Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

hivi yle mzee wa ice cream ni pesa yakeee au nyuma kuna wabongo wameweka mkwanja

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu ni ASSISTANT GM wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA WANAWAKE YA MPIRA WA KIKAPU [WNBA] inayoitwa PHOENIX MERCURY.




Huyu ASSISTANT GM wa PHOENIX MERCURY ni MTANZANIA ambaye alitoka MWANZA, wilaya ya MISUNGWI katika kijiji cha MISASI.

Yaani kijiji cha MISASI hadi maeneo ya SHILALO walihamishwa wote na walikuwa wanapelekwa sehemu mbalimbali za ndani na nje ya TANZANIA.


Na kizazi kilichofuata baada ya hapo ni kizazi chenye misimamo mikali na wanaamini kuwa wao ndiyo SIMBA 🦁.


Pia huyu dada ni mfanyakazi wa kampuni ya AT&T na ni mwenyeji wa SHINYANGA. Hii kampuni ya AT&T ina dhamini LIGI KUU YA WANAWAKE YA MPIRA WA KIKAPU [WNBA].


Huyu dada huwa anaonekana kwenye timu zote ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.




Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walibeba watu wao kiasi ambacho hata wengine hawakutegemea.
 
hivi yle mzee wa ice cream ni pesa yakeee au nyuma kuna wabongo wameweka mkwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali kuna watu wengine huwa wanauliza kwa yule MINERAL PROCESSING ENGINEER [ALUMNI WA UDSM] ambaye anamiliki KAMPUNI YA KUSAMBAZA KEMIKALI, KAMPUNI YA KUSAFIRISHA MIZIGO na SHULE YA SEKONDARI YA [...] ambayo inapatikana GEITA.

Ngoja leo baadae nikipata muda nitakuonesha mmiliki halali wa hizo kampuni zote ambaye ni MCHEZA KIKAPU WA MAREKANI [WNBA].
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's] kulikuwa kuna sintofahamu kubwa sana na TANZANIA ilikuwa inahamisha raia wake kimkakati, TANZANIA ilikuwa inahamisha watu wake ndani na nje ya MIPAKA YA TANZANIA.

Kwenye kuhamisha raia kulikuwa kuna urasimu na ubaguzi mkubwa sana, unakuta mfanyakazi mwenzio anapelekwa ARUSHA MJINI na wewe unapelekwa MWAMISHENYE huko ndani ndani na kulikuwa hakuna hata huduma za kijamii..😂

Hali hii inaendelea kufanyika kwenye MAJESHI mpaka leo! Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliamua kufanya kama TANZANIA na wao walikuwa wanahamisha watu wao.

Kwa mfano, pale MWANZA kuna IDADI kubwa ya watu walihama na ulikuwa ukiuliza wakina fulani wamehamia wapi? Unaambiwa wamehamia UKENYENGE, halafu leo wanaonekana kwenye picha ya pamoja na RAIS WA MAREKANI..😂


Huyu dada mweusi anayeonekana kwenye picha ya pamoja na RAIS WA MAREKANI - JOE BIDEN ni WAKILI WA SHERIA ambapo yeye na familia yake walihamia MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Ukisikia "NATOKEA MWANZA MWANZA" ndiyo hawa na sasa hivi walishapata URAIA WA MAREKANI.


Huwa wanakuja TANZANIA kimya kimya kuangalia na kusalimia ndugu na jamaa zao waliowaacha TANZANIA.


Haya ndiyo MATUNDA NA MAFANIKIO ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
hivi yle mzee wa ice cream ni pesa yakeee au nyuma kuna wabongo wameweka mkwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza nisiwe na uhakika wa moja kwa moja ila niliambiwa Royal family ya Awamu ya pili ndiyo mshirika wa hiyo Kampuni.

Hata ukiangalia historia ya Utajiri wao ilianzia miaka ya 90 baada ya Serikali kushindwa kesi iliyopelekea muuza Ice cream kuzawadiwa kiwanda cha hapo Tazara kama compensation 🤔

Hope wenye ufahamu zaidi wa jambo hili wanaweza kuja kuongezea nyama
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] miongini mwa vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kulitokea na matabaka.

