Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Dooh, ila kudos Kwa wote Simba na Chui aisee hao ni mifano hai ya kuigwa , wamepambania vya kwao na jamii zao wameshinda . Je kuna dalili za kuinuka jamii nyingine kama hizo?
 
Dooh, ila kudos Kwa wote Simba na Chui aisee hao ni mifano hai ya kuigwa , wamepambania vya kwao na jamii zao wameshinda . Je kuna dalili za kuinuka jamii nyingine kama hizo?
Hakuna JAMII nyingine zenye dalili ya kuinuka ili ziwe kama JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ au JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Hii inatokana na DUNIA kuwa katika UTANDAWAZI na MIFUMO IMARA YA ULINZI NA USALAMA.

Sasa hivi mambo mengi yanafanyika KIELOTRONIKI, hali ambayo inakuwa ni vigumu kupoteza au kupata kiasi kikubwa cha FEDHA kwa urahisi.

Vile vile MIFUMO YA ULINZI NA USALAMA imeimarishwa tofauti na miaka ya nyuma. Sasa hivi kuna MIFUMO YA ULINZI ya KIKANDA ambayo inajumuisha NCHI zaidi ya moja, hali hii inapelekea MATAIFA YA UKANDA huu wa AFRIKA YA MASHARIKI na MAZIWA MAKUU kwa ujumla kuwa na MIFUMO IMARA YA ULINZI tofauti na miaka ya nyuma.

Na sitegemei kama MAUAJI YA KIMBARI yatajirudia tena kwa NCHI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kwa sababu MIFUMO YA ULINZI NA USALAMA imeimarishwa sana, tofauti kabisa na miaka ya nyuma.
 
Dooh, ila kudos Kwa wote Simba na Chui aisee hao ni mifano hai ya kuigwa , wamepambania vya kwao na jamii zao wameshinda . Je kuna dalili za kuinuka jamii nyingine kama hizo?


Sasa jaribu kuangalia picha za WENYEVITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 2022.

Kwahiyo ukiondoa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI, kuna JAMII YA WATU WA PWANI. Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana na hao VIONGOZI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR wana mchango mkubwa sana kwa JAMII wanayotoka.

Kuanzia kwa Sheikh ABEID AMANI KARUME aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 1972.

Halafu akafuatia Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1972 hadi mwaka 1984.

Halafu akafuatia ALI HASSAN MWINYI aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1984 hadi mwaka 1985.

Halafu akafuatia IDRIS ABDUL WAKIL aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1985 hadi mwaka 1990.

Halafu akafuatia SALMIN AMOUR aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1990 hadi mwaka 2000.

Halafu akafuatia AMANI ABEID KARUME aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2000 hadi mwaka 2010.

Halafu akafuatia ALI MOHAMMED SHEIN aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2020.

Halafu akafuatia HUSSEIN ALI MWINYI ambaye ndiye MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2020 hadi hivi sasa.

Kwahiyo SIASA ZA ZANZIBAR zimetawaliwa na FAMILIA hizo hapo juu na tutegemee kwa siku za usoni tutaona WATOTO au UBINI wa VIONGOZI wengine waliopita kama Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE au IDRIS ABDUL WAKIL au SALMIN AMOUR au hata ALI MOHAMMED SHEIN. Hizo FAMILIA ndio wanamiliki nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI kwa upande wa VISIWA VYA ZANZIBAR.

Vile vile hii JAMII YA WATU WA PWANI ilifanikiwa kutoa VIONGOZI WA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa nyakati tofauti tofauti. VIONGOZI hao ni ALI HASSAN MWINYI, HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, JAKAYA MRISHO KIKWETE na hatimae MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ambaye ndiye RAIS WA AWAMU YA SITA WA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ na wamefanikiwa kuwa na nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI.

Hizi FAMILIA za kina Sheikh HAYATI ABEID AMANI KARUME, Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE, ALI HASSAN MWINYI, IDRIS ABDUL WAKIL, SALMIN AMOUR, ALI MOHAMMED SHEIN, BENJAMIN WILLIAM MKAPA, JAKAYA MRISHO KIKWETE na hatimae MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, hawa wote wameingia kwenye kundi la "ELITE FAMILIES" na wamejumuika pamoja na FAMILIA ZA HAYATI MWALIMU pamoja na HAYATI MAGUFULI kwa mbali sana.

Sasa hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanafuata MTINDO NA MAISHA YA WATAWALA kwa kutumia jitihada zao BINAFSI. Kwa lugha nyingine tunaweza kuwaita ni WAPAMBANAJI na wamefanikiwa pakubwa sana.

Hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanamiliki UKWASI wa kutosha!! Kiasi ambacho kinakadiliwa kuwa ni kuanzia shilingi bilioni hamsini [ 50,000,000,000 ] kwa kila mfanyakazi kuanzia CHEO CHA UMENEJA.

Na hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanamiliki VYAMA VYA KISIASA ambavyo kwa kiasi fulani vinashiriki CHAGUZI mbalimbali na kufanikiwa kuunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa ZANZIBAR.

Na hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio walioshiriki kwa kiasi kikubwa SIASA ZA MAZIWA MAKUU yaani WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita ni GREAT LAKES POLITICS zilizojumuisha MATAIFA YA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ.

