Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
WACHOMA UTAMBI walikuwepo tangu uongozi wa AWAMU YA KWANZA na wataendelea kuwepo hata baada ya miaka mingi ijayo.


WACHOMA UTAMBI wameleta shida kwa WANASIASA, WAFANYABIASHARA na hata wale baadhi ya watu ambao wanakosoa serikali hadharani.

WACHOMA UTAMBI wamejaa kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, huko wataendelea kuwepo ili kumuweka ASKARI kuwa makini hata kwa kile anachokizungumza. Ni hatari sana..


Lakini kwenye kampuni za kibiashara ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, hao WACHOMA UTAMBI hawapo ndiyo maana imekuwa sehemu salama kwa wamiliki na watumiaji.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Hao WACHOMA UTAMBI walishafanya mambo kwenye moja ya kampuni ya usafirishaji ya abiria pale SHINYANGA kwa kuweka CHUMVI kwenye INJINI, ile gari ilifanya "KNOCKING". Baadae ile kampuni ilikuja kufa yote kwa sababu ambazo hazieleweki.

WACHOMA UTAMBI wanaweza kufanya jambo lolote ambalo linaweza kupelekea umauti. Kwenye kampuni zote ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa hakuna WACHOMA UTAMBI.


Hii kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ni kubwa na huwa inatumika na wageni mashuhuri kutoka MATAIFA mbalimbali duniani.


Tofauti na DR JANE GOODALL, pia ilishawahi kutumika na RAIS MSTAAFU WA MAREKANI alipodhuru TANZANIA katika mbuga za uhifadhi wa wanyamapori na MLIMA KILIMANJARO.


WILLIAM [BILL] CLINTON ndiyo mtumiaji mzuri wa EASY TOURS na mara nyingi huwa anatumia kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED kila ambapo huwa anatembelea mbuga za wanyamapori na MLIMA KILIMANJARO.


Sasa hivi, kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ina sifa nzuri kwa MATAIFA YA NJE na inafanya vizuri KIMATAIFA.


Ukiachana na kampuni ya kusafirisha abiria na mizigo inayoitwa EASY COACH, pia hii kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni ya inayotengeneza mbolea ya EASY GLO ya KIWANDA CHA OSHO CHEMICALS INDUSTRY.


Hiki KIWANDA cha OSHO CHEMICALS INDUSTRY kinatengeneza bidhaa nyingi zinazohusisha MATUMIZI YA KEMIKALI.


OSHO CHEMICALS INDUSTRY ni uwekezaji mkubwa ambao umefanikiwa kuajiri wafanyakazi wengi wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao walihamia na kuishi nchini KENYA.


Hii kampuni ya OSHO CHEMICALS INDUSTRY ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza mbolea ya EASY GLO pamoja na kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa EASY COACH inayopatikana nchini KENYA.


Hii kampuni ya OSHO CHEMICALS INDUSTRY ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED inayopatikana ARUSHA, nchini TANZANIA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Hii kampuni ya OSHO CHEMICALS INDUSTRY ni kubwa na imeajiri WATANZANIA wengi kutoka TANZANIA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wafanyakazi wa kampuni ya OSHO CHEMICALS INDUSTRY.


Ukiachana na wale wenyeji wa asili wa KISHAPU, NTUZU na NYAMWEZI - wale wenyeji wa asili waliobaki wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanamiliki UCHUMI MKUBWA kuliko hata HAYATI MWALIMU.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Hii kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ni kubwa na wanamiliki kampuni zote ambazo "KEY NAME" yake ni EASY.


Wamiliki halali wa kampuni ya EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY BUY AFRICA.


Hii kampuni ya EASY BUY AFRICA inajishughulisha na manunuzi ya bidhaa kwa njia ya MTANDAO WA INTANETI na inapatikana TANZANIA, DAR ES SALAAM katika ya mitaa ya OYSTERBAY, ile barabara ya HAILE SELASSIE.


Pia wanamiliki kampuni inayoitwa EASY GLOW SKINCARE inayopatikana nchini UINGEREZA.


Pia wanamiliki kampuni ya EASY GLOW MAKE - UP inayopatikana nchini AFRIKA YA KUSINI.


Pia wanamiliki kampuni ya EASY GROW inayopatikana nchini UINGEREZA na imesambaa katika MATAIFA zaidi ya thelathini [30].


Pia wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa EASY JET.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa EASY JET inapatikana LONDON, nchini UINGEREZA na inafanya vizuri kwa upande wa TAIFA LA UINGEREZA na BARA LA ULAYA kwa ujumla.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa FAST JET.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa FAST JET kipindi fulani iliwahi kufanya shughuli zake kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kabla ya kuhamia katika MATAIFA YA ZIMBABWE, BOTSWANA na AFRIKA YA KUSINI.