Matabaka hayo yalikuwa ni WANYAMWEZI, WANYANTUZU na WASUKUMA. WANYAMWEZI walikuwa wamekishikilia CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] na WANYANTUZU walikuwa wameshikilia CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA MWANZA [NCU] na WASUKUMA walikuwa wanaishia kwenye NGAZI YA UMENEJA na walikuwa wanafanya kazi kwenye VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA vyote.

Sasa WANYAMWEZI walikuwa wanabeba watu wao na kuwapatia AJIRA kwenye kampuni binafsi ambazo walikuwa wanamiliki na WANYANTUZU walikuwa wanabeba watu wao na kuwapatia AJIRA kwenye kampuni binafsi ambazo walikuwa wanamiliki.

Jukumu lililobaki lilikuwa kwa WASUKUMA kuwabeba watu wao, kwa sababu WANYAMWEZI na WANYANTUZU walikuwa wana hela sana na kipindi kile WASUKUMA WAJANJA kwenye VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walikuwa ni MISTER ABILITY na KIDUDUYE.

Matabaka yalikuwa makubwa na ilikuwa usipobeba watu wako walikuwa wanaachwa na walikuwa wanaona wenzao wanaondoka na kupata AJIRA sehemu mbalimbali za ndani na nje ya TANZANIA.

Kwa mwaka tisini na sita [1996's] - KIDUDUYE alifanikiwa kuhamisha shilingi MILIONI MIA TATU [300,000,000] kutoka mfuko wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU na kwa mwaka tisini na saba [1997's] - MISTER ABILITY alifanikiwa kuchukua RUZUKU ya kiasi cha shilingi BILIONI TATU NA MILIONI MIA NNE [3,400,000,000] kwa nia ya kuendeleza KIWANDA CHA KUCHAKATA ZAO LA PAMBA kupitia kampuni ya NIPHA iliyokuwa inapatikana katika MKOA WA SHINYANGA.

Hawa wote wawili, yaani KIDUDUYE pamoja na MISTER ABILITY waliuaga UMASIKINI tangu miaka ya tisini [1990's] na KUSTAAFU kazi ya kuajiriwa.

Itakumbukwa mwaka tisini na nane [1998's], MISTER ABILITY alinunua KUMBI YA STAREHE iliyoitwa LAS VEGAS CASINO ambayo inapatikana UPANGA, DAR ES SALAAM nchini TANZANIA. Hii ikiwa ina maana ile ile ya BAA YA ASTON VILLA. Sema LAS VEGAS CASINO ilikuwa ina maana ya timu ya mpira wa kikapu ya LAS VEGAS ambayo inashiriki LIGI KUU YA MAREKANI [NBA pamoja na WNBA].


Hii picha ni LAS VEGAS nchini MAREKANI na huyo anayeonekana hapo ni A'JA WILSON ambaye ni mcheza mpira wa kikapu wa timu ya wanawake inayoitwa LAS VEGAS ACES [IVACES] inayoshiriki LIGI KUU YA WNBA.


WAZAZI wa A'JA WILSON ni wahamiaji waliohamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitokea TANZANIA katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Ukisikia ule msemo maarufu wa "NATOKEA MWANZA MWANZA" ndiyo hawa, yaani hawa ndiyo walikuwa wanaishi MWANZA miaka hiyo ya tisini [1990's] kabla ya kuhamia MAREKANI.


Huyu ni baba yake mzazi wa A'JA WILSON [sasa utakuwa umeelewa ni nani anayemiliki ile kampuni ya kusambaza kemikali inayopatikana MWANZA na ile shule ya SEKONDARI ambayo inapatikana GEITA].


Hapa A'JA WILSON anaonekana akiwa na wazazi wake waliohamia nchini MAREKANI tangu miaka ya tisini [1990's].






