Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Haya MASUALA ya CHUPI ๐Ÿ‘™CHUPI ๐Ÿ‘™ yanahusika vipi na huu UZI? Au ndio dalili za kufilisika hizo? Maana MAWAZO na AKILI zikielekea CHINI huwa kunakuwa na MWISHO usio mzuri ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Lakini unatakiwa kufahamu kuanzia leo ya kwamba - ni JAMII MBILI tu ambazo zinamiliki UCHUMI WA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. JAMII hizo ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, wengine hamna!!

Na hakuna hata TAASISI BINAFSI inayomiliki UCHUMI MKUBWA zaidi ya hizi JAMII MBILI - iwe ni TAASISI ZA KIDINI au ASASI ZA KIRAIA. Jibu ni HAKUNA, labda JAMII YA WATU WA PWANI na yenyewe inafuata kwa mbali sana.


Hii ndio TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ aliyoiacha HAYATI MWALIMU na kutokea mabadiliko ya KIUCHUMI sio vyepesi, kwa sababu zama na nyakati zimebadilika.
Kwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.
 
Kwahiyo brother Kwa yote haya unamaoni gani kipi kifanyike?kipi kifanyike ili nchi itumie hizi advantage Kwa maslahi ya Tanzania.

ab56ad5877d399c7a3e4ed594eff863d.png

ALLY HASSAN MWINYI ndio atakuwa na ushauri mzuri, ukizingatia ameona MAMBO mengi na ndio KIONGOZI aliyebaki ambaye ameshuhudia hizi JAMII MBILI zikijijenga. Kwahiyo atakuwa anafahamu MAMBO mengi.
 
Kwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.
Ndiyo hapo Kwa maelezo yake ni kama hao watu wanamiliki uchumi wa dunia Eti Kwa mfano anasema timu kubwa za ulaya na afrika zinamilikiwa na hao watu inawezekanaje?kama sio porojo
 
Kwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.
Kuhusu UCHUMI WA DUNIA umesema wewe, sio mimi!! Hivi kwa AKILI yako unafikiri hizo POSHO ZA CHAMA CHA MAPINDUZI wanazo gawana WAJUMBE kila siku huwa zinatoka wapi?

Kuna MTU mwingine zaidi ya KAMPUNI ZA SERENGETI yaani CHUI ambaye ulishawahi kusikia anatoa POSHO ZA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI?

Sasa kama hakuna MTU mwingine, pigia mstari! CHAMA CHA MAPINDUZI ni CHAMA ambacho kinamiliki MALI za kutosha. Yaani kwa LUGHA nyepesi tunaweza kusema hivi - CHAMA CHA MAPINDUZI kimejitosheleza na wenye CHAMA ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Kwa upande wa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, wao walijitahidi kuwekeza ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ hasa kwenye NCHI ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช tangu miaka tisini [ 1990's ], kwa sababu thamani ya FEDHA ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช [ MARK ] ilikuwa 1 DEM ni sawa na 600 TSHS. Kwahiyo ilikuwa ni vyepesi kwa hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kuwekeza kwenye NCHI ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช kuliko MATAIFA mengine ya ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ.

Baada ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช, ndio ikawa ni hatua nyingine ya kwenda MATAIFA mengine ya ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA.

Lakini JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wao wanaenda sehemu yoyote kuwekeza, kwa sababu wao FEDHA sio tatizo na wamepiga hatua sana ukilinganisha na miaka ya nyuma.
 
Ndiyo hapo Kwa maelezo yake ni kama hao watu wanamiliki uchumi wa dunia Eti Kwa mfano anasema timu kubwa za ulaya na afrika zinamilikiwa na hao watu inawezekanaje?kama sio porojo
Humu JamiiForums kuna DIASPORA na wengine wanaishi MATAIFA YA ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA. Watawaelezeni UKWELI ๐Ÿ™๐Ÿฝ

RAIA WA MATAIFA YA ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA huwa hawana FEDHA ZA ZIADA, wengi wao huwa wanaishi kwa VIPATO VYAO HALISI na HALI huwa ni tofauti kabisa na MAMBO yanayoelezwa kwenye MITANDAO YA KIJAMII au MAJARIDA kama FORBES na kadhalika.

