACE.

Hawa GOLDEN DRAGON wanakuja kwa kasi sana hawa.
Huko Duniani kuna watu hawamjui Mwalimu!!..Kuna watu wanaona Watanzania ni mazoba sana!!.. Wakati mwengine tukubali watanzania wengi ni wajinga sana!!...View attachment 1971619
 
Mental case.
 
Mental case.
Naona huyu jamaa tayari ameshapigwa BAN na Moderator. Sasa inabidi tutafute ile MAKALA YA ADAM SAPI MKWAWA iliyoandaliwa na kituo cha televisheni cha SAFARI CHANNEL na kurushwa hewani na TBC1. Hapo kuna SOMO ambalo sisi wengine kwa kweli inatupasa kujifunza ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

#SafariChannel #TBC1 #Njaa_Inaua #MaishaNiGwaride #HakunaMaishaYaDezo
 
Shukrani sana, mkuu!
Hii EICHER ilitawala sana kwenye HIACE.
Hizi EICHER mpaka leo zipo na sehemu nyingine nimeziona zinatumika kama "SCHOOL BUS".
Hawa GOLDEN DRAGON wanakuja kwa kasi sana hawa.
GOLDEN DRAGON ni kampuni nzuri lakini kuna machache ya kurekebisha ili kuhimili USHINDANI wa kampuni nyingine kama SCANIA, MERCEDES BENZ, TATA na kampuni nyingine nyingine za kufanana na hizo.
 
Shukrani sana, mkuu!
Hii EICHER ilitawala sana kwenye HIACE.

Hawa GOLDEN DRAGON wanakuja kwa kasi sana hawa.


Kwa siku hii ya KUMUENZI HAYATI MWALIMU, ngoja nitumie siku hii vizuri kuwasiliana na WAFANYAKAZI waliopo KAMPALA - UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ kwenye kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo ya MASHCOOL.

Kusema UKWELI hawa WAFANYAKAZI ni HODARI na ni WACHAPAKAZI kweli kweli, hasa kwenye kipindi kama hiki cha COVID-19.

Sasa ngoja nifanye mawasiliano na wao, halafu jioni tutakutana hapa hapa kwenye JAMVI LA HABARI ili kupeana mawili matatu kuhusu hatima ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na uwepo wa falsafa ya HAYATI MWALIMU.

Kwa sababu mbali na kutokuwepo kwa HAYATI MWALIMU, lakini miiko na falsafa za HAYATI MWALIMU bado zipo na zinaendelea kuishi mpaka leo.
 

Unaona hizi gari aina ya YUTONG F12+ zilizoingia wiki iliyopita? Hizi ni gari mpya za KAMPUNI YA ABOOD na zilikuwa ni zaidi ya DAZANI MBILI yaani zilikuwa ni zaidi ya gari ishirini na nne [ 24 ].

Sasa kwa hali ya kawaida na uchumi wa nchi jinsi ulivyo sasa hivi, ni vigumu sana kwa RAIA WA KAWAIDA kuleta gari zaidi ya DAZANI MBILI! Lakini kuna baadhi ya WATANZANIA wenzetu wanaona ni jambo la kawaida kabisa.

Hiyo KAMPUNI YA ABOOD ni moja ya kampuni ya usafirishaji wa abiria ambayo inamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI na hii kampuni ya usafirishaji wa abiria ilikuwepo tangu kipindi HAYATI MWALIMU yupo hai, yaani hii kampuni ya usafirishaji wa abiria ilikuwepo hata kabla ya mwaka 1999.

Na isingelikuwa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kuingilia kati kwenye upande wa BIASHARA, BIASHARA ZOTE ZA KIUCHUMI zingelikuwa zimeshikiliwa na SERENGETI yaani CHUI kwa asilimia sabini [ 70% ] na asilimia thelathini [ 30% ] iliyobaki ingelikuwa imeshikiliwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

Lakini tangu SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imeamua kufanya BIASHARA, hao SERENGETI yaani CHUI wameshikilia asilimia thelathini [ 30% ] ya BIASHARA ZOTE ZA KIUCHUMI zinazofanyika TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wameshikilia asilimia ishirini [ 20% na asilimia inaendelea kushuka ] ya BIASHARA ZOTE ZA KIUCHUMI zinazofanyika TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na asilimia hamsini [ 50% ] iliyobaki imeshikiliwa na SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ yenyewe.

