Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

basi mwashita si aanzishe dola yake tuu, mapesa yote hayo
Eeh! Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wana hela, haijapata kutokea mpaka leo.


Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA pamoja na KAGERA [KCU] ndiyo wameshikilia BANDARI YA DAR ES SALAAM.

Kuna kipindi fulani cha miaka ya tisini [1990's] hadi elfu mbili [2000's], TANZANIA iliwahi kuwa na BALOZI NCHI YA KANADA aliyekuwa anaitwa MAMA CHIPUNGAHELO.

Huyu MAMA CHIPUNGAHELO aliwahi pia kuwa MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM. Sasa kipindi fulani akiwa BALOZI WA TANZANIA kwa upande wa TAIFA LA KANADA alikuwa anawasifia sana wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA KAGERA [KCU].

Wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA KAGERA [KCU] walikuwa wamewekeza sana kwenye MAJENGO, hadi KANADA walikuwa wameshawekeza na hawa wengine wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa wanawekeza kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO.


Ilifikia hatua mmoja wa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA KAGERA [KCU] alinunua LORI moja aina ya MERCEDES BENZ, halafu akaipeleka SHINYANGA MJINI. Pale SHINYANGA MJINI ilikuwa inatembea tembea tu.

Pembeni ya bodi ilikuwa imechorwa MIKUNGUU YA NDIZI na upande wa mbele kwenye bodi ilikuwa imeandikwa "NINSIMAKATONDA" maana yake ni "TUNAMSHUKURU MUNGU" kwa LUGHA YA KIHAYA. Hilo LORI lipo hadi leo na limepaki kule kwenye zile gereji za UWANJA WA KAMBARAGE. Ilikuwa ni MERCEDES BENZ yenye kichwa cha rangi ya kijani na bodi ya rangi nyeupe.

Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walivyosikia hivyo walifanya KUFURU, ikiwa pamoja na kununua na kumiliki KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA na waliwekeza sana kwenye MAJENGO, SEKTA YA VIWANDA pamoja na SEKTA YA USAFIRISHAJI.
 
Taio cruz baba yake anaasili ya Nigeria
 
Taio cruz baba yake anaasili ya Nigeria

Hata LUPITA NYONG'O walisema baba yake ana asili ya KENYA na mara nyingi huwa inafanyika hivyo kwa sababu binafsi.

Lakini baada ya kutoka kwa filamu ya BLACK PANTHER [WAKANDA FOREVER], wapenzi wa filamu ndiyo wakaanza kufahamu asili ya LUPITA NYONG'O [🦁].


Mara nyingi huwa wanaficha kwa sababu fulani fulani, lakini ukweli huwa unafahamika kwa wachache.
 
basi mwashita si aanzishe dola yake tuu, mapesa yote hayo
SIASA ZA TANZANIA huwa hamzijui! Muda mwingi huwa mnajadili vitu ambavyo havipo na wala havitakuja kutokea hata kwa maisha ya baadae.. πŸ˜‚


Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia katika MATAIFA mbalimbali huwa wanapata fursa ya kujiunga na MAJESHI YA RWANDA, BURUNDI na KONGO. Kwahiyo huwa wana "ADVANTAGE".
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
 
alieigiza black panther as a king
Okay! Wale wote waigizaji ambao ni weusi katika FILAMU YA BLACK PANTHER [WAKANDA FOREVER] ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Huyu ni miongoni mwa MWASHITA walioigiza FILAMU YA BLACK PANTHER [WAKANDA FOREVER] na anaitwa WINSTON DUKE.



Hapa anaonekana akiwa unakula kiapo cha kuwa RAIA WA RWANDA na DIASPORA wengi wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanafanya hivyo. Kwahiyo, sasa hivi utakuwa umeelewa hiyo posti namba 1564.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
SIASA ZA TANZANIA huwa hamzijui! Muda mwingi huwa mnajadili vitu ambavyo havipo na wala havitakuja kutokea hata kwa maisha ya baadae.. πŸ˜‚


Ukitaka kuifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA jiunge na MAJESHI YA ULINZI. Huko utakutana na baadhi ya SURA ambazo huwa zinaonekana HOLLYWOOD YA MAREKANI. Hapo ndipo utajua kuwa ulikuwa hujui kitu.

Hivi huwa unamfahamu RASHEEDA wa HOLLYWOOD? Achana na huyu RASHEEDA WANJARA aliyekuwa MISS MARA na baadae MISS LAKE ZONE.


