Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mfano kuwahamisha watu vijiji vya asili na kuwapeleka vijiji vya ujamaa, walikufa wengi sana, lakini hayasemwi.
Kipindi kile ambacho watu wanaamishwa kutoka vijiji vyao vya asili na kupelekwa kwenye vijiji vya ujamaa, HAYATI MWALIMU alikuwa anaanzisha kijiji cha ujamaa kwa kukusanya FAMILIA MIA MOJA.

Ndiyo maana kipindi kile kulikuwa kuna VIJIJI VYA WATU MIA [100] na hali hii ilikuja kujirudia tena katika miaka ya themanini [1984's] pale ambapo wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walipoanza kuwahamisha watu wao na kuwapeleka sehemu ambazo wamewekeza katika sekta mbalimbali.


Kipindi ambacho WATANZANIA wengi wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanahamia katika MATAIFA YA KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI NA KONGO - ilikuwa kila siku ikifika saa moja jioni, lazima nyumbani watafungua radio na kusikiliza IDHAA YA KISWAHILI ya SAUTI YA AMERIKA [VOA] kutoka WASHINGTON DC nchini MAREKANI iliyokuwa ikisomwa na MTANGAZAJI MASHUHURI wa kipindi kile aliyekuwa anaitwa MKAMITI KIBAYASI.


Halafu kwa upande wa TAIFA LA KONGO alikuwa anaripoti MTANGAZAJI MASHUHURI wa kipindi kile aliyekuwa anaitwa SALEH MWANAMILONGO.

WATANGAZAJI MASHUHURI wengine kutoka SAUTI YA AMERIKA [VOA] walikuwa ni AIDA ISSA, PATRICK NDUWIMANA na SUNDAY SHOMARI.


Habari kubwa kwa kipindi kile ilikuwa ni SIASA ZA MAZIWA MAKUU hususani SIASA ZA MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO yaani PUISSANTS na wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanashiriki SIASA ZA MAZIWA MAKUU.
 
wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihamia sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na hata nje ya nchi.


Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia RWANDA walifanikiwa kuwa na chama cha kisiasa kilichoitwa RPF INKOTANYI.


CHAMA CHA RPF INKOTANYI ndiyo CHAMA TAWALA kwa sasa katika TAIFA LA RWANDA na wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa sana katika MATAIFA YA BURUNDI na KONGO.
 
wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Sasa hivi hiyo MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA imekaliwa na WALOWEZI. Wenyeji wengi walihama na kusambaa sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na hata nje ya nchi.


Miongini mwao, ni huyu mama mzazi wa MSANII anayeitwa SHO'MAJIDZO. Huyu mama ni miongini mwa MWASHITA waliofanikiwa kuhamia AFRIKA YA KUSINI katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia AFRIKA YA KUSINI.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


SHO'MAJIDZO anafanya vizuri sana kwenye tasnia ya muziki na kipindi fulani alihamia nchini KENYA na alifanikiwa kukutana na WATANZANIA wenzie.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Wengine ni wakina LAUREN JAMES ambaye mzazi wake mmoja alipata fursa ya kuhamia katika TAIFA LA UINGEREZA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


LAUREN JAMES ni chotara ambaye baba yake ndiyo MTANZANIA mwenye asili ya MWASHITA aliyehamia UINGEREZA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka katika MKOA WA SHINYANGA.


LAUREN JAMES ni mcheza mpira hodari sana na msimu uliopita alifanikiwa kupata kandarasi ya zaidi ya mwaka mmoja katika KLABU YA CHELSEA.


Pia LAUREN JAMES anashiriki michuano ya KIMATAIFA kupitia TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA ambapo mara kwa mara huwa anaitwa kuwakilisha TAIFA LA UINGEREZA katika michuano ya KIMATAIFA.


LAUREN JAMES huwa akipata wasaa anapenda kuja TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA kusalimia ndugu na jamaa waliowaacha TANZANIA.


Mwingine ni huyu ambaye wazazi wake wote wawili ni wenyeji wa MWANZA ambao walipata fursa ya kuhamia katika TAIFA LA URENO kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihamia sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na hata nje ya nchi.


Huyu pia ni MTANGAZAJI WA VIPINDI VYA RADIO VYA NRG kwa upande wa TAIFA LA UGANDA.


Huyu pia ni MISS UGANDA kwa mwaka 2019 hadi mwaka 2021 na taji lake la MISS UGANDA lilidumu kwa VIPINDI VYA MIAKA MIWILI kutokana na mlipuko wa UVIKO - 19.


Mwingine ni huyu, mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia NAMIBIA, yeye pamoja na wazazi wake.


Mwingine ni huyu, mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia KENYA, yeye pamoja na wazazi wake.


Mwingine ni huyu, mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia RWANDA, yeye pamoja na familia yake.




