Mkuu why sioni kama Simba (Mwashita) Inamiliki uchumi unaouhubili hapa maana nikiangaria hawa wasukuma wanaomiliki uchumi huo mkubwa siwaoni nawaona watu wa asili ya ASIA ndio wenye uchumi wao
maana Kwenye Sector ya uchuki, Madini, Viwanda nawaona wao tu!
Kwani JAMII YA SERENGETI yaani CHUI huwa mnawaona kwenye shughuli za kibiashara? Huwa iko hivi - hao huwa ni WAFANYAKAZI WA KAWAIDA, lakini WAMILIKI HALALI huwa wapo na wanatambulika KISHERIA.
Huwa iko hivi - asilimia hamsini [ 50% ] ya UCHUMI wa TANZANIA ๐น๐ฟ unamilikiwa na JAMII MBILI ambazo ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kwa asilimia thelathini [ 30% ] na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ kwa asilimia ishirini [ 20% ] na asilimia [ % ] iliyobaki inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ kupitia kampuni ambazo inazimiliki yenyewe.
Sasa kwa mfano, kwa upande wa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ angalia KAMPUNI YA MAWASILIANO YA TIGO TANZANIA. Hii ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU, ijapokuwa pale juu kwenye BODI YA UTENDAJI kuna MKURUGENZI mwingine, lakini ukiangalia JINA LA LESENI YA MAWASILIANO YA KAMPUNI YA TIGO TANZANIA ๐น๐ฟ inasoma JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ.
Vile vile hii kampuni ya TIGO TANZANIA ๐น๐ฟ ni kampuni ndogo ambayo ipo chini ya kampuni mama ya MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LIMITED ambayo inatengeneza BIDHAA ZA MAFUTA YA KUPIKIA YA KORIE. Na ukiangalia BODI YA UTENDAJI kuna WAHINDI ๐ฎ๐ณ, WAJERUMANI ๐ฉ๐ช na WATANZANIA WEUSI ๐น๐ฟ. Lakini UMILIKI WA KAMPUNI unasoma JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ.
Kwa upande wa MADINI, angalia MGODI WA ALMASI wa EL HILAL unaojishughulisha na UCHIMBAJI WA KATI. Ile LESENI YA UCHIMBAJI MADINI na KAMPUNI yote kwa ujumla inasoma JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ lakini kwenye uendeshaji wa kampuni kunaonekana kuna WAARABU na WATANZANIA WEUSI ๐น๐ฟ.
Ukiangalia tena, kwa upande wa VIWANDA kama KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA pale kuna MKURUGENZI ambaye ana ASILI YA SUDANI ๐ธ๐ฉ na WATENDAJI WA BODI wengine ni WATANZANIA WEUSI ๐น๐ฟ, lakini JINA linalosoma kwenye UMILIKI WA KAMPUNI ni JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ.
Ukiangalia tena, kwenye kampuni ya UUZAJI WA MAFUTA YA PETROLI, DIZELI na MAFUTA YA TAA ya MOIL. Hii ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ lakini kwenye BODI YA UTENDAJI kuna WAHINDI ๐ฎ๐ณ, WAPAKISTANI ๐ต๐ฐ na WATANZANIA WEUSI ๐น๐ฟ.
Yaani kwa kifupi, hakuna TAASISI YA KIGENI au WATU WENYE ASILI YA KIGENI ambao wamehodhi SEKTA yoyote ile kwa upande wa TANZANIA ๐น๐ฟ. Hao wote wanaonekana ni WAFANYAKAZI.
Na kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU, muda sio MREFU wataanza rasmi kusimamia kampuni zao wenyewe na hii inatokana na hawa WATU WENYE ASILI YA KIGENI kuweka familia zao hata sehemu ambapo wao wameajiriwa, yaani wao huwa wanafanya kama kampuni za KIFAMILIA ilhali ni kampuni za watu wengine.
Hii inaleta TASWIRA MBAYA ambayo sio nzuri kwa WAMILIKI HALALI na kuondoa sintofahamu hii, inabidi wataondolewa wote kutokana na kuwa na TABIA isiyokuwa nzuri na ni DALILI ZA UTAPELI.
Na kama umeshaona kwenye kampuni za USAFIRISHAJI WA ABIRIA na MIZIGO - wale WAARABU waliokuwa wanaonekana kipindi cha nyuma, sasa hivi hawapo tena na kampuni zinasimamiwa na WATANZANIA WEUSI ๐น๐ฟ.
Hali hii itaendelea hivyo hivyo kwa kampuni nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.