Je, MASE wa BAD BOY ENTERTAINMENT unamfahamu? Jiunge na MAJESHI YA ULINZI, huko utafahamu mambo mengi.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
Kipindi MAMA CHIPUNGAHELO alipokuwa anastaafu kazi, kulikuwa kuna NYIMBO YA RASHEEDA iliyokuwa inaitwa "MY BUBBLE GUM" ndiyo ilikuwa imetoka.

Huyu MAMA CHIPUNGAHELO kipindi fulani alikuwa anaishi SHINYANGA MJINI kwa mtoto wake wa kike na ilikuwa ikifika mida ya jioni alikuwa anapenda kukaa na wazee na kuzungumzia DIASPORA WA KITANZANIA ambao wanaishi MAREKANI na alikuwa anapenda sana kumtaja RASHEEDA.


Na alikuwa anawasifia sana wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA KAGERA [KCU] kwa uwekezaji waliokuwa wamefanya katika TAIFA LA KANADA.


Kipindi kile wakina MANING NICE walikuwa wanadhaniwa kuwa wangelikuja kuwa wasimamizi wa kampuni za usafirishaji wa abiria na mizigo baada ya wao kuendelea kubaki TANZANIA.


Ilhali wenzao walisambaa na kwenda kuishi MATAIFA mbalimbali ikiwemo MATAIFA YA MAREKANI pamoja na KANADA.




Sasa hivi kuna WATANZANIA wengi wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wanafanya shughuli mbalimbali nchini MAREKANI pamoja na KANADA.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walipeleka watu wao wengi sana nje ya nchi.


Hali ilikuja kubadilika baada ya MATOKEO YA KIDATO CHA NNE [2007], katika ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007] kulikuwa kuna watoto wawili wa waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].


Yule MAMA CHIPUNGAHELO ndiyo akafahamu kwani nini wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliamua kubakiza watoto wao TANZANIA.


Sasa hivi biashara ya usafirishaji wa abiria inaenda kupungua na wanahamia kwenye biashara nyingine.


Na kuna timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA MAREKANI inayoitwa CHARLOTTE FC iliyonunuliwa kutokana na kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S.




CHARLOTTE FC ni timu ya mpira wa miguu ambayo inafanya vizuri sana kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI.


CHARLOTTE FC ni timu ya mpira wa miguu ambayo inajumuisha wachezaji weusi wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamewekeza sana nje ya mipaka ya TANZANIA na watakuwepo kwa kipindi kirefu sana.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
Kipindi hicho MAMA CHIPUNGAHELO anaishi SHINYANGA MJINI alikuwa jirani na wakina MANING NICE pamoja na SASE.

Hili jina la SASE ni kifupisho cha majina mawili, hawa ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SASE BOSA ambayo inafanya shughuli zake za usafirishaji wa abiria kutoka TABORA hadi MBEYA.

Hawa wakina SASE BOSA pamoja na MANING NICE walikuwa wametofautiana mwaka mmoja kipindi wanasoma SHULE YA SEKONDARI na mwaka 2008 - SASE BOSA pia alikuwa kwenye ORODHA YA WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2008].

Pia SASE BOSA na MANING NICE waliendelea kusoma katika shule moja ya KIDATO CHA SITA pale OLD MOSHI.

Hawa wakina SASE BOSA ni ROYAL FAMILY na wanamiliki UCHUMI ambao walijijenga kipindi cha utumishi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].

Kwa upande wa ELIMU YA JUU ndipo walipotofautiana - SASE BOSA alisoma CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM [UDSM] akichukua BSC. CIVIL ENGINEERING na MANING NICE alisoma CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM] akichukua BSC. METALLURGY & MINERAL PROCESSING ENGINEERING.


Hawa wakina MANING NICE waliendelea kujijenga na walifanikiwa kuwa viongozi kipindi wanasoma CHUO KIKUU.


Hawa ni ROYAL FAMILY na wanaandaliwa kwa manufaa ya baadae.


Hawa wanafuata mtindo wa maisha ya kimagharibi [THE ELITES WITH WESTERN VALUES] ikiwa ni pamoja na kuwa POLYGAMOUS kwa watu wao.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ni wamoja na kila aliyemiliki UCHUMI alifanikiwa kuwabeba watu wake wa asili ambapo anapotoka.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SOUTHERN DISTILLING COMPANY inayopatikana NORTH CAROLINA, nchini MAREKANI.


Hii kampuni ya SOUTHERN DISTILLING COMPANY ni kampuni ambayo inatengeneza vinywaji vya SOUTHERN STAR.