Kwahiyo kampuni za usafirishaji za abiria na mizigo zinazoitwa FAST JET, EASY JET pamoja na SPICE JET zote zinamahusiano katika umiliki.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Hao wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SHAMBAZUVA TOURISM inayopatikana nchini ZIMBABWE.


Hii kampuni ya SHAMBAZUVA TOURISM inahusika pia na kukodisha magari kwa watalii wanaopenda kutumia magari binafsi.


Hii kampuni ya SHAMBAZUVA TOURISM inafanya vizuri katika SEKTA YA UTALII na imejitahidi kuajiri WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini ZIMBABWE.


Tayari wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wameshaanza kushikilia na kuongoza kampuni zao.

Huyu anaitwa ELLEN na ni "EXECUTIVE ASSISTANT" wa kampuni ya SHAMBAZUVA TOURISM inayopatikana nchini ZIMBABWE na ni MTANZANIA kwa asili ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini ZIMBABWE kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Pia malengo kwa kampuni za usafirishaji za abiria na mizigo zinazopatikana nchini KENYA [TAHMEED, MODERN COAST, SIMBA COACH na MASHCOOL] ni kufika hadi MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA [SADC ROAD LINK].
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Wenzenu wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA baada ya kutokea "ECONOMIC CRISIS" katika TAIFA LA ZIMBABWE, walifanikiwa kununua "VITEGA UCHUMI" vingi vilivyokuwa vinamilikiwa na WAZUNGU.


Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa CHENGETA TOURISM.


Hii kampuni ya CHENGETA TOURISM inapatikana katika TAIFA LA ZIMBABWE na inafanya vizuri kwa upande wa UTALII.


Hii kampuni ya CHENGETA TOURISM imeajiri WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini ZIMBABWE.


Pia wanamiliki HOTELI nyingi sana, hasa HOTELI ya HOLIDAY INN inayopatikana MUTARE, ZIMBABWE.


Hii HOTELI ya HOLIDAY INN inayopatikana nchini ZIMBABWE ina mahusiano ya moja kwa moja na HOLIDAY INN inayopatikana DAR ES SALAAM, nchini TANZANIA.




Hii HOLIDAY INN inamilikiwa na wale wanaomiliki kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi sana na wakaamua kutafuta uchumi na wamefanikiwa kwa zaidi ya asilimia mia moja [100%].
 



Miaka kama saba [7] iliyopita kuna MSANII WA KIMAREKANI anayeitwa CHINGY alitoa NYIMBO moja iliyokuwa inaitwa HOLIDAY INN ikiwa na maana ya HOTELI YA HOLIDAY INN.


Hiyo NYIMBO YA HOLIDAY INN ilitamba sana katika ile CHATI YA BILLBOARD TOP 100 YA MAREKANI.




Hii kampuni ya HOLIDAY INN ni kampuni kubwa kwa upande wa HOTELI NA MIGAHAWA inayopatikana nchini TANZANIA na imeenea hadi MATAIFA YA AFRIKA, ULAYA, ASIA, AMERIKA YA KASKAZINI pamoja na AMERIKA YA KUSINI.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Angalia hizi baadhi ya HOTELI ZA HOLIDAY INN ambazo zinapatikana nje ya TANZANIA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana GRAND CAYMAN.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana VANUATU.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana ISTANBUL.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana KRAKOW CITY CENTRE.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana MANHATTAN.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana MANCHESTER AIRPORT.


Hii kampuni ya HOTELI ZA HOLIDAY INN ni wadhamini wa LIGI KUU YA MPIRA WA MIGUU yaani "MAJOR LEAGUE SOCCER" ya MAREKANI.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.​

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]


Angalia hizi baadhi ya HOTELI ZA HOLIDAY INN ambazo zinapatikana nje ya TANZANIA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana IXTAPA, MEXICO.


Hii HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana AMSTERDAM, UHOLANZI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana FELIPE ANGELES AIRPORT, MEXICO.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana SAMUI BOPHUT BEACH, THAILAND.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana THE HAGUE, UHOLANZI.

Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana BARCELONA, UHISPANIA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana PARIS, UFARANSA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana BORDEAUX - MERIGNAC, UFARANSA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana CIUDAD DEL CARMEN, MEXICO.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana SUNDERLAND, UINGEREZA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga

Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana CHICAGO, MAREKANI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana PORTLAND, MAREKANI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana PARIS, UFARANSA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana GLENDALE, MAREKANI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana VANUATU.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana MLIMA ASCUTNEY, KANADA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana SALZBURG, AUSTRIA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana CANMORE, KANADA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana TLAXCALA, MEXICO.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana BELO HORIZONTE SAVASSI, BRAZILI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana BERLIN, UJERUMANI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana ITALIA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]

Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana PANAMA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana LOS ANGELES.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana CAIRO.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana MAKATI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana UTAH, JORDAN.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana CAIRO.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana MADRID - LAS TABLAS.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]

Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana WERRIBEE.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana GOA CANDOLIM.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana GLASGOW.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana LIMA.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana LONDON.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana ZHANGJIAKOU CHONGLI.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana PHUKET.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana SAN FRANCISCO - GOLDEN GATEWAY.


