Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mkuu tunasubir uendelee hapa.
Alafu mister ability n nan?hii code nimeisahau.
Jaribu kupitia posti za nyuma - MISTER ABILITY ni yule aliyekuwa MENEJA WA USAFIRISHAJI wa SHIRECU kwa mwaka 1992 na baadae alihamia NCU na ndiye aliyetakiwa kuwa WAZIRI MKUU, mwaka 1995 kabla ya kususia TEUZI.

Yaani HAYATI MWALIMU alikuwa tayari ameshapanga safu yake ya uongozi kwa nafasi ya URAIS na UWAZIRI MKUU, lakini baadae MISTER ABILITY alisusia hiyo nafasi kwa sababu yeye ndiye mwenye CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na baadae hiyo nafasi ya UWAZIRI MKUU ilichukuliwa na MISTER ZERO.

Lakini haikuishia hapo, MISTER CLEAN na MISTER ABILITY waliendelea kushirikiana kwenye kufanya mambo ya KISERIKALI hasa katika kipindi cha UBINAFSISHAJI WA KAMPUNI NA TAASISI ZA KISERIKALI.

Ndio maana CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ kwa kipindi fulani kilikuwa kinaitwa ni CCM - B, ni kutokana na mahusiano kama hayo.

Na huyu MISTER ABILITY ndiye aliyezaa na MKE wa WAZIRI WA MAMBO YA NJE wa awamu ya tatu, kipindi cha MISTER CLEAN na MTOTO aliyezaliwa aliitwa RASHID. Hili JINA LA RASHID ilikuwa ni heshima ya kumuenzi MAKAMU WA RAIS WA KWANZA WA TANZANIA 🇹🇿, Ndugu RASHID MFAUME KAWAWA.

Huyo RASHID anafanana kabisa na kaka yake waliochangia BABA ambaye ndiye aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA TANO [ 5 ] WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CoHSS pale UDOM, mwaka 2012/13.

Kwahiyo hawa JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ wana mahusiano mazuri, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waligoma kuwa wanachama na wafuasi wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kutokana na SIASA ZA CHAMA TAWALA kuwa ni SIASA ZA HATARI NA VISASI.

Hivyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliamua kuanzisha vyama vyao vya kisiasa ili kuepuka malumbano na maneno yasiyokuwa na tija.
 
Sawa mkuu nimwendo wa kuunga ...
 
Sawa mkuu nimwendo wa kuunga ...


Ngoja nikande mguu kwa kutumia AYURVEDIC, maana jana nilipata majeraha kwenye maungio ya mguu nikiwa nafanya mazoezi ya kucheza mpira. Ila TANZANIA 🇹🇿 kuna MAMBO kweli kweli 😂😂😂

Sasa basi, yule WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA AWAMU YA TATU yaani kwenye kipindi cha MISTER CLEAN na yeye alifanikiwa kupata MTOTO WA KIKE na MKE WA MFANYAKAZI wa SHIRECU.

Baadae yule WAZIRI WA MAMBO YA NJE ndio alikuja kuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa awamu ya nne [ 4 ]. Na baada ya kuingia IKULU, yule RAIS alimteua MME mwenzie kuwa WAZIRI WA KILIMO.

Lakini yule MFANYAKAZI WA SHIRECU alisusia TEUZI na kupelekwa BODI YA KOROSHO, kule MTWARA.

Kwahiyo ilikuwa ni kama desturi ya hawa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU kususia TEUZI za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, licha ya kuwa na mahusiano mazuri ya KISIASA yaliyochagizwa na MAPATANO YA DAMU na WATOTO wakazaliwa kama sehemu ya UPATANISHO.
 
Waziri wa mambo ya nje hakumaindi kwamba kwa nini mkewe aruke ukuta na RASHID apatikane?


Au mwanamke alikuwa ameshatalakiwa na MR WAZIRI?


Inakuaje kama ni mkewe wa ndoa ajue karuka ukuta na kaleta MIMBA isiyo yake halafu WAZIRI atulie tu?
 
Waziri wa mambo ya nje hakumaindi kwamba kwa nini mkewe aruke ukuta na RASHID apatikane?


Au mwanamke alikuwa ameshatalakiwa na MR WAZIRI?


Inakuaje kama ni mkewe wa ndoa ajue karuka ukuta na kaleta MIMBA isiyo yake halafu WAZIRI atulie tu?
Mambo mengine ni SIRI ZA FAMILIA na hazitakiwi kujadiliwa hadharani. Lakini kwa WANAWAKE wanaojitambua, MWANAUME akitoka na yeye pia anatoka. Hii WASWAHILI wanaita ni NGOMA DROO.