Hii WHISKEY inafanya vizuri katika soko la ushindani kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI.


Hiki KIWANDA bado hakijaanza kupokea wafanyakazi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.




Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wataendelea kumiliki UCHUMI MKUBWA na kuwa RESCUE TEAMS kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
Sasa hivi ukiachana na biashara ya usafirishaji ya abiria na mizigo, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanamiliki VIWANDA pamoja na MAJENGO.


Pia wanamiliki MAJENGO sehemu mbalimbali za MATAIFA YA AMERIKA, ASIA pamoja na ULAYA ikiwemo UJERUMANI katika JIJI LA BERLIN.


Wengi wao wamejitanua sana kibiashara, kiasi ambacho hawawezi kufirisika leo wala kesho.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.

Angalia mwingine huyu anaitwa CHLOE BAILEY ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Ukiangalia vizuri hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wana vitu fulani "in common" ambavyo vinawafanya wanakuwa wanafanana fanana.


Wengi wao wamekuwa wakiishi kwa kufanya kazi katika kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa KIWANDA cha kutengeneza pombe kali inayoitwa CÎROC VODKA SPIRITZ inayopatikana nchini MAREKANI.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.

Huyu pia ni MTANZANIA kwa asili na ni mwanasiasa na wakili wa mahakama kuu nchini KENYA. Hawa ni miongoni mwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA akitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.

Yaani kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kuna idadi kubwa sana ya WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliohamia sehemu mbalimbali na kule kwenye hiyo MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walihamia watu wengine na wakafanikiwa kuakisi mtindo na tamaduni za maisha ya huko.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] pale SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna uwanja mkubwa uliokuwa unaitwa UWANJA WA SHYCOM.

Zamani ule uwanja wa SHYCOM ulikuwa haujajengewa ukuta na wala kulikuwa hakuna fremu za maduka. Yaani kulikuwa kuna uwazi mkubwa kutoka pale KANISANI hadi nyuma ya OFISI YA WILAYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kabla ya kutenganishwa, ule uwanja wa SHYCOM ulikuwa ni uwanja mkubwa kuliko ule uwanja wa FURAHISHA unaopatikana katika MKOA WA MWANZA.

Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kulikuwa kuna ujio wa WAIMBA KWAYA kutoka katika TAIFA LA UGANDA ambao walikuwa wanakuja kufanya tamasha la uinjilisti kila mwaka, pale katika uwanja wa SHYCOM.

Kwaya za madhehebu mbalimbali zilikuwa zinashiriki hadi ile KWAYA YA ULYANKHULU kutoka MKOA WA TABORA ilikuwa inakuja SHINYANGA kufanya tamasha la uinjilisti.

Pale watu walikuwa wanakesha wanaimba NYIMBO na MAPAMBIO ya kusifu na kuabudu, halafu ikifika mida ya alfajiri walikuwa wanaondoka na kuelekea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

NYIMBO iliyokuwa maarufu kipindi kile ilikuwa inaimba hivi; "Nitatangaza neno lake BWANA, kwa MATAIFA mbalimbali eeh" 🎢 Waimbe na kumsifu BWANA"🎢 πŸ˜„

Kipindi hicho wakaazi wengi sana wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama sehemu zao za asili na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Miongoni mwao ni wazazi wake na DJ ALISHA, huyu wazazi wake wote ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na huwa wanarudi kusalimia ndugu na jamaa zao waliowaacha TANZANIA.


DJ ALISHA na huyu DJ LINDA wametoka sehemu moja na wote wanafanya kazi ya DJ's ikiwa kama hobi, pia wote walifanikiwa kujiunga na JESHI LA UGANDA, UPDF.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Mwingine ni huyu MTANZANIA ambaye anaishi katika TAIFA LA AFRIKA YA KUSINI.




Huyu wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI wakitoka katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, hususani katika MKOA WA MWANZA.




Huyu pia anafanya kazi ya DJ's kama hobi, lakini na yeye alifanikiwa kujiunga na JESHI LA AFRIKA YA KUSINI, SANDF.




Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na wengi wao wana shauku ya kuhamia MATAIFA YA ULAYA pamoja na MAREKANI kama ikiwa ni sehemu ya kujumuika na wenzao wanaoishi huko.


Wengi wa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia katika MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA huwa wanafanya kazi katika kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].


Na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa WILDEN COFFEE HOUSE inayopatikana nchini MAREKANI.


