Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Jaribu kuangalia hawa WASANII kutoka katika TAIFA LA UGANDA ambao wanaitwa KATALEYA & KANDLE.
Hawa wote ni miongoni mwa WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Kwa mara ya kwanza walianza kutumia "RANGI YA ORANGE" badala ya "RANGI YA KIJANI".
Sasa hivi wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanatumia "RANGI YA ORANGE" na "RANGI NYEKUNDU" kama RANGI ZA UTAMBULISHO.
Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia MATAIFA mbalimbali wanatumia "RANGI YA ORANGE" na "RANGI NYEKUNDU".
Huyu ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Huyu pia ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Huyu pia ni mwenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Pia "RANGI YA ORANGE" inatumika na kampuni ya kusafirisha abiria ambayo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wakiitumia tangu miaka ya tisini [1990's].
Pia "RANGI YA ORANGE" inatumika kama SARE YA WAFUNGWA kwa watu ambao watakuwa wameshikiliwa na JESHI LA MAGEREZA.
Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanatumia "RANGI YA ORANGE" kama ishara ya kupambana na MFUMO WA SERIKALI YA TANZANIA.
Na wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wameonekana kushinda, kwa sababu wanamiliki kampuni binafsi ambazo kwa namna moja ama nyingine wanakuwa ni sehemu ya UCHUMI WA TANZANIA.
Sasa hawa ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini ZIMBABWE kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wanaishi katika BONDE LA HONDE wakionekana kunyanyua kombe kama ikiwa ni sehemu ya ushindi.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa pakubwa sana katika masuala ya KIUCHUMI na KISIASA, pamoja na kwamba HAYATI MWALIMU alikuwa na madhaifu yake.