Huyu BINTI alianza kucheza mpira wa kikapu tangu akiwa shuleni na hatimae aliendelea hadi TIMU YA TAIFA YA MAREKANI.


Ana uwezo mkubwa sana anapokuwa KOTINI, kwani msimu uliopita aliisaidia timu yake ya LAS VEGAS ACES kutwaa UBINGWA WA LIGI YA WNBA [2021/22].


Hii timu ya LAS VEGAS ACES inabeba wachezaji weusi wote wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hawa ndiyo wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaotambulika kwa jina la SIMBA, ikiwa na maana ya WAPAMBANAJI.


Sasa hivi amekuwa mdada, lakini bado anaendelea na ubora wake ule ule akiwa ndani ya KOTI.


Ilifikia hatua kutokana na uhodari wake na kukiletea heshima CHUO KIKUU CHA SOUTH CAROLINA, CHUO KIKUU CHA SOUTH CAROLINA kiliamua kujenga SANAMU kwa heshima yake.




Kwahiyo huyu BINTI ameweka heshima nchini MAREKANI na kwenye ulimwengu wa mpira wa kikapu.


Hapa akiwa katika majukumu yake ya kitaifa ambapo huwa anawakilisha TAIFA LA MAREKANI.


Huyu ndiyo A'JA WILSON mcheza mpira wa kikapu mwenye historia ya kipekee anayekipiga kunako klabu ya LAS VEGAS ACES [IVACES] inayoshiriki LIGI KUU YA WNBA, nchini MAREKANI.


Kwahiyo sasa hivi utakuwa umefahamu mmiliki halali wa ile kampuni ya kusambaza kemikali zinazotumika migodini, kampuni ya usafirishaji ya mizigo na ile shule binafsi inayopatikana katika MKOA WA GEITA ambazo zinasimamiwa na MINERAL PROCESSING ENGINEER [UDSM ALUMN].

Hayo ndiyo MATUNDA NA MAFANIKIO ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ona jinsi wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanavyofurahi katika ukumbi wa 40/40 CLUB.




Hii 40/40 CLUB inapatikana NEW YORK na inamilikiwa na wakina MANING NICE na kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wapo wengi sana na wengine wanafanya shughuli mbalimbali tofauti na kujihusisha na michezo.




Katika LIGI KUU YA WNBA wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanamiliki timu za mpira wa kikapu zipatazo nne kwa idadi yake.






Timu hizo ni NEW YORK LIBERTY, PHOENIX MERCURY, LAS VEGAS ACES pamoja na DALLAS WINGS.




Hizi timu nne ikitokea moja kati ya hizo imechukua UBINGWA wanachukulia wote wameshinda. Kwahiyo huwa ni wamoja na mechi zao huwa wanaangalia sana ili waone kama kuna upangaji wa matokeo, lakini kila kitu huwa kipo vizuri.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kusikiliza mahojiano ya A'JA WILSON na CHELSEA GRAY baada ya kushinda UBINGWA WA WNBA kwa mara ya kwanza, msimu uliopita.

A'JA WILSON na CHELSEA GRAY wote ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na wote wametoka MWANZA katika wilaya ya MISUNGWI ambapo wazazi wao walipata fursa ya kuhamia MAREKANI katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Jaribu kumsikiliza A'JA WILSON hapo dakika ya 3:20 anapotaja jina la "MANDELA". Sasa huyu "MANDELA" ndiyo nani? Na MABINTI wengine huwa wanafanya hivyo pale wanapohitimu masomo yao au kozi za kijeshi na kuamua kuwa na AFFAIRS na watu wao wa nyumbani.


Huyo "MANDELA" ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA WNBA inayoitwa LAS VEGAS ACES na pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya mizigo inayoitwa AREA RECYCLING INVESTMENT inayopatikana ILLINOIS, nchini MAREKANI.


Hii kampuni ya usafirishaji ya mizigo ya AREA RECYCLING INVESTMENT ipo chini ya kampuni ya KEYSTONE STEEL AND WIRE.


