Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Ndio maana nikauliza hapo kama ni kauli ya muajiri wake je waliamua liwalo na liwe na chui? Maana wanajua fika mwenye Dola ya Tanzania ni chui kupitia mradi wa chui, je waliamua wagawane mbao na chui ?


Sasa soma tena hii KAULI aliyoitoa RAIS WA SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, PAUL INGABIRE KAGAME. Hii ni KAULI ya MUAJIRI wake, na wala sio KAULI inayotoka KINYWANI mwake.

PAUL INGABIRE KAGAME ni PRESIDENTIAL STATUS QUO ya TAIFA LA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, yaani kwa LUGHA YA KISWAHILI tunaweza kusema hivi - PAUL INGABIRE KAGAME ni NEMBO YA URAIS YA TAIFA LA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ.

Lakini kuna WATU walio nyuma yake, hakufika hapo alipo pekee yake. Hao WATU ndio wenye MAJESHI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na hao WATU ndio wenye CHAMA TAWALA kinachoitwa RPF - INKOTANYI.


Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wanaongoza INTELIJENSIA YA RAIS WA UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na kwa LUGHA YA KIINGEREZA tunaweza kusema hivi - PRESIDENTIAL SECURITY UNIT OF UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ.


Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME wanaitwa ni MASHEMEJI kwa FAMILIA YA BABA WA TAIFA LA KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, kutokana na UHURU KENYATTA kuoa BINTI kutoka JAMII ya hao WATU.


Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wameshikilia UCHUMI WA BANDARI ZOTE ZA BAHARI YA HINDI kuanzia LAMU, MOMBASA, TANGA, DAR ES SALAAM, MTWARA, BANGUELA mpaka PORT ELIZABETH ya AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ.

Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wameshikilia UCHUMI WA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa asilimia ishirini [ 20% ].

Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao walikuwa ni KRIMU BORA iliyowahi kutokea TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwa na UCHUMI bila ya kujihusisha na SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao kwa kiasi kikubwa walichangia na kudhamini VITA YA PILI YA MISITU YA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ kwa kipindi cha miaka minne [ 4 ]. Kwahiyo ni WATU ambao wapo vizuri sana KIUCHUMI.
 

Sikiliza kwanza hii NYIMBO ya JOSE CHAMELEON. Hii NYIMBO alikuwa anaimba akimaanisha JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.


Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa kampuni ya JAKO SPORTSWEAR inayopatikana nchini UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช, sehemu inayoitwa MULFINGEN, BADEN - WรœRTTEMBERG, wilaya ya HOLLENBACH.

Hii kampuni ilianzishwa huko STACHENHAUSEN na RUDI SPRรœGEL, mwaka 1989 na ilinunuliwa na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU, mwaka 1995.

Na sababu iliyopelekea hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU kununua hicho KIWANDA ni baada ya kumiliki timu za mpira wa miguu nyingi na waliambiwa hivi - "Nyinyi nunueni timu za mpira wa miguu, lakini sisi tutawauzia jezi za timu zenye nembo ya ADIDAS, OPEL, FUBU, NIKE, FILA, PHAT FAM, DADA au PUMA".

Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walikuwa ni WATU SMART sana, kwa sababu wengi wao walikuwa wamesoma UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na walikuwa na EXPOSURE YA MAISHA. Kwahiyo walikuja na mapendekezo yao ya kununua na kumiliki KIWANDA cha kutengeneza jezi za MICHEZO ambazo watazitumia kama SARE kwenye timu ambazo wanazimiliki wao wenyewe.

Lakini hawakufanikiwa kumiliki KIWANDA chochote kwa sababu gharama yake ilikuwa ni kubwa, walibahatisha KIWANDA CHA SAIZI YA KATI ambacho kilikuwa kinapatikana STACHENHAUSEN, UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช.

Baada ya kufanikiwa kununua na kumiliki KIWANDA CHA JAKO, hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walifanikiwa kupata eneo lingine [ wilaya ya HOLLENBACH, MULFINGEN ] na kujenga KIWANDA kikubwa cha kutengeneza NGUO ZENYE NEMBO YA JAKO.


