Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walikuwa wanafahamu SIASA YA TANGANYIKA na hatimae TANZANIA.
WAINGEREZA walivyoondoka baada ya TANGANYIKA kupata UHURU WA BENDERA [1961], waliwaacha WAHINDI. JAMII YA WAHINDI ndiyo ilikuwa ni jamii mbadala baada ya kuondoka kwa WAINGEREZA.
JAMII YA WAHINDI waliokuwa wanaishi TANGANYIKA na hatimae TANZANIA walikuwa ni mbadala wa WAINGEREZA katika masuala yote yanayohusu TANZANIA na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Hadi leo hii, ukijaribu kuangalia BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] ni kampuni ambazo kwa namna moja ama nyingine zinamilikiwa na WAHINDI. Hawa WAHINDI ni mbadala wa WAINGEREZA.
Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walikuwa wanafahamu haya mambo tangu siku nyingi na kipindi cha kuanzia miaka ya themanini na nne [1984's] ambapo sera ya kuanzishwa kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA inaasisiwa - WATANZANIA wengi walijijenga kiuchumi wakiwemo KUGI'S kutoka MKOA WA KAGERA.
KUGI'S bado wapo na ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SARATOGA [THE PRIDE OF KIGOMA] , ambayo inapatikana katika MKOA WA KIGOMA.
Pia wale waliokuwa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya MAFUTA inayoitwa KUGI'S ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa CUBBY'S inayopatikana nchini MAREKANI.
Pia wanamiliki CUBBY'S SPORTS BAR AND GRILL inayopatikana DOWNTOWN BROOKINGS, nchini MAREKANI.
Hii CUBBY'S SPORTS BAR AND GRILL huwa inatumika kufanya uchambuzi wa masuala ya michezo kama BASEBALL na BASKETBALL.
Wao pia wamejitahidi kuwekeza nje ya mipaka ya TANZANIA na wamefanikiwa pakubwa kuwekeza katika MAJENGO.
Ukiwa pale MAREKANI wamejitahidi kuwekeza katika MIGAHAWA na wanafanya vizuri karibia MAJIMBO yote ya MAREKANI.
Pia hii kampuni ya CUBBY'S imeenea hadi KOREA YA KUSINI na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI.
Ukiwa pale nchini MAREKANI, hii kampuni ya CUBBY'S ndiyo inamiliki KIWANDA kinachotengeneza bia ambacho kinaitwa GOOSE ISLAND BEER COMPANY.
Hii kampuni ya GOOSE ISLAND BEER COMPANY inafanya vizuri katika SOKO LA USHINDANI, lakini bado siyo kinywaji maarufu ukilinganisha na bia nyingine kama HENNESSEY, HEINEKEN au VODKA.
Pia kuna baadhi ya WATANZANIA walifanikiwa kuhamia MAREKANI kwa kupitia kampuni ya kutengeneza bia inayoitwa GOOSE ISLAND BEER COMPANY.
Kuna WATANZANIA ambao walifanikiwa kufahamu hali ya kisiasa kwa upande wa TANZANIA na wakafanikiwa kujijenga KIUCHUMI, ili kuondokana na ile dhana ya BRITISH AUTONOMOUS.
Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walijijenga sana kwenye masuala ya KIUCHUMI na walifanikiwa kuweka watu wao kila sehemu ambapo walifanikiwa kuwekeza.