Na kuna NYIMBO ilishatungwa baada ya kufahamika kuwa RASHID ni MTOTO wa BABA mwingine. Ile NYIMBO aliimba RICH MAVOKO inaitwa KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI 😂😂😂

Hii NYIMBO inayokwenda kwa JINA la "UKIWA MJANJA, KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI" ilikuwa inamlenga BWANA YULE ambaye ndiye aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NJE kipindi cha AWAMU YA TATU na ilikuwa ni tabia yake ya kuzaa na wake za WATU 😂😂😂

Sasa alivyokuja kupatiwa na yeye, ilibidi atulie! Na MZEE RUKSA akamwambia hivi - "Ukiwa mjanja, kuchapiwa ni SIRI ya ndani" na ndio JINA LA HIYO NYIMBO.
 
We noma
 
 
Mkuu tuendelee
 
Mkuu na watu wa kaskazi na siasa zao vipi
KASKAZINI hakuna SIASA ZA KWELI, kule kuna SIASA ZA KIMASILAHI. Yaani WATU WA KASKAZINI wanaangalia MASILAHI yao kwanza! UNAZI WA VYAMA VYA KISIASA baadae.

Ijapokuwa WATU WA KASKAZINI wameamka tangu siku nyingi sana, lakini SERIKALI imefanikiwa kuikamata SIASA YA KASKAZINI kwa asilimia mia moja [ 100% ].

Hauwezi kuamini kuwa - kule KASKAZINI ni AUGUSTINO LYATONGA MREMA pekee yake ndio mwenye CHAMA CHA KISIASA kinachofahamika kwa jina la TANZANIA LABOUR PARTY - TLP ⚙️. Au kwa lugha nyingine tunaweza kusema hivi - TANZANIA LABOUR PARTY - TLP ⚙️ ndio CHAMA CHA KISIASA kinachomilikiwa na RAIA WA KAWAIDA na hakina mafungamano yoyote na VYOMBO VYA DOLA.


Lakini WENYEVITI WA VYAMA VYA KISIASA wengine ni MAMLUKI na WAHAMIAJI waliohamia MKOA WA KILIMANJARO wakitokea MIKOA YA KAGERA NA RUVUMA. Vile vile VYAMA VYA KISIASA wanavyoongoza ni VYAMA ambavyo vina mahusiano ya moja kwa moja na VYOMBO VYA DOLA.

Kwa lugha nyingine tunaweza kusema hivi - AUGUSTINO LYATONGA MREMA ndio SHUJAA pekee yake aliyekuwa anapambana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na hajafanikiwa kwa sababu za KIUCHUMI.

Na ukija ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, WATU ambao wanaifahamu vizuri SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni WATU WA PWANI. Hawa WATU WA PWANI ndio wanaifahamu vizuri SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, licha ya kuwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kinamilikiwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.


WATU WA PWANI ndio wanaonekana kuwa wameshika SIASA ZA NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na WANUFAIKA WAKUBWA wa SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Kwahiyo ukiondoa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁, JAMII nyingine ambayo inafahamu vizuri sana SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni JAMII YA WATU WA PWANI.


Hawa WATU WA PWANI wapo vizuri sana - iwe ni KIUCHUMI na hata KISIASA! Na wamejijenga kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Hawa WATU WA PWANI wana madhara sana kwenye SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na SIASA ZA KITAIFA kwa ujumla. Hivyo sio WATU WA KUBEZWA hata kidogo!

Kwahiyo kwenye SIASA ZA KITAIFA kuna JAMII TATU ambazo ndio WADAU WAKUU wa SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿:

JAMII ya kwanza ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI - hii ni jamii ambayo anatoka HAYATI MWALIMU mwenyewe.

JAMII nyingine ni JAMII YA WATU WA PWANI - hii ni jamii ambayo imetoa wanasiasa wengi sana ndani ya CHAMA TAWALA na wana madhara endapo ikitokea mabadiliko ya kisiasa.

JAMII iliyobaki ni JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 - hii ni jamii ambayo inajumuisha wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU. Hawa WATU wanamiliki UCHUMI na wanamiliki VYAMA VYA KISIASA ambavyo vipo "ACTIVE" na vinashiriki chaguzi mbali mbali.

Kwahiyo HALI HALISI YA KISIASA kwa upande wa WATU WA KASKAZINI na TANZANIA 🇹🇿 nzima kwa ujumla wake ndio ipo hivyo.
 
Sawa mkuu ila tutaona ukweli wa ccm kuchukuliwa na hao wasukuma
 
Sawa mkuu ila tutaona ukweli wa ccm kuchukuliwa na hao wasukuma
Hakuna WASUKUMA wa kuchukua CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Na hakuna WASUKUMA wenye uwezo wa KISIASA na hata KIUCHUMI ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Aliyekuwa anawapa KIBURI hao WASUKUMA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, tayari alishapumzika mbele za haki, kule kwao CHATO 🙏🏽

Hao waliobaki ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni WAHUNI WAHUNI tu, pengine hata 2025 wanaweza wasiwepo na majina yao kukatwa kwenye mchakato wa kupitisha WAGOMBEA WA CHAMA.

