HAYATI MWALIMU alikuwa ni SUNGURA MJANJA na waliomuweza HAYATI MWALIMU walikuwa ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
Hii ilitokana na ujirani waliokuwa nao na JAMII YA SERENGETI. Kwahiyo JAMII YA MWASHITA na JAMII YA SERENGETI wanafahamiana kitabia na ndiyo maana kwenye ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA hakuna wahanga wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Yaani kwa LUGHA nyingine tunaweza kusema kuwa kule katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA hakuna mwenyeji wa asili aliyeathirika na SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kushuka chini hadi miaka ya sitini [1960's], wale waliokuwa wenyeji wa KISHAPU kutoka MKOA WA SHINYANGA walikuwa juu sana na hii ilitokana na KIONGOZI WA KIMILA aliyekuwa anaitwa KIDAHA MAKWAIA.
Huyu KIONGOZI WA KIMILA alikuwa anasaidia sana watu wake na wenyeji wengi wa KISHAPU walikwenda UGHAIBUNI kupitia kwake.
Yaani kwa LUGHA nyingine tunaweza kusema kuwa wenyeji wa KISHAPU ndiyo walianza kwenda UGHAIBUNI kabla ya wenyeji wote wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
Hawa WATU bado wapo vizuri KIUCHUMI hadi leo na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI kupitia biashara zao ambazo watangulizi wao walikuwa wanazifanya hata kabla ya TANGANYIKA kupata UHURU wake kutoka kwa UINGEREZA.
Pale SHINYANGA, kabla ya kuanzishwa kwa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo iliyoitwa ALLY'S, kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kushuka chini kulikuwa kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria iliyokuwa inaitwa NKAMBA'S.
Hao wenyeji wa asili wa KISHAPU ndiyo walikuwa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria iliyokuwa inaitwa NKAMBA'S na wamefanikiwa sana KIUCHUMI kwa sababu wanafahamu vizuri MAZINGIRA YA SIASA ZA TANZANIA.
Miezi michache iliyopita baada ya kupata likizo nilifanikiwa kwenda SHINYANGA na nilivyofika SHINYANGA MJINI nilikutana na HARRIER NEW MODELS ambazo zimeandikwa NKAMBA'S LODGE na zilikuwa na namba za usajili za kutoka TAIFA JIRANI LA KENYA.
Maana kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kushuka chini, kilikuwa ni kipindi kigumu sana - kwa sababu kulikuwa kuna NYOKA na WAPIGA NYOKA. Sasa hawa walifanikiwa kuishi vizuri na NYOKA na WAPIGA NYOKA, lakini ilikuwa ni mwiko "KUFUGA NYOKA NDANI".
Eeh! Huu msemo wa "KUFUGA NYOKA NDANI" ulikuwa maarufu sana kwenye miaka ya tisini [1990's]. Kipindi hicho mwanaume alikuwa akitaka kuoa mwanamke, alikuwa anapewa wosia ambao ulikuwa unasema hivi - "kuwa makini usije KUFUGA NYOKA NDANI".
Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa KISHAPU hasa UTEMI WA BUSIYA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi na waliishi kwa makini na JAMII YA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO].
Wale wenyeji wa asili wa KISHAPU hasa UTEMI WA BUSIYA wamefanikiwa sana kutokana na ushirikiano walionao na MATAIFA YA MAGHARIBI, hasa UINGEREZA.
Tofauti na hapo wangeliweza kuwa kama wakina CHIFU MKWAWA WA KALENGA na maswahibu waliyoyapata kupitia ADAM SAPI MKWAWA, ambapo maswahibu hayo yanaendelea kuwaandamana hadi leo.
Vile vile, wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanafanya mambo makubwa sana. Sema kutokana na wao kuwa na utamaduni wa kukaa kimya yaani "SILENT MAJORITY" - mambo mengi yanaendelea kufanyika kwa siri na bila kutangaza.
Pale katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuna mmiliki wa BAISLEY PARK HOUSES inayopatikana katika JIJI LA NEW YORK, nchini MAREKANI.
Hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES inahusika na APARTMENTS za kupangisha na inafanya vizuri katika soko la ushindani.
Kipindi hicho, kabla ya kustawi kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA ilikuwa inaaminika kuwa mmiliki halali wa kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ndiyo MWASHITA wa kwanza kwa kumiliki UCHUMI MKUBWA.
Hii ilikuwa ni kweli, kwa sababu kabla ya kuanzishwa kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA kulikuwa hakuna mtu ambaye angeliweza kumiliki kampuni kama BAISLEY PARK HOUSES.
Hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ina historia yake, kwani hata biashara ya ununuzi iliyofanyika ilikuwa ni kudumisha mahusiano mazuri kati ya UINGEREZA na mnunuzi ambaye ni [...].
Kwahiyo baada ya kufanikiwa kuwekeza katika MATAIFA YA MAREKANI pamoja na ULAYA, ilikuwa ni fursa kupeleka wahamiaji yaani "LEGAL IMMIGRANTS" katika MATAIFA YA MAREKANI pamoja na ULAYA.
Hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ilipokea wahamiaji wengi sana kutoka TANZANIA, hususani kutoka katika MKOA WA SHINYANGA.
Yaani hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ilibeba wahamiaji wengi sana kutoka katika MKOA WA SHINYANGA.
Hawa watu weusi wanaoonekana katika hizi picha ni wahamiaji waliohamia MAREKANI wakitoka katika MKOA WA SHINYANGA, nchini TANZANIA.
Yaani hii kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES ilibeba wakaazi wengi sana kutoka MKOA WA SHINYANGA na kuhamia MAREKANI.
Hii JAMII imetoa watu maarufu sana, akiwemo [...] ambaye ni MSANII WA HIP HOP kutoka nchini MAREKANI.
Huyu MSANII anafanya vizuri sana katika tasnia ya MUZIKI WA HIP HOP nchini MAREKANI na ULIMWENGUNI kwa ujumla.
Huyu MSANII ni "MOST SUCCESSFUL FEMALE RAPPER" wa muda wote akiwakilisha TAIFA LA MAREKANI.
Pia, kwa kupitia kampuni ya BAISLEY PARK HOUSES walifanikiwa kumiliki kampuni ya VERSACE.
Hii kampuni ya VERSACE inafanya vizuri sana katika mavazi, mikoba, miwani na mambo mengine mengi.