Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Sasa kama kuna watanzania Wananguvu kubwa ya kiuchumi namna hiyo kitu gani inawazuia Kufanya Tanzania kuwa Taifa kubwa kiuchumi?
 
Sasa kama kuna watanzania Wananguvu kubwa ya kiuchumi namna hiyo kitu gani inawazuia Kufanya Tanzania kuwa Taifa kubwa kiuchumi?
WATANZANIA wengi wamewekeza NJE YA NCHI kwa sababu ya TAHADHARI YA KISIASA.

Kuwekeza NJE YA NCHI ni SALAMA zaidi kuliko kuwekeza NDANI YA NCHI na hii inasababishwa na SERIKALI YA TANZANIA kutokuwa na SERA IMARA kwenye upande wa UWEKEZAJI.

SERA ZA UWEKEZAJI ZA TANZANIA zinabadilika kutokana na aina ya UONGOZI uliopo MADARAKANI. Kitu ambacho sio kizuri kabisa kwa upande wa UWEKEZAJI.

Na hata kwa upande wa SERIKALI YA TANZANIA, kuna UWEKEZAJI ambao SERIKALI imefanya kwa MATAIFA mengine. Vile vile kuna MATAIFA YA NJE yamefanya UWEKEZAJI ndani ya TANZANIA.

Kwahiyo ni KAWAIDA kabisa!! Na hii inasababishwa na MAZINGIRA mazuri ya kufanya BIASHARA kwa MATAIFA husika.
 
Kama haya mambo ni kweli inaonekana Tanzania ni nchi kubwa Sana kuliko tunavyoona na tunatawala nchi nyingi?
 
Sasa kama kuna watanzania Wananguvu kubwa ya kiuchumi namna hiyo kitu gani inawazuia Kufanya Tanzania kuwa Taifa kubwa kiuchumi?


Kwa mfano, hii ni kampuni ya usafirishaji wa abiria ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni inafanya shughuli zake kwenye MATAIFA YA RWANDA πŸ‡·πŸ‡Ό, UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ. Yaani kwa lugha nyingine tunaweza kusema hii kampuni ni TRANSIT na inatumbulika KIMATAIFA kupitia TAASISI YA World Travel & Tourism Council (WTTC) | Travel & Tourism Representative Council.

Hii TAASISI YA World Travel & Tourism Council (WTTC) | Travel & Tourism Representative Council inatumbulika na ipo chini ya uangalizi wa UMOJA WA MATAIFA yaani United Nations | Peace, dignity and equality <BR>on a healthy planet. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanatambulika mpaka United Nations | Peace, dignity and equality <BR>on a healthy planet.

Sasa faida ya kutambulika kwenye BIASHARA ZA KIMATAIFA yaani WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita GLOBAL TRADE ni UAMINIFU. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaaminika kupitia TAASISI ZA KIMATAIFA, ndio maana wametulia na wanaendelea kujijenga KIBIASHARA na KISIASA.
 
Kama ndo hivyo what is our real GDP?
Kwa upande wa GDP sina UHAKIKA sana, kwa sababu kirefu cha neno GDP ni GROSS DOMESTIC PRODUCT yaani ni UZALISHAJI WA PATO LA NDANI na hakuna uhusiano wowote na UWEKEZAJI WA NJE unaofanywa na SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.
 
Kwa hiyo yote unayosema ni ya ukweli?



Kwa mfano, ukiwa unaenda ZAMBIA πŸ‡ΏπŸ‡² kwa kutumia MPAKA WA TUNDUMA - NAKONDE. Kwa upande wa ZAMBIA πŸ‡ΏπŸ‡², ukiwa umefika NAKONDE huwa kuna kampuni ya usafirishaji wa abiria ambayo huwa inaitwa POWER TOOLS LOGISTICS.

Hii kampuni ya POWER TOOLS LOGISTICS huwa inaanza safari zake kuanzia NAKONDE mpaka LUSAKA na baada ya hapo kuna safari nyingine za kwenda NCHI ZA NJE.

Hii kampuni ya POWER TOOLS LOGISTICS ni TRANSIT na inamilikiwa na SERIKALI kupitia UBALOZI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ uliopo ZAMBIA πŸ‡ΏπŸ‡² na basi zake zinakwenda mpaka AFRIKA YA KUSINI πŸ‡ΏπŸ‡¦.
 
Sasa hiyo itabaki na itaendelea kuwa ni SIRI YA SERIKALI, mimi binafsi siwezi kueleza.
Mimi napata ukakasi ukisema hii serikali ni tajiri Sana maana Naona sometime mambo mengi ya serikali inakwama Mara miradi mpaka wakope,misharaha hazipandishwi hasa serikali iliyopita,wazee wastaafu hawalipwi Kwa wakati sometime.pia unasema Timu nyingi kubwa ulaya na Afrika zinamilikiwa na Watanzania na baadhi ya makampuni makubwa it means Lakini ukubwa huu unaoongelea wa baadhi ya watanzania na Tanzania ni wa kutisha sana.lakini mbona kikawaida hatuonekani kuwa Tanzania ni chochote au nchi kubwa kama Marekani au China au nchi za ulaya.yaani hatuonekani kwamba ni nchi kubwa Sana?
 