Haikuwa kazi NYEPESI! Kwa sababu tangu mwaka 1995 mpaka leo ni miaka zaidi ya ishirini [ 20 ] imepita, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU bado hawajaanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO yao.

Kwa mara ya kwanza - hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wameanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO YA JAKO kwenye timu ya mpira wa miguu ambayo wanamiliki wao wenyewe, timu hiyo ni BAYER 04 LEVERKUSEN.


Kwahiyo mpaka kufikia sasa hivi - hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanajaribu kutumia NEMBO yao wenyewe.


Na hicho KIWANDA CHA JAKO wamefanikiwa kutengeneza VIFAA mbalimbali vinavyotumika kwenye MICHEZO ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu na MICHEZO mingine.


Na hadi mwaka 2018, hiki KIWANDA CHA JAKO walifanikiwa kutengeneza MPIRA โšฝ wao wenyewe. Kwahiyo wamepiga hatua sana, ijapokuwa bado USHINDANI ni mdogo ukilinganisha na makampuni makubwa kama PHAT FAM, FUBU, DADA, ADIDAS, FILA, NIKE na PUMA.


Hadi kufikia mwaka 2020, hiki KIWANDA CHA JAKO kimefanikiwa kutengeneza VIFAA vyote vinavyotumika kwenye mchezo wa mpira wa miguu.


Na hawa wanaoonekana kwenye PICHA ni baadhi ya wafanyakazi wa SHOPPING MALLS wanao uza BIDHAA ZA JAKO.


Kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, hizi SHOPPING MALLS zinafanya kazi kama kampuni ya GSM inavyofanya kazi kwenye SHOPPING MALLS za PUGU na MSASANI.


Yaani hii KAMPUNI YA JAKO huwa inafanya MERCHANDISE kama ilivyo kwa KAMPUNI YA GSM inavyofanya kazi kwenye SHOPPING MALLS zake za PUGU na MSASANI.


Na mwaka 2019, kwenye MICHUANO YA ASIA [ ASIA CUP ] - hii KAMPUNI YA JAKO ilifanikiwa kupata TENDA YA KUTENGENEZA JEZI ZA TIMU ZA TAIFA ZA IRAKI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ, YEMENI ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ช, SYRIA ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ, PALESTINA ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ, UZBEKISTANI ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ, OMANI ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡ฒ na TURKMENISTANI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฒ.

Hii KAMPUNI YA JAKO ina SHOPPING MALLS ambazo zinauza BIDHAA zao kwenye MATAIFA KUMI NA TISA [ 19 ]. MATAIFA hayo ni UBELIGIJI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช, URUSI ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ, UFARANSA ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท, UZBEKISTANI ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฟ, UHOLANZI ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ, ROMANIA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด, SERBIA ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ, LEBANONI ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง, POLANDI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ, UHISPANIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ, QATARI ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ, KUWAITI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ผ, MAKEDONIA ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฐ, MOLDOVA ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฉ, IRELAND ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช, IRANI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท, ITALIA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น, UKRAINE ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ na UJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช yenyewe.


Na malengo ya baadae ni kutumia JEZI ZA JAKO kwenye kila timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
 
Naomba Niambie ushahidi dhahiri wa yote haya.yaani naomba uniambie/unitolee ushahidi dhahiri wa yote haya kwa maana Kwa maelezo yako hawa jamaa wanamiliki kila kitu hapa duniani na wako strong Sana hakuna cha kina bilget au matajiri wa marekani au ulaya vinginevyo hizi ni blabla Tu.
 
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamewekeza kila SEKTA na isitoshe hicho KIWANDA CHA JAKO ni KIWANDA CHA NGUO, sema sasa hivi wameongeza na mambo mengine mengine.


Lakini ni TEXTILE INDUSTRY, ni KIWANDA cha kawaida kabisa na wala hauwezi ukafananisha na baadhi ya VIWANDA ambavyo wanamiliki hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.