MATAIFA YA ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA au tuseme WHITE PEOPLE COUNTRIES wamejitahidi sana kudhibiti mianya ya RUSHWA na UFISADI kwa asilimia mia moja [ 100% ]. Kwahiyo ukiwa kule hakuna FEDHA wala PESA za bure, lazima ufanye KAZI ndio utapata FEDHA za KUJIKIMU.

Na FEDHA au PESA ambazo huwa zinaandikwa kwenye MITANDAO YA KIJAMII au MAJARIDA kuhusu kitu fulani huwa wanazidisha mara kumi [ ร—10 ] au hata mara mia [ ร— 100 ] ili kuvuta hisia za wengi, yaani wao huwa wanasema hivi - "TO KEEP ATTENTION HIGH" na hii huwa ni mbinu ya KIBIASHARA. Yaani wao huwa wana MTINDO wa kuongeza sifuri mbele, wanaweza wakaongeza sifuri moja [ 0 ] au sifuri mbili [ 00 ] na wengine huwa wanaongeza hadi sifuri tatu [ 000 ] ilmradi GHARAMA ionekane kubwa.

Lakini kwa uhalisia huwa ni GHARAMA za kawaida na WATEJA wengi huwa wanatoka AFRIKA, kwa sababu WAAFRIKA wengi huwa wanamiliki PESA za ZIADA na hii inatokana na RUSHWA na UFISADI ambao unaendelea kufanyika kwenye SERIKALI ZA KIAFRIKA.

Kwa mfano, hapa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kuna WATU wanamiliki malori zaidi ya elfu moja [ 1,000 ]. Lakini ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA hauwezi kukuta hiki kitu!!

Mfano mwingine tena, hapa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kuna WATU wanamiliki VIWANDA vikubwa ambavyo kwa MATAIFA YA ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA hauwezi kumiliki RAIA WA KAWAIDA, ukiwa ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA - VIWANDA vingi vinamilikiwa na TAASISI ZA KISERIKALI kupitia KAMPUNI BINAFSI.

Kwahiyo RAIA WA KIAFRIKA wana fursa kubwa ya kuwekeza kwenye NCHI za ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA, kwa sababu ya RUSHWA na UFISADI unaoendelea kufanyika kwenye MATAIFA YA KIAFRIKA na VIONGOZI wengi wa KIAFRIKA wameficha FEDHA kwenye MATAIFA YA ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA.
 
Kuhusu UCHUMI WA DUNIA umesema wewe, sio mimi!! Hivi kwa AKILI yako unafikiri hizo POSHO ZA CHAMA CHA MAPINDUZI wanazo gawana WAJUMBE kila siku huwa zinatoka wapi?

Kuna MTU mwingine zaidi ya KAMPUNI ZA SERENGETI yaani CHUI ambaye ulishawahi kusikia anatoa POSHO ZA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI?

Sasa kama hakuna MTU mwingine, pigia mstari! CHAMA CHA MAPINDUZI ni CHAMA ambacho kinamiliki MALI za kutosha. Yaani kwa LUGHA nyepesi tunaweza kusema hivi - CHAMA CHA MAPINDUZI kimejitosheleza na wenye CHAMA ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Kwa upande wa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, wao walijitahidi kuwekeza ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ hasa kwenye NCHI ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช tangu miaka tisini [ 1990's ], kwa sababu thamani ya FEDHA ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช [ MARK ] ilikuwa 1 DEM ni sawa na 600 TSHS. Kwahiyo ilikuwa ni vyepesi kwa hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kuwekeza kwenye NCHI ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช kuliko MATAIFA mengine ya ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ.

Baada ya UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช, ndio ikawa ni hatua nyingine ya kwenda MATAIFA mengine ya ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na AMERIKA.

Lakini JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wao wanaenda sehemu yoyote kuwekeza, kwa sababu wao FEDHA sio tatizo na wamepiga hatua sana ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Wewe dawa yako ni kukupuuza.
 
EDWARD NGOYAI LOWASA alikosa UCHUMI na hiyo ndio sababu iliyopelekea yeye kurudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - KUNDI LA BOYS II MEN lililokuwa linajumuisha EDWARD NGOYAI LOWASA na JAKAYA MRISHO KIKWETE lilitengenezwa na CHAMA kwa MASILAHI ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ ili kuimarisha SIASA ZA NDANI YA CHAMA.