Hii JAMII YA MWASHITA ni "DIVERSITY SOCIETY" na kuna kila aina ya watu, kutokana na idadi yao kuwa kubwa.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA waliohamia katika MATAIFA mbalimbali.
 
Duh
 

Angalia hiyo TATOO kwenye mguu wa kushoto! Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Huyu ni mwenyeji wa MWANZA, yeye pamoja na familia yake walipata fursa ya kuhamia katika TAIFA LA MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu pia ni mwenyeji wa SHINYANGA, yeye pamoja na familia yake walipata fursa ya kuhamia katika TAIFA LA MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Kuna familia chache ambazo zilibaki katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA, lakini walio wengi ni WALOWEZI waliohamia katika MIKOA hiyo na kuakisi TAMADUNI ZA KISUKUMA.
 
Hawezi kuandika habari za mgalatia.Kambona angekuwa Ustadhi angeshaandika vitabu kumi.
 
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishahama huko kwenye mikoa yao ya asili na kuhamia ZANZIBARI pamoja na MATAIFA YA KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI.


Huyu ni mcheza mpira wa timu ya wanawake ya PSG na timu ya TAIFA YA UFARANSA na ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Anaitwa MARIE KATOTO, mwenyeji wa asili wa MWANZA na amecheza michuano ya KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE [2023] kupitia TIMU YA TAIFA YA UFARANSA.


Hawa ndiyo MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA. Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia ZANZIBARI pamoja na MATAIFA YA KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI walipata fursa ya kuhamia MATAIFA mengine ikiwemo MATAIFA yanayopatikana katika BARA LA AFRIKA, ULAYA, ASIA, AMERIKA YA KASKAZINI na AMERIKA YA KUSINI.


Wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wanaishi nje ya mipaka ya TANZANIA [DIASPORA] wanafanya kazi katika sekta ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].


Ukiwa UINGEREZA, huwa wana msemo maarufu unaosema hivi - "You cannot eliminate discrimination, but you can reduce it". Kwahiyo ukitaka kutimiza ndoto zako, tafuta vyako halafu ufanye unavyotaka wewe. Kwani dunia ya leo haina huruma, imetawaliwa na ushindani.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walitafuta uchumi wao na wakajitahidi kuwekeza kupitia watu wao, hatimaye leo kuna MTANZANIA anaitwa MARIE KATOTO anacheza mpira katika timu ya wanawake ya TAIFA YA UFARANSA.


Hii ndiyo siasa ambayo huwa inafanyika katika DUNIA YA UTANDAWAZI na ina dumisha mahusiano ya kijamii.


Kwahiyo kuna IDADI KUBWA YA WATU ambao walihama ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi na zilizobaki kule ni familia chache sana.
 
Hawezi kuandika habari za mgalatia.Kambona angekuwa Ustadhi angeshaandika vitabu kumi.

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliachana na mambo ya udini na kuamua kuwa kitu kimoja.


Sasa hivi wapo mbali sana kiuchumi na SIASA ZA CHAMA TAWALA walishaziacha tangu mwaka 1992 ulipoanzishwa MFUMO WA VYAMA VINGI.


Huyu pia ni mcheza mpira wa timu ya wanawake ya OLYMPIQUE LYONNAIS na timu ya TAIFA YA UFARANSA mwenye asili ya MWASHITA. Hawa ndiyo SIMBA 🦁 na anaitwa WENDIE RENARD.
 
Huyu WENDIE RENARD ni MTANZANIA mwenye asili ya MWASHITA aliyehamia UFARANSA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka MKOA WA MWANZA.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.




Ukiwa pale LYON, nchini UFARANSA kuna WATANZANIA wengi ambao walihamia kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Huyu WENDIE RENARD anacheza mpira wa kulipwa katika timu ya OLYMPIQUE LYONNAIS inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA.


Na ameshiriki KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE kwa msimu uliopita akiwakilisha TIMU YA TAIFA YA UFARANSA.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Huyu WENDIE RENARD huwa anaenda MWANZA mara kwa mara pale anapokuwa amepata mapumziko ya msimu.
 

WENDIE RENARD huwa anakuja MWANZA karibia kila mwaka ambapo kunakuwa na mapumziko ya msimu.


Ukiwa pale UFARANSA, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wamejitahidi kuwekeza katika sekta tofauti tofauti na mara nyingi huwa wanamtumia ARSENE WENGER katika kuendeleza falsafa ya kucheza mpira wa kulipwa.


Hawa wote ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na walihamia UFARANSA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wao walikuwa ni wenyeji wa MKOA WA MWANZA.


Mmoja kati yao amefanikiwa kupata kandarasi ya kucheza mpira wa kulipwa katika timu ya wanawake ya FC BAYERN MUNCHEN inayopatikana nchini UJERUMANI.