Hiki KIWANDA CHA JAKO hauwezi ukakifananisha na KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA wala hauwezi ukakifananisha na KIWANDA CHA KUZALISHA SIMENTI CHA CAMEL ๐Ÿช. Ni KIWANDA kidogo ukilinganisha na VIWANDA vingine ambavyo vinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.


Na hiki KIWANDA CHA JAKO kina WATUMISHI ambao hawafiki hata mia tatu [ 300 ], yaani ni KIWANDA CHA KAWAIDA.


Ikitokea kwa siku za mbeleni kama wataweza kukipanua na kukijenga upya hiki KIWANDA CHA JAKO wanaweza kuongeza UZALISHAJI WA BIDHAA AMBAZO ZINA NEMBO YA JAKO. Hapo ndio tutaweza kusema kuwa kuna USHINDANI na VIWANDA VINGINE ambavyo vinatengeneza NGUO zenye NEMBO tofauti tofauti kama PHAT FAM, DADA, ADIDAS, FILA, NIKE, OPEL na FUBU.
 
Hhaha mandela bna.unapangilia mambo mpaka msomaji anaduwaa.ila bwana mandela aka simba mtoto hii msg ya kagame imetupwa kwa nan hasa.yaan ili jiwe nan anarushiwa gizan?
 
Hiyo nyimbo imepita mule mule.daah kwel dunia ina pande mbili.wengine wanasikiliza nyimbo kama burudan wakt wengine wanakuwa wametupa msg dunian kwamba n wale wale miaka yote.mandela unazid kunikosha.japo wadau wanasema n bla bla ila twende hivo hivo.vitu hiv n vichungu kama dawa vinaitaj maji ya kushushia vinginevo ukimumunya lazima uviteme.
Kwahyo mandela wengine hapa dunian tumekuja kushangaa shangaa tu au?kila kitu kimeshikwa na chui na simba au tufanyaje ili angalau na sis tuji attach na hizo jamii.
Ila mandela kuna mwana anakumegea hiz sir siyo kwa kupangilia huko.
Wacha nisikilize tena hii nyimbo naona ntazid kupata maswal zaid
 
Hhaha mandela bna.unapangilia mambo mpaka msomaji anaduwaa.
Ni vitu vya kawaida kama unajadili vizuri na kwa kutumia LUGHA YA STAHA ๐Ÿ™๐Ÿฝ
ila bwana mandela aka simba mtoto
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - hili jina la SIMBA MTOTO halijaja tu hivi hivi!! Hili jina la SIMBA MTOTO limetokana na kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa SIMBA MTOTO.


Hii kampuni ya SIMBA MTOTO ni kampuni ambayo inamilikiwa na wakina MANDELA, ndio maana halisi ya jina la MANDELA aka SIMBA MTOTO. Yule MANDELA aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA TANO [ 5 ] WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CoHSS, 2012/13.


Hii kampuni ya SIMBA MTOTO inapatikana MKOA WA TANGA na inafanya shughuli zake za kibiashara kati ya MIKOA YA TANGA na DAR ES SALAAM.

Hii kampuni ya SIMBA MTOTO ni kampuni ya siku nyingi sana na ina miaka zaidi ya ishirini [ 20 ]. Kipindi kile kulikuwa kuna kampuni za SHAMBALAI, TAWFIQ, RAHA LEO, SHENGENA, ZAFANANA na TAHMEED. Aah! Kipindi kile TANGA kulikuwa kuna LIGI balaa.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
hii msg ya kagame imetupwa kwa nan hasa.yaan ili jiwe nan anarushiwa gizan?
Sasa hii KAULI ya PAUL INGABIRE KAGAME sijui alikuwa anatuma ujumbe kwa nani? Labda inatokana na sababu za kujihami.

Halafu ukiwa pale TANGA au DAR ES SALAAM kuna kampuni ya usafirishaji wa abiria ambayo huwa inaitwa RATCO. Hii kampuni ya RATCO ina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni ya usafirishaji wa abiria ya RITCO inayofanya shughuli zake pale RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ.
 