Lakini kiuhalisia hilo KUNDI LA BOYS II MEN halina madhara yoyote kwenye SIASA ZA KITAIFA.

Hii hali ya kutengeneza AINA YA MAKUNDI ndani ya CHAMA, hao CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ waliitoa kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kule kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kulikuwa na KUNDI LA WENGE MUSICA. Hilo KUNDI LA WENGE MUSICA ndio walikuwepo wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE.

Huyo KIDUDUYE ndio aliyefunga GOLI LA DHAHABU, wenyewe wanaita ni GOLDEN GOAL kule TABORA kwenye CHAMA CHA USHIRIKA cha WETCU baada ya kupiga SHILINGI MILIONI MIA TATU [ 300,000,000 ] za TUMBAKU, mwaka 1996. Na kesi yake iliendelea mpaka miaka ya 2002..

Hao KUNDI LA WENGE MUSICA ndio wamiliki halali wa kampuni ya MOTISUN GROUP iliyoanzishwa mwaka 1992 na kumuweka MAREHEMU SUBHASH MOTIBHAI PATEL kama ni MWENYEKITI NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA MOTISUN GROUP.

Hizo kampuni zote za MOTISUN GROUP ni kampuni ambazo zinamilikiwa na WENGE MUSICA ambao ndio waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kwa upande mwingine sifahamu wanafanya vipi ili kuandaa VIONGOZI wa baadae, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanaandaa WATOTO wao kupitia TAASISI ZA VYUO VIKUU ili baadae waje kuongoza VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanavimiliki wao wenyewe.
Mkuu hivyo vyama vya siasa vipo au bado havijaanzishwa?
 
Tatizo Kambona naye hakusoma influence kubwa itikadi iliyokuwepo ya ukomunisti na ujamaa duniani wakati huo na chuki iliyoendelea kuwepo ya nchi za kiafrika dhidi ya udhalimu wa ukoloni. Hivyo nchi nyingi zilijitahidi kuangukia upande wa ukoministi wa china na urusi na cuba ili kujinusuru kuendelea kuwa chini ya makucha ya mabeberu. Hiyo ndiyo falsafa mpya iliyokuja kuziba pengo la ubepari zao la ukoloni soma vitabu vya akina walter, Fanon, etc Madhara ya ukoloni yalikwisha onekana kijamii na kwa uchumi tegemezi baada ya uhuru. Nyerere, sekotoure, kaunda, Lumumba, Nkrumah, etc walikuwa sahihi kwa kipindi hicho na ndicho kilichosaidia pia baadaye kutoa support kwa nchi za kusini mwa Afrika kujikomboa kupitia akina Samora etc
 
Ohoo! Unafikiri mchezo! Acha kabisa MAMBO ya SIASA! JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilivyojijenga kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ndio JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ilivyojijenga kwa NCHI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Hao wote kwenye PICHA ni RDF na muda sio mrefu mpaka kufikia mwaka 2024 wataanza kuingia kwenye kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU.


Kwa sababu hadi kufikia mwaka 2024, itakuwa ni miaka thelathini [ 30 ] baada ya MAUAJI YA KIMBARI. Kwahiyo miradi na kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ itaanza kusimamiwa na wahusika wenyewe, ikiwemo ASKARI kutoka NCHI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.
Mkuu hii Jamii ya Simba ndiyo Bahima?
Au Shirecu na NCU(Simba) ndiyo S gang ya sasa?
 
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamewekeza kila SEKTA na isitoshe hicho KIWANDA CHA JAKO ni KIWANDA CHA NGUO, sema sasa hivi wameongeza na mambo mengine mengine.


Lakini ni TEXTILE INDUSTRY, ni KIWANDA cha kawaida kabisa na wala hauwezi ukafananisha na baadhi ya VIWANDA ambavyo wanamiliki hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.


Hiki KIWANDA CHA JAKO hauwezi ukakifananisha na KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA wala hauwezi ukakifananisha na KIWANDA CHA KUZALISHA SIMENTI CHA CAMEL ๐Ÿช. Ni KIWANDA kidogo ukilinganisha na VIWANDA vingine ambavyo vinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Na hiki KIWANDA CHA JAKO kina WATUMISHI ambao hawafiki hata mia tatu [ 300 ], yaani ni KIWANDA CHA KAWAIDA.


