Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Rais hataki hata kusafiri nje ajifunze nchi za wenzetu, yqmani kituko kabisa.
Anapunguza gharama lkn ni Bora kutembea upate exposure plus networking kwa tembezi zenye tija kuliko kupoteza Kodi zetu kuwekeza kwenye miradi ya tembo mweupe, kununua wapinzani, kurudia chaguzi, kupambana na upinzani badala ya kupambana na maendeleo,kununua ma v8 ,na visivyo tija kiuchumi ( kuhamia dodoma, ikulu mpya) huku wanafunzi wanakaa chini hawana vyoo, hawana madarasa, maji hakuna.
 
If you look closely at the Bible you will find that, in the time of Moses, Moses was like a dumb man and a lot of work was done by Aaron, but despite all the work done by Aaron, Moses was still God's Choice, let JKN be the Father of the Nation, for he was designated from For the creator
 
umetoa analogy nzuri, unaweza piga kazi sana lakini mwisho wa siku credit akapewa mwingine
 
Wewe jamaa nu Mpumbavu. Kila nchi ya kibepari ni matajiri ??

Zambia, Kenya nu matajiri ??

Hata hao China unaowatolea mfano siyo mabepari nu makomunist.
 
Hao wapinzani wanaonunuliwa ni wapumbavu na mapimbi!!

Kila siku nyimbo ni kununua wapinzani, wewe mbona hujanunuliwa?

Acheni wivu, kama wewe huwezi kununuliwa, basi kusanya watu ngangali kama wewe muunde huo upinzani imara!!
 
umetoa analogy nzuri, unaweza piga kazi sana lakini mwisho wa siku credit akapewa mwingine
Mkuu, nadhani mifumo yetu huwa iko kuwapendelea wenye vyeo vikubwa, angalia hata Kwa wakuu wa wilaya na Wakurugenzi,

Wakurugenzi ndio wanaofaiti lakini mwisho wa siku eti mkuu wa wilaya ndio anapewa credit!!
 
Hao wapinzani wanaonunuliwa ni wapumbavu na mapimbi!!

Kila siku nyimbo ni kununua wapinzani, wewe mbona hujanunuliwa?

Acheni wivu, kama wewe huwezi kununuliwa, basi kusanya watu ngangali kama wewe muunde huo upinzani imara!!
Mtu masikini katu hawezi kuwa mwanasiasa bora ,
 
Mkuu, nadhani mifumo yetu huwa iko kuwapendelea wenye vyeo vikubwa, angalia hata Kwa wakuu wa wilaya na Wakurugenzi,

Wakurugenzi ndio wanaofaiti lakini mwisho wa siku eti mkuu wa wilaya ndio anapewa credit!!
upo sahihi kabisa hata matibu wa wizara ndio wanaopiga kazi lakini mawaziri ndo wanachukua pongezi zote
 
Wewe jamaa nu Mpumbavu. Kila nchi ya kibepari ni matajiri ??

Zambia, Kenya nu matajiri ??

Hata hao China unaowatolea mfano siyo mabepari nu makomunist.
Nimeangalia mifano ya nchi zilizoendelea We unaleta mifano ya nchi za kifisadi hizi.China ni makomunist kwenye Utawala na sio kwenye uchumi.
 
Mtu masikini katu hawezi kuwa mwanasiasa bora ,
Mtu masikini ni yupi ???

Mzee Makaidi wa NLD aliyeausa bunge la katiba lenye posho nono au Mama Salma Kikwete anaepambana juendelea kutafuta ubunge ili 'awatumikie' watu ??!
 
ndani ya iyo miaka iliyopotea tungeweza kufanya mangap??
Namaanisha kilichofanyika kilishafanyika waliopokea kijiti “wangerekebisha” miaka 35 sasa.. Ni kama kulilia ukoloni ulitunyonya ndo maana hatuendelei wakati wakoloni walishaondoka miaka na miaka
 
Japo ujamaa ulishindwa, Nyerere alifanikiwa kwa ukombozi katika baadhi ya nchi za Afrika.
Ujamaa ni mfumo mzuri, unahitaji marekebisho kidogo tu.

Tatizo la nchii, sijui ni Nyerere tu ndio alikuwa anafikiria.

Hata US, Democratic wana elements nyingi tu za ujamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…