Sikiliza kwanza hii NYIMBO ya JOSE CHAMELEON. Hii NYIMBO alikuwa anaimba akimaanisha JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa kampuni ya JAKO SPORTSWEAR inayopatikana nchini UJERUMANI ๐ฉ๐ช, sehemu inayoitwa MULFINGEN, BADEN - WรRTTEMBERG, wilaya ya HOLLENBACH.
Hii kampuni ilianzishwa huko STACHENHAUSEN na RUDI SPRรGEL, mwaka 1989 na ilinunuliwa na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU, mwaka 1995.
Na sababu iliyopelekea hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU kununua hicho KIWANDA ni baada ya kumiliki timu za mpira wa miguu nyingi na waliambiwa hivi - "Nyinyi nunueni timu za mpira wa miguu, lakini sisi tutawauzia jezi za timu zenye nembo ya ADIDAS, OPEL, FUBU, NIKE, FILA, PHAT FAM, DADA au PUMA".
Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walikuwa ni WATU SMART sana, kwa sababu wengi wao walikuwa wamesoma UGANDA ๐บ๐ฌ na walikuwa na EXPOSURE YA MAISHA. Kwahiyo walikuja na mapendekezo yao ya kununua na kumiliki KIWANDA cha kutengeneza jezi za MICHEZO ambazo watazitumia kama SARE kwenye timu ambazo wanazimiliki wao wenyewe.
Lakini hawakufanikiwa kumiliki KIWANDA chochote kwa sababu gharama yake ilikuwa ni kubwa, walibahatisha KIWANDA CHA SAIZI YA KATI ambacho kilikuwa kinapatikana STACHENHAUSEN, UJERUMANI ๐ฉ๐ช.
Baada ya kufanikiwa kununua na kumiliki KIWANDA CHA JAKO, hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walifanikiwa kupata eneo lingine [ wilaya ya HOLLENBACH, MULFINGEN ] na kujenga KIWANDA kikubwa cha kutengeneza NGUO ZENYE NEMBO YA JAKO.
Haikuwa kazi NYEPESI! Kwa sababu tangu mwaka 1995 mpaka leo ni miaka zaidi ya ishirini [ 20 ] imepita, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU bado hawajaanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO yao.
Kwa mara ya kwanza - hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wameanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO YA JAKO kwenye timu ya mpira wa miguu ambayo wanamiliki wao wenyewe, timu hiyo ni BAYER 04 LEVERKUSEN.
Kwahiyo mpaka kufikia sasa hivi - hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanajaribu kutumia NEMBO yao wenyewe.
Na hicho KIWANDA CHA JAKO wamefanikiwa kutengeneza VIFAA mbalimbali vinavyotumika kwenye MICHEZO ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu na MICHEZO mingine.
Na hadi mwaka 2018, hiki KIWANDA CHA JAKO walifanikiwa kutengeneza MPIRA โฝ wao wenyewe. Kwahiyo wamepiga hatua sana, ijapokuwa bado USHINDANI ni mdogo ukilinganisha na makampuni makubwa kama PHAT FAM, FUBU, DADA, ADIDAS, FILA, NIKE na PUMA.
Hadi kufikia mwaka 2020, hiki KIWANDA CHA JAKO kimefanikiwa kutengeneza VIFAA vyote vinavyotumika kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Na hawa wanaoonekana kwenye PICHA ni baadhi ya wafanyakazi wa SHOPPING MALLS wanao uza BIDHAA ZA JAKO.
Kwa upande wa TANZANIA ๐น๐ฟ, hizi SHOPPING MALLS zinafanya kazi kama kampuni ya GSM inavyofanya kazi kwenye SHOPPING MALLS za PUGU na MSASANI.
Yaani hii KAMPUNI YA JAKO huwa inafanya MERCHANDISE kama ilivyo kwa KAMPUNI YA GSM inavyofanya kazi kwenye SHOPPING MALLS zake za PUGU na MSASANI.
Na mwaka 2019, kwenye MICHUANO YA ASIA [ ASIA CUP ] - hii KAMPUNI YA JAKO ilifanikiwa kupata TENDA YA KUTENGENEZA JEZI ZA TIMU ZA TAIFA ZA IRAKI ๐ฎ๐ถ, YEMENI ๐พ๐ช, SYRIA ๐ธ๐พ, PALESTINA ๐ต๐ธ, UZBEKISTANI ๐บ๐ฟ, OMANI ๐ด๐ฒ na TURKMENISTANI ๐น๐ฒ.
Hii KAMPUNI YA JAKO ina SHOPPING MALLS ambazo zinauza BIDHAA zao kwenye MATAIFA KUMI NA TISA [ 19 ]. MATAIFA hayo ni UBELIGIJI, URUSI, UFARANSA, UZBEKISTANI, UHOLANZI, ROMANIA, SERBIA, LEBANONI, POLANDI, UHISPANIA, QATARI, KUWAITI, MAKEDONIA, MOLDOVA, IRELAND, IRANI, ITALIA, UKRAINE na UJERUMANI yenyewe.
Na malengo ya baadae ni kutumia JEZI ZA JAKO kwenye kila timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.