Ikitokea kwa siku za mbeleni kama wataweza kukipanua na kukijenga upya hiki KIWANDA CHA JAKO wanaweza kuongeza UZALISHAJI WA BIDHAA AMBAZO ZINA NEMBO YA JAKO. Hapo ndio tutaweza kusema kuwa kuna USHINDANI na VIWANDA VINGINE ambavyo vinatengeneza NGUO zenye NEMBO tofauti tofauti kama PHAT FAM, DADA, ADIDAS, FILA, NIKE, OPEL na FUBU.
Hawa Simba mbona na kama jamii ya asili ya ASIA?
 
Mkuu hii Jamii ya Simba ndiyo Bahima?
Hapana! BAHIMA ni JAMII ambayo anatoka RAIS WA SERIKALI YA UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, YOWERI KAGUTA MUSEVENI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU ndio wanaitwa MWASHITA na wote walikuwa ni WASUKUMA. Kwa sababu kipindi kile, hivyo VYAMA VYA USHIRIKA walikuwa wanaajiri WATU wao tu.
Au Shirecu na NCU(Simba) ndiyo S gang ya sasa?
Hapana kabisa! SUKUMA GANG ni WAHUNI WAHUNI yaani ni WATU ambao hawana MBELE wala NYUMA, na isitoshe ni WATU ambao hawamiliki UCHUMI wowote.

Hao ndio WANASIASA ambao hawamiliki hata VIWANDA VYA MAJI YA KUNYWA lakini kutwa nzima wanataka POLITICAL BATTLE.
 
Unaposema JAMII YA SIMBA ๐Ÿฆ wana ASILI YA ASIA unamaanisha ni WAARABU au WAHINDI? Hapana kabisa! Hawana mahusiano yoyote, zaidi ya kuwa na mahusiano ya KIBIASHARA.
Mkuu why sioni kama Simba (Mwashita) Inamiliki uchumi unaouhubili hapa maana nikiangaria hawa wasukuma wanaomiliki uchumi huo mkubwa siwaoni nawaona watu wa asili ya ASIA ndio wenye uchumi wao
maana Kwenye Sector ya uchuki, Madini, Viwanda nawaona wao tu!
 
Mkuu why sioni kama Simba (Mwashita) Inamiliki uchumi unaouhubili hapa maana nikiangaria hawa wasukuma wanaomiliki uchumi huo mkubwa siwaoni nawaona watu wa asili ya ASIA ndio wenye uchumi wao
maana Kwenye Sector ya uchuki, Madini, Viwanda nawaona wao tu!
Kwani JAMII YA SERENGETI yaani CHUI huwa mnawaona kwenye shughuli za kibiashara? Huwa iko hivi - hao huwa ni WAFANYAKAZI WA KAWAIDA, lakini WAMILIKI HALALI huwa wapo na wanatambulika KISHERIA.

Huwa iko hivi - asilimia hamsini [ 50% ] ya UCHUMI wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ unamilikiwa na JAMII MBILI ambazo ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kwa asilimia thelathini [ 30% ] na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kwa asilimia ishirini [ 20% ] na asilimia [ % ] iliyobaki inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kupitia kampuni ambazo inazimiliki yenyewe.

Sasa kwa mfano, kwa upande wa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ angalia KAMPUNI YA MAWASILIANO YA TIGO TANZANIA. Hii ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU, ijapokuwa pale juu kwenye BODI YA UTENDAJI kuna MKURUGENZI mwingine, lakini ukiangalia JINA LA LESENI YA MAWASILIANO YA KAMPUNI YA TIGO TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ inasoma JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

f7f045db329f63c16539506d7488aa38.png

Vile vile hii kampuni ya TIGO TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni kampuni ndogo ambayo ipo chini ya kampuni mama ya MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LIMITED ambayo inatengeneza BIDHAA ZA MAFUTA YA KUPIKIA YA KORIE. Na ukiangalia BODI YA UTENDAJI kuna WAHINDI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ, WAJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช na WATANZANIA WEUSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Lakini UMILIKI WA KAMPUNI unasoma JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

