Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hahahaha.inabid tuishie hapo


SIASA ni SAYANSI! SIASA ni AJIRA! SIASA ni MAISHA YA KILA SIKU! Na hao kwenye PICHA hapo juu ndio wanaofahamu vizuri SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na TANZANIA 🇹🇿 kwa ujumla wake. Wengine wakasome au wakatafute shughuli nyingine za kufanya.
 
Mandela dish limeshayumba kitambo..tukuombee tu hope utakaa sawa.

#MaendeleoHayanaChama
halafu kama ume-notice, kuna account zinazom-support.

uchunguzi wangu umebaini ni yeye mwenyewe huwa anazi manage hizo account. hakika mandela dish limeyumba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
halafu kama ume-notice, kuna account zinazom-support.

uchunguzi wangu umebaini ni yeye mwenyewe huwa anazi manage hizo account. hakika mandela dish limeyumba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana! Mimi hapa JAMIIFORUMS huwa natumia ID moja tu na yenyewe ni VERIFIED ambayo ni Charles Mandela, sema kwenye huu UZI kuna WADAU wanafahamu wanachokifanya.

Wanajaribu kutumia LUGHA ZA MAFUMBO ili kuficha UHALISIA lakini wanajadili MAMBO YA NDANI kabisa.

Hauwezi kuamini kuwa, kwenye huu UZI kuna MBUNGE ambaye ameteuliwa WAZIRI hivi karibuni ndio maana ameadimika! Lakini huwa anaonekana SIKU ZA MWISHO ZA JUMA yaani JUMAMOSI na JUMAPILI.

Hata huu UZI wenyewe ulianzishwa na MWANASIASA wa UPINZANI kwa kutumia FAKE ID. Eeh! Sasa huyo ndio anamiliki ID nyingi sana hata Maxence Melo analijua hilo.

Lakini huu UZI sio mzuri, kwa sababu kujadili MAMBO NYETI kuna madhara pia, hata kama mnajadili kwa kutumia LUGHA ZA STAHA.
 
nimekuwa mdau wa huu uzi tangu siku ya kwanza ulipoazishwa, huwa nasoma kila comment.

yanayojadiliwa ni ya kawaida sana, hata siku moja sijawahi kusoma unachokiita "mambo nyeti". acha kukuza mambo.

shida ni kwamba wewe umekuja na ma conspiracy yako ya kuokoteza na kutaka yawe nyeti.
 
Mimi huwa nina ID moja tu ambayo ni Charles Mandela, labda wewe ndio uwe unamiliki ID nyingi. Halafu haya MAMBO huwa sio mazuri kivile 🙏🏽
 

I am going to be completely honest here. I don't think SCOUSERS are immune to jokes and most of them are up for a laugh. They are BIN DIPPERS in the same way I am INCEST, but the way they were treated in the 80's, I think does give them a very valid reason to feel shunned 🙏🏽
 
Asante. Charles mandela.unasikika vzr kabsa.ila uwekezaj mkubwa wa chui na simba nimeona umeegemea sana kwenye transport na sanaa na michezo uwekezaj mwingine ujaulezea kiivo.


Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa kampuni ya ving'amuzi vya ZUKU kupitia kampuni mama ya MWANANCHI GROUP OF COMPANIES.


Hii kampuni ya ZUKU, makao makuu yake yanapatikana NAIROBI nchini KENYA 🇰🇪 na malengo ni kushika SOKO LA VING'AMUZI VYA TELEVISHENI na INTANETI kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.
 

this is one of the reason why i consider you a dickhead. now you are shifting from sharing stupid conspiracy theories to issues which are totally out of topic with a thread.

haki ya mungu wewe jamaa dishi limeyumba.
you must be suffering from a serious mental illness, please go see a psychiatrist.
 
Enjoy mate 👏🏽
 
Kambona alikuwa kama Tundu Lissu. Madikiteta wanampinga lakini anasema ukweli
 
Kambona alikuwa kama Tundu Lissu. Madikiteta wanampinga lakini anasema ukweli
OSCAR SALATHIEL KAMBONA alikuwa na HADHI kubwa kuliko TUNDU LISSU, hata alipokimbilia UINGEREZA 🇬🇧 alipokelewa kama MKIMBIZI WA KISIASA.

Na hali hii tofauti kabisa na TUNDU LISSU, kwani TUNDU LISSU alipokimbilia UBELIGIJI 🇧🇪 alipokelewa kama MGONJWA MAHUTUTI aliyeshambuliwa kwa RISASI na WATU WASIOJULIKANA.
 
Mimi sizungumzii status zao za kiafya wakati wakoingia Ulaya. Naongelea akili nyingi ya kung'amua mambo makubwa complicated
 
Asante. Charles mandela.unasikika vzr kabsa.ila uwekezaj mkubwa wa chui na simba nimeona umeegemea sana kwenye transport na sanaa na michezo uwekezaj mwingine ujaulezea kiivo.


Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa KIWANDA kinachotengeneza POMBE KALI na kwa LUGHA YA KIJERUMANI 🇩🇪, POMBE KALI inaitwa ni HAZELNUT LIQUEUR.

KIWANDA hicho kinatengeneza POMBE KALI zinazoitwa N°49 WÜRZBURG GIN na kinapatikana eneo maarufu sana nchini UJERUMANI 🇩🇪 linaloitwa WUERZBURG. Hizi POMBE KALI zinapatikana NCHI ya UJERUMANI 🇩🇪 na baadhi ya NCHI JIRANI, bado hazijaenea sana.


Na pale WUERZBURG kuna WATANZANIA 🇹🇿 wengine wamewekeza sana na kuna JUMUIYA YA WATANZANIA 🇹🇿 wanaoishi WUERZBURG. Hiyo JUMUIYA YA WATANZANIA 🇹🇿 wanaoishi WUERZBURG, kwa LUGHA YA KIJERUMANI 🇩🇪 inaitwa TANZEN IN WUERZBURG.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wana WATU mpaka UJERUMANI 🇩🇪 kama anavyoonekana kwenye PICHA hapo juu.

Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI ya chini kabisa ambayo inapatikana katika MJI WA WUERZBURG na eneo fulani linaloitwa MITTLERER DALLENBERGWEG, timu hiyo inaitwa FC WÜRZBURGER KICKERS.


Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanamiliki timu za mpira wa miguu zipatazo sita [ 6 ] kwa nchi ya UJERUMANI 🇩🇪 pekee yake. Timu hizo ni BAYER 04 LEVERKUSEN, SCHALKE 04, BORUSSIA DORTMUND, FSV MAINZ 05, WOLFSBURG na FC WÜRZBURGER KICKERS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…