Hiyo nyimbo imepita mule mule.daah kwel dunia ina pande mbili.wengine wanasikiliza nyimbo kama burudan wakt wengine wanakuwa wametupa msg dunian kwamba n wale wale miaka yote.
JOSE CHAMELEON huwa anaitwa ni DAKTA wa MUZIKI, yaani ukimpa IDEAS yeye ana uwezo wa kutunga NYIMBO kupitia ile ile IDEAS.
mandela unazid kunikosha.japo wadau wanasema n bla bla ila twende hivo hivo.
Mimi BINAFSI huwa sichangii kwenye JUKWAA LA SIASA, lakini huu UZI umenifanya nitumie MUDA wangu kujadili SIASA na hii ndio SIASA YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
vitu hiv n vichungu kama dawa vinaitaj maji ya kushushia vinginevo ukimumunya lazima uviteme.
UKWELI siku zote huwa ni MCHUNGU. WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง huwa wanasema hivi - the TRUTH is always BITTER ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Kwahyo mandela wengine hapa dunian tumekuja kushangaa shangaa tu au?
Ukiifahamu SIASA YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na ukafahamu WATU waliofanikiwa na WATU ambao hawajafanikiwa chini ya UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ, ndio itakuwa chanzo cha wewe kupiga hatua kutoka sehemu uliyopo.

Kwa sababu SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kuna baadhi ya WATU imewaharibu kabisa na kukosa MATUMAINI mengine, lakini kwa upande wa pili SIASA hizo hizo za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kuna baadhi ya WATU wamenufaika pakubwa na wengine wanaendelea kunufaika mpaka leo.

Sasa maamuzi ni suala la MTU BINAFSI, kuangalia ni sehemu gani iliyo sahihi na kuchanga KARATA vizuri.
kila kitu kimeshikwa na chui na simba au tufanyaje ili angalau na sis tuji attach na hizo jamii.
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wataendelea kunufaika na kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kutokana na uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kuendelea kubaki madarakani.

Sasa njia sahihi nadhani unaifahamu, sihitaji kukueleza ni namna gani unatakiwa kufanya!!

Lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanafahamu vizuri kuishi na WATAWALA, ndio maana wamefanikiwa KIUCHUMI na wanaendelea kujijenga KISIASA.
Ila mandela kuna mwana anakumegea hiz sir siyo kwa kupangilia huko.
Hapana sheikh, mimi ni MDAU! Kwahiyo nimeona na kusimuliwa MAMBO mengi. MAMBO mengine yatabaki kuwa ni SIRI ya WATAWALA.
Wacha nisikilize tena hii nyimbo naona ntazid kupata maswal zaid

JOSE CHAMELEON ni DAKTA wa MUZIKI! Yaani ana UWEZO mkubwa! Ukipata MUDA mwingine jaribu kusikiliza NYIMBO yake nyingine inaitwa VALU VALU au TUBONGE.
 
@Charles Mandela Habari, za kitambo kidogo? Nadhani nakumbuka kukuuliza hili swali na ukatoa ufafanuzi, Sasa Kwa muktadha huo huo ambao umeuelezea hapo, Simba ndio waweka madarakani kina sauli, Simba ndio wanaoshikilia intellijensia ya raisi wa kina valuvalu, je sauli katumwa kama kujihami? Kujihami Kwa ajili ya Nan? Kina Simba wanamuhofia nani ambae anaewafanya wapate kiwewe hivyo ?
Je wana maadui gani ambao wanahisi wanataka kulipiza kwao? Maana kina chui ulisema kuwa wanahofia wale wa kule dubwana likiachia Dola tu basi wale wenye Mali watadili nao Kwa ufasaha Sasa nisaidie hapo. Ni nani anayemtisha Simba pamoja na yote anayomiliki?
 