Kwahiyo bado wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wataendelea kuwa na fursa ya kuhamia MATAIFA YA ULAYA pamoja na MAREKANI kutokana na uwekezaji uliokwishafanyika na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].
 
U love to stress urself.
wajueni kuwa mara kwa mara nacheki hizi forums ili kujua watu wanajadili mada gani za kihistoria. Ningefurahi kabisa kukukumbuswha na zile stori za ikulu na Mwalimu Nyerere. ... Kumbukumbu za Joan Wicken zimechapishwa sasa na Mkuki na Nyota (zinaelelewa vizuri katika biografia ya Othman, Kamata, na Shivji) .... Kitabu cha Oscar Kambona kinakuja na James Brennan, mwanahistoria hodari...Na vile swala la Ujamaa ni gumu kabisa, lakini mnaweza kupata kitu kipya na insha mpya kuhusu utunguaji wa Azimio la Arusha: Agency and the Arusha Declaration: Nyerere, NUTA, and Political Discourse in Tanzania, 1966–7 | The Journal of African History | Cambridge Core

Salamu nyingi wenzangu, msijisababisha presha lakini
 
Salamu nyingi wenzangu, msijisababisha presha lakini

Stori za IKULU na HAYATI MWALIMU ziliisha tangu mwaka 1999 na baada ya hapo walifuata wakina JOSEPH KABILA KABANGE [JKK] waliotawala KONGO - KINSHASA kwa kipindi cha miongo miwili bila ya MAPINDUZI.
 

Hawa WATU walikuwa hawafahamu vizuri SIASA ZA TANZANIA na wengine wanaendelea kuathirika na SIASA ZA TANZANIA hadi leo..πŸ‘πŸ˜‚

Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walifanikiwa kuifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA na ndiyo maana walijijenga vizuri kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA pamoja na CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA KAGERA.


Leo hii, aliyekuwa miongoni mwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo mmiliki halali wa kampuni inayoitwa WILDEN COFFEE HOUSE ambayo chimbuko lake ni MAREKANI.


Sasa hivi hii kampuni ya WILDEN COFFEE HOUSE inapatikana hadi nchini INDONESIA.


Hii kampuni ya WILDEN COFFEE HOUSE ni kampuni mwenza wa kampuni inayoitwa WILDEN inayojishughulisha na pampu zinazotumika kwenye VIWANDA.






Hii kampuni ya WILDEN inafanya vizuri kwenye SEKTA YA USHINDANI na ndiyo kampuni ambayo inahudumia migahawa ya WILDEN COFFEE HOUSE.




Pia hii kampuni ya WILDEN ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA inayoitwa PARIS SAINT GERMAIN [PSG].


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA wamepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo na wamejitahidi kuweka watu wao kila sehemu ambapo wamekuwa wakiwekeza.

Kwahiyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, kule kwenye mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA ndiyo kuna "ROYAL FAMILIES" ambazo zinamiliki UCHUMI pamoja na utajiri wa KIHISTORIA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Unajua WATANZANIA wengi sio wafatiliaji. Kwa mfano, kuna siku nilikuwa nachati na MKURUNGENZI WA KAMPUNI YA UTAFITI WA MADINI inayoitwa [...].

Huyo MKURUNGENZI ni mzungu na alikuwa na uharaka wa kupata GEOLOGIST ambaye ataweza kufanya nae kazi nchini TANZANIA.

Katika majibizano nikamuuliza wamiliki halali wa hiyo kampuni ni wakina nani? Akanijibu kuwa ni WATANZANIA kutoka MKOA WA SHINYANGA..

Hapo ndiyo nikaanza kuelewa na kupata mwanga wa kampuni nyingine ambazo zinazofanana jina na hiyo KAMPUNI YA MADINI.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] bado wana hela mpaka leo.

Ngoja nikipata muda nitakuonesha hiyo kampuni, ni kampuni kubwa na inahusika pia katika usafirishaji wa mafuta na pia wanatengeneza na kusambaza AIR CONDITION [AC] zao.
au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Ulitaka iwe wapi!? Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA baadae walifanikiwa kushiriki SIASA ZA MAZIWA MAKUU.

Huko kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO ndipo walipoenda kupata pesa zaidi na wakafanikiwa kujijenga KIUCHUMI.


Hivi unawafahamu wamiliki halali wa KUNDI LA WAASI WA M23? Hao unaowaona katika MISITU YA KONGO ni WAPIGANAJI tu, lakini wamiliki halali wa KUNDI LA WAASI WA M23 wapo! Huko ndipo wanapoendelea kupata pesa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…