Yaani ni kama kampuni ya usafirishaji ya mizigo inayoitwa EQUATOR TRANSPORT ambayo ipo chini ya KIWANDA CHA KIOO INDUSTRY ambacho kinapatikana DAR ES SALAAM, nchini TANZANIA.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuanzia wale waliokuwa na vyeo vya kuanzia ngazi ya UMENEJA hadi ngazi ya UKURUGENZI wanajijenga kuwa ELITE FAMILIES kwa msaada wa MATAIFA YA MAGHARIBI, hususani UINGEREZA.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalia tena huyu mchezaji mwingine wa mpira wa kikapu anayekipiga kunako timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA WNBA inayoitwa LAS VEGAS ACES na anaitwa JACKIE YOUNG.




Huyu JACKIE YOUNG ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI ambapo wazazi wake walipata fursa kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, hususani katika mkoa wa MWANZA, wilaya ya MISUNGWI katika kijiji cha SHILALO.


Wanacheza katika timu moja na A'JA WILSON, ambao wote ni wenyeji wa asili wa kutoka MWANZA.


Pia YOUNG JACKIE amepata fursa ya kuitwa timu ya taifa ya MAREKANI ambapo alishiriki michuano ya kimataifa ya OLYMPICS kwa msimu uliopita.




Hapa wakiwa katika majukumu yao ya KITAIFA ya kuwakilisha TAIFA LA MAREKANI.


Hapa akiwa na BG, ambaye na yeye alikuwa maarufu sana baada ya kushikiliwa nchini URUSI kwa kipindi cha miezi nane.




Kwahiyo, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamewekeza kwenye michezo mingi, lakini mchezo ambao unawalipa sana ni mchezo wa mpira wa kikapu wa wanawake katika LIGI KUU YA WNBA.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaomiliki timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA WANAWAKE YA WNBA inayoitwa LAS VEGAS ACES, ndiyo wamiliki halali wa timu ya hockey 🏒 inayoitwa VEGAS GOLDEN KNIGHTS.


Hii timu ya VEGAS GOLDEN KNIGHTS ndiyo mabingwa wa kombe la STANLEY CUP CHAMPIONS kwa mwaka 2023.
 
Km unahofu kuhusu kutuonesha picha za huyo Mister Ability,

Basi kuna uwezekano mkubwa hata maelezo unayoyatoa kumuhusu si sahih au labda ni mtu wa kusadikika
MISTER ABILITY na KIDUDUYE kwa mara ya mwisho walionekana kwenye vyombo vya habari miaka ya elfu mbili [2000's] baada ya kushinda kesi ya maadai dhidi ya CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].

Pale MAHAKAMA KUU KANDA YA MAGHARIBI iliamuru walipwe stahiki zao zote, tangu mwaka 1992 hadi pale hukumu ya kesi ilipoamuliwa na walilipwa stahiki zao zote kwa miaka zaidi ya saba ambayo walipaswa kuwa kazini.

Ile stahiki iliambatana na "PRICE EVALUATION". Kwahiyo walipata zaidi ya kiasi cha shilingi milioni arobaini [40,000,000] kwa wastani wa kila mfanyakazi mmoja mmoja na hiyo ilikuwa ni mwaka elfu mbili [2000].
 
HAYATI MWALIMU alikuwa ni SUNGURA MJANJA na waliomuweza HAYATI MWALIMU walikuwa ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hii ilitokana na ujirani waliokuwa nao na JAMII YA SERENGETI. Kwahiyo JAMII YA MWASHITA na JAMII YA SERENGETI wanafahamiana kitabia na ndiyo maana kwenye ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA hakuna wahanga wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Yaani kwa LUGHA nyingine tunaweza kusema kuwa kule katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA hakuna mwenyeji wa asili aliyeathirika na SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kushuka chini hadi miaka ya sitini [1960's], wale waliokuwa wenyeji wa KISHAPU kutoka MKOA WA SHINYANGA walikuwa juu sana na hii ilitokana na KIONGOZI WA KIMILA aliyekuwa anaitwa KIDAHA MAKWAIA.