Halafu kitu kingine ambacho WATU wengi huwa hawafahamu ni uwepo wa CHARLES MAKONGORO. Huyu MTU huwa ni HATARI sana kuliko hata BABA yake, HAYATI MWALIMU.
 
Kwa mara ya kwanza namsikia kijana akitoka kwenye box na kuanza kufikiri. Mie ni mmoja ya watu ambao nadhani Nyerere alifanya blunder nyingi ambazo hadi leo bado athari zake watu wanaendelea kuziresolve.

Alikuwa si mtu anaesikia maoni ya mtu mwengine, moja ya mambo ambayo yanaligharimu taifa hili ni huo muungano. Kwa level tulionayo hatuna uwezo wa kuface challenges za union. Kinachobaki ni kila mtu kusubiri siku ya kuuzika. Kama si Nyerere mataifa haya yangetumia fursa na energy kufocus na what really matters into daily lives. Badala yake tunatajadili kero, unajua Zanzibar ingekuwa wapi kama si Nyerere (bila Mapinduzi na Muungano) ?

Jaribu tuu kufikiria vizuri, bila ya siasa na propaganda. Nadhani Zanzibar na Tanganyika zingekuwa mbali sana.
 
Sawa mkuu ila tutaona ukweli wa ccm kuchukuliwa na hao wasukuma


Hao JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU wamejijenga sana KIUCHUMI na ndio wamiliki halali wa kiwanda cha CHAI BORA ☕.

Hiki kiwanda cha CHAI BORA ☕ nilikuwa nimesahau kukiorodhesha kwenye ORODHA YA VIWANDA ambavyo vinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Na kwa lugha nyingine tunaweza kusema hivi - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU kuanzia cheo cha umeneja na kuendelea, kila mmoja ana UKWASI wa kuanzia shilingi bilioni hamsini za KITANZANIA 🇹🇿 [ 50,000,000,000 ].

Hii inajumuisha wale wote waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA kuanzia mwaka 1984 hadi mwaka 2005.

Sasa kama hao WASUKUMA waliopo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ wanataka kufanya HARAKATI YA KISIASA yaani WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni POLITICAL RALLY ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, wanatakiwa kwanza kujipima KIUCHUMI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kama wapo vizuri KIUCHUMI kuliko JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaweza kuleta mabadiliko ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Lakini hilo sidhani!! Kwa sababu hata JAMII YA WATU WA PWANI pamoja na kuwa na WANASIASA wengi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, bado wanamiliki UCHUMI mdogo kuliko JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kwahiyo hao WASUKUMA waliopo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ wenye nia ya kumiliki CHAMA, sidhani kama malengo yao yatafanikiwa na zaidi wasubiri kupangwa kama MAFUNGU YA NYANYA 🍅🍅🍅...

Kwa sababu sote tunafahamu kuwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni CHAMA DUME na CHAMA KIKONGWE barani AFRIKA, kufukuza wanachama wake sio KIPAUMBELE chao. Kwahiyo hao WASUKUMA wataendelea kuwepo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ lakini watashikishwa ADABU kama wakina ADAM SAPI MKWAWA na wengine wengine wa kufanana na hao.
 
Mkuu jamii ya simba ulisema haipo ccm na haijiusishi na siasa za ccm sasa mbona unasema hao wasukuma wanatakiwa kujipima kama wanawazid simba kiuchum nazan ulitakiwa useme jamii ya rama na siyo simba.
 
Mkuu jamii ya simba ulisema haipo ccm na haijiusishi na siasa za ccm sasa mbona unasema hao wasukuma wanatakiwa kujipima kama wanawazid simba kiuchum nazan ulitakiwa useme jamii ya rama na siyo simba.
Hiyo JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio mfano wa jamii ambayo kwa kiasi fulani inaweza kuleta mabadiliko ya KISIASA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, kutokana na UCHUMI ambao inamiliki.

JAMII nyingine ni JAMII YA WATU WA PWANI - hii ni JAMII ambayo ina uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kutokana na kuwa na uwezo mkubwa sana wa KISIASA pamoja na kuwa na uwezo wa KIUCHUMI.

Sasa hizi JAMII MBILI ZA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na PWANI hata ukijumuisha UCHUMI wao kwa pamoja, bado haufikii UCHUMI WA SERENGETI yaani CHUI.

Hiyo JAMII YA SERENGETI yaani CHUI inamiliki UCHUMI mkubwa sana na ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Kwahiyo wale WASUKUMA wenye nia ya kuleta mabadiliko ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni angalau wawe na UCHUMI unaofanana au hata kukaribia UCHUMI WA MWASHITA yaani SIMBA 🦁, ndio tutasema kweli hao WASUKUMA wana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…