Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Nakutakia masomo mema, Kazi njema na ufanisi mwema pia.
Du! Nitamiss vingi sana hapa.
Haya MAMBO ya kujenga na kuanzisha CHUO CHA UONGOZI huwa hayaji kwa MICHANGO YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ au FEDHA kutoka SERIKALI KUU.

Huwa ni JITIHADA BINAFSI za JAMII YA SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa familia ya HAYATI MWALIMU mwenyewe kuweza kuenzi, kudumisha na kuendeleza FIKRA ZA HAYATI MWALIMU.

Sasa wengine watauliza MASWALI, kuwa hizo FEDHA za kufanikisha MAMBO yote hayo huwa zinatoka wapi? Jibu ni kuwa - JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wamejijenga sana KIUCHUMI na KISIASA, na FEDHA za kufanikisha MAMBO yote hayo huwa wanafanya OUTSOURCING kwenye KAMPUNI ZA KIBIASHARA ambazo zinamilikiwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.
 
Nakutakia masomo mema, Kazi njema na ufanisi mwema pia.
Du! Nitamiss vingi sana hapa.
Asante sana 🙏🏽! Vile vile na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaelekea huko huko kama wanavyofanya JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Sema hatua na muda utatofautiana, kwa sababu hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni WAPAMBANAJI na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ni WATAWALA.

Kwahiyo hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wana kazi kubwa sana ya kufanya ili kuweza kutimiza malengo yao, ndio maana wana MAMBO mengi sana.










Hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamejikita kwenye SEKTA YA BIASHARA YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO na ndio chanzo kikubwa cha mapato yao.




Hiyo kwenye PICHA hapo juu ni kampuni ya SIMBA 🦁 inayofanya shughuli za USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO kwa upande wa NCHI ZA KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, RWANDA 🇷🇼 na SUDANI YA KUSINI 🇸🇸.

Na BIASHARA YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO inalipa sana, kwa sababu hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki kampuni yao ya kutengeneza mabasi inayoitwa BANBROS FABRICATORS LIMITED inayopatikana maeneo yanayoitwa MLOLONGO katika JIJI LA NAIROBI, nchini KENYA 🇰🇪.

Hii kampuni ya SIMBA 🦁, zamani ilikuwa TANZANIA 🇹🇿 katika MKOA WA TANGA lakini baada ya kufanikiwa kuhamia KENYA 🇰🇪, baadhi ya VITU NA MAMBO mengine yaliyobaki TANZANIA 🇹🇿, ilianzishwa kampuni nyingine kwa majina ya SIMBA MTOTO na SIMBA LOGISTICS.


Kwahiyo hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanafuata NYAYO na MTINDO wa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI - sema inakuwa ni kwa njia tofauti, lakini malengo yanakuwa ni yale yale.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Nina njaa, Je kuna madini mengine ya kunilisha?
MADINI mengine ni haya - kipindi cha miaka ya tisini [ 1990's ], pale TANGA kulikuwa na kampuni za kibiashara ambazo zinahusika na usafirishaji wa abiria na mizigo.

Kampuni hizo zilikuwa zinaitwa SHAMBALAI, TAWFIQ, RAHA LEO, SHENGENA, TAHMEED, SIMBA 🦁 na ZAFANANA.

Hii kampuni ya ZAFANANA ilikuwa ni kampuni ambayo inamilikiwa na wafanyakazi wa CHAMA CHA USHIRIKA CHA TABORA yaani WETCU.

Na hili jina la ZAFANANA limetokana na KWAYA YA ULYANKULU - TABORA waliyoimba kwenye ALBAMU ya MAPIGANO na nyimbo ilikuwa inaitwa SAFARI YAO WAISRAELI.


Hii kampuni ya ZAFANANA ilikuwa ni kampuni mwenza wa kampuni ya SABENA. Sasa hivi hizi kampuni za SABENA na ZAFANANA zinaonekana kama hazipo TANZANIA 🇹🇿, lakini na wao baada ya kufanikiwa kuhamia KENYA 🇰🇪, walifanikiwa kuanzisha kampuni mpya inayokwenda kwa jina la ENA COACH.