SIASA ZA MAZIWA MAKUU ndio zilizopelekea MATAIFA ya RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kuingia kwenye MACHAFUKO YA KISIASA, lakini sasa hivi HALI YA KISIASA imetulia na haya MATAIFA yanaendelea vizuri kwenye masuala ya kimaendeleo.


Hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU, kiasi ambacho kinawafanya wasiwekeze nguvu kubwa kwenye VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanamiliki kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Kwahiyo, hizi JAMII TATU zikiongozwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ambayo ndio anatoka HAYATI MWALIMU mwenyewe, ikifuatiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ambao ndio waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU na JAMII YA WATU WA PWANI, hizi JAMII TATU ndio JAMII ambazo zinamiliki nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI na kwa kutumia lugha nyingine huwa wanaitwa ni MAFIGA MATATU.
 
Charles mandela hauboi haupoi.
Kudos
 
Nimepiga mstar,hata hao warembo hapo chini wanasura za simba.
 
Nimepiga mstar,hata hao warembo hapo chini wanasura za simba.


SIASA ni SAYANSI! SIASA ni AJIRA! SIASA ni MAISHA YA KILA SIKU! Na hao kwenye PICHA hapo juu ndio wanaofahamu vizuri SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ na TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa ujumla wake. Wengine wakasome au wakatafute shughuli nyingine za kufanya ๐Ÿ˜Ž
 
Mkuu kuna vitu siwezi kuongea humu, ila
Nyerere alikua sahihi na wazee waliompitisha. Nitafute kwa mda wako, nimefanya tafiti kuhusiana na haya mambo miaka saba.
 
Hahaha kumbe ndo maana ukivamia siasa unakufa kama kuku
 
Mkuu kuna vitu siwezi kuongea humu, ila
Nyerere alikua sahihi na wazee waliompitisha. Nitafute kwa mda wako, nimefanya tafiti kuhusiana na haya mambo miaka saba.
Mku faida ya mitandao n kuitumia vizur kama haujavunja sheria kwann uogope kusema.unachosema leo kitakua faida kubwa kwa vizaz vijavyo.ndo uzur wa mitandao.mbona bwana charles anaweka elimu vizur tu kwa manufaa ya weng.
Naomba utupe elimu hyo
 
Natamani sana ndugu yangu unipe mawasiliano yako umeandika vitu vya maana sana umefumbua kitu hapa umetoa maoni mazuri kwa sisi vijana wa kizazi cha sasa tunarukia rukia tu asanteh sana
 
Hahaha kumbe ndo maana ukivamia siasa unakufa kama kuku


Ohoo! Unafikiri mchezo! Acha kabisa MAMBO ya SIASA! JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilivyojijenga kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ndio JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ilivyojijenga kwa NCHI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Hao wote kwenye PICHA ni RDF na muda sio mrefu mpaka kufikia mwaka 2024 wataanza kuingia kwenye kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU.


Kwa sababu hadi kufikia mwaka 2024, itakuwa ni miaka thelathini [ 30 ] baada ya MAUAJI YA KIMBARI. Kwahiyo miradi na kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ itaanza kusimamiwa na wahusika wenyewe, ikiwemo ASKARI kutoka NCHI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.
 
Kwanini Sasa hizo kampuni si zinamilikiwa na watanzania yaani hao Simba au wenyewe ni Watanzania wa huko.
 
Kwanini Sasa hizo kampuni si zinamilikiwa na watanzania yaani hao Simba au wenyewe ni Watanzania wa huko.


Hawa ni WATANZANIA! Baada ya MAUAJI YA KIMBARI, MAJESHI yote ya NCHI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ yalijengwa na ASKARI wengi kutoka MIKOA MITATU ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA ๐Ÿฆ na ASKARI wachache walitoka kwenye MIKOA YA KAGERA na KIGOMA.

Kwahiyo TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni NCHI yao ya ASILI ijapokuwa kuna wengine walizaliwa huko, lakini wazazi wao wana ASILI ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Haya MAMBO huwa sio vizuri kuyajadili kwenye MITANDAO YA KIJAMII, lakini hii imefanyika kwa sababu ya kuweka kila kitu sawa. Hii itasaidia kuokoa MAISHA yetu sote na MAISHA ya wengine, hasa kwa watumiaji wa MITANDAO YA KIJAMII.

Kwahiyo JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wanaoratibu kila kitu kwa sababu wanamiliki UCHUMI mkubwa.
 
Kwanini Sasa hizo kampuni si zinamilikiwa na watanzania yaani hao Simba au wenyewe ni Watanzania wa huko.

Jaribu kuangalia na kusikiliza kwa MAKINI hii ALBAMU ya WENGE MUSICA 4ร—4, iliyodhaminiwa na kumilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU. Halafu hii MADA sio nzuri! Inabidi tuishie hapa ๐Ÿ˜Ž..
 
Jaribu kuangalia na kusikiliza kwa MAKINI hii ALBAMU ya WENGE MUSICA 4ร—4, iliyodhaminiwa na kumilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU.

Halafu hii MADA sio nzuri! Inabidi tuishie hapa ๐Ÿ˜Ž..
Hahahaha.inabid tuishie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