Kwa mfano, kwa upande wa SEKTA YA UTALII kwa MIKOA YA MANYARA, ARUSHA NA KILIMANJARO pekee yake, SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ inamiliki HOTELI ZA KITALII zipatazo kumi na tisa [ 19 ] na HOTELI zilizobaki ndio zinamilikiwa na RAIA WA KAWAIDA.

Na hapa kwenye SEKTA YA UTALII, isingelikuwa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kuingilia kati, hawa SERENGETI yaani CHUI wangelikuwa wameshikilia SEKTA YA UTALII kwa upande wa MIKOA YA MANYARA, ARUSHA NA KILIMANJARO. Lakini baada ya SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kuanza kufanya BIASHARA, SEKTA YA UTALII imeshikiliwa na SERIKALI yenyewe kwa kiasi kikubwa, wanaofuatia ni SERENGETI yaani CHUI halafu wanakuja MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

Hii ndio hali halisi ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na hayo ndio aliyokuwa anayasema OSCAR KAMBONA dhidi ya UTAWALA WA HAYATI MWALIMU.
 
Kambona alikuwa mtoto wa padre. Kwa mini mtoto wa padre atake watu kumi,kumi na tano tu katika nchi wawe tajiri,wengine wote tuwe maskini,which is what capitalism is all about?
If you want to glorify capitalism,basi heading ya posting yako siyo sahihi.
Ndio wale watu walikuwa wanabishana na Socrates,na yule mtu mmoja akasema,"Huyu Socrates anadhani shepherd anatunza wanyama kuwasaidia, kumbe mchungaji lengo lake ni kuwatafuna wanyama. Hivyo hivyo,kiongozi hayuko pale kwa maslahi ya wananchi."
Kwanza elewa kwamba Russian Revolution na Chinese Revolution zote zimekuwa financed na Western Capitalists,Hawa Rothschilds and such ilk. Kwa hiyo mani ni adui wa nani?
 
Huo usawa unatetewa na ujamaa ni wa kipumbavu sana. Yaani mvivu na mwenye bidii wawe sawa kwa kipato.


Yaani ni kwamba - ni kitu ambacho hakiwezekani, kwa sababu UJAMAA ilikuwa ni SERA YA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa kipindi hicho, lakini hayakuwa maisha halisi au maisha binafsi ya HAYATI MWALIMU.

Yaani HAYATI MWALIMU alikuwa na maisha yake binafsi na alikuwa ni KIONGOZI MJANJA ambaye hakuruhusu KIONGOZI mwingine wa SERIKALI au MWANANCHI WA KAWAIDA yoyote wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ awe na UCHUMI mkubwa au sawa na yeye, kwa hofu ya MAPINDUZI.

Na hali ipo hivyo hivyo mpaka leo, sema sasa hivi inatumika kwa mwavuli wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ. Yaani hakuna KIONGOZI WA SERIKALI au MWANANCHI WA KAWAIDA mwenye UCHUMI mkubwa kuliko CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Kwa hali hiyo, HAYATI MWALIMU anaendelea kuwepo na ataendelea kuwepo kwenye TASNIA YA KISIASA NA KIUCHUMI kupitia mwavuli wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.
 
OSCAR KAMBONA alikuwa ni mtoto wa mchungaji wa KANISA LA ANGLIKANI na hii ndio sababu kubwa iliyomfanya akakimbilia UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง.
 
Chama cha kwanza kuanzishwa kwa ajili ya kudai Uhuru kilikua ni TAAA jaribu kuGoogle waansilishi wa TAAA na TANU Ndio utajua Akina nani waliojitolea kwa ajili ya Uhuru na Leo Majina yao yapo wapi??
 
Huko Duniani kuna watu hawamjui Mwalimu!!..


Kuna watu wanaona Watanzania ni mazoba sana!!..
Na huo ndio UKWELI, hii inatokana na baadhi ya mambo yanayoendelea kufanyika kwenye nchi ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
Wakati mwengine tukubali watanzania wengi ni wajinga sana!!...View attachment 1971618View attachment 1971619
Ndio, hakuna kipingamizi chochote! WATANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ wengi hawana ufahamu na kile kinachoendelea au kilichokuwa kinafanyika SERIKALINI kwa miaka ya nyuma.

Kwahiyo ni vizuri pia kutumia njia za mawasiliano kama mitandao ya kijamii kupeana habari sahihi zinazohusu SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na VIONGOZI WA SERIKALI kwa ujumla. Hii itasaidia kuwa na UWAZI NA UWAJIBIKAJI kwa upande wa SERIKALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