Huyu KIONGOZI WA KIMILA alikuwa anasaidia sana watu wake na wenyeji wengi wa KISHAPU walikwenda UGHAIBUNI kupitia kwake.

Yaani kwa LUGHA nyingine tunaweza kusema kuwa wenyeji wa KISHAPU ndiyo walianza kwenda UGHAIBUNI kabla ya wenyeji wote wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.

Hawa WATU bado wapo vizuri KIUCHUMI hadi leo na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI kupitia biashara zao ambazo watangulizi wao walikuwa wanazifanya hata kabla ya TANGANYIKA kupata UHURU wake kutoka kwa UINGEREZA.

Pale SHINYANGA, kabla ya kuanzishwa kwa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo iliyoitwa ALLY'S, kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kushuka chini kulikuwa kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria iliyokuwa inaitwa NKAMBA'S.

Hao wenyeji wa asili wa KISHAPU ndiyo walikuwa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria iliyokuwa inaitwa NKAMBA'S na wamefanikiwa sana KIUCHUMI kwa sababu wanafahamu vizuri MAZINGIRA YA SIASA ZA TANZANIA.

Miezi michache iliyopita baada ya kupata likizo nilifanikiwa kwenda SHINYANGA na nilivyofika SHINYANGA MJINI nilikutana na HARRIER NEW MODELS ambazo zimeandikwa NKAMBA'S LODGE na zilikuwa na namba za usajili za kutoka TAIFA JIRANI LA KENYA.

Maana kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kushuka chini, kilikuwa ni kipindi kigumu sana - kwa sababu kulikuwa kuna NYOKA na WAPIGA NYOKA. Sasa hawa walifanikiwa kuishi vizuri na NYOKA na WAPIGA NYOKA, lakini ilikuwa ni mwiko "KUFUGA NYOKA NDANI".

Eeh! Huu msemo wa "KUFUGA NYOKA NDANI" ulikuwa maarufu sana kwenye miaka ya tisini [1990's]. Kipindi hicho mwanaume alikuwa akitaka kuoa mwanamke, alikuwa anapewa wosia ambao ulikuwa unasema hivi - "kuwa makini usije KUFUGA NYOKA NDANI".

Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa KISHAPU hasa UTEMI WA BUSIYA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi na waliishi kwa makini na JAMII YA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO].

Wale wenyeji wa asili wa KISHAPU hasa UTEMI WA BUSIYA wamefanikiwa sana kutokana na ushirikiano walionao na MATAIFA YA MAGHARIBI, hasa UINGEREZA.

Tofauti na hapo wangeliweza kuwa kama wakina CHIFU MKWAWA WA KALENGA na maswahibu waliyoyapata kupitia ADAM SAPI MKWAWA, ambapo maswahibu hayo yanaendelea kuwaandamana hadi leo.

Vile vile, wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanafanya mambo makubwa sana. Sema kutokana na wao kuwa na utamaduni wa kukaa kimya yaani "SILENT MAJORITY" - mambo mengi yanaendelea kufanyika kwa siri na bila kutangaza.


Pale katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuna mmiliki wa BAISLEY PARK HOUSES inayopatikana katika JIJI LA NEW YORK, nchini MAREKANI.


Hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES inahusika na APARTMENTS za kupangisha na inafanya vizuri katika soko la ushindani.




Kipindi hicho, kabla ya kustawi kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA ilikuwa inaaminika kuwa mmiliki halali wa kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ndiyo MWASHITA wa kwanza kwa kumiliki UCHUMI MKUBWA.


Hii ilikuwa ni kweli, kwa sababu kabla ya kuanzishwa kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA kulikuwa hakuna mtu ambaye angeliweza kumiliki kampuni kama BAISLEY PARK HOUSES.


Hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ina historia yake, kwani hata biashara ya ununuzi iliyofanyika ilikuwa ni kudumisha mahusiano mazuri kati ya UINGEREZA na mnunuzi ambaye ni [...].