Hii ni HOTELI YA HOLIDAY INN inayopatikana DAYTONA BEACH OCEANFRONT.

Hii ndiyo sababu iliyopelekea MSANII CHINGY kutunga NYIMBO iliyoitwa HOLIDAY INN, miaka saba [7] iliyopita.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwekeza sana nje ya nchi.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamewekeza sana katika TAIFA LA ZIMBABWE.


Vile VITEGA UCHUMI vilivyokuwa vinamilikiwa na WAZUNGU walinunua vyote na wanaendelea kuwekeza pamoja na hali ya kiuchumi kuwa siyo nzuri ukilinganisha na miaka ya tisini [1990's].


Wale wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SHAMBAZUVA TOURISM inayopatikana nchini ZIMBABWE.


Na wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SHAMBAZUVA TOURISM ndiyo wamiliki halali wa VITEGA UCHUMI vyote vinavyopatikana katika BONDE LA HONDE yaani "HONDE VALLEY SIGHTINGS".


Hili BONDE LA HONDE yaani "HONDE VALLEY SIGHTINGS" mwanzoni katika miaka ya tisini [1990's] lilikuwa linamilikiwa na WAZUNGU, lakini baada ya "ECONOMIC CRISIS" waliuza kila kitu kwa WATU WEUSI kutoka TANZANIA.


Hili BONDE LA HONDE yaani "HONDE VALLEY SIGHTINGS" linajumuisha shughuli za UTALII na KILIMO.






KILIMO kinachopatikana katika BONDE LA HONDE yaani "HONDE VALLEY SIGHTINGS" ni KILIMO CHA CHAI.




Pia wanamiliki KIWANDA cha kutengeneza MAJANI YA CHAI ambacho kinapatikana pale pale katika BONDE LA HONDE yaani "HONDE VALLEY SIGHTINGS".


Hiki KIWANDA cha kutengeneza MAJANI YA CHAI kimeajiri WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao walihamia nchini ZIMBABWE katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaendelea kuhamia na kuwekeza nchini ZIMBABWE na kumiliki baadhi ya VITEGA UCHUMI vilivyokuwa vinamilikiwa na WAZUNGU.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SHAMBAZUVA TOURISM inayopatikana nchini ZIMBABWE ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa TAQWA inayopatikana nchini TANZANIA.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa TAQWA ni kampuni ya muda mrefu tangu miaka ya tisini [1990's] na ndiyo kampuni mwenza wa SPIDER.


Hii kampuni ya TAQWA ilibeba abiria wengi sana waliohamia ZIMBABWE wakitoka katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Baadae hizi kampuni za TAQWA pamoja na SPIDER zitaanza kutumia magari kutoka BANBROS.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Jaribu kuangalia hawa WASANII kutoka katika TAIFA LA UGANDA ambao wanaitwa KATALEYA & KANDLE.
Hawa wote ni miongoni mwa WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Kwa mara ya kwanza walianza kutumia "RANGI YA ORANGE" badala ya "RANGI YA KIJANI".


Sasa hivi wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanatumia "RANGI YA ORANGE" na "RANGI NYEKUNDU" kama RANGI ZA UTAMBULISHO.


Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia MATAIFA mbalimbali wanatumia "RANGI YA ORANGE" na "RANGI NYEKUNDU".


Huyu ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu pia ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu pia ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Pia "RANGI YA ORANGE" inatumika na kampuni ya kusafirisha abiria ambayo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wakiitumia tangu miaka ya tisini [1990's].


Pia "RANGI YA ORANGE" inatumika kama SARE YA WAFUNGWA kwa watu ambao watakuwa wameshikiliwa na JESHI LA MAGEREZA.


Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanatumia "RANGI YA ORANGE" kama ishara ya kupambana na MFUMO WA SERIKALI YA TANZANIA.


Na wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wameonekana kushinda, kwa sababu wanamiliki kampuni binafsi ambazo kwa namna moja ama nyingine wanakuwa ni sehemu ya UCHUMI WA TANZANIA.