@Charles Mandela Habari, za kitambo kidogo?
Ni NZURI ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Nadhani nakumbuka kukuuliza hili swali na ukatoa ufafanuzi, Sasa Kwa muktadha huo huo ambao umeuelezea hapo, Simba ndio waweka madarakani kina sauli,

Ndio! Angalia na hii PICHA ambayo JOSE CHAMELEON alikuwa amekwenda kutumbuiza KIGALI - RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ kwenye miaka ya tisini [ 1990's ].
Simba ndio wanaoshikilia intellijensia ya raisi wa kina valuvalu, je sauli katumwa kama kujihami?
Hii ni PROXY WAR yaani VITA YA MANENO na haina madhara.
Kujihami Kwa ajili ya Nan?
Mara nyingi kauli zake huwa zinagusia na kutoa TAHADHARI dhidi ya washukiwa wa mauaji ya KIMBARI, yaani isije ikajirudia tena ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Kina Simba wanamuhofia nani ambae anaewafanya wapate kiwewe hivyo ?
Hakuna MTU wanaye muhofia!
Je wana maadui gani ambao wanahisi wanataka kulipiza kwao?
Hakuna MAADUI wowote, zaidi ya kukomesha hisia za kibaguzi zilizochochea VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE YA MWAKA 1994.
Maana kina chui ulisema kuwa wanahofia wale wa kule dubwana likiachia Dola tu basi wale wenye Mali watadili nao Kwa ufasaha Sasa nisaidie hapo.
Sheikh wangu, haya MAMBO tumeshajadili sana na angalia hiyo POSTI ya juu kwa maelezo ya ziada!

Ukitaka kuhusika zaidi na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI, pambana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.
Ni nani anayemtisha Simba pamoja na yote anayomiliki?
JAMII YA SIMBA ๐Ÿฆ yaani MWASHITA wapo vizuri sana, sema kwa lugha nyingine tunaweza kusema kuwa ni KUJIHAMI.
 
Sasa huu UZI wa Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11 unaingia hapa, ukiwa umesheheni SIASA KWENYE SEKTA ELIMU.

Yale tuliyokuwa tunayajadili huko nyuma, jana ambayo ilikuwa ni siku ya IJUMAA, pale BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA kupitia WIZARA YA TAMISEMI wameanza kujirekebisha kwa kueleza mchanganuo mzima na kutaja WANAFUNZI BORA na WANAFUNZI BORA walioongoza katika kila SOMO lililosajiliwa na NECTA na hii ndio ilitakiwa kufanyika hivyo tangu zamani, yaani tangu miaka ya nyuma.

Lakini haisadii kwa sasa, kwa sababu ELIMU ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tayari imeshuka kutokana na kupika matokeo ya wanafunzi wa SHULE YA MSINGI na SEKONDARI. WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanasema ni - REPRESSION AND FALSIFICATION OF PUPILS AND STUDENTS ACADEMIC RESULTS.

Hii ndio SIASA kwa ujumla wake, iliyokuwa inafanywa na inaendelea kufanyika na SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.
 
Mandela huu uzi umeuharibu kabisa kwa conspiracies zako uchwara za mwashita....hauna uzi mwingine wa kuandika huu ujinga wako?

Ondoka huu uzi umeuharibu sana...moja la muhimu jitahidi uonane na wataalamu wa afya ya akili...kuna kitu hakiko sawa kwako..we pray for you.

#MaendeleoHayanaChama
 


Unajua sasa hivi nipo SHINYANGA na nimetulia tuli!! Ngoja nijiandae kuangalia mechi ya SIMBA SC na ASEC MIMOSAS kutoka IVORY COAST ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ.

Wale waliokuwa wanatubeza zamani - sasa hivi wanahaha kulipia king'amuzi cha AZAM ili waangalie MECHI ya SIMBA SC inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na ASEC MIMOSAS inayomilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.


Hii SIMBA MTOTO sio MANDELA tu! Hata COASTAL UNION FC ya TANGA inaitwa SIMBA MTOTO!
 
Mpaka sasa hivi hujatoa ushahidi dhahiri wa unayoyazungumza.kama unayoyazungumza ni kweli Tanzania tungekuwa nchi kubwa Sana Africa hata kiuchumi.
 
Mpaka sasa hivi hujatoa ushahidi dhahiri wa unayoyazungumza.kama unayoyazungumza ni kweli Tanzania tungekuwa nchi kubwa Sana Africa hata kiuchumi.
Sasa wewe ulitaka wafanye nini? Na USHAHIDI gani unaohitaji? NYARAKA za KISHERIA au?