Kwa upande wa MADINI, angalia MGODI WA ALMASI wa EL HILAL unaojishughulisha na UCHIMBAJI WA KATI. Ile LESENI YA UCHIMBAJI MADINI na KAMPUNI yote kwa ujumla inasoma JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ lakini kwenye uendeshaji wa kampuni kunaonekana kuna WAARABU na WATANZANIA WEUSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Ukiangalia tena, kwa upande wa VIWANDA kama KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA pale kuna MKURUGENZI ambaye ana ASILI YA SUDANI ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ na WATENDAJI WA BODI wengine ni WATANZANIA WEUSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, lakini JINA linalosoma kwenye UMILIKI WA KAMPUNI ni JINA LA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

Ukiangalia tena, kwenye kampuni ya UUZAJI WA MAFUTA YA PETROLI, DIZELI na MAFUTA YA TAA ya MOIL. Hii ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ lakini kwenye BODI YA UTENDAJI kuna WAHINDI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ, WAPAKISTANI ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ na WATANZANIA WEUSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

0c199a221d0e15abb3a4769babdfa9ef.png

Yaani kwa kifupi, hakuna TAASISI YA KIGENI au WATU WENYE ASILI YA KIGENI ambao wamehodhi SEKTA yoyote ile kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Hao wote wanaonekana ni WAFANYAKAZI.

Na kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU, muda sio MREFU wataanza rasmi kusimamia kampuni zao wenyewe na hii inatokana na hawa WATU WENYE ASILI YA KIGENI kuweka familia zao hata sehemu ambapo wao wameajiriwa, yaani wao huwa wanafanya kama kampuni za KIFAMILIA ilhali ni kampuni za watu wengine.

Hii inaleta TASWIRA MBAYA ambayo sio nzuri kwa WAMILIKI HALALI na kuondoa sintofahamu hii, inabidi wataondolewa wote kutokana na kuwa na TABIA isiyokuwa nzuri na ni DALILI ZA UTAPELI.

Na kama umeshaona kwenye kampuni za USAFIRISHAJI WA ABIRIA na MIZIGO - wale WAARABU waliokuwa wanaonekana kipindi cha nyuma, sasa hivi hawapo tena na kampuni zinasimamiwa na WATANZANIA WEUSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Hali hii itaendelea hivyo hivyo kwa kampuni nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
 
Kwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.
UCHUMI WA DUNIA ๐ŸŒ umeshikiliwa na TAASISI ZA KISERIKALI za MATAIFA MAKUBWA na UCHUMI WA DUNIA ๐ŸŒ kwa LUGHA YA KIINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita ni GLOBAL ECONOMY.



Kwahiyo huwa kuna VITU VITATU [ 3 ] ambavyo ni GLOBAL ECONOMY, GLOBAL MARKET na GLOBAL COMMODITIES. Hivi ni VITU VITATU [ 3 ] tofauti, hata kwa tafsiri yake.

GLOBAL ECONOMY ni UCHUMI WA DUNIA ๐ŸŒ, GLOBAL MARKET ni SOKO LA DUNIA ๐ŸŒ na GLOBAL COMMODITIES ni BIDHAA ZA DUNIA ๐ŸŒ.

Kwahiyo hizi JAMII MBILI za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio zimeingia kwenye GLOBAL MARKET yaani SOKO LA DUNIA ๐ŸŒ kwa kuagiza na kusafirisha BIDHAA ZA DUNIA ๐ŸŒ yaani GLOBAL COMMODITIES kama MAFUTA YA PETROLI na DIZELI.

Pia hizi JAMII MBILI za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ zimeingia kwenye GLOBAL MARKET yaani SOKO LA DUNIA ๐ŸŒ kwa KUZALISHA SIMENTI NA MADINI MENGINE YA UJENZI na KUUZA nje ya MIPAKA YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wameingia kwenye GLOBAL MARKET yaani SOKO LA DUNIA ๐ŸŒ kwa KUZALISHA SUKARI NA BIDHAA NYINGINE ZITOKANAZO NA KILIMO kutoka TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na kupeleka NCHI ZA ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ kama UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง.

Sasa jaribu kuangalia hizi TAKWIMU ZA BENKI KUU YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, mwaka 2022.

79f7da2874cd94f43372bc25dcd718e9(1).png

Hizi TAKWIMU ZA BENKI KUU YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ zinaonesha ORODHA YA BIDHAA ZILIZOINGIA NA KUTOKA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ikiwa shughuli zote za uzalishaji zimeshikiliwa na WASHIKA DAU WA UCHUMI yaani ECONOMIC STAKEHOLDERS.

