Tukamchuku
e Eddie bas!
kwaiyo hawa ni wasukuma
Ndiyo ππΎ! Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
Ukiwa pale KAMPALA, nchini UGANDA kuna sehemu moja inaitwa TANK HILL PARK, ile sehemu ni "RECREATIONAL PLACE" ambayo huwa wanapenda kukaa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliohamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Sasa hivi katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wenyeji wa asili wamebaki wachache, kwani wengi walishahama na kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanamiliki kumbi zao za starehe.
Ukiwa pale ARUSHA, TANZANIA kuna sehemu moja inaitwa ACES LOUNGE na inapatikana UZUNGUNI - hapo ni sehemu ambayo huwa wanakutana wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
Pia kuna sehemu inaitwa BVB LOUNGE inayopatikana NAIROBI, nchini KENYA. BVB LOUNGE ni LOUNGE ambayo huwa wanaitumia wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA π¦.
JINSIA YA KIKE kwa upande wa JAMII YA MWASHITA huwa ni wazuri sana, ukikutana na SURA NZITO ujue huyo ni MLOWEZI π
Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa KLABU YA MPIRA WA MIGUU inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI inayoitwa BORUSSIA DORTMUND.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo miongoni mwa WASHINDI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.