Kwahiyo baada ya kufanikiwa kuwekeza katika MATAIFA YA MAREKANI pamoja na ULAYA, ilikuwa ni fursa kupeleka wahamiaji yaani "LEGAL IMMIGRANTS" katika MATAIFA YA MAREKANI pamoja na ULAYA.






Hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ilipokea wahamiaji wengi sana kutoka TANZANIA, hususani kutoka katika MKOA WA SHINYANGA.


Yaani hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ilibeba wahamiaji wengi sana kutoka katika MKOA WA SHINYANGA.






Hawa watu weusi wanaoonekana katika hizi picha ni wahamiaji waliohamia MAREKANI wakitoka katika MKOA WA SHINYANGA, nchini TANZANIA.






Yaani hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ilibeba wakaazi wengi sana kutoka MKOA WA SHINYANGA na kuhamia MAREKANI.










Hii JAMII imetoa watu maarufu sana, akiwemo [...] ambaye ni MSANII WA HIP HOP kutoka nchini MAREKANI.


Huyu MSANII anafanya vizuri sana katika tasnia ya MUZIKI WA HIP HOP nchini MAREKANI na ULIMWENGUNI kwa ujumla.

Huyu MSANII ni "MOST SUCCESSFUL FEMALE RAPPER" wa muda wote akiwakilisha TAIFA LA MAREKANI.


Pia, kwa kupitia kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES walifanikiwa kumiliki kampuni ya VERSACE.


Hii kampuni ya VERSACE inafanya vizuri sana katika mavazi, mikoba, miwani na mambo mengine mengi.
 
nimewaza kama wewe, aliwahi kuijibu hii hoja yako lakini?
 
mwashita hawapo kweny DP world?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana! JAMII YA MWASHITA hawahusiki na UFISADI wowote unaoendelea kufanyika ndani ya serikali inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

JAMII YA MWASHITA walitafuta PESA na wakazipata na hawana muda na serikali inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Jaribu kuangalia hiki kibao cha BAISLEY PARK HOUSES ambacho kinapatikana mtaa wa SOUTH JAMAICA, QUEENS katika JIJI LA NEW YORK, nchini MAREKANI.


Hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES kwa mara ya kwanza iliimbwa kwenye NYIMBO ya MSANII WA HIP HOP anayeitwa JA RULE na NYIMBO hiyo ilikuwa inaitwa NEW YORK.

Huyu mmiliki halali wa kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES anaaminika kuwa ni mtu mwenye UCHUMI MKUBWA katika JAMII YA MWASHITA.


Na kupitia kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES walifanikiwa kumiliki kampuni ya SUPREME. Hii kampuni ya SUPREME inahusika na mavazi, viatu na mikoba.

Kwahiyo kwa ujumla wake wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wapo vizuri KIUCHUMI na wanamiliki VYAMA VYA KISIASA na hawapo kwenye UFISADI unaoendelea kufanyika kwenye serikali inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
 
nimewaza kama wewe, aliwahi kuijibu hii hoja yako lakini?
Ukiwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] halafu sio miongoni mwa JAMII YA SERENGETI, unatakiwa uchukue PESA ZA KUTOSHA, maana kuna siku hata hiyo nafasi uliyonayo leo utaikosa.


Yaani inabidi uchukue PESA hadi CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] wenyewe waombe poo.. 😂


Wakiwakata majina kwenye mchakato wa uchaguzi, CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CDM] kipo na kitawapokea, kwa sababu ni CHAMA ambacho kimejinadi kwa muda mrefu kuwa ni CHAMA CHA DEMOKRASIA.
 
Wale waliokuwa wenyeji wa KISHAPU hasa HIMAYA YA BUSIYA walianza kwenda UGHAIBUNI tangu miaka ya sabini [1970's] na walikuwa wanasaidiwa na aliyekuwa CHIFU kwa kipindi kile.

CHIFU MAKWAIA alikuwa anafanya kama alivyokuwa anafanya HAYATI MWALIMU, kwani na yeye alisambaza watu wake ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA.