Hawa WASHIKA DAU WA UCHUMI yaani ECONOMIC STAKEHOLDERS ndio wameingia kwenye SOKO LA DUNIA ๐ŸŒ yaani GLOBAL MARKET ikiwa inajumuisha JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na SERIKALI yenyewe kupitia TAASISI zake.
 
Tatizo Kambona naye hakusoma influence kubwa itikadi iliyokuwepo ya ukomunisti na ujamaa duniani wakati huo na chuki iliyoendelea kuwepo ya nchi za kiafrika dhidi ya udhalimu wa ukoloni. Hivyo nchi nyingi zilijitahidi kuangukia upande wa ukoministi wa china na urusi na cuba ili kujinusuru kuendelea kuwa chini ya makucha ya mabeberu. Hiyo ndiyo falsafa mpya iliyokuja kuziba pengo la ubepari zao la ukoloni soma vitabu vya akina walter, Fanon, etc Madhara ya ukoloni yalikwisha onekana kijamii na kwa uchumi tegemezi baada ya uhuru. Nyerere, sekotoure, kaunda, Lumumba, Nkrumah, etc walikuwa sahihi kwa kipindi hicho na ndicho kilichosaidia pia baadaye kutoa support kwa nchi za kusini mwa Afrika kujikomboa kupitia akina Samora etc

4f3904588f9112ff4209848b24437dec.png

Leo nikiwa napitia INSTAGRAM nimekutana na hili TANGAZO kwenye UKURASA wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ, kuhusu UFUNGUZI WA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE yaani WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita ni MWALIMU JULIUS NYERERE LEADERSHIP SCHOOL.

Kwahiyo hiki kitakuwa ni CHUO CHA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ na watafundisha masuala ya UONGOZI, SIASA, PROPAGANDA NA ITIKADI, UCHUMI NA MAENDELEO na HISTORIA YA TAWALA mbalimbali zilizopata kuwepo na zilizopo hivi sasa.

Watafundisha MAMBO mengi sana kuhusu SIASA, lakini MAMBO mengine itakuwa na itabaki kuwa ni MAJUKUMU ya muhusika mwenyewe, yaani MWANAFUNZI kuweza kuelewa zaidi.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Nina njaa, Je kuna madini mengine ya kunilisha?
Hapana! Mimi sina cha kusema, sasa hivi nipo katika hatua za awali za kujisajili kwenye BODI YA WAHANDISI yaani WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita ni ENGINEERING REGISTRATION BOARD [ ERB ]. Kwahiyo sasa hivi nitakuwa naonekana mara chache kwenye MITANDAO YA KIJAMII.

Ila kwa siku mbili zilizopita, nilifanikiwa kusoma taarifa za ufunguzi wa CHUO CHA UONGOZI CHA MWALIMU JULIUS NYERERE.

ff7e11dc167c7be89732e986154c9519.png


917fe28044be9f437c715d18da01d29f.png


446912d12d640562fb2946132729d66c.png


37adeb440c6bc64dfd155d677aa9a714.png


0445ed6980a7135b0575371503d07bef.png


e9f29b079c73238f543f1472f57d63f9.png


19bf923df2e5e7377d13bdd4eedaa00f.png


9118e0836f4225d914c65b1fe094a80e.png


4b5796b09972185e4256515de5d2b6e9.png


f6250a1761849812353bb0deae387ae6.png

Hii ni hatua kubwa sana kwa familia ya HAYATI MWALIMU na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kwa ujumla. Kwahiyo, hii ni fursa kwa wengine kuweza kufanya hivyo hivyo au hata zaidi, kwa sababu sio vibaya na wala sio dhambi kuiga jambo zuri kutoka kwa mwingine. Hii ndio SIASA ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Kwa upande mwingine nilipata wasaa wa kutizama mahojiano ya IDHAA YA KISWAHILI YA BBC na aliyekuwa RAIS WA ZANZIBAR, Ndugu AMAAN ABEID KARUME.



SIASA ya AMAAN ABEID KARUME ni mfano wa kuigwa. Huyu JAMAA yupo vizuri sana, KIUCHUMI na KISIASA na ndio SHABAHA KUBWA ya KIONGOZI yoyote yule, kujiimarisha KISIASA na KIUCHUMI.
 
Back
Top Bottom