Haya ngoja tuendelee na huu uzi pale tulipoishia na ukizingatia kuna baadhi ya mambo yaliyojadiliwa kwenye huu uzi wa
Kampuni ya Africarriers iliyoingia Mkataba wa Mabasi na Simba Sports Club ni mali ya nani? yanaingiliana na maudhui ya kwenye huu uzi.
Kwa wale wadau kama
HUNIJUI SIKUJUI,
Reginald L. Ishala,
Wit na
Muuza viatu huu uzi unawahusu moja kwa moja. Tuanze na UMILIKI WA KIWANDA CHA MAGARI YA EICHER MOTORS [ Hili ni jina la KIHINDI linalotamkwa AISHA ].
Hiki ni kiwanda ambacho kinatengeneza magari aina ya EICHER na kuna baadhi ya WATANZANIA [emoji1241] wanamiliki HISA kwenye hiki kiwanda cha magari kinachopatikana nchini INDIA [emoji1128].
WATANZANIA [emoji1241] wanaomiliki HISA kwenye hiki kiwanda cha magari kinachopatikana nchini INDIA [emoji1128] ni WANASIASA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] akiwemo HAYATI MWALIMU mwenyewe na MWASHITA [ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ].
Hali hii ndio ilipekea aina ya gari hizi za EICHER kuenea sana TANZANIA [emoji1241] hasa katika MKOA WA DAR ES SALAAM na baadhi ya mikoa mingine ya TANZANIA [emoji1241].
Na kampuni ambayo inatumika kama WAKALA WA USAMBAZAJI WA MAGARI YA EICHER ni kampuni ambayo inajulikana kwa jina la AFRICARRIERS LIMITED.
Hii kampuni ya AFRICARRIERS ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] kwa asilimia mia moja [ 100% ] na ni wakala wa magari ya EICHER na GOLDEN DRAGON kwa upande wa TANZANIA [emoji1241].
Na baadhi ya magari ya GOLDEN DRAGON ndio yanayotumika kama mabasi kwenye kampuni ya usafirishaji wa abiria ya FALCON, ambayo pia ni kampuni inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881].