Yaani CHIFU MAKWAIA alikuwa anaenda sawa na HAYATI MWALIMU. HAYATI MWALIMU alikuwa anafanya vile kwa sababu za kidiplomasia, lakini CHIFU MAKWAIA alikuwa anafanya vile kwa sababu ya UCHIFU.


Kuna watu wengi sana waliohamia MAREKANI wakitoka katika MKOA WA SHINYANGA, hususani katika WILAYA YA KISHAPU.




Pale KISHAPU ndiyo chimbuko la neno "WAPAMBANAJI" lilipoanzia na kuenea sehemu zote za USUKUMANI. Hawa ndiyo "SIMBA LUNYASI".




Kipindi kile walipokuwa wanahama sehemu zao za asili na kuhamia sehemu mbalimbali za TANZANIA na hata UGHAIBUNI walikuwa wanaambiwa wataenda kufa njaa.




Sasa wao walikuwa wanamuamini CHIFU wao na kila walipoambiwa kuwa wataenda kufa njaa, walikuwa wanajibu watakula hata nyasi. Ndiyo ule msemo wa "SIMBA LUNYASI" ulipoanzia.


Miaka ile ya sabini hadi tisini [1970's hadi 1990's] wale waliokuwa WASUKUMA WA KISHAPU walikuwa juu sana na WASUKUMA WA MATABAKA mengine walikuwa ni watazamaji.


Eeh! WASUKUMA WA MATABAKA mengine walikuwa ni watazamaji, simanzi na udhuni vilikuwa vimetawala jinsi wakiona wenzao walivyokuwa wakisambaa sehemu mbalimbali za TANZANIA na baadhi kuhamia UGHAIBUNI.


Yule CHIFU MAKWAIA alikuwa ni MTU MSOMI na SIASA ZA TANU aliamua kuwaachia wakina BIBI TITI MOHAMMED, OSCAR SALATHIEL KAMBONA, ADAM SAPI MKWAWA, RASHID MFAUME KAWAWA, KASANGA TUMBO, CHIFU ABDALLAH FUNDI KIRA pamoja na wanasiasa wengine wa kipindi kile.


CHIFU MAKWAIA alijikita katika biashara na kusaidia watu wake wa KISHAPU, hasa HIMAYA YA BUSIYA na ilifikia hatua CHIFU MAKWAIA alikuwa anajifananisha na VIONGOZI WA MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI - kwa sababu kulikuwa hakuna CHIFU mwingine aliyekuwa anafata pale.


Kwahiyo wale wengine waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa ni watazamaji mpaka pale ile SERA YA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA katika kila MIKOA ilipoanzishwa mwaka 1984.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wamiliki halali wa kampuni ya BAISLEY HOUSES PARK inayopatikana nchini MAREKANI, ndiyo wamiliki halali wa BAISLEY PARK SOUTH SIDE QUEENS.


Hii SOUTH SIDE SERIES ni COMEDY SERIES ambayo inahusisha WAAMERIKA WEUSI ambao ni waahamiaji waliohamia kutoka TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA KISHAPU.

Hii COMEDY SERIES ipo tangu siku nyingi na huwa inapatikana YOUTUBE kwenye ACCOUNT YA COMEDY CENTRAL.
 





Kupitia kampuni ya BAISLEY HOUSES PARK walifanikiwa kumiliki SNAPBACKS [KOFIA] za QUEENS 718 na zinafanya vizuri kwenye SOKO LA USHINDANI.




Pia kuna kampuni ya vinywaji ambayo inatengeneza maji ya kunywa yanayoitwa SMARTWATER inayopatikana nchini MAREKANI.


Pia huwa wanatoa chakula, malazi na mavazi kwa watu wao ambao watakuwa wamehamia MAREKANI au MATAIFA yoyote kwa wakati huo.




Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa na kazi ya kufanya na kuiga namna CHIFU MAKWAIA alivyokuwa anafanya kwa watu wake wa KISHAPU, hasa HIMAYA YA BUSIYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…