Lakini KIUCHUMI, TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ilitakiwa iwe kama NCHI nyingi za KUSINI MWA AFRIKA kama NAMIBIA ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ, BOTSWANA ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ na hata AFRIKA YA KUSINI ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ.

Lakini kilichoiponza TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni RUSHWA na mapungufu mengine ya KIUTAWALA na sio SERA ZA UJAMAA kama WATANZANIA wengi wanavyoamini, kwa sababu kuna MATAIFA YA KIJAMAA NA KIKOMUNISTI yamepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kuliko hata MATAIFA YANAYOAMINI SERA ZA KIBEPARI. Mfano mzuri ni UCHINA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ, KYUBA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡บ na VIETNAMU ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ.

Sasa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wanafanya hayo MAMBO kwa MASILAHI yao, halafu MASILAHI ya NCHI ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ baadae.

Tena afadhali hata JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, wamejitahidi kuwekeza TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na BIASHARA zao zinaonekana na wanatambulika kisheria na NYARAKA ZA KISHERIA zinapatikana maeneo husika.

Hawa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wamewekeza sana NJE YA NCHI. Ukitaka kufahamu haya MAMBO zaidi, muulize MZEE ALLY HASSAN MWINYI atakueleza vizuri.

Kipindi cha MFUMO WA VYAMA VINGI umeanza, mwaka 1992 - kuna kiasi kikubwa sana cha FEDHA kilihamishwa kutoka BENKI KUU na kupelekwa NJE YA NCHI.

Na hii ilifanyika kwa HOFU ya MABADILIKO YA KISIASA, kwahiyo JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilikuwa inajihami kwa kuhamisha FEDHA kwenda NJE YA NCHI.

Baada ya hapo, HAYATI MWALIMU aliwaacha wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU kushindana kuwekeza na RAIS wa wakati huo, Ndugu ALLY HASSAN MWINYI.

Ndio! Ilikuwa ni kama LIGI kati ya MZEE RUKSA na wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wakiongozwa na MISTER ABILITY.

Kipindi cha AWAMU YA PILI cha ALLY HASSAN MWINYI kulikuwa na PESA nyingi sana na walionufaika ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU, wengine hawakunufaika.

Na hata baada ya kutoka Ndugu ALLY HASSAN MWINYI, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU waliendelea kupiga FEDHA nyingi sana mpaka miaka ya 2000 [ 2000's ].
 
Wewe hata hata umiliki wa chupi za mkeo utasema kuna mkono wa Mwashita. Umeharibu uzi kwa kuandika ushuzi mwingi sana.
 
Wewe hata hata umiliki wa chupi za mkeo utasema kuna mkono wa Mwashita. Umeharibu uzi kwa kuandika ushuzi mwingi sana.
Haya MASUALA ya CHUPI ๐Ÿ‘™CHUPI ๐Ÿ‘™ yanahusika vipi na huu UZI? Au ndio dalili za kufilisika hizo? Maana MAWAZO na AKILI zikielekea CHINI huwa kunakuwa na MWISHO usio mzuri ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Lakini unatakiwa kufahamu kuanzia leo ya kwamba - ni JAMII MBILI tu ambazo zinamiliki UCHUMI WA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. JAMII hizo ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ, wengine hamna!!

Na hakuna hata TAASISI BINAFSI inayomiliki UCHUMI MKUBWA zaidi ya hizi JAMII MBILI - iwe ni TAASISI ZA KIDINI au ASASI ZA KIRAIA. Jibu ni HAKUNA, labda JAMII YA WATU WA PWANI na yenyewe inafuata kwa mbali sana.


Hii ndio TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ aliyoiacha HAYATI MWALIMU na kutokea mabadiliko ya KIUCHUMI sio vyepesi, kwa sababu zama na nyakati zimebadilika.
 
Kwahiyo brother Kwa yote haya unamaoni gani kipi kifanyike?kipi kifanyike ili nchi itumie hizi advantage Kwa maslahi ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