Hii kampuni ya ENA COACH ni kampuni kubwa sana, kwa sababu inahusika na usafirishaji wa abiria na mizigo ndani na nje ya TAIFA LA KENYA 🇰🇪.


Na kuna WATU wengi sana walitoka TABORA na kuhamia hii MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO, TANGA na hatimae waliingia mpaka nchi ya KENYA 🇰🇪.
Hii inajumuisha ile idadi ya watu elfu thelathini [ 30,000,000 ] waliohama kutoka hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA na kusambaa nchi zote za MAZIWA MAKUU.





Hawa ndio waliokuwa wamiliki halali wa kampuni za usafirishaji wa abiria na mizigo zilizokuwa zinaitwa ZAFANANA na SABENA na ni miongoni mwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU waliohamia nchini KENYA 🇰🇪.

Hawa wamiliki wa kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo ya ENA COACH wamewekeza sana nchini KENYA 🇰🇪 na baadhi ya NCHI ZA MAZIWA MAKUU.


Pia na wao wanamiliki kampuni yao ya kutengeneza mabasi na wanafanya vizuri sana kwenye NCHI za MAZIWA MAKUU.
 
Sasa huu UZI wa Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake unaingia hapa kwenye posti namba 1087.

Hii ilikuwa ndio maana yake! Na hakuna dalili zozote za kuinuka kwa AINA YA VIJANA waliondaliwa na HAYATI MAGUFULI.

Kwahiyo VIJANA waliondaliwa na HAYATI MAGUFULI wanafafanishwa na VIJANA AMBAO HAWANA MAADILI kutokana na matukio yaliyokuwa yanafanyika na kuendelea kufanyika dhidi yao.

Na hiyo ndio huwa LUGHA YA KIUONGOZI au WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni PRESIDENTIAL LANGUAGE ambayo huwa inatumika kutoa ujumbe mbele ya JAMII.
 
Hahaha kumbe ndo maana ukivamia siasa unakufa kama kuku

Sasa angalia hii VIDEO inayoonesha ZIARA ya RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 akitembelea KIWANDA CHA SAMANI kinachomilikiwa na JESHI LA MAGEREZA LA TANZANIA 🇹🇿.

Hizo FENICHA zitakazokuwa zinatengenezwa hapo, zitakuwa zinatumika hata kwa RAIA wa kawaida kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.

Na JESHI LA MAGEREZA wanaanza kujenga FREMU za kupangisha MADUKA kwa RAIA wa kawaida. Kutakuwa na namna wanafanya kama JESHI, maana hauwezi ukawaona wao kama ASKARI ndio wapangisha FREMU ZA MADUKA lakini kuna namna wanafanya..

Halafu ukipata wasaa mzuri unaweza kutizama pia HOTUBA yote ya RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 na HOTUBA YA MKUU WA MAJESHI YA MAGEREZA - ndio utaelewa ya kwamba sasa hivi SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 inafanya BIASHARA ZA KIUCHUMI kupitia MAJESHI yake.

Kwahiyo JESHI LA MAGEREZA wameenda mbali zaidi kwenye upande wa uwekezaji na ufanyaji wa BIASHARA na hata kwa upande wa MAJESHI mengine hali hiyo ipo hivyo hivyo.
 
Sasa angalia hii VIDEO ambayo inaonesha mkutano maalamu wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ uliofanyika jana, mjini DODOMA.






Huu mkutano maalamu wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ulijumuisha wajumbe wote kutoka katika kila halmashauri ya kichama na huwa unagharamiwa na BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM⚒️.

Sasa hiyo BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️huwa inajumuisha kampuni ambazo zinamilikiwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.
 


Sasa angalia hiyo posti namba 331 ambayo inaonesha timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Na hiyo ni ratiba ya MICHUANO YA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA kwa hatua ya ROBO FAINALI, zile timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ni AL AHLY ya MISRI 🇪🇬, ES TUNIS ya TUNISIA 🇹🇳 na WYDAD AC ya MOROKO 🇲🇦.

Na timu za mpira wa miguu ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni RAJA CASABLANCA ya MOROKO 🇲🇦 na ES SETIF ya ALGERIA 🇩🇿.

Hizo ndio timu ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI zilizoingia hatua ya ROBO FAINALI, KLABU BINGWA BARANI AFRIKA.


Kwa upande wa KLABU BINGWA BARANI AFRIKA KWA NGAZI YA SHIRIKISHO, JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wana timu za mpira wa miguu zipatazo mbili zilizoingia katika hatua ya ROBO FAINALI. Timu hizo ni SIMBA SPORTS CLUB 🦁 ya TANZANIA 🇹🇿 na TOUT PUISSANT ENGLEBERT MAZEMBE ya KONGO 🇨🇩.
 
Na kwenye posti namba 1152, inaonesha ratiba ya KLABU BINGWA BARANI AFRIKA katika hatua ya ROBO FAINALI na kuna timu moja inaitwa MAMELODI SUNDOWNS [ MASANDAWANA ] kutoka AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦.


Hii timu ya MAMELODI SUNDOWNS [ MASANDAWANA ] kutoka AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦 inamilikiwa na MISTER CLEAN.

MISTER CLEAN na MISTER ABILITY walitofautiana miezi mitatu katika kununua VILABU VIKONGWE kutoka nchi ya AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦.

MISTER ABILITY alianza kwa kununua timu ya KAIZER CHIEFS na baada ya miezi mitatu, MISTER CLEAN alifanikiwa kununua pia timu ya MAMELODI SUNDOWNS [ MASANDAWANA ].

WATU wengi wanafahamu kuwa hiyo timu ya MAMELODI SUNDOWNS [ MASANDAWANA ] kutoka AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦 inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU. Lakini UKWELI HALISI ni kwamba - hiyo timu inamilikiwa na MISTER CLEAN na hao MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walitumika kama KIVULI cha kufanikisha manunuzi ya timu ya mpira wa miguu inayoitwa MAMELODI SUNDOWNS [ MASANDAWANA ].

Huyo MISTER CLEAN ndio mmiliki halali wa kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa [...]. Hiyo kampuni makao yake makuu yapo MWANZA, TANZANIA 🇹🇿 na moja ya mabasi yake imeandikwa "OFF-ROAD" pale mbele kwenye kioo, ikiwa na maana ya MAMELODI. Yaani mmiliki halali wa kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo ya [...] ndio mmiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ya MAMELODI SUNDOWNS [ MASANDAWANA ] kutoka AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦.

Vile vile MISTER CLEAN alifanikiwa pakubwa kuwatumia MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU katika kufanya BIASHARA na ndio mmiliki halali wa kampuni inayotengeneza MAFUTA YA KUPIKIA yanayoitwa SUNDROP yanayotokana na MAZAO YA ALIZETI. Hii SUNDROP ikiwa na maana ya SUNDOWNS..

Kwahiyo MISTER CLEAN alifanikiwa pakubwa sana kwa upande wa BIASHARA kutokana na ushirikiano aliokuwa nao na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
 
Ila mambo mengi unayoeleza ni uongo wewe si ulisema Roman abramovich pale Chelsea ni mfanyakazi Tu angalia Sasa kinachotukuta.
 
Ila mambo mengi unayoeleza ni uongo wewe si ulisema Roman abramovich pale Chelsea ni mfanyakazi Tu angalia Sasa kinachotukuta.
Ndio! Kinachowakuta sasa hivi mlikiandaa wenyewe miaka ya nyuma, hakijatokea tu hivi hivi.

WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - "You sow, what you seed". Yaani unavuna ulichokipanda.

Kuna vitu vingi tunaweza kujadili kwa LUGHA YA STAHA, lakini kwa sasa hivi niko na shughuli nafanya.

Kwa upande wa TAIFA LA UINGEREZA 🇬🇧 huwa wana MTINDO WA MAISHA yaani SOCIAL MORAL CONDUCT ambayo huwa ni kama sheria, yaani UNWRITTEN CONSTITUTIONAL LAWS. Sasa ikigundulika kama umekwenda kinyume na UTAMADUNI WA KIINGEREZA 🇬🇧 unachukuliwa hatua kali za kisheria na hicho ndicho kilichomkuta ROMAN ABROMOVICH.
 
Ila mambo mengi unayoeleza ni uongo wewe si ulisema Roman abramovich pale Chelsea ni mfanyakazi Tu angalia Sasa kinachotukuta.
Sasa jaribu kufuatilia hii timu ya BLACKBURN ROVERS FC 🌹 ambayo inashiriki CHAMPIONSHIP nchini UINGEREZA 🇬🇧 na inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.






Hii timu ya BLACKBURN ROVERS FC 🌹, mmiliki wake anafahamika na amewekeza shughuli za KIUCHUMI na KIBIASHARA nchini UINGEREZA 🇬🇧 kupitia kampuni inayoitwa VENKYS LONDON LIMITED.


Mmiliki halali wa kampuni ya VENKYS LONDON LIMITED ni mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU, na anafahamika kisheria.

Hivi ndivyo TAIFA LA UINGEREZA 🇬🇧 wanavyofanya na hata kwa raia wa kigeni wenye nia ya kuwekeza UINGEREZA 🇬🇧 ni vyema na shuruti kuiga UTAMADUNI WA KIINGEREZA 🇬🇧. Tofauti na hapo, mambo yatakwenda kombo.

Na kiwango cha uwajibikaji kwa upande wa TAIFA LA UINGEREZA 🇬🇧 kipo juu sana, kiasi ambacho SERIKALI YA UINGEREZA 🇬🇧 inatekeleza majukumu yake katika kueleza na kuhalalisha maamuzi yake kwa UMMA na hata kwa raia mmoja mmoja.

TAIFA LA UINGEREZA 🇬🇧 huwa wana uwajibikaji wa kidemokrasia na kujieleza. Huwa hawana JANJA JANJA YA HAPA NA PALE.

Yaani kwa TAIFA LA UINGEREZA 🇬🇧 - WANANCHI wao au WAWAKILISHI wao huwa wana haki ya kuhoji kuhusu jambo fulani na maoni yao kufanyiwa kazi.

Kwahiyo ukiona muwekezaji amefanikiwa kuwekeza shughuli za KIUCHUMI na KIBIASHARA nchini UINGEREZA 🇬🇧, ujue ni msafi kweli kweli.
 

Sasa kwenye hii siku ya SIKUKUU YA MUUNGANO, pata wasaa wa kusikiliza na kutizama kwa makini kabisa mahojiano ya aliyekuwa RAIS MSTAAFU WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿, BENJAMIN WILLIAM MKAPA, alikuwa ni kiongozi hodari sana, mwanadiplomasia, mzungumzaji mzuri na mwandishi wa habari.
 
kwa sisi wengine ambao pamoja na kuwapo na mfumo wa ujamaa kipindi kile bado tulizaliwa katika umasikini na kukulia humo hadi sasa kidogo tunaendelea kupumua.. ingekuwa ubepari umeachiwa ushike hatamu nadhani hali ingekuwa mbaya zaidi katika huduma za kimalazi, kiafya na kielimu na hii ingegharimu watu wengi... Bado mfumo wa ujamaa ulisaidia watanzania wengi sana kufika leo hii hata kwa uzima tu. nchi jirani life standard almost the same ingawa wao waliruhusu mapema ubepari na bado huku tulichowazidi hadi sasa ni umoja na undugu tulionao kama Watanzania. Leo hii ukihamia mtaa fulani kujua kabila la mtu hadi uulizie, hii tu ni tunu kubwa aliyotuachia Baba wa Taifa kuliko hata angeruhusu huo ubepari tukapata maendeleo ya maghorofa mitaani na barabara za lami. Kumbuka kwa kipindi kile Bepari angeachiwa akaanzisha zahanati alikuwa ahishii hapo tu angehujumu na zahanati ya serikali ili afanye biashara na Watanzania hawakuwa na upeo wa ku-control hilo tofauti na sasa hujuma inaweza ikakemewa na wananchi.. Binafsi yangu naona Ubepari umeruhusiwa katika kipindi sahihi ambapo watanzania tuna Upeo kidogo.
#NyerereAtabakiNyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…