Mwingine amefanikiwa kupata kandarasi ya kucheza mpira wa kulipwa katika timu ya wanawake ya MANCHESTER UNITED inayopatikana nchini UINGEREZA.


Hawa wote ni zao la timu ya mpira wa miguu ya wanawake inayopatikana katika JIJI LA LYON, nchini UFARANSA inayoitwa OLYMPIQUE LYONNAIS.


Kwahiyo, kwa siku za usoni timu ya mpira wa miguu ya HAMBURGER SV inayopatikana katika JIJI LA HAMBURG, nchini UJERUMANI itakuwa ni timu ya kufikia kwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kama ilivyo kwa timu ya OLYMPIQUE LYONNAIS.


Hii timu ya mpira wa miguu inayoitwa HAMBURGER SV ambayo inapatikana nchini UJERUMANI inamilikiwa na huyo anayeonekana kwenye picha akiwa ameegemea CHUMA. Yaani leseni ya timu ya mpira wa miguu ya HAMBURGER SV inasoma jina la huyo aliyeegemea CHUMA.
 
Mwingine ni huyu mcheza mpira wa timu ya mpira wa miguu ya wanawake ya TAIFA LA UHISPANIA ambaye anaitwa SALMA PARALLUELO.


Huyu SALMA PARALLUELO ni chotara ambaye mzazi wake mmoja ni MWASHITA aliyehamia UHISPANIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.


SALMA PARALLUELO mara nyingi huwa anapenda kuja TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA kipindi cha mapumziko ya msimu, hata kabla ya kuanza kwa michuano ya KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE [2023] alikuwepo SHINYANGA MJINI.


Baada ya kumalizika kwa michuano ya KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE [2023] alifanikiwa kupata kandarasi ya kujiunga na timu ya mpira wa miguu ya wanawake ya UHISPANIA ambayo inaitwa FC BARCELONA.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Kwa MATAIFA yaliyoendelea, hususani MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA - kuwa na kipaji pekee yake haitoshi kwa wanamichezo kuitwa TIMU ZA TAIFA. Huwa kuna vigezo vya ziada ambavyo wanamichezo wanapaswa kuwa navyo ili kuwakilisha TAIFA katika michuano mbalimbali.


Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa kuwekeza katika SOKO LA DUNIA.
 
Wafuasi wa Mohamed Said

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo na masuala yanayohusu udini, wenzenu walishayaacha tangu siku nyingi sana.


Sasa hivi kilichobaki ni kuendelea kuwa wamoja na kujijenga KIUCHUMI kupitia watu wao wenyewe.


Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wataendelea kuwepo vizuri KIUCHUMI kwa kipindi kirefu sana.
 
basi mwashita si aanzishe dola yake tuu, mapesa yote hayo
 
Huyu mwingine anaitwa ASHA DJAFARI ni mcheza mpira wa timu ya wanawake ya SIMBA SC na anawakilisha TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA BURUNDI.


Huyu pia ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.

Kwenye ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wenyeji wengi walihama na kusambaa sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na hata nje ya nchi, pia kuna WALOWEZI walifanikiwa kuhamia na kuakisi tamaduni za watu wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
 

Mwingine ni huyu MTANZANIA ambaye anaishi katika JIJI LA ACCRA, nchini GHANA. Mwenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kipindi wanasambaa kulikuwa hakuna hata MITANDAO YA KIJAMII.


Mwingine ni huyu MTANZANIA ambaye anaishi katika JIJI LA SAO PAULO, nchini BRAZILI. Mwenyeji wa asili wa MKOA WA MWANZA.


Kile kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kuna WATANZANIA wengi ambao walihama TANZANIA na kwenda kuwa DIASPORA katika MATAIFA mbalimbali.


Mwingine ni huyu MTANZANIA ambaye anaishi katika JIJI LA SAO PAULO, nchini BRAZILI. Mwenyeji wa asili wa MKOA WA MWANZA.


Huyu pia huwa ni MSANII, anaitwa IZA na huwa anatumbuiza kwenye matamasha mbalimbali, huko AMERIKA YA KUSINI.


Huyu MSANII IZA anafanya vizuri sana kwenye tasnia ya sanaa na muziki nchini BRAZILI.


Huyu pia ni mcheza mpira wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA WANAWAKE YA WNBA, inayoitwa NEW YORK LIBERTY inayopatikana nchini MAREKANI.


Hawa ndiyo wamiliki halali wa MARVEL STUDIOS ambayo inamilikiwa na kampuni ya WALTER DISNEY'S inayopatikana nchini MAREKANI.


MARVEL STUDIOS ndiyo waandaaji wa FILAMU YA BLACK PANTHER na waigizaji wengi wa FILAMU YA BLACK PANTHER ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA. #WakandaForever #BlackPanther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…