Duh
 


Hii kampuni ya ROYAL AFRICA ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni ya ROYAL AFRICA ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake pale pale ZAMBIA πŸ‡ΏπŸ‡².


Hii kampuni ya SHALOM ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni ya SHALOM ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake pale pale ZAMBIA πŸ‡ΏπŸ‡² na inatoka NJE YA NCHI na kuelekea JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI πŸ‡ΏπŸ‡¦.

Kwahiyo hii kampuni ya SHALOM ni TRANSIT na inatembea NCHI zaidi ya tatu hadi kufika AFRIKA YA KUSINI πŸ‡ΏπŸ‡¦.
 
Inamaana hawa Mwashita na hawa serengeti wameshikilia uchumi wa afrika mashariki na kusini na afrika kiujumla?naona kutokana na maelezo yako wanamakampuni kila mahala?he kuna faida yoyote Kwa nchi ya Tanzania?
 
Sas ikiwa hvyo mbna Fatma karume Ana asili za upinzani wkt umezema haw Ni washirati
 
Mimi napata ukakasi ukisema hii serikali ni tajiri Sana maana Naona sometime mambo mengi ya serikali inakwama Mara miradi mpaka wakope,misharaha hazipandishwi hasa serikali iliyopita,wazee wastaafu hawalipwi Kwa wakati sometime.
Hayo ni MAMBO YA KISERIKALI! RUSHWA na UFISADI ndio unakwamisha malengo ya SERIKALI.
pia unasema Timu nyingi kubwa ulaya na Afrika zinamilikiwa na Watanzania na baadhi ya makampuni makubwa it means
RUSHWA na UFISADI haujaanza leo wala jana kwenye SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Haya matukio ya UPOTEVU WA FEDHA ZA UMMA yalikuwepo tangu mwaka 1961.

Na WATANZANIA wengi wamewekeza NJE YA NCHI kwa sababu ya USALAMA WA MITAJI na MAZINGIRA mazuri ya kufanya BIASHARA.

Kumiliki TIMU ZA MPIRA WA MIGUU kwa upande wa ULAYA NA AFRIKA ni kawaida kwa RAIA WA KAWAIDA, lakini SIO KAWAIDA kwa VIONGOZI WA KISERIKALI.

Kwa sababu kwa upande wa VIONGOZI WA KISERIKALI ni lazima MASWALI yawepo kuhusu upatikanaji wa FEDHA walizotumia kufanikisha kumiliki hizo TIMU ZA MPIRA WA MIGUU.

Lakini kwa RAIA WA KAWAIDA inakuwa ni vigumu kuhoji uhalali wao wa kumiliki hizo TIMU ZA MPIRA WA MIGUU na hata TIMU ZA MPIRA WA KIKAPU kwa sababu wao wanafanya BIASHARA na wanatambulika KITAIFA na KIMATAIFA.
Lakini ukubwa huu unaoongelea wa baadhi ya watanzania na Tanzania ni wa kutisha sana.
Ndio! WANASIASA na VIONGOZI WA KISERIKALI wamewekeza NJE YA NCHI kwa kiasi kikubwa sana.
lakini mbona kikawaida hatuonekani kuwa Tanzania ni chochote au nchi kubwa kama Marekani au China au nchi za ulaya.
TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kinachokwamisha ni RUSHWA na UFISADI wa MALI ZA UMMA.
yaani hatuonekani kwamba ni nchi kubwa Sana?
Kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU hawana SHIDA kabisa, kwa sababu wao baada ya kutoka kwenye VYAMA VYA USHIRIKA hawakuajiliwa popote zaidi ya kuendelea kufanya BIASHARA BINAFSI.

SHIDA ipo kwa WANASIASA na VIONGOZI WA KISERIKALI, ni lazima utaratibu uwepo wa kuonesha MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA yanasimamiwa na kutekelezwa kikamilifu ili kuzuia mianya ya RUSHWA.
 
Sas ikiwa hvyo mbna Fatma karume Ana asili za upinzani wkt umezema haw Ni washirati
WAZANZIBARI wengi huwa sio wafuasi kindaki ndaki wa CHAMA CHA MAPINDUZI, bali huwa wanakitumia CHAMA CHA MAPINDUZI kukwea MNAZI.
 
Inamaana hawa Mwashita na hawa serengeti wameshikilia uchumi wa afrika mashariki na kusini na afrika kiujumla?
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamejitahidi sana kuwekeza kwenye NCHI ZOTE ZA AFRIKA YA MASHARIKI na baadhi ya NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA.

Lakini hii JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wamewekeza sana AFRIKA YA MASHARIKI na KUSINI MWA AFRIKA kwa ujumla.

Hii JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio JAMII yenye UCHUMI MKUBWA kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.

Hii JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe.
naona kutokana na maelezo yako wana makampuni kila mahala?
Hawa SERENGETI yaani CHUI wanamiliki kampuni nyingi sana kwa upande wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na hata NJE YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Na kwa kukufahamisha tu, zile kampuni zote zinazoonekana kwenye BODI YA UDHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ni kampuni za kibiashara ambazo zinazomilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.
he kuna faida yoyote Kwa nchi ya Tanzania?
FAIDA ipo! Hasa kwenye kukusanya KODI na TOZO mbali mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…