Sasa hawa ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini ZIMBABWE kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wanaishi katika BONDE LA HONDE wakionekana kunyanyua kombe kama ikiwa ni sehemu ya ushindi.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa pakubwa sana katika masuala ya KIUCHUMI na KISIASA, pamoja na kwamba HAYATI MWALIMU alikuwa na madhaifu yake.
 
unataka kusema marehem bosemen ni mtz....acha uongo.
Jaribu kufuatilia TAMASHA LA WAKANDA FESTIVAL ambalo huwa linafanyika PARIS, nchini UFARANSA.


Miongoni mwa wanaoshiriki TAMASHA LA WAKANDA FESTIVAL huwa ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia katika MATAIFA mbalimbali.


Huyu huwa ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Pia huwa anapata fursa ya kushiriki TAMASHA LA WAKANDA FESTIVAL ambalo huwa linafanyika PARIS, nchini UFARANSA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] pale SHINYANGA MJINI katika MTAA WA NGOKOLO "A" kulikuwa kuna BAA maarufu iliyokuwa inaitwa BIMBO BAR.


Hii BAA ilikuwa maarufu sana na wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] walikuwa wanaita majina ya BAA kutokana na kampuni ambazo wanamiliki.


Na wamiliki halali wa BIMBO BAR ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa BIMBO GROUP inayopatikana MEXICO.


Hii kampuni ya BIMBO GROUP ilinunuliwa mwaka 1994 na mmoja wa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].


Hii kampuni ya BIMBO GROUP imeenea katika MATAIFA 34 ya AMERIKA YA KUSINI, AMERIKA YA KASKAZINI pamoja na ULAYA.


Pia hii kampuni ya BIMBO GROUP ndiyo wadhamini ya timu ya mpira wa miguu ya wanawake ya FC BARCELONA.


Pia huo mtaa wa NGOKOLO "A" ambao palikuwa panapatikana BIMBO BAR ndiyo walipokuwa wanaishi wazazi wake na MSANII anayeitwa BIMBO ADEMOYE kutoka katika TAIFA LA NAIJERIA.


Hilo jina la BIMBO alipewa na wazazi wake kutokana na hiyo BIMBO BAR walipokuwa wakiishi mitaa hiyo kabla ya kuhamia katika TAIFA LA NAIJERIA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], pale SHINYANGA MJINI katika MTAA WA NGOKOLO "A" kulikuwa kuna BAA maarufu iliyokuwa inaitwa GOLDEN FLOWER 😁


Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa GOLDEN TULIP TANZANIA ndiyo waliokuwa wamiliki halali wa BAA inayoitwa GOLDEN FLOWER.


Pia waliokuwa wamiliki halali wa BAA inayoitwa GOLDEN FLOWER ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA MAREKANI [NBA] inayoitwa GOLDEN STATE WARRIORS.


Pia pale SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna BAA maarufu kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] iliyokuwa inaitwa FRIENDS CORNER.

Na pale DAR ES SALAAM kulikuwa kuna BAA maarufu iliyokuwa inaitwa CORNER BAR. Hawa wamiliki halali wa CORNER BAR ya DAR ES SALAAM, nchini TANZANIA ndiyo wamiliki halali wa CORNER BAR ya NAIROBI, nchini KENYA.

Wamiliki halali wa hizo CORNER BAR mbili [2] ndiyo wamiliki halali wa KUNDI LA MUZIKI linaloitwa NAKO 2 NAKO SOLDIERS [Hili neno la NAKO ni kinyume cha neno KONA] linalopatikana ARUSHA, nchini TANZANIA.

Kwahiyo wale waliokuwa wamiliki halali wa BAA inayoitwa GOLDEN FLOWER iliyokuwa inapatikana SHINYANGA MJINI na wao wanajijenga kuwa ROYAL FAMILY na wanamiliki UCHUMI MKUBWA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Hata kama wewe ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, nenda kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] watakupokea vizuri sana.




Huyu ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini MSUMBIJI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].




Huyu binti anaishi MAPUTO, nchini MSUMBIJI na anafanya kazi katika kampuni ambayo inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.




Achana na hawa WANASIASA wa sasa hivi!! Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo walipaswa kuwa WANASIASA wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Wamiliki halali wa kampuni hii ya kusafirisha mafuta ya PETROLI, DIZELI NA MAFUTA YA TAA ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa KADIR TRANS inayopatikana nchini UTURUKI.


Hiyo kampuni ya usafirishaji ya mizigo inayopatikana nchini UTURUKI imeenea katika MATAIFA YA ROMANIA, UGIRIKI, BULGARIA, MONTENEGRO, SERBIA, BOSNIA, ALBANIA na KOSOVO.


Hii kampuni ya usafirishaji ya mizigo ilianzishwa mwaka 2008 na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].




Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanafanya BIASHARA na watu wa MATAIFA YA MAGHARIBI. Kwahiyo hawawezi kufirisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…