Jaribu kuangalia hawa wacheza mpira wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI, AL HILAL OMDURMAN.
Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohama kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Pia, timu zote za michezo ambazo zipo chini ya CHUO KIKUU CHA LIBERTY kinachopatikana nchini MAREKANI - wanamichezo wote weusi ni MWASHITA waliohamia MAREKANI na kupata URAIA WA MAREKANI.
Hao ndiyo MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI, wakitoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Pia, hii timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA NBA nchini MAREKANI - wanamichezo wote weusi ni MWASHITA waliohamia MAREKANI na kupata URAIA WA MAREKANI.
Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's] wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanatumia UBALOZI WA MAREKANI uliopo BURUNDI kupata VISA na kwenda kufanya kazi kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
Huyu ni miongoni mwa MWASHITA waliozaliwa nchini MAREKANI na anacheza mpira wa kikapu katika timu ya WIND CITY BULLS.
Hii timu ya mpira wa kikapu ya WIND CITY BULLS ni timu ambayo inaandaa wachezaji wa mpira wa kikapu wa baadae wa timu ya CHICAGO BULLS.
Wengine ni huyu LACAZETTE ambaye anacheza mpira wa miguu katika timu inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA inayoitwa OLYMPIC LYONNAIS. Wacheza mpira wote ambao ni weusi wa timu ya mpira wa miguu ya OLYMPIC LYONNAIS ni MWASHITA.
Pia, huyu ni miongoni mwa MWASHITA waliohama kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's], anaitwa MATONDO na msimu ulioanza alikuwa kwenye kikosi cha SCHALKE 04 inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI.
Huyu MATONDO ni kile kizazi cha wakina MATONDO waliokuwa wanaishi SHINYANGA MJINI kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's].
Huyu pia ni mfungaji hatari wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA GUINEA inayoitwa HOROYA AC, ni miongoni mwa wachezaji tisa wenye asili ya MWASHITA wanaounda kikosi cha kwanza cha timu ya HOROYA AC.
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza kwenye michezo kwa kutumia watu wao na wanapata faida kubwa katika uwekezaji wa michezo yaani SPORTS ECONOMY.
Kwahiyo hayo ndiyo MATUNDA, SIASA